🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  6 หลายเดือนก่อน +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @Majhidymhessa
    @Majhidymhessa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Namkibari Sana huyu mwamba:
    Kweli PATCHO ni mtu Wa watu na ni kweli anakubarika na wote Fani zote......
    Bongo Movie
    Music na kadharika

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 6 หลายเดือนก่อน

    PACHO MWAMBA TUNAKUPENDA SANA❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 6 หลายเดือนก่อน

    Naikumbuka album ya dunia kigeugeu kuna nyimbo, balaa, kizimungala, tamaa dah hizi nyimbo nazipenda sana

  • @Majhidymhessa
    @Majhidymhessa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli ukishindwa kuishi bongo huwezi popote pale duniani jamaa kasema ukweli

  • @judithhermann233
    @judithhermann233 6 หลายเดือนก่อน

    Katika wa congo 🇨🇩 wote hapa Dar , Patcho Mwamba ni mtu anayekubalika sana na ni maarufu sana, na pia Patcho ni mstaarabu sanaaa sanaaa. Ila nyoshi ana roho mbaya na ana roho ya ubinafsi ndio maana mkorogo umedunda kwenye uso wake. Na kweli Nyoshi ni mnafki sanaaa. Hana lolote huyo nyoshi.

  • @PrudenceMurhulafuraha
    @PrudenceMurhulafuraha 6 หลายเดือนก่อน

    Dah! Maskini Pacho pole kaka yangu mkongo

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 6 หลายเดือนก่อน

    PACHO MWAMBA TUNAKUPENDA SANA NIKIKUONA NAKUMBUKA KANUMBA.