ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Jua kali ina mafunzo mazuri sana Inaigusa jamii yetu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 na maisha tunayoishi
Kabisa
Sure mwanetu 🥹
Ila semeni ndo nini kukimbiaa😂😂
yan mm mpige vinanda,mposti kwa fujo,msieke sauti kabisa,jua kali ya ss lazma niiangalie tuuuuu😂😂😂😂😂😂😂
Miziki kama miso misondo😂😂 ila tunashukuru hivyo hivyo
Ila Regina mzuri sana 😊
Ndy tujifunze kwa juma na Eva usimwamini mtu kwa macho,,,haya sasa sahivi analia tena
Kati ya vitu naogopa 😂😂😂😂 aki after 3 month tunapima
Asante dj leo mapema umetuletea mambo🎉🎉
maskini jumaaa kavurugwa jamani safari hii
😂😂😂😂Enzo anampenda regna😅😅😅
Eva na my wake nishawachoka😂😂😂
Juma hana ngoma huwezi kukaaa muda wotee huoo bila dalili
Regina kiboko yaoo
Dj jinga kabisa na miziki yako
Mm nawpenda semeni na sofia wako vizuli wana fundisha sana jamili
Dj mpuuzi kweli 😢😢😢😢
Jamn. Ivo vinanda sasa. Viwekwa kwa nini. Vina booo
Jumaa siuwendia ukapemia penginia uko sawa unajitea presha Bure bro
Jua kali saivi mbayaaaa
Enzo atakuwa anampenda Regina😂😂😂😅😅😅
Mahiii deahaaa
Mahi wangu Juma 😂 jamani ameingia chakike
Nice san🎉
Lamata anajua na jua linazidi kuwaka😂
Mwambie na Peter bado ndokwanzaaaa jua linaanza
Glory angejua Zai anamchora tuu hapo. Halafu aka seti mabomu yake
Mackin juma unao unao bba
Yani umeweka jua kali minyimbo mingi si bora ungeacha tu kuweka
Enzo 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 eti kuuliza kama amekula😅😅😅😅😅😅
Juma vichekesho vimemuishiya🤣🤣🤣
DJ sio kwa vinanda hiv
Kama umeamua kurusha achana na hiyo misauti mnaeka huko..😢😢
Jua kali bila kuona Bill,naira na maria hainibambi
Sauti inapishana na jinsi wanavyoongea😢
enzo ana mattzo ya akili sio bure ata km’s uogaaaa tooo much 😆😆
Makelele mengi sasa itabidi tuangalie kwenye tv huku mnazingua kama tunaangalia tupo kirabuni.
Tunaomba ya leo
Office inawaka moto walijisahau nakula pesa hovyo kuhonga😂😂 pamoto
Semeni kama samwamwa.kiricho kufanya. Ukimbiye ni kitu qani. Pita hakutaki. Pita kafa kaoza Kwa sofiya
Dj acha kelele basi
Wewe dj siku ya pili ukipost vinanda marufuku
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Kwel kabisa mana naona makelele tu vinanda vina sauti kuliko washiliki😢
Vinanda vipo kwa ajili ya ishu ya copyright.... Japo apunguze sauti
ayo mavinandaaa ndio unyamaaaa😆😆😆
Uwe unatoa hayo manyimbooo jmnn
Hayo ma vinanda yenu msiyaweke tena makelele mtu utaskiliza mavinanda au jua please
🎉🎉🎉🎉🎉
Afu we juma usimfokee mahi wako ivo nenda kapime kwanza...amefanya kosa kukwambia
thomas ajawaaaah nashndwa kituu 😂😂
Nani ana no yake hapa kuna ten linazagazaga wajamen naomben no ya piter maana c kwakung'ang'aniwa huko na semeni
Sema Enzo ni kiranja wawaoga Dunian😂
Juma kamserereko kabaya😂😂😂vya bure vinauwa😢
Eva amejua kutuliza kiherehere Cha juma😂
Peter utajuta kumjua semeni😂
😂😂😂semeni
utaoa Radha ya mv na hvyo vinanda achaujinga
Jua lina wawakia family profe 🤣🤣🤣
🎉🎉🎉
Dj huu mziki background unazinguwa mnoo😢
Next
Vinanda vingi hatusikii maneno
mambo mengine yana boa ndio maana hua hamuambiwi ukweli mfyuuu😢😢😢
Nimeona nijicheze zangu mziki tu mana ndio ninao skia 😅😅😅
Huyu henzo hajiamin mpk anatia hasira
Ila semeni haha😂😂😂😂
Enzo kama anaboa vle
Isee watu wa kijijini wamewasahau
😏 midundo isiyo maana, nkangaliege kwengine
Juma yuko serious 😅😅😅
❤❤❤❤❤
❤❤
Makelele matupu😏
Juma tanesco washasuka waya😅😅😅
Pressure creases 😂😂
❤
Ofisini kwa moto🤣😂😂
Uyu juma nae kwani ukimwi ni nn si kama kunywa maji tu
Eti visimbilisii😅😅😅😅😅
Yaani nimecheka kweliii
jua kali KIPORO😅😅😅😅😅😅😅
Manyimbo yako yanakera sana
Hahahhqhq daah semen hapana
Izo mbio sasa 😂
Anti zai huwa unavaaga nn huku kichwan😅
Anasuka
Hahahahah zigo hasaaaa😂
Safi
Semen😂😂😂😂😂😂toby utakoma
Enzo😂😂😂😂
Yani nivurugu kwenda mbele 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kamziki kanaboa bhn
Mi natazama picha tuu
usipost mavinanda yako bana
Commentyako inaonekana hujaandika kiswahili 😅
Yani hamna sauti jua Kali mda mwingne ya kijinga
Juma kimekulamba umebaki na mawazo kapime😂😂😂😂
Jua kali ina mafunzo mazuri sana
Inaigusa jamii yetu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 na maisha tunayoishi