MZEE YUSUPH AMPA TALAKA LEILA KIMYA KIMYA WIFI AKE HADIJA AFUNGUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 199

  • @rashidhusain2958
    @rashidhusain2958 7 ปีที่แล้ว +2

    KHADIJA jina kubwa mashallah venye umejiachia alafu unazungumzia mwenzako amrudie Mungu wakati ww uko kichwa wazi. yaani huoneshi kama uko katika maadili ya kiislamu.

  • @mtumwahamidu6853
    @mtumwahamidu6853 7 ปีที่แล้ว +3

    Leyla nakupendaje achana na hao mawifi msikilize mumeo mfalme

  • @asyadada9011
    @asyadada9011 7 ปีที่แล้ว +21

    Nimekupenda leyla usijibu nyimbo yake mjinga mpe cheo

    • @jamilajamaljj7976
      @jamilajamaljj7976 7 ปีที่แล้ว

      Asya dada kweli kabisa cheo mpe mjinga

    • @halimasali.8081
      @halimasali.8081 7 ปีที่แล้ว +3

      Asya Dada hapo chacha mjinga apewe cheo kisha dawa ya Adui kumkaliya kimya

    • @azzaali7780
      @azzaali7780 7 ปีที่แล้ว +6

      Asya Dada kwahiyo yeye khadija anavyosema hivyo yeye katubi ? kama anawafungia bandan mbwa yeye tumwiteje kwanza yuko uchi

  • @mariamhadija7236
    @mariamhadija7236 7 ปีที่แล้ว +4

    miziwa kama unatenda kunyonyesha watoto yatima nyoooo wivu tu lela mzuri anamuonea wivu tu

  • @sophiealexander8703
    @sophiealexander8703 7 ปีที่แล้ว +3

    Huyu nae m2mzima ovyo kuingilia ndoa za wa2 ndo maana kapewa nyonyo kama mzigo wa container mxiuuuuuuuuu

  • @jamilajamaljj7976
    @jamilajamaljj7976 7 ปีที่แล้ว +9

    leyla safi sana wewe unabusara.

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว +1

      Jamila Jamal JJ mwanamke na nusu leila

  • @frankgalutzii1225
    @frankgalutzii1225 7 ปีที่แล้ว +5

    mzee yusufu ukimwacha tu reila mwanamme nabeba jiko dadek huyo m.mke anajielewa sana yan dada yako kilaza huyo

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 7 ปีที่แล้ว +22

    sasa wew khadija mambo ya kakako na mkewe yana kuhusu nn hata haya huna muone mashavu tu

  • @samaoman8081
    @samaoman8081 7 ปีที่แล้ว +1

    reyla nakupendaga sana ukiwa unacheka xn achana na mawifi wenye gubu

  • @ashahassan2667
    @ashahassan2667 7 ปีที่แล้ว +1

    Mungu analipa hapa hapa duniani, leila alinyang'anya mume wa mtu vinamrudia tatizo sio wifi, haiwezekani mtu unatoa mawaidha umebadilika unahusia watu wamwabudu mungu, ukirudi nyumbani mkeo anatoka kwenda kukesha kufanya dhambi

  • @zenamadhan2517
    @zenamadhan2517 7 ปีที่แล้ว +1

    mashalah achana nao hao ,kma ktubu ni kwa kila kiumbe uyo wifi pia atakiwa atubu sio kupiga pang'anga tu ,,,,wambie waache donge

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว +3

    nakupenda mm ww wacha waseme usitoe kikiiiiiiiii hta hachwi mtu hpaaaaaaa talaka nooooooo

    • @ummimohammed1856
      @ummimohammed1856 7 ปีที่แล้ว

      Allah aidumishe ndoa yenu leila na mumeo wachewaseme mwambie unachompa kakae yy hawezi kumpa atulie biwifi

    • @salamasaidi7363
      @salamasaidi7363 7 ปีที่แล้ว

      ummi mohammed anatia Aibu wivu kwa kaka yake"!!!!! akiachwa yy atapata nn

  • @salmaanathalie1218
    @salmaanathalie1218 7 ปีที่แล้ว +3

    Leyla m kaliye kimya uyo kifua kama nazi mawifi kama hao ndo kumwagia maji moto

  • @mamykarim8354
    @mamykarim8354 7 ปีที่แล้ว

    Khadija acha na maisha yakakako alishanogewa hatoki hapo wewe utabaki tu kusema bibie khadija

  • @t33pelos77
    @t33pelos77 7 ปีที่แล้ว +2

    gubu la wifii yenyewe wajilia vyao awana ata abareee itakukuta aibu ww khadija

  • @masseanadir2904
    @masseanadir2904 7 ปีที่แล้ว +1

    huyu khadija mtu mzima lkn ovyo, ndo maana na maziwa makubwa

  • @mrsdully1613
    @mrsdully1613 7 ปีที่แล้ว

    mmmhh mawifi sikuzote ndowanaoharibuu ndoa zawatu jmn wao wenyewe wanajua mapenzi yao inakuaje mnayaingilia mambo yawawili

  • @aminamtz1857
    @aminamtz1857 7 ปีที่แล้ว +1

    umenikodhaje leila kwa majibu yakoooo😂😂😂😂

  • @omarymwigula5479
    @omarymwigula5479 7 ปีที่แล้ว +2

    Mzee yusuph Akikupiga chini nitafute mimi bi lei

  • @martinamakwinya585
    @martinamakwinya585 7 ปีที่แล้ว +1

    Leyla mekupenda bure mama achana na uyo mmama Fanya yako

  • @nakupendamamasawia1609
    @nakupendamamasawia1609 7 ปีที่แล้ว

    subhaannallah kweli bi leila haya maisha tu kubwa stahamara

  • @kombohasla6952
    @kombohasla6952 7 ปีที่แล้ว +1

    huyu khadija mnafiki tu kwa hiyo anataka yeye aolewe na huyo kaka yake

  • @godifreyngowi2930
    @godifreyngowi2930 7 ปีที่แล้ว

    duh! jaman kweli hii kali au anataka mwaka mpya na ki2 kipyaa??

  • @ashamajuto6610
    @ashamajuto6610 7 ปีที่แล้ว

    hadija hana akili tena msenge tu safi sana leilaaaaa mungu akupemaisha marefu hadija anataka alale na kaka yakenn aache usenge

  • @prettyidashaban6284
    @prettyidashaban6284 7 ปีที่แล้ว +6

    siku zote mawifi ovyo tu@lyela miaka100000

  • @husnakhamis5355
    @husnakhamis5355 7 ปีที่แล้ว +2

    we hadija kwaiyo na kaka yako mbwa mmmh kumbe mkorofi wewe ni likua nakupenda lakin basi

  • @queenoflove628
    @queenoflove628 7 ปีที่แล้ว +12

    mawifi wengine wataka moyo...kwanza kama huyu

    • @sumyahkalama
      @sumyahkalama 7 ปีที่แล้ว +2

      queen of love hahaha ndoa ya Adam na Eva ilidumu kwa kuwa hakukuwa na mawifi

    • @queenoflove628
      @queenoflove628 7 ปีที่แล้ว +1

      +Mum Raymond hahahahaha haswaaa.👍👍👍kama huyu angekuwa wifi yangu ningemfanya dagaa nikamkaranga poa nikamla den nika sahau

    • @manthuraahmed9173
      @manthuraahmed9173 7 ปีที่แล้ว

      wifi wengine ni mahasidi ama amtaka yeye

    • @queenoflove628
      @queenoflove628 7 ปีที่แล้ว +1

      +Manthura Ahmed huyu wifi ana wivu na leila coz leila nyota yake poa kumliko dats y

    • @manthuraahmed9173
      @manthuraahmed9173 7 ปีที่แล้ว

      kweli sana

  • @faudhiaiddy7270
    @faudhiaiddy7270 7 ปีที่แล้ว

    lely umenikosha sana jitu lina rohoo mbaya

  • @lucyhadwiger3164
    @lucyhadwiger3164 7 ปีที่แล้ว

    Mawifi ni kero sana..kaka asipokuwa makini anaweza kubadili wanawake mpaka...mawifi wana chokochoko mno...

  • @bonitatembonitate257
    @bonitatembonitate257 7 ปีที่แล้ว +2

    mawifi wana gubu,sijui uwa wanawataka kaka zao,nyoooo mnaboa mawifi

  • @aishamnemo9524
    @aishamnemo9524 3 ปีที่แล้ว

    Jamani mawifi tuwaachie kaka zetu wake zao... habar ya kuchangia ubaya kufkiria kuwaachanisha huo ni ubaya zaid kw mungu

  • @bwizayasini2153
    @bwizayasini2153 7 ปีที่แล้ว

    shingo yenyewe hana kavimba kila sehem ila kutwa kumsema Leila..yaelekea anakunyima raha poleeee

  • @مسلمهكينيا
    @مسلمهكينيا 3 ปีที่แล้ว

    Santa.leila walh hio ni doz nxur sna

  • @johamdia3111
    @johamdia3111 7 ปีที่แล้ว

    pole ndugu uvumilivu Ula mbivu

  • @omarikhadija4365
    @omarikhadija4365 7 ปีที่แล้ว

    Usijali my achana namaneno yawalimwengu ndivyo walivyo

  • @elbarrey3305
    @elbarrey3305 6 ปีที่แล้ว

    Kama hatupo tayar kuiacha dunia na kumtumikia sheitwan basi ipo siku dunia itatuacha sisi na sheitwan atatukana...... jaman jaman maisha ya akhera ni maref zaid kuliko haya ss tunajiona tumefika

  • @pamellahnecheza4799
    @pamellahnecheza4799 7 ปีที่แล้ว

    Wanaitwa mawifi wa Tanzania mmmmmmhhhhh😯😯😯😯

  • @zaryloveclassic1362
    @zaryloveclassic1362 7 ปีที่แล้ว

    We Khadija, we umemrudia mungu au unatafuta kiki KUPITIA kwa Leyla... wala hautapata na mapenz hayaingiliwi🙂🙂"hauna haya muone funga domo usimseme, muache hana nafasi tafuta jambo jingine... upo nyonyo

  • @manasemwakagali9358
    @manasemwakagali9358 7 ปีที่แล้ว +1

    leila, akili kubwa mwanamama huyu

  • @famffamf40
    @famffamf40 7 ปีที่แล้ว

    Hahaha kuna sababu yoyote ya kukufanya uyalete na mashavu au ndo vile bila kutakanana hamuoni raha

  • @mamykarim8354
    @mamykarim8354 7 ปีที่แล้ว

    Wewe khadija yussuf kwa nini utake shari na wifi yako laila amekamilika kuwa mke amestirika nawe tafuta wako uwache kiki😁😁😁

  • @MariamMohamed-bw8xf
    @MariamMohamed-bw8xf 6 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa Leila ume sema

  • @fatmat6883
    @fatmat6883 7 ปีที่แล้ว

    Khadija anamishavu kama paka wa oman.

  • @ednada9033
    @ednada9033 7 ปีที่แล้ว +2

    Khadija hana Sharpe kabsa wivu tuu Hata kakako pia

  • @siwasaidi
    @siwasaidi 7 ปีที่แล้ว

    kabisa dada hapo umeongea kurudi kwa Mola ni kwa kila mtu

  • @riscaoscar521
    @riscaoscar521 7 ปีที่แล้ว +2

    hayakuhusu khadija weeeee

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 7 ปีที่แล้ว +1

    nimependa vileumejibu mwanamke yeyote anaweza kupewa talaka. hanajipya huyo wifi yako. hawezi kukupimiya pumzi huyo ni bwanako. kwani yy anataka kuolewa na kakake?????????????????????????????

  • @khadijaoman6267
    @khadijaoman6267 7 ปีที่แล้ว

    kweli kabisa dada lailaa waoooo naaaaam kwalie olewa talaka kawaidaa

  • @rashidhusain2958
    @rashidhusain2958 7 ปีที่แล้ว +1

    jihadi kubwa maishani ni kupigana na nafsi yako kwanza kabla hujamuelekea mwenzio.

  • @fatumathuma8004
    @fatumathuma8004 4 ปีที่แล้ว

    Kweli Daah usema.

  • @lisamedy9439
    @lisamedy9439 7 ปีที่แล้ว

    mawifi wana mambo wewe adija fanya yako usimfatilie Laila wewe mwenyewe ujaolewa fala wewe kaaa na mumeo bi leila achana na huyo fala

  • @saadashaabani2953
    @saadashaabani2953 7 ปีที่แล้ว

    huyo minyonyo anashida saaana hata yy na minyonyo yake anatakiwa amrudie mungu yaan khadija mswahili saana

  • @sarafina6656
    @sarafina6656 7 ปีที่แล้ว

    achana na huyo minyonyo Leila hana jipya Kikubwa ww na mumeo mnaelewana na yote mabaya anayotaka yakufike yatamludia mwenyewe mmxiiwe

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 7 ปีที่แล้ว

    Aliya nayo moyoni ulimtoka kumbe hakumpenda wifi Yake Leila hata ubaya ifichiki

  • @sultanmm7722
    @sultanmm7722 7 ปีที่แล้ว +2

    mi nilifikili khadija nimtu wa busala kumbe huna busala kiki mpaka kwa mke wa kk yako ebu angalieni alivyoojiwa kaongea nn cha busala kwa wifi yake zaid ya kusema anapiga mbwa na mwenye mbwa

  • @sabrinamohammed3980
    @sabrinamohammed3980 7 ปีที่แล้ว +1

    kwan mtu kuachika n ajabu jaman na pia kosa n lakaka yake aliyemfunza kwahy atulize mdomo

  • @saidi.s.lihondo3767
    @saidi.s.lihondo3767 3 ปีที่แล้ว

    hapa mzee yusuf kapata mke mwenye msimamo sana.kwa kweli usimjibu kwa lolote lilee.

  • @salmaabdulrahman7563
    @salmaabdulrahman7563 7 ปีที่แล้ว +2

    khadija Yusuf angalie maisha mapenzi ya Mzee Yusuf na Leila hayamuhusu.atengeneze maisha yake na mumewe.hizo zinaitwa fitina.MTU mzima hanaga akili.Mzee akimtamkia leilah awache mziki ataacha sio yy .aseme.juu ya hio story atafute buyu akune.kivunja riski

  • @sophiayahya6889
    @sophiayahya6889 7 ปีที่แล้ว +2

    Alivyoachwa yy na mumewe mwanzo alijua nawenzie wataachika aende zake huko namtindi wake kama anyonyesha wtt yatima

    • @hidayapretty9093
      @hidayapretty9093 7 ปีที่แล้ว

      Ahahahahahaha

    • @Halimabintmafitah
      @Halimabintmafitah 7 ปีที่แล้ว +2

      sophia yahya sema Astaghfirullah3.Are you muslim.hakuna ajuaye kuumba isipokua Allah pekeake. dhambi zakujitakia hizi.

    • @fauziamohammed1817
      @fauziamohammed1817 7 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaha umenifurahisha.....mawifi mahasidi lol

    • @salmaanathalie1218
      @salmaanathalie1218 7 ปีที่แล้ว

      sophia yahya hahaha mbavu zangu mie 😃 😃 🙈

    • @Salimalnabhani
      @Salimalnabhani 7 ปีที่แล้ว +1

      Leila mi siingilii habari ya mgogoro wa family yenu, lakini ukitaka za ukweli umependeza na hiyo hijaab tena bila ya kujipodoa, yaani jiamini,go ahead.

  • @sholastika972
    @sholastika972 7 ปีที่แล้ว

    chefuuuuuuuuu! khadija kumbe ndo ulivyo, wivu mpaka kwa kaka ako! muone kifua kama majambazi ya kwenye chakor!!! ovyooooooo!

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 7 ปีที่แล้ว

    wewe ndo uloowaaa jiangalie wewe kwanza achaaa unafiki mgombanishi mmojaaaa

  • @wahindiakwembe8066
    @wahindiakwembe8066 7 ปีที่แล้ว

    khadija elewa hyo ni kakako maamuz yote anayo yy, we utabaki msikilizaji tu km wifi, mtu mzima hovyoo...

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 ปีที่แล้ว

    vizur ila msiishi ivyo mzee ni khadija

  • @ummyissa4622
    @ummyissa4622 7 ปีที่แล้ว

    hilo nalo neno bi Leyla mjinga jibu lake kimya atajitambua soon ucsumbuke kumjibu😇😇😇

  • @mufamomufash4705
    @mufamomufash4705 7 ปีที่แล้ว

    hata yeye dadake yusuf pia ache kuimba si kumpiga vijembe wifi yk,

  • @huweihuwei6937
    @huweihuwei6937 7 ปีที่แล้ว

    Leyla tulia namumeo mawifi bahaz yao du mitian taraka aongee WiFi yausu amtaka kaka nn hahahaha mishavu mibaya adija

  • @aishaeliaslocalmusic8496
    @aishaeliaslocalmusic8496 7 ปีที่แล้ว

    weeee koma wifi kaolewe na ufate yako.ama wa taka ndizi ya kakako?

  • @salamakadzo240
    @salamakadzo240 7 ปีที่แล้ว +4

    yaani leyla nimekupenda buree

    • @sultanmm7722
      @sultanmm7722 7 ปีที่แล้ว +3

      kampige awala yakondo mbwa usitukane mtt wa menzio mbwa itakua ww khadija mkolofi ndomana unagombanaga na kk yako .ukome kusema dam mmoja ndugu ana nafas yake na mke ananafasi yake kwanza nimzazi mwenziwe nasijui aibu utaziweka wapi wenzio wanall mwili mmoja ww kinacho kuawasha nn mnafiki mkubwa

  • @ednada9033
    @ednada9033 7 ปีที่แล้ว

    Nawe ddngu pole kwa kuolewa namtu na kakake waume wawili uko nao

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 4 ปีที่แล้ว

    Layla nakupenda mam mjinga mpe cheo

  • @winieramadan9857
    @winieramadan9857 7 ปีที่แล้ว +1

    mawifi wanashida sana

  • @sashaaden3062
    @sashaaden3062 7 ปีที่แล้ว

    mapenzi hayaingiliwi MTU mzima ovyo

  • @ednada9033
    @ednada9033 7 ปีที่แล้ว

    Akaolewa na waume wawili pia khadija mume hahahaha natamani uwe WiFi yngu ungeshangaa

  • @benbranco3688
    @benbranco3688 7 ปีที่แล้ว

    sijui mawifi waga wanataka wao ndo wafyatuliwe na kaka zao yan kero tuuu

  • @ashamohammedashamohammed7401
    @ashamohammedashamohammed7401 7 ปีที่แล้ว

    mawifi niksiiiiii, yaani kwa upande wangu sina hamu nao sasa hivi naomba dua nipate mwanaume yatima

    • @najmamohamed6060
      @najmamohamed6060 7 ปีที่แล้ว

      AshaMohammed AshaMohammed 😃😃😃😃

  • @zenamadhan2517
    @zenamadhan2517 7 ปีที่แล้ว

    swadakta bi leila

  • @shababygirlshambuwa8388
    @shababygirlshambuwa8388 7 ปีที่แล้ว

    kuishi na wifi kunataka kaxi kwani hao ndio waachanishaji wa ndoa

  • @hamidsoud2436
    @hamidsoud2436 6 ปีที่แล้ว

    nakupenda dada Laila

  • @nurahfedrickkiluko9412
    @nurahfedrickkiluko9412 7 ปีที่แล้ว

    kelele tu kwani wakioana tulikuwa tafuteni mada ingine

  • @asnatially2491
    @asnatially2491 7 ปีที่แล้ว

    aah alikuwa hajui kama harram yake,nihalali yawezake chefuuu,

  • @aminaselemani3799
    @aminaselemani3799 7 ปีที่แล้ว

    uyo khadija anaumwa mavi

  • @zenamadhan2517
    @zenamadhan2517 7 ปีที่แล้ว

    tumehimizwa tuamrishane mazuri tukatazane mabaya ,lkn c kwa kejeli .hadija we pia mwanamke tena wakissslamu mfate kkakako utubu pia.na leila Allah atamlekeza yy na wanawake wote dunian........acha wivu hahahaaa...ziwa na nusu muoneeee

  • @hassanaisha8228
    @hassanaisha8228 6 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @zulfaabdallah4352
    @zulfaabdallah4352 7 ปีที่แล้ว

    Leila ucmpe kk uyo, yote muachie mungu atambue nayy nimwanamke.

  • @catherinemsoffe8787
    @catherinemsoffe8787 7 ปีที่แล้ว

    WiFi kabaki kuchekacheka km mpumbavu. kwani wanachogombea hasa ni nini fyuu

    • @sophiajumah4808
      @sophiajumah4808 7 ปีที่แล้ว

      Leila nakupendaga sana, kwanza ww ni mwanamke kweli ulie fundwa ukafundika, usimjibu huyo kubwa jinga anae hangaika na ndoa yako.

  • @kulthumually6104
    @kulthumually6104 7 ปีที่แล้ว

    mawifi kwa shobo Leila akiachika khadija unapata faida gani

  • @kakasele1786
    @kakasele1786 7 ปีที่แล้ว

    hivi kufanya kaz ya mzigi nikuamuaswi mwenyezi mungu??? Haddija kubwa jinga tulia kumbuka mwanzo ulikuaga huelewan na kaka ako.... Kama unamtaka kk ako sema.... mpumbav sn.... Layla uctoe kiki Kama shilole

  • @marymaluki4878
    @marymaluki4878 5 ปีที่แล้ว

    Huyu leyla yuko poa sana hapendi maneno

  • @umiy1971
    @umiy1971 7 ปีที่แล้ว

    matusi hayafai kwa watu wazima kama nyie kwani si amuachie tu na ndoa yake mzee yusuf amefanya kwa wakati wake na yeye leila atafanya kwa wakati wake mungu atamuongoza katika njia iliyo sahihi.maisha ya ndoa baina ya mume na mke wifi chokochoko tu loh! Na mbona naona huyo wifi msemaji wa mke wa kakaake yeye mbona yuko hivyo mbona hamfwati kakaake kama anajua ameelekea penye kheri.

  • @happytimes9896
    @happytimes9896 7 ปีที่แล้ว +1

    mambo ya mke na mume niyawatu watu wawili wifi tulia

  • @mariamjuma4589
    @mariamjuma4589 7 ปีที่แล้ว

    nakupenda leyla

  • @aminarandani5833
    @aminarandani5833 7 ปีที่แล้ว

    kwa kawaida kiislam unapoamrishwa kufanya jambo jema lenye manufaa hufai kuangalia alokwambia yukoje kazi yko nikufuata usia alokupa mbona masheikh wengine huwaambia watu wasizini na wazini fata unaloambiwa usifuate asemayo ukizingatia kila mmoja atahukumiwa kivyake kwaiyo sioni kama yy kafanya vibaya kunwambia afuate mumewe zamu yke ikifika ataacha nae

  • @donathaayaga527
    @donathaayaga527 7 ปีที่แล้ว

    fyuuuuu!!! mawifi wengne Gubu... lilo na kutuuuu....

  • @winnekassian2258
    @winnekassian2258 7 ปีที่แล้ว +1

    wifi wengine mitian looh

  • @felistamimirlwoga580
    @felistamimirlwoga580 7 ปีที่แล้ว

    khadija amepewa matiti makubwa akanyimwa akili

  • @kipendatunu8699
    @kipendatunu8699 7 ปีที่แล้ว

    asanta Leila

  • @zuhurajumaally2235
    @zuhurajumaally2235 7 ปีที่แล้ว

    hadija data yako Fanya mlango wa kupunguza minynyo na mishavu yako sio kumkalia kooni mtoto wa mwanamke mwnzio unatafuta kiki kwa mgongo wa Leila wapi hu a jipya kukaa kimya ndy jibu lako na malkia analijua ilo ndy mama hakujibu Leyla bg up usimjibu huyo minyonyo akatafute tenda uko yakunyonyesha

  • @safinayetublogyetu7158
    @safinayetublogyetu7158 7 ปีที่แล้ว

    Kivip amuache mrembo wa hivi yusuphu au unamsikia

  • @asyadada9011
    @asyadada9011 7 ปีที่แล้ว +1

    Na huyo mtunzi wa khadija hana akili ugomvi wa familia unautungia nyimbo wakipatana utaweka wapi uso wako thabit Abdul uangalie na vya kutunga ndio maana bendi yako iko nyuma kila siku vipo vingi vya kutunga na mashabiki wakapenda mzee aliisimamisha jahazi kwa tungo ambazo hazikumkwaza mtu ww unataka utoke kwa maugomvi ya watu utabaki nyuma kama kisigino

  • @neemasteven4621
    @neemasteven4621 7 ปีที่แล้ว

    daaa! Leyla wew ni noma

    • @julianachipa7009
      @julianachipa7009 7 ปีที่แล้ว

      kwani wewe hadija umeolewa?maana mbona hujielewi?hata ww pia uache kuimba kwani haiswii,Miziwa kama miloba ya taka inasubiri site waje kuibeba,nyoooooooo

    • @abuujunaadamuhammadi3595
      @abuujunaadamuhammadi3595 7 ปีที่แล้ว +1

      murudie Allah we mrs Yussufu

    • @aishauwimana4338
      @aishauwimana4338 7 ปีที่แล้ว

      Neema Steven hadija jifunze kuishi na watu sasa hiyo talaka unamtakiya mwenzie apewe leo sunakuwa unaona ayibu kwa wif yako mjinga mkubwa ww ndowa simekushinda na manyonyo makubwa mno