USO KWA USO NYOSHI NA PANCHO WASEMA YAMEISHA HAWANA TOFAUTI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @AmriSabiti
    @AmriSabiti 3 หลายเดือนก่อน

    Boluka kimia bino Nyoso bana mboka Ya Congo 🇨🇩❤️

  • @amnaalmarzooqi2097
    @amnaalmarzooqi2097 5 ปีที่แล้ว +11

    Mhhhh.pancho inaonekana anakinyongo na Nyoshi maana sio kwa majibu hayo

  • @saidshaban895
    @saidshaban895 3 ปีที่แล้ว +1

    lazima yaishe hela zimekwisha wangekuwa nazo wangeendelea kuvimbiana 😂😂😂

  • @nzeyyunus5990
    @nzeyyunus5990 5 ปีที่แล้ว +10

    Pancho mbona kama una kiskorokwinyo.

  • @shafee9128
    @shafee9128 5 ปีที่แล้ว +9

    Nyoshi huna tatzo mzee

  • @salmaothuman9762
    @salmaothuman9762 5 ปีที่แล้ว +2

    Nyoshi acha kumkorogo bhana pancho usiwe na kinyongo bhana mbona unajibu tofauti 😂😂😂😂

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 5 ปีที่แล้ว +3

    *Kiupande wangu namuona Pacho ana kitu kama kinyongo ila Nyosh yuko safi*

  • @kilimanjaro77international26
    @kilimanjaro77international26 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi kasutwa umbea wotee kwiyoo. Yaani wamemnyoosha hiyo mwandishi ya habari jingaaa kabisaa

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 3 ปีที่แล้ว +1

    Rais wa milele nyoshi

  • @honekisebwa226
    @honekisebwa226 5 ปีที่แล้ว +1

    Nzur xan majib konkiiiii

  • @hamzamussa2930
    @hamzamussa2930 5 ปีที่แล้ว +3

    Mi wa kwanza Pancho Jennifer anakuja na manati 🤣🤣🤣🤣

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 5 ปีที่แล้ว +2

    media nyie ndio wachonganishiiiii......nawe kaenda utoe ushauri itv...GOOD ANS...unachekacheka tu....

  • @UjusMukandama
    @UjusMukandama ปีที่แล้ว

    Nakubali batoto ya 🇨🇩🇨🇩

  • @fatmashomary4693
    @fatmashomary4693 5 ปีที่แล้ว +1

    Safy xana,mabifubifu co mazuriii

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว +1

    Safiiii sanaaaa.

  • @simonmacho2993
    @simonmacho2993 ปีที่แล้ว

    Patcho mwamba Acha castle lite rudisheni band

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 5 ปีที่แล้ว +2

    uso wa nyoshi tomate kipozeo

  • @iamfadhili
    @iamfadhili 3 ปีที่แล้ว

    Much better if they're good grudges don't build but destroys

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji unabifu na pancho

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 7 หลายเดือนก่อน

    Patcho Mwamba

  • @djb2kzer0
    @djb2kzer0 5 ปีที่แล้ว +1

    Bifu uaga zipo Kwa waTz kwa waCongo akuna bifu kimziki msi force bifu kati yao

  • @AliJabir-xi4em
    @AliJabir-xi4em 5 ปีที่แล้ว +1

    IPO siku watafanya makolabo ya ukweli tena kama ilivyokuwa. Dunia kigeugeu na Anna

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 4 ปีที่แล้ว

    Tikala malamu Bana Ba Congo.

  • @salomeogutu8490
    @salomeogutu8490 5 ปีที่แล้ว

    Salimia Papa nyosh familia ya nyumbani

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 5 ปีที่แล้ว

    nawakubali saaan hawa jamaa wako vizur saana

  • @msafirimabhubha1487
    @msafirimabhubha1487 3 ปีที่แล้ว

    Pancho sijamuelewa hapo!

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 5 ปีที่แล้ว

    Anaitwa Patcho Mwamba sio Pancho

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 3 ปีที่แล้ว

    Patcho kishaingiwa uswahili

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhh

  • @cecymaro1374
    @cecymaro1374 5 ปีที่แล้ว

    😅mependa interver yenu...ayo mchokozii...

    • @mgasathedon1579
      @mgasathedon1579 5 ปีที่แล้ว

      Acha mkorogo lakn poa labda unakunywa maji mengi

  • @teamfocusfunny966
    @teamfocusfunny966 5 ปีที่แล้ว

    Video ya samaki alie tumiwa na rais Kim hii hapa th-cam.com/video/F3cx3q7D7_M/w-d-xo.html