VITA YA ALLY KAMWE, PRIVADINHO NA WACHAMBUZI SHAFFIH DAUDA NA HANS RAFAEL YAPAMBA MOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 22

  • @GodlistenAndersonMremi
    @GodlistenAndersonMremi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wachambuzi Wa Mchele Hovyo Sana.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Waandish WA kozi week Mbili! They know nothing ABT impartiality

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 57 นาทีที่ผ่านมา

    Baadhi yenu acheni kuichambua yanga pamoja na uhuru wenu maana watu inaonyesha wana hofu na weredi wenu kiuchambuzi.

  • @colombanipaulo8953
    @colombanipaulo8953 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ww mtangazaji hapo tu ulipo unahoji maswali yanayokufurahisha. Haubalansishi habari. Unakimbilia kusema wanachokifanya priva na kamwe ni sahihi? Hauhoji km wachambuzi wanavyoisema vibaya yanga ni sahihi au siyo sahihi . Ukiona mchambuzi anaongea ukweli unamkatisha.

  • @gwamakamoses6457
    @gwamakamoses6457 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Idara ya habari Yanga, endelea kijibu mapigo kwa nguvu zote, maana ndiyo wajibu wenu

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata nyinyi mnakosea kwanini msimfate shafii dauda kumwonya kuliko kuendeleza chuki hapo mnachokifanya mnachochea hakuna mnacho suruhidha zaidi mnaendeleza chuki kati ya shafii dauda na mashabiki wa yanga.na nyinyi mnachangia

  • @FrankKwanama-lo6fj
    @FrankKwanama-lo6fj ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo Dauda anawashwa nini na yanga? yeye adili na Makolo!

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Niwachambuzi wamchongo kaziyao nikuipondayanga2 kama shafilo dada ananikelasana 😮

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waandishi na wachambuzi mnajidhalilisha

  • @johnmsagga5327
    @johnmsagga5327 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwandishi itathmini kauli hiyo na ya Ally kamwe . Ni mpuuzi mkubwa tangu aingia yanga ana uchawa zaidi kuliko professionalism

    • @FrankKwanama-lo6fj
      @FrankKwanama-lo6fj ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wachambuzi wa mchongo hawana tija ktk soka letu!

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbn mchome anaisifia yanga hata km ikifanya vby.na kuiponda simba hata ikifanya vzr

  • @HassanSeleman-be9wi
    @HassanSeleman-be9wi 19 นาทีที่ผ่านมา

    tz mchambuzi ni MWADUKE tu ana upande yani uchambuzi unatakiwa uwe kama MWADUKE.

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga wameishiwa mbinu hakuna timu duniani ambayo haikosolewi wachambuzi kosoeni tu.mpk timu zetu zinyoke.tatizo yanga wanataka wasifiwe tu.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga haiita vichambuzi uchwala! At all! Yanga inavipa kula!

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pumbavu kabisa na blue yako.

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ali kamwe adhibitishe wapi uongozi wa simba ulimlipa shafii dauda mbn hili halichambui kazi yenu kuchochea tu.kanwe asiingize viongozi kwenye mmpambano wake na shafii

    • @johnmsagga5327
      @johnmsagga5327 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hawa watoto WA yangu ni ni vichawa ndiyo maana vinalialia vijinga tu
      Wanastajili kuelimishwa mwaandishi WA habari anasema what are weaknesses of the club ili uchukue hatua, hivi vitoto ni vijinga tu

  • @deomusyebi9930
    @deomusyebi9930 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wandishi wa habari wajinga sana nyie njaa zenu zinafanya mnapoteza weledi wenu kwa ajili ya vijisent ili kuiponda yanga endeleeni kuponda sisi tunasonga mbele wafuasi wa shetani nyie

  • @SylvesterJovine-i6x
    @SylvesterJovine-i6x 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wote ni wajinga mnaongea vitu havina mantik