Watu watano wafariki kwenye ajali Kikopey, Nakuru
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024
- Watu watano wamefariki katika ajali ya barabara katika eneo la Kikopey barabara kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru. Ajali hiyo ilitokea pale trela iliyokuwa imebeba chumvi ikielekea Uganda ilipopoteza breki na kuingia kwenye duka. Watu wengine wanne waliijeruhiwa na wanapokea matibabu katika hospitali tofauti
Mmmh..inasikitisha sanaa
Just the other day it happened in londiani but Ignorance,lack of good will,politicizing any Agenda or any proposals see now.
😢😢
The government to be very keen about kikopey because this is the second time a bad accident occuring same spot. Mololine shuttle from Nakuru to Nairobi killed many people. Please serikali take note. Poleni sana kwa familia wahusika.
Aaaai this road has become something else 😢😢
What happened to Rironi-Nakuru-Mau Summit highway??? Last weel people died along mau summit..
So sad 😢
Heeeh this season has started now again 🙆🏼♂️
NAIROBI NAKURU DUAL CARRIAGE IS OF EMERGENCY 😢😢😢😢BUT RUTO SEEMS NOT TO CARE. TRACKS MUST BE DRIVING IN A TIME AND LINE FROM THAT OF SMALL VEHICLES BUT PPLE R WAITING GOD TO COME AND BUILD AND THEM HOW TO USE ROADS