Mt. Kizito Makuburi - Kilele cha Kongamano la Ekaristi Takatifu kitaifa (Live Performance)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
- Karibu kutazama dakika 30 za KMK MAKUBURI kwenye kilele cha kongamano la Ekaristi Takatifu kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam Septemba 15, 2024
Mchungwa huzaa mchungwa.. na huo ndo ,mchungwa wa mzee wetu Bernard Mukasa🙌🙌🙌🙌🙏
Jamani mnajua mpaka mnajua tena mpaka mwisho, nimependa wimbo wa Ekaristi takatifu Yesu yupo mzima mzima, wimbo umebeba ujumbe mzuri sana mnoo, kongole kwa Mtunzi
Baba na mwana mnautendea haki mziki Mtakatifu hongereni sana Wana KMK
Mungu ni mwema.nawatakia utume mwema,Niliwaona live taifa nilifurahi Sana 😍😍🙏🙏🙏
This is one choir that I never get tired of listening to. Long live St Kizito Makuburi, Baraka tele.
Kila wimbo ni mzuri na unabariki lakini wakiimba kmkmakuburi unakuwa ❤🔥❤🔥
Kwa kweli hii kwaya Mungu awalinde sana. Mko vizuri mno
One in all respect to you mkasaa father
Mungu azidi kuwainua mnanibariki sana❤
What a nice performance
Great respect to you KMK
Moto sana KMK hongereni sana
This is why I love you serious
Kmk🔥🔥
Yaani Huwa nawapenda sana makuburi hongereni sana Kwa uinjilishaji uliotukuka
CONGRATULATIONS MY FAVORITE CHOIR MAY OUR GOOD LORD GIVES YOU THE STRENGTH TO SERVE HIM ALL THE DAYS OF YOUR LIFE AMEN AND AMEN ❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hongera KMK👏
🔥🔥🔥🙌🏽
Makuburi never disappoint 🙌🙌❤️❤️
What a performance 🔥
Nabarikiwa na hii performance, naon roho Mtakatifu 😭🙏🙏
@kmk the is soul I own
God bless you st kizito makuburi choir 🎉
Amina sana 🙏🙏
Its such a wow! Performance. Bravo! Guys.❤
Motrooo haswaaaa🙏🙏🙏
Be blessed
Beautiful people with beautiful voices. God bless you❤❤❤
international catholic choir
Bernard mukasa ni mmoja tu
Woooww, nice and vibrant performance...mbarikiwe
Anae conduct ananibariki sana
Nice performance kmk
Kmkmakuburi❤❤
Big up sana,
Yesu nyamugonzibwa mwana wa maria byona ebyo twinabyo nitubikusimila🙏💪
Byona ebyotwinabyo ntukubyehongera!
Beautiful!
Hii Kwaya naipa maua yake💐
Safi Familia yangu❤
Duh wameperform watu wameshatoka uwanjani next time wapi nafasi ya kuimba kabla ya baraka za mwisho uimbaji ni ibaada pia
❤❤❤❤❤❤❤
#👏👏👏
❤🎧❤
🥰🥰🥰🥰
Aisee nimependa apo mlipoimba kihaya dah mmenikosha san
Jameni ipo siku nitajumuika nanyi kabla niende zangu kwa heri...mwatubariki sana nyie wanamakuburi..hakuna kama nyie afrika mzima kabisa
Safi Familia yangu❤
❤❤❤
Safi Familia yangu❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤
❤❤