ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
HARMONIZE Alivyotengeneza WIMBO mpya Live Jukwaani/Aupa jina "HAWANIWEZI"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ก.พ. 2023
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Harmonize #Moshi
Ni boss wangu Mudy tulia... I loved that
Greetings from kigali, Rwanda ... this guy is super talented my favorite song writer in Tanzania
Konde wewe ni mwamba hawakuwezi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥, 🇨🇩
😊😊😊😊
Nani hamuwez Sasa huyo anarukaruka kijinga
@@naderalesry5308 harmonize
Harmonize King 👑 Love from Kenya 🇰🇪
He’s our own East Africa Giant 🦍🐘🔥🤞🏾
harmonize 💥💥💥hawakuwezi ata waje na machawa 🐘🐘
Kama Unakubari hawamuwezi KONDE BOY gonga like hapa ili twende sawa.
Hawamuezi....True
Hakuna maana hiyo amemaanisha wamemuibia pesa za mziki wake kk
Kwel mamako na babako kwel awamuwez
This guy really a entertainer one love 🐘🪖💨
Wa Africa tujivunie na hiki kipaji cha harmonize tembo jeshiii 💪💪💪💪 from congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Lubumbashi.
Mbele kwa mbele Konde wangu 😘 ❤️ 💯 😍
HA-WA-NI-WEZI... Nyimbo ina maana ya ndani wadau, KONDE somo Much love from🇰🇪
Nyimbo mpya wapi,alikua kua nayo mda tu
@@yasintasteven5239 Lia basi😂😂🥶
Iyo wametambua wenye akili
@@yasintasteven5239 umechukia?
Itakuwa ngumu kutushikia CHINI HAWATUWEZI
One of top ten singer/writer/intertainor harmonize the great
Wow mtwara pamoja mtani wangu mii mngindo mungu akulinde inshaallar
Konde please release this song , it's so amazing
Bonge la ngoma hatariiii 🔥🔥
Jamaa anajua baraaaaaaah kwel na hanachawa kwa now kama dada mond ila siku kila mtu ataelewa kwa nn hanaitwa jeshii
Daah huyu mwamba 🔥🔥🙌
Kihukweli,mpeni sifa ajuwaye
This guys is a monstrer
Let me confirme
Uyu Jamaa Noma Sana Harmonize is The Best 🙏🙏📷📷
Nakupenda bure kaka yangu
We have talented boy lets began support him to reach far away
Wewe ni 🔥🔥🔥 usio zimika kamwe Mtu kali ✨💪💪💪 wahou!!
Hawakuwezi bwana weee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Genius musician
Upande wa pili Hawakuwez we mmakonde . We ni 🔥🔥. Wao ku kick hadi machawa. We una kick kwa VITAMIN MUSIC 🎶
Dah! Mwamba huyu tuachenii Ushabiki Anajua mpaka nilazma umuonee Jelousy watu wa upende wapili, ankosa mtu wakumshika mkono but namuonea Mbalii sanaaa miaka Ijayo, Kuna watu kinacho wabeba ni kua wamemtangulia kuekeza na wana connection" but huyu mwamba akipewa na fasi kusema kweli hamna Bongo wakumshinda 🙌tukiacha ushabiki.
Jeshi ni mwamba🔥🔥🔥
🙌🙌🙌💥💥💥💥
Huyu jamaa si poa ni hatar mno sena utz wet unatupoza kwa kuzarau ila ukwer ila hyu jamaa n Chuma
Dah Harmonize ni balaa🔥🔥
Dah Harmonize ni balaa🔥🔥
da kweli mungu amutupi muja wake kamwe wanao kuombea mabaya yata warudia hao hao❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jeshi la mtu mmoja🔥🔥🔥🔥
Kiukwel tz harmonize anauwezo mkubwa sn
My number one artist 💥
Hawakuwezi Jeahi
Noma sana huyo konde boy mjeshi
Pamoja konde boy tunapenda nyimbo zenye ujumbe na sio kelelee
Talented en genius go go harmo
Hatukuwezi kivipi bna. We omba Mungu akusaidie uwe salama kila siku achana na kuwezekana ni Mungu tu ndo anajua.
Wamuwezi kwan nani anoshindana nae au kwan wanataka kumbeba
@@mohamedally5225 mbona mnapata shida ivyo
@@karimchindema9823 una positive mind kila siku unaimba maudhui ya huniwezi😂😂😂 this world!!!!! Huo mda unatoa wapi kufikiria waja bwana Karim. Si unajitwika Joho la Mwenyezimungu
Mbn mapovu sasa Kwan si usifie tu I julikane moja
Kwan umeambiw yey aombi Mungu?
My favorite artist from kenya
Jeshi number one
Jama anajuwa mziki live bendi
Hawakuwezi conde mnyama ofcause your number one
Mudy mudy, tuliaaa, huyo ni boss wangu tuliaaaa
Huyo mwamba mbna nakubali shida kk sana bro unaweza1
💯 talent.....konde ni mzima aiseeeee!!!
Harmo tembo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Harmonize to the world
Much love brother HARMONIZE
Fantastic one ☝️ 💗💕❤️🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Moçambique yamani topickie kanra harmonazi 🎉😊😊
Shidaaaaaaa😮😮😮🤗🤗🤗🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tanzania tujivunie sana hiki kipaji, me namuona huyu jamaa mbali sana sana kuliko wengine wotee
hermonize ana miaka 33, aende wapi??? wakati diamondplatnumz ana miaka 33 tayari kashafanya yote, yaani diamondplatnumz bado Grammy awards tu!!!
watu mnaupuuzi uliopitiliza sana!!!, mafanikio sio kuvuta mabange mkuu,ivi unajua harmonize na diamond wanapishana 6 miezi tu ??
sikiliza hotupa ya waziri mkuu kassim majaliwa alipokuwa tabora , serikali yenyewe inanyoosha mikono diamond!!!!!
Yaan mnabisha msicho kijuwa harmonize kazaliwa 1994
Mondi ni wa 88 kama sikoseh
Sana sana2 yaani kati ya wa2 waonao mbali kama mimi wewe ndo wakwanza
Jamaa yuko bomba sana na awamuwez kweli
I love this
Nakubali sna konde boy
Tanzania kwanini munamuatchilia uyu jamaaa sana uyu ni mkali kuliko wote 🥺🥺nasema ilo kutokea 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mnyonge mnyongeni ila huyu mwamba ni talented
Awatuwezi kbs tutabaki tu number one 1⃣ Tz 🇨🇩
Daah anatishaa
Uyu ni Boss wangu take it slow...
He was caring for the guy
Nimekubali konda from France
He should be a producer
Boss Wangu tuliiiiiiiiiiiiiia!!!!
Noma jeshi kama jeshi
Harmonize nakubali sana bro
KWAME MKURUMAAAAAAAAA, 🔥🔥🔥🔥🔥🔥, 🙌🙌🙌
Big up sanaaa konde Kama kondee
Team chafu hawatuwezi jeshiiii 🔥♥️🇲🇿
Konde 🔥🔥🔥🔥🔥
Amazing🔊🔊🔊🔊🎶👏👏👏
lyrics is fire, he talk senses.
Konde love from 🇯🇲🇯🇲....A kamba
and that's how a banger was made
Unajua mpaka unakeraaa aseee
Hatari mwamba
Jeshii🐘🐘🐘🐘🔥🔥🔥🔥🔥🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀
HUYU JAMAA ACHANA NA YEYE🤣🤣
Harmoniz anaweza saan ziadi
😂😂😂😂 this reminds me of his audition
SEMA nn konde mjeshi anajua San konde boy.....👍👍👍👍
Kuunda beat stage na kuimba Kali sana🔥🔥🇰🇪
👏👏👏👏👏👏👏 bless up jeshii awatuwez na boss wet
Konde boy wow love you bro
All ambless tuu duuh
Uko njema sana kaka wewe ni atari
hajaunda hoi wimbo kwa stage. alikua amecram hiyo first lyrics
HAWANIWEZI KIFUPI NAZIJUA SHIDA KUTUKANWA KUSIMANGWA KWANGU KAWAIDA ...🎖️🏅
Hoyoooooo 🖖🖖🖖🖖🖖salute Harmonize ❤❤❤❤
Konde boy jeshiiiiiii
Abakuwezi
Jeshi kama Jeshi
Ha Wa NI we Zi....mziki NI Vita ..🎤☑️✍️
Nan kama kondeee, Bg up bro unakipaji cha kipekeee
Nakupnda harmo bure tu uko na kipaji mungu kakupa
Mshukuru nasibu Abdul (diamond platinum ) kakufundisha everything kweny hili game LA music na ustaa ulionao
Allah bless to him giant boy konde
Hii chorus akae mnyama biser bzzy
harmonize master
Hatari ❤️❤️❤️❤️
Jeshi ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
this should drop hawaniwezi....hit
HAWANIWEZI = HAWA NI WEZI 👌
Konde 🐘 nabawani na Tanzania Harmonize 👈🤲🤲🐘🐘
Jeshiii for may life
Ani wewe niyatali sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥tembo
Yatali ndio nn sasa
@@tembarooney7899 😂😂😂