Watu kama hawa wasio na elimu wasingekua wanapewa Mike coz wanapoteza mda na kuna wengine wako ili waelewe na kujifunza na yeye ni porojo tu kweli masheikh wetu mnafanya kazi ngumu kuelewesha watu kama hawa.Allah awaongoze inshaalah
Hapa nyumbani, Hapo Kiamaiko ndio watu wamepotezwa kwenye njia ya Allah na pesa na wachungaji. Allah afanye nyoyo zao nyepesi ili warudi katika njia. Ameen! 38:4338:4338:4338:43
Ai, huyu ako na Fujo nyingi sana, kwa sababu hana Elimu hata kidogo. Towa Evidence, wewe Richard! Kwa sababu yesu SIO mwana wa ki PEKEE! TabarakAllah Team! Huyu Richard ana taka ku maga DAMU, kama KAFARA ya Pastor EZEKIAL na mwenzake , Makenzie, kule Kilifi!
Huyu Richard, juzi pia, ali piga khelele kule EASTLEIGH kwa Abass. Na hawa wa SDA, huwa hawaku sikilizi! Halafu, because hawana ELIMU yeyote, na kwa sababu wame LEGEA, huwa wata anza ku argue kama MaDAMES, kama Richard! Wame Legea kwa sababu wame kubali ku ONGOZWA na ku tongozwa na MAMA Mzee, Mzungu, Ellen G White!
"UKINIPATIA ANDIKO YESU NI MWANA PEKEE WA MUNGU UTANIBATIZA? WAISLAMU MUMEKALIWA NA MAJINI YAKAWAZIBA AKILI NA MACHO!! NB:CAPS “Kwa maana, Mungu aliupenda ulimwengu sana hivi kwamba akamtoa MWANA wake mzaliwa PEKEE, ili kila mtu anayemwamini asiangamizwe bali awe na uzima wa milele.” - Yohana 3:16
@@Catherine-mh8sw Inategemea unataka awe nani na wakati upi. Kwanza jifunze umjuwe Yesu Kristo kabla na baada ya kufanyika mwili. Baada ya kufanyika mwili alikuwa Mwana, Mtume, Mwalimu, ndugu, mchungaji nakadhalika. Je, unamjua Yesu kabla ya kufanyika mwili??? jisomee mwenyewe Yohana (John) 1:1 usije ukasema natia maneno yangu kama walimu wakiislamu 😂😂😂😂😂 Good luck!!
Sasa mbona yessu hajasema mwenyewe kuwa yeye ni mwana wa mungu anas3ma yohana Paulo Peter Marco yYessu mwenyewe alikuwa hajijui kuwa yeye ni mwana wa mungu basi Maria mama wa yessu yeye pia hajui kuwa yessu ni mwana wa mungu mbona hajas3mq kuwa mimi Maria nimezaa na Mungu wajue watu wengine Akina Sauli WAPI ANDIKO YESSU ANASEMA MIMI NI MWANA WA P3KEE WA MUNGU hatutaki porojo hapa
hehehehe ...... sawa mungu ni mkuu 😂😂😂😂😂@@godisgreat1845 Yesu MWENYEWE anakuuliza kwa andiko Yohana 10:36 itakuwaje mseme ninakufuru ninaposema ‘mimi ni Mwana wa Mungu,’ ambapo mimi Baba ameniteua niwe wake na akanituma ulimwenguni? WEWE SASA TOA ANDIKO MARIA ANASEMA YESU NI MWANANGU,,,NA USITOE POROJO ZA MAJINI ZA ISSA BIN MARYAM KUTOKA KORAN 🤣🤣🤣🤣🤣🤣...
kama Yesu alionekana akauliwa ina maana aliposema mutanitafta wala hamtaniona alidanganya watu...hapa ata mtoto mdogo anajua mtu mwongo huyo...wakristo punguzeni mchezo
Wacha kuwa mjinga... YESU KRISTO sio mwana pekee bali ndiye aliyeumba vyote... hata huyo Allah ni kazi ya mkono ya YESU KRISTO.... isitoshe Allah ni shetani na YESU KRISTO ndio muumba wa mbingu na nchi
Maashaallah maustadh wetu huyo upara mkaidi ajabu
Maasha Allah tuliwamiss mno vipenz vyetu.Furaha yetu imerudi tena baada ya kuwaona.ALLAH awaondoshee hasadi na awafungulie rizki za halali.
Amin sote
Sheikh Yusuf ka ingia (the champ) this guy got bumps already . Asha anza kutetemeka.
Maa shaa Allah masheikh wapeni dozi ya kutosha wakristo mpk kieleweke.
Ww wafikiri wakristo hawaijui kuwa dini ya uislaam ni kweli ni ubishi wa nyoyo zao tu za ubishi na kuoenda dhambi
Allah ni shetani
Shukran Sana ma Sheikh wetu kwakazi kubwa yenye mnafanya
Mashaa llah
Masha Allah ❤❤❤
Watu kama hawa wasio na elimu wasingekua wanapewa Mike coz wanapoteza mda na kuna wengine wako ili waelewe na kujifunza na yeye ni porojo tu kweli masheikh wetu mnafanya kazi ngumu kuelewesha watu kama hawa.Allah awaongoze inshaalah
Assallam aleikum mashekhe wetu Allah awalipe mema hapa duniani na kesho akhera wafundishe waelewe inshallah
Nawatazama nikiwa saudia arabia tuko pamoja❤
Amin sote
Tafadhali ongeza BASS kwa Mixer, na punguza Treble if needed.
Mashallah
Mashaallah ustad Yusuf
Jazakallah kher Amir wetu na wezako.
Amin sote
Allah awasahilishie mambo yenu yoote haswa ktk daawa na awajaalie IKHKAS
Amin sote
Hapa nyumbani, Hapo Kiamaiko ndio watu wamepotezwa kwenye njia ya Allah na pesa na wachungaji. Allah afanye nyoyo zao nyepesi ili warudi katika njia. Ameen! 38:43 38:43 38:43 38:43
mashaaallah mtarudi lini kyamaiko tuzidi kuelimika?
Mnataka kujibiwa na mdomo ama maandiko...waislamu mwapenda kupoteza kwa uongo
Waislamu mapishi hadi lini
Keep going bro
Waislamu wote motoni
LETA ushahidi
Assalam alleykum. Vipi Hali zenu maikh'wa?
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu, salama Alhamudulillah, hofu kwako brother
Yohana 1:18
Yohana 3:18
Hamna haja ya kupoteza muda kwa watu wabishi kama Akina Richard.
Part two
Ai, huyu ako na Fujo nyingi sana, kwa sababu hana Elimu hata kidogo.
Towa Evidence, wewe Richard!
Kwa sababu yesu SIO mwana wa ki PEKEE!
TabarakAllah Team!
Huyu Richard ana taka ku maga DAMU, kama KAFARA ya Pastor EZEKIAL na mwenzake , Makenzie, kule Kilifi!
Ukweli upo wazi BWANA YESU NDIO KILA KITU
Mathayo 15 :24
Sauti yapanda ikishuka
Wewe umeoneshwa andiko ,kuwa damu ya Yesu usafisha dhambi,unaleta ubishi tu...
He is so agitated and angry because the truth is hurting him. He doesn’t want people to know the truth.
Wakristo wanapenda short cut na haiwezekan,yani mtu afe abebe dhambi zako ,hizo pia niakili
Huyu Richard, juzi pia, ali piga khelele kule EASTLEIGH kwa Abass.
Na hawa wa SDA, huwa hawaku sikilizi!
Halafu, because hawana ELIMU yeyote, na kwa sababu wame LEGEA, huwa wata anza ku argue kama MaDAMES, kama Richard!
Wame Legea kwa sababu wame kubali ku ONGOZWA na ku tongozwa na MAMA Mzee, Mzungu, Ellen G White!
"UKINIPATIA ANDIKO YESU NI MWANA PEKEE WA MUNGU UTANIBATIZA?
WAISLAMU MUMEKALIWA NA MAJINI YAKAWAZIBA AKILI NA MACHO!!
NB:CAPS
“Kwa maana, Mungu aliupenda ulimwengu sana hivi kwamba akamtoa MWANA wake mzaliwa PEKEE, ili kila mtu anayemwamini asiangamizwe bali awe na uzima wa milele.” - Yohana 3:16
@@Catherine-mh8sw
Inategemea unataka awe nani na wakati upi.
Kwanza jifunze umjuwe Yesu Kristo kabla na baada ya kufanyika mwili.
Baada ya kufanyika mwili alikuwa Mwana, Mtume, Mwalimu, ndugu, mchungaji nakadhalika.
Je, unamjua Yesu kabla ya kufanyika mwili??? jisomee mwenyewe Yohana (John) 1:1 usije ukasema natia maneno yangu kama walimu wakiislamu 😂😂😂😂😂
Good luck!!
Umeshemucha
Sasa mbona yessu hajasema mwenyewe kuwa yeye ni mwana wa mungu anas3ma yohana Paulo Peter Marco yYessu mwenyewe alikuwa hajijui kuwa yeye ni mwana wa mungu basi Maria mama wa yessu yeye pia hajui kuwa yessu ni mwana wa mungu mbona hajas3mq kuwa mimi Maria nimezaa na Mungu wajue watu wengine Akina Sauli WAPI ANDIKO YESSU ANASEMA MIMI NI MWANA WA P3KEE WA MUNGU hatutaki porojo hapa
hehehehe ...... sawa mungu ni mkuu 😂😂😂😂😂@@godisgreat1845
Yesu MWENYEWE anakuuliza kwa andiko Yohana 10:36
itakuwaje mseme ninakufuru ninaposema ‘mimi ni Mwana wa Mungu,’ ambapo mimi Baba ameniteua niwe wake na akanituma ulimwenguni?
WEWE SASA TOA ANDIKO MARIA ANASEMA YESU NI MWANANGU,,,NA USITOE POROJO ZA MAJINI ZA ISSA BIN MARYAM KUTOKA KORAN 🤣🤣🤣🤣🤣🤣...
kama Yesu alionekana akauliwa ina maana aliposema mutanitafta wala hamtaniona alidanganya watu...hapa ata mtoto mdogo anajua mtu mwongo huyo...wakristo punguzeni mchezo
Soma ktk Matayo 3:17-
Wacha kuwa mjinga... YESU KRISTO sio mwana pekee bali ndiye aliyeumba vyote... hata huyo Allah ni kazi ya mkono ya YESU KRISTO.... isitoshe Allah ni shetani na YESU KRISTO ndio muumba wa mbingu na nchi
Duh, nenda kwa MacKenzie kama unavyo sema ni kweli.
Asalam alykum www bibiliya inawacanganya inaongeya mambo tafauti njosababu wakristo wanazidi kupoteya uyu nimusiba mukubwa
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
DAMU ki kitu Ki CHAFU sana!
SaanaHataUkiionaUnashtuka.SubhanaAllah
Nyinyi wote hamujielewi swari lilikua ladamu mnaluka mnaenda kuingine pole sana
Mwapenda short cut na haiwezekan
WAMEPUMBAZWA NA MAJINI HAWAONI WALA KUSIKIA!!
hyu richard c ni mbishi
Mashalla Allah ❤❤❤