Tunaotizama uku twasoma comments nawasalamia.. Leyla nakupendaga una baya dadangu.. Halafu ukichunguza wanaotizama hii movie ni wake wa pili, tatu na nne😂😂😂.
@@khadijaacute dadangu wala usitamani ndoa ya uke wenza wala aina raha yeyote. Mume wangu kanidanganya hana mke nilijua baada ya kujifungua tulikua ngambo tukaoana uko uko ndio sababu sikujua. Wanaume waongo sana.
Uke wenza raha kwa wanaoijua dini kwanza mke wa kwanza hua yuapata baraka👌🌹🌹na karne ya hii sasa waume ndo wapendavyo mm n mwanamke lkn ikiwa swala la ukewenza naona n jambo la kheri🤲😚
Good start Mzee Yusuph... Hope utaweza ku balance between hii na mziki...ila mziki kama umekukataa this time round. Endeleza hii pengine Allah ataridhia utapata manufaa ya hizo flusi. Afu malkia Anajua yupo vizuri sana sana Tena saaaaana. Kila akiendelea atazidi kuwa zaidi ya saaana. 🎉🎉🎉
Big up guys mashaallah mumeweza
Cheusi kaowa🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂
Hongera kazi nzur
Nani ako hapa juu ya leyla...love from kenya mimi ni fun wako tangu miaka hyo❤❤...
Mm hapa toka kenya
Naipenda iyi cinema ❤
Mashallah nice🎉🎉
I like such movies,mature pple,movie ya kukomaa l say,mafunzo motomoto❤🇰🇪
Hahahahaa lela bwanaa etiiii cheusi kaowaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mashallaah 👌 chukua mauwa yako🎉
Mambo n 🔥🔥🔥
Mashaalllah nzuri
Hhh nzuri sana
❤❤❤❤❤❤❤❤ haar young boy you want Mamma's dié Mense 💔👏👏
❤❤🎉🎉movie 🎬 tam maana ata ep1 sijamariza em chukuen❤❤❤❤❤ kwanza
Ahsante
Tunaotizama uku twasoma comments nawasalamia.. Leyla nakupendaga una baya dadangu.. Halafu ukichunguza wanaotizama hii movie ni wake wa pili, tatu na nne😂😂😂.
Naam
😮😮nice
Yeees
😂😂😂😂ww pia huna baya wasema una wa zoom tu😂😂😂 uke wenza hoyeeee
Mashaalaah
❤❤🎉🎉kazi nzr
Mashaallah ❤❤❤ nzur kweli
Mmzee kavuwe suti😅😅😅
Yaani nimependa hiyooo😅
Mashaallah tabarakallah
Mash Allah ❤❤❤❤
Hongereni wallah Leyla Rashid upo juu pamoja na Mama Rahma
Movie nzur
Mashallah
Masha Allah, kazi mzuri, leyla dadangu anapendeza popote na mume wake ❤nawaombea kheri kilasiku
Jmni nzri ❤❤❤❤
Kazi nzur
uyu mzee yusuf ashazoea kuimba kwakweli ana vituko sanaa
Mashallah mashallah nimependa jaman msichelewa kutuleteya nyingine
Jamaniii haya nijifunze kuhu huo uke wenza maana siku hizi wanaoa wanaumee ambao teyari washao ❤✌️✌️
😂😂😂Sema kweli wewe ni mke wa pili kama sivo karibuni waolewa na mume wa mtu. Sio dhambi 😊mie mke mdogo wa mume wangu
😂😂
@@Mrs.Mumewanguhivi kuwa wake wenza sinikupigan kila siku naa mke mwenzio😂😂
@@khadijaacute dadangu wala usitamani ndoa ya uke wenza wala aina raha yeyote. Mume wangu kanidanganya hana mke nilijua baada ya kujifungua tulikua ngambo tukaoana uko uko ndio sababu sikujua. Wanaume waongo sana.
@@Mrs.Mumewangu sana waong San lakin kwa vile ushaazaa nae Haina budi kienderea naye
Mashaallah❤
Mambo 🔥🔥 ukeweza❤❤🇴🇲🇴🇲
yanatisha kwakweli
Hapo mzee umetisha
Nimeipenda sana 🎉🎉😂😂😂
Hahaha umejuaje
Nakubali iko nvizuri sana ❤❤❤❤🎉🎉
Mashaa Allah 🎉
Da Leyla huna baya ❤❤
Supresss
Nacheki hii movie jili yako mzee yusuph na mkeo na kama mmeigiza ivi ujue kweli wataka kuoa
Cheusi kibonge kifupi ameowa😂😂😂😂😂😂😂😂
❤❤🎉
😂😂😂😂 wanawake bana hali Kweli
🎉🎉🎉
Ila cheusii😂😂😂
Hatar
💓💓💓💓💓
mashaAllah tabaraqallah mfalme na malika kazi nzuri
Yani huu ukeweza we Acharya tu
,😂😂😂😂😂😂nimecheka eti cheus kaowa mke WA pili
Mashallah lala nimependa dira zuri ❤ from🇬🇧
Nipitie na mm dear ❤
Mzee umeweza kavue
Cheusi dawa kaoa Makubwa😂😂😂
Masha Allah
Mashhaaaa Allah
Tupitiane swry
😂😂😂😂😂 cheu
Nilimiss sanaa movies zako mzee, unajua hadi unajua tena
Jiandaeni sahiz kazi tu kazi
Nipitie na mm dear
Hii inamafunzo sana
maashalla
Uke wenza raha kwa wanaoijua dini kwanza mke wa kwanza hua yuapata baraka👌🌹🌹na karne ya hii sasa waume ndo wapendavyo mm n mwanamke lkn ikiwa swala la ukewenza naona n jambo la kheri🤲😚
Good start Mzee Yusuph... Hope utaweza ku balance between hii na mziki...ila mziki kama umekukataa this time round. Endeleza hii pengine Allah ataridhia utapata manufaa ya hizo flusi. Afu malkia Anajua yupo vizuri sana sana Tena saaaaana. Kila akiendelea atazidi kuwa zaidi ya saaana. 🎉🎉🎉
Hii ni sahihi kabsa
Waah we huwezaa??😂😂😂
😂😂😂😂Iko pomba sana nimependa mnooo
❤❤❤❤❤🎉
❤❤❤
Cheusi kaoa mke wa pili😂😂
Mzee yussuf😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nipitie dear
❤❤❤❤❤😅😅
Next plzz
❤
Yani iko bomba
Shukran
Mambo moto
Mambo ni moto🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nipitie dear
MashaAllah ❤❤❤❤ imepangwa ikapangika na washiriki wameuvaa uhusika vilivyo nimependa sana sana hongereni saaana big up Leyla 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤ 🎉❤
Ni halali inayoumiza
Kwa sbbu hua na uharamu ndani yake
Niatarii
Nc
Heeee Hadi sakina lyoka😂😂😂😂
Nipitie nkupitie dear
Mungu awasimamie jamani nzuli
Kapandishwa cheo kaongeza mke, sasa kaongeza kimyakimya duuh
Inabamba kinoma yaani ❤❤
Assalam Allahykum❤
Hapo patamu cheusi leyla kujiamini kupo😂😂😂😂
Kazi nzur Mzee Yusuf ❤
Sijaon ma busu na nguo zauchi hum ila still movie ninzur tu wasanii jifunzen kupitia hili
wataka kuona nn hasa wengne wawatch pamoja na watoto wao😮
❤❤❤❤❤❤🎉😂😂😂😂😂😂😂😂
Afadhali ufanye movie cz Music husikiliki tena 😅😅
Muvi pambe sn
Reylah cheza na mumeo mke mwenza hana kosa cheza na cheusi tiii
Tititii
Mbn mzeee goja bi mdg nijionee Mambo
Mzee yuu apo anacheza kma mau mtoto wa Kim jinijin😂😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Hiyo ngazi upande huu mwengine mungeweka vyuma vya kushikilia au mbao hatari
Cheusi part 2
Raha ya ukewenza umrushie jiwe limkose limpate mume😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
UKE WENZA SITAKI HATA KUHADISIWA YAANI WAKE WANAO OLEWA MWANZO WANATUTESA SANA, WAKE WA PILI WANASAHAU MAAMRISHO.
JANEWANJIKUMUINI
😂😂😂😂leyla ati cheusi kaowa 😂😂😂😂😂😂hongera
Yan hapa mzee umeangukia pazuli
Kaka yusuph au mzee yusuph
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Toto tundu Hilo mzee yussuf anaekujuwa anajuwa kama ww comedy 😂😂😂