Wakazi wa Mombasa waeleza furaha na kujumuika kusherehekea uteuzi wa Hassan Joho kama waziri

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 77

  • @sylviawambui748
    @sylviawambui748 4 หลายเดือนก่อน +17

    Hawa wanafurahiya nini na joho atakuwa anafata chenye Ruto anamwambia😂😂

  • @josephkariuki6171
    @josephkariuki6171 4 หลายเดือนก่อน +10

    SASA JOHO NI KIJANA NGOMBE WEWE😂😂😂

  • @Mzalendo-n8q
    @Mzalendo-n8q 4 หลายเดือนก่อน +16

    Hawa n waswahilo wenzake..lak. Mm nikiwa mzaliwa wa Mombasa nasema no Kwa joho..kesho tuko barabarani

    • @abdulali753
      @abdulali753 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ruto Tano Tena 😊

    • @Mzalendo-n8q
      @Mzalendo-n8q 4 หลายเดือนก่อน +5

      @@abdulali753wajua Kila soko halikosi mwendawazimu.....so ww na ruto nyote wendawazimu

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 4 หลายเดือนก่อน +1

      Baada ya povu umeridhika? Was Waswahili Mombasa ndio kwao,wewe ni mzaliwa tu kwa hiyo tafuta chimbuko lako ulikotoka uende

    • @Mzalendo-n8q
      @Mzalendo-n8q 4 หลายเดือนก่อน

      @@fatumamwalimu5765 mm sio mswahili...nmezaliwa Mombasa..mm n mijikenda..Mombasa n Kwa mijikenda...Sasa ukiniambia niende kwetu naenda wapi!!??.
      Niliposema joho big no..huyu jamaa amekuwa Kwa serikali miaka yote..tunachokata sisi kama Gen Z...ni tusikie mtoto wa masikini aliyesomea kazi Fulani amepewa hio kazi,Kila cabinet apewe kazi kulingana na cv yake ya university...sio mtu hajasomea hio kazi bado anapewa..huu ni ujinga....

    • @saidSaid-gb2pd
      @saidSaid-gb2pd 4 หลายเดือนก่อน

      Go back to history vizuri.Joho sio mswahili..Mamake ndio mswahili

  • @njoroge2061
    @njoroge2061 4 หลายเดือนก่อน +2

    The reason Kenya/Africa is always behind is we celebrate our incompetent leaders and look down on competent one. Joho is not clean yet he is being supported.

  • @billi.k2629
    @billi.k2629 4 หลายเดือนก่อน +7

    The gap between rich and poor continues to enlarge....
    Who will fight for poor and needy in our society?
    The rich cares for their stomach...

    • @ibrahimwario3177
      @ibrahimwario3177 4 หลายเดือนก่อน

      Kbsa nakuunga mkono maskini yatazidi kwa maskini hakuna anayetetea wanyonge ila wakenya wajitokeze kwa jumla kujitetea maanake 80% ya wakenya ni maskini lkni wanasiasa na watajiri wachache wanaungana kuwanyanyasa walala hoi ili waendelee kutawala nchi.

  • @saleemnyowe
    @saleemnyowe 4 หลายเดือนก่อน +16

    What are people celebrating and Ruto hasn't gone home???? Waswahili hupenda kupakwa ujinga. Joho becoming a minister will stop corruption in Kenya?

    • @GufgChgy
      @GufgChgy 4 หลายเดือนก่อน +4

      I wonder, Sasa ndo nimeamini tubwapumbavu. Jojo kuteuliwa itakuleta chakula mezan jameni wakenya Bado tumelala

    • @benjaminnzioki8815
      @benjaminnzioki8815 4 หลายเดือนก่อน +1

      Cabinet list feels like a bad dream come true! Where is the accountability and service delivery that young Kenyans died for? Uhuru, Madaraka, and Jamhuri was for a small, privileged group. It's been a flawed revolution for independence, equity, justice, and accountability. The youth have been used and dumped! Kumbe Raila's maandamano was all about him.

    • @abdallahsaid4997
      @abdallahsaid4997 4 หลายเดือนก่อน +3

      Hatuwezi kujenga Kenya kama bado kuna watu bado wana comments hizi za kikabila.
      Hao waliokusanyika hapo wametoa maoni yao haimanishi kila mswahili anaafikiana na maoni yao.
      Wengine hapo ni wazi hawajui wanazungumzia nini wanangojea senti za joho wakale sima and that can happen in any region of Kenya.
      Am sure some people in Rift Valley are happy murkomen is back does it make all the people from the tribe he belongs senseless ignorant people.

    • @saleemnyowe
      @saleemnyowe 4 หลายเดือนก่อน

      @@abdallahsaid4997 Hata Mimi ni Mswahili .....but right now it's not time to spin in Denial....If we are foolish ...we are foolish.... We can not fix the shit we are without first acknowledging the shit we are. Coz the truth is that the change people are protesting about is not having the same old solutions to fix the new problems.

  • @mwatelaedward1638
    @mwatelaedward1638 4 หลายเดือนก่อน +10

    Wanasherekea nini sasa .it doesn't make sense

    • @davismate6999
      @davismate6999 4 หลายเดือนก่อน +6

      juu ni mtu wao...ingawa watarudi makwao hohe hahe, wengine am sure ata hawajawahi kutana naye..

    • @MarcyH-b5j
      @MarcyH-b5j 4 หลายเดือนก่อน

      Joho ❤❤

    • @erickjuma7643
      @erickjuma7643 4 หลายเดือนก่อน

      Not everyone thinks like you.

  • @Jack_Leadismo
    @Jack_Leadismo 4 หลายเดือนก่อน +12

    Joho looted Mombasa to it's knees,Oparanya had a Court case over Graft...Ruto is a joke😂

    • @nacymostfavoured6334
      @nacymostfavoured6334 4 หลายเดือนก่อน +1

      True, former governors it's a big no😮.... corruption loading

  • @ramlajeffah9831
    @ramlajeffah9831 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu amzidishie ili azidi kutusaidia watu wa mombasa insha Allah Ammin wakenya tuonekane insha Allah na mungu azidi kumuongoza na kumlina na kila mabaya

  • @eunicejefwa1935
    @eunicejefwa1935 4 หลายเดือนก่อน +8

    Nataka cost lkn napinga kabisa

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 4 หลายเดือนก่อน +8

    Serikali bado inajazwa mafisi na mafisadi kila siku, yani watu ni hao hao hawabadilishwi!!! Mmmmmh acha ninyamaze ni pambane na hali yangu

  • @SaidMohamedOmar
    @SaidMohamedOmar 4 หลายเดือนก่อน +5

    mnasherekea upuzi

  • @happytimes9747
    @happytimes9747 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ruto ananinuaa wapinzani kwa kuwapa kazi ndio next election apate supporters. Aky jameni joho woooiiii aky wooiiii 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 aky hiyo chance joho ataitumia vibaya jameni watu wa Mombasa ooh my God nyinyi hamuoni mbele yani mumeamua tu mbele hamtaangaliaa?? Gaiiii.

  • @catherinekhasoawafula2963
    @catherinekhasoawafula2963 4 หลายเดือนก่อน +1

    Joho am happy congratulations

  • @leahwambui5608
    @leahwambui5608 4 หลายเดือนก่อน +1

    I'm happy congratulations joho 😊

  • @mollynyawira2664
    @mollynyawira2664 4 หลายเดือนก่อน +3

    Changes???For mining 🤡

  • @yasmindes1626
    @yasmindes1626 4 หลายเดือนก่อน +1

    Parliament should send all the names back to the president .

    • @erickjuma7643
      @erickjuma7643 4 หลายเดือนก่อน

      In your dreams brother

  • @Pundit3957
    @Pundit3957 4 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢nkt

  • @abdulali753
    @abdulali753 4 หลายเดือนก่อน +1

    JOHO Alfha 😂😂😂❤❤❤❤

  • @benjaminnzioki8815
    @benjaminnzioki8815 4 หลายเดือนก่อน +3

    The full cabinet list is now public, and it feels like a bad dream come true! Where is the accountability and service delivery that young Kenyans died for?
    It has been confirmed that Uhuru, Madaraka, and Jamhuri was for a small and privileged group. It has always been a flawed revolutionary for independence, equity, justice, and accountability. We have repeatedly been used and dumped!
    The political class take their children to international schools, fly out for benign treatment, dine and vacation in the best places while the majority remain trapped in abject poverty. It us who attend the public rallies that exalt politicians.

    • @titus1846
      @titus1846 4 หลายเดือนก่อน

      Juu Kalonzo alikataa 😂😂

  • @shhjab3621
    @shhjab3621 4 หลายเดือนก่อน

    😮furahiya zaidi lkn nyinyi ndio mutamlipa huyo joho.mkate itafika 100 ndio joho apate mshahara wake

  • @danielotieno8165
    @danielotieno8165 4 หลายเดือนก่อน

    Maandamano imeisha Mombasa.

  • @catherinekhasoawafula2963
    @catherinekhasoawafula2963 4 หลายเดือนก่อน

    At least your VC has added another job.

  • @abdulrahmanbagaran
    @abdulrahmanbagaran 4 หลายเดือนก่อน +1

    Joho utufanyie kazi sasa hatutaki kuskia ukituimbia katarina.😂 Namtakia kila la heri. I wish him all the best!❤🇰🇪✌️ lets hope for the best

  • @isaiahnjoroge3249
    @isaiahnjoroge3249 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wajinga ni wengi hii kenya if you guys have not been paid we can see thru you

  • @obungafelistas960
    @obungafelistas960 4 หลายเดือนก่อน

    Good job.

  • @NajmaMaawiya
    @NajmaMaawiya 4 หลายเดือนก่อน

    Sisemi kitu wacha nijipambanie hali yangu.....

  • @esthermbugua2742
    @esthermbugua2742 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa waziri wote ni wazee ,😢😢😢😢

  • @PeterNgige-tw4ey
    @PeterNgige-tw4ey 4 หลายเดือนก่อน

    Ruto 5 Flesh

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu amuongoze na asimamenkwa haki ya wakenya

  • @twinsstudiotv3681
    @twinsstudiotv3681 4 หลายเดือนก่อน +1

    wenye wivu wanjinyonge

  • @rebeccabrown5135
    @rebeccabrown5135 4 หลายเดือนก่อน

    Corrupt government tu Mungu yupo mtalipia badae

    • @vumbisnap
      @vumbisnap 4 หลายเดือนก่อน

      Hio ni uwongo wakoloni waliwadanganya nayo mathee. Bila judiciary corrupt malipo inaweza kuwa as soon as today

  • @ibrahimwario3177
    @ibrahimwario3177 4 หลายเดือนก่อน

    Uteuzi wa joho inasaidia nn wakaazi wa Mombasa ata wabunge wakipitisha na apate hio fursa kwani atakua waziri wa Kenya ama wa Mombasa km hakuleta maendeleo akiwa gavana miaka kumi na mgao wa kaunti wa 001 inapitia mkononi mwake sai watafaidika kivipi,wakenya wafunguke macho mwanasiasa wakipata hio ni chake,familia yke na marafiki wke si wa kwenu wananchi wa kawaida.

  • @vumbisnap
    @vumbisnap 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tusidanganye... Sisi wote tunajua vile wasee wa pwani wanakuanga wajinga 😂😂😂 so let's not be surprised

  • @billOudia
    @billOudia 4 หลายเดือนก่อน

    kenya ina wenyewe

  • @dianashimwenyi-to1yv
    @dianashimwenyi-to1yv 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kenya ujinga haiwezi isha wanacelebrate na atakua anafanya chenye ruto anasema

  • @JumaSaid-g5u
    @JumaSaid-g5u 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wasio jielewa

  • @Derick-ic1ou
    @Derick-ic1ou 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu.muasenal nbure hajua anacho sema..mbuzi

  • @jeffkamau923
    @jeffkamau923 4 หลายเดือนก่อน +4

    Very stupid🤣🤣

  • @fatumajuma592
    @fatumajuma592 4 หลายเดือนก่อน

    Mm sija furahi joho kuqekwa kwenye kiti hicho yani kifupi hatutaki kwani Hakuna watu Mombasa mpaka Hawa huwo si ni urongo lakini tuta jua mbivu na mbichi

  • @abdulazizkilai7285
    @abdulazizkilai7285 4 หลายเดือนก่อน

    Joho tena yaani😂😂😂😂kweli wakenya ni mabwege wanarudisha wale wale instead ya kuteua vijana wapya...haya lieni tena after 1 month

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 4 หลายเดือนก่อน

    Ruto yuacheza na skili za wakenya amefanya hivi ili.kupogania kiti 2027 na mtamrudixha mana mshasahau tayar binadam sixi ni kama atujui.mabayq

  • @Dadu-i6v
    @Dadu-i6v 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wamelipwa

  • @NoraaEldaa
    @NoraaEldaa 4 หลายเดือนก่อน

    Hivyo ndio mulitaka. Sasa mwa comment vibaya aje ??

  • @joycemajala4355
    @joycemajala4355 4 หลายเดือนก่อน

    Ruto 5 tena

  • @rashiduchongole1333
    @rashiduchongole1333 4 หลายเดือนก่อน

    Hao ni wajinga huyo joho alifanya nn miaka kumi alipo kuwa gavana

  • @dianashimwenyi-to1yv
    @dianashimwenyi-to1yv 4 หลายเดือนก่อน

    Within 90days mtakua mnalia na kuandamana uko

  • @abdulaisha4145
    @abdulaisha4145 4 หลายเดือนก่อน

    Mayonda ni wale wale msiti ndio mwengine.. nahivi ndivyo tunavyo danganywa wapwani tuendelee kudanganywa tuu

  • @elizabethndegwa36
    @elizabethndegwa36 4 หลายเดือนก่อน +5

    I don't think this guy is credible, he didn't even finish school, but Genz will be there to monitor his performance.

  • @moonjam.7714
    @moonjam.7714 4 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅After our kids blood flowing on the streets people have strength to celebrate one billionaire added more money.....

  • @EricAbega-n1e
    @EricAbega-n1e 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani wanahabari sio wakenya?

  • @abdulali753
    @abdulali753 4 หลายเดือนก่อน

    Ruto Tano Tena

  • @lavendaadhiambo
    @lavendaadhiambo 4 หลายเดือนก่อน

    wacheni ushamba

  • @enockonyango4550
    @enockonyango4550 4 หลายเดือนก่อน

    Ujinga,joho hakufanya chochote miaka kumi kama gavava ila kua tajiri zaidi

  • @moonjam.7714
    @moonjam.7714 4 หลายเดือนก่อน

    Wanjinga kweli ni wengi Kenya...

  • @bahatisuleimangowa1980
    @bahatisuleimangowa1980 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tujengee masoko matakatifu ya samaki cold rooms na kuudumisha mandari zile zoote za uvuvi

  • @Mohafesa00
    @Mohafesa00 4 หลายเดือนก่อน

    I am happy congratulations joho,😊