ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

JOE MAFELA mtaalamu alieimba OKONGO MAME wimbo unaotikisa kwenye MAHARUSI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ค. 2023

ความคิดเห็น • 21

  • @georgemark6874
    @georgemark6874 ปีที่แล้ว +15

    Asantee sana kwa kujibu ombi langu nimesubr takriban miez mitatu

    • @vipackyummy6916
      @vipackyummy6916 ปีที่แล้ว

      Ni ombi langu sio lako

    • @georgemark6874
      @georgemark6874 ปีที่แล้ว

      @@vipackyummy6916 hiyo mm nimeiomba tangu February bro, lakini kama na wewe uliomba sio mbaya

    • @harakationlinetv8224
      @harakationlinetv8224 6 หลายเดือนก่อน

      Hongera umeomba kwaniaba ya yangu pia, big up sana

  • @AmplifierPCBCircuits-rr7iw
    @AmplifierPCBCircuits-rr7iw 2 หลายเดือนก่อน

    Asante ningependa kujua Mr bones alifikia wapi tunataka kujua kwa sasa anafanya nini

  • @issandmukelo9964
    @issandmukelo9964 ปีที่แล้ว +3

    Pleas unamjuwa Ladysmith black mambaso pleas tusaidiye na story yake pleas

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio 9 หลายเดือนก่อน

      Nawapenda mnooo! Baba Yao (mwanzilishi) Joseph Shabalala amefariki lakini kundi linaendelea chini ya watoto wake.

  • @mbunah255
    @mbunah255 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ndo story tunanpenda❤

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 ปีที่แล้ว

    Naomba historia yamwanamuziki krest king emenea

  • @isackpatrick3743
    @isackpatrick3743 ปีที่แล้ว +2

    Naomba history ya King Crazy GK please na yupo wapi kwa wakati huu😢

  • @henrylugendo280
    @henrylugendo280 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana jastin

  • @emmanuelaben-df6yr
    @emmanuelaben-df6yr ปีที่แล้ว +2

    Ungeweka Melody ya winbo husika ili iwe rahisi kujua Ni Nani anazungumziwa maana wengi awafahamu jina la wimbo Bali wimbo wenyewe ndio unaofahamika

    • @jenipherjackson3826
      @jenipherjackson3826 ปีที่แล้ว

      Umenena mtu wangu mwnyew nimpt tabu sana mpk nilipoangalia mdomo wa huyo mzee anavyoimba nikaanza kufatisha ndo nikajua awe anaweka hat beat t kidog☹️

  • @martinfrancis9808
    @martinfrancis9808 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana Justin shed

  • @user-mf1vl5iw6k
    @user-mf1vl5iw6k ปีที่แล้ว

    Naomba historian ya jimbo la los angeles (nemo los angeles)

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 ปีที่แล้ว +1

    Nice👍

  • @sujimakaveli8621
    @sujimakaveli8621 ปีที่แล้ว

    Karis huyu hapa, naomba kuklax klan

  • @yacchi2555
    @yacchi2555 ปีที่แล้ว

    ukituletea makala ya brenda fassie pia itakua poa sanaa mkuu

  • @henryj3304
    @henryj3304 ปีที่แล้ว +1

    👍👍👍

  • @mudimoz9329
    @mudimoz9329 ปีที่แล้ว +1

    🎉 🎊🎊

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    👊✌️🙏.