iko siku hasira ya Mungu atawaka na hakuna muovu na mwenye hila atasalia na hapo ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno.yuko mgawa haki ambaye ni Mungu aliye hai na aonae ya sirini.lets Wait and the time is around the corner.tanzania is crying and and bleeding but God will heal the wound.
@@ThelastMantz-i7j nyinyi watanganyika hamna heri.miaka 60.mnatuibia TU.washemzi leo mama yupo maandamano.muungano ukatike Kila mtu kwao hatuwataki watanganyika.ndani ya Zanzibar maadili tofauti.
Mpumbavu wewe nababa yako namama yko mbwa wewe. Unataka tupige kelele ambazo hazisaidii chochote. Je kama siishi milele nikifa mim au akifa mtu mmoja atabadilisha nini hapo?. Ukinywa gongo zako unakuj kutukana watu hapa
Hawawezi kujikamata...hao wanajuwa wanachokifanya..ndomaana wanawazuia watu kuandamana eti Kuna viashiria vibaya..viashiria vibaya mnavionaga chadema tu au?? Mbona mnapouwa watu au watu kutekwa hamuoni viashiria vibaya?? Rais anatamka vifo nikawaida inamaana matukio hayo anayajuwa ama?? Yani Kuna vitu watu wanatamka cjui mnaonaga watu mambumbumbu?? Tko very smart msidhani mnaongoza wajinga Kuna watu wanawezd Hadi elim...Wana wazoom tu
Mtanzania anaejitambua haswaa.. Tungekuwa iv sote tusingekuwa tunaendeshwa kwa maamuzi ya watu wachache ambao hawazijui shida na maumivu ya mtanzania maskini
UKIWASIKILIZA HAWA CHADEMA WANAONGEA VITU VILIVYONYOOKA PASIPO KUPINDA NA UNAWAELEWA BARAABARA 👏🏼👏🏼👏🏼
Hakuna mwenye uitaji anaeweza kuongea ujinga, wape nchi ndio utajua makucha yao.
@@JuliusMatiku-ux4ch uliwapa madaraka ukaona makucha yao?
Kakojoe ulale@@JuliusMatiku-ux4ch
@@JuliusMatiku-ux4ch Wewe uko ktk kundi la Watu wenye vichwa na akili za kuku
Ongera Sana kwa ujasili uliouonesha katika siku ngumu kama ya leo
Hongera nasi Ongera
Nenda kamsaidie kuandamana
Acha umama @@nbwchannel4997
MUNGU AWABARIKI WOTE MLIOJITOA KUTUFIKISHIA UJUMBE KWA WENYE NCHI
Daah hongera kaka unajuwa kujieleza
hatufanani. mungu katoa vipaji mbalimbali. kaka unaujasiri hongera
Wewe kalale mbwa ww kafanye kazi ulee watoto
@@Zuwenamachela mwambie huyo kazi tualibia amani kisa madalaka 😮
@@ZuwenamachelaUkilea wa kwako inatosha matako wewe
@@Zuwenamachelaww ni kibaraka wa ccm chawa wa mama
Mnaachia chizi mmoja maadamano😂😂😂😂 kujeni kenya tuwafunze nini inaitwa maaadamano
Uyu jamaa ni nomaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mm nipo pamoja na ww mwanaharakati wetu nimeweka bando Kwa ajili Yako.
Bando tu kwenda kuandamana aaanh 😂😂
Kudos wewe ni shujaa Mungu akulinde. Umesema kweli kabisa!
Sio kazi ya mungu kulinda watu kenge wewe..Hivi watu mtajitambua liniii
Mungu akulinde watu wanatekwa mpaka Leo hakuna watuumiwa daa ila
True and Clear, well said, majibu ya hoja nzito hizi ni mitutu ya bunduki barabarani. Shame on them
Safi sana umeongea vzuri
Umetisha kamandaaa
Nikweli kaka safi sana umetujibia walinde raia sio kututeka tumechoka
Kaka mungu akujaliie
iko siku hasira ya Mungu atawaka na hakuna muovu na mwenye hila atasalia na hapo ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno.yuko mgawa haki ambaye ni Mungu aliye hai na aonae ya sirini.lets Wait and the time is around the corner.tanzania is crying and and bleeding but God will heal the wound.
Mungu mnachukuaje jamanii.
Umeona yanayotokea Sudani congo au Palestine Inamaana Mungu hayupoo.Jitambueni basii
Ubarikiwe kiongozi kwa malekezo
Chadema mko vzr sana
Upo vizuri hongera
Kijana umeweza WE NDIO KAMANDA 🔥
Kakaa mungu akulinde sanaaa kakaaaa huyu rais Lolo litokeee ila mungu ajua ukweli upo wp😭😭😭
@@ThelastMantz-i7j nyinyi watanganyika hamna heri.miaka 60.mnatuibia TU.washemzi leo mama yupo maandamano.muungano ukatike Kila mtu kwao hatuwataki watanganyika.ndani ya Zanzibar maadili tofauti.
@@AbdallaJuma-tx5ck zanzibar kichaka porini tuje kufata nini sii bola kwenda uraya mshamba mkubwa wewe 😏😏😏
@@AbdallaJuma-tx5ckkafie mbele huko zanzibar ipi mashoga kibao mnajiona mko salama na midomoyenukama malapa ya guest
@@AmmarSadik-x5u😃😃😃😃😃😃
Kiukweli kwa jinsi nchi ilipofikia,nawasiwasi na usalama wa huyu ndugu yetu Kamanda mwenzetu
Kabisaa
Maandamano ya kudai haki, hayahitaji makunguru.. huyo yupo tayari kwa lolote.
Pole Kaka ongeya usiogope mungu yupo pamoja na nyie❤
Amina kijana nchi omeoza ni nchi ya majambazi
Safi Sana Kamanda Upo Sahihi Sana
Hawa POLISI Kazi Yao Ni Kuilinda Ccm Na Viongozi Wao Sio Raia
Huyu bwana nimempenda sana
Brather upo sahihi sana
Vizurii kamanda wangu.... Unaongea point tuu za msingi
Umeongea point
Fireee akili kubwa
Strong people soldier keep the spirit 💪😢😢
Nimekuerewa sana brother nyie ndio vijana wenye huweredi kwenye nchi yetu
Safiiii Sana wape ukweli wap
Big up bro kwa kusema ukweli
Huyu jamaa nikichwa sana mungu amlinde ila mimi n ccm😂😊
Chadema dam
Messages sent 🎉
Huyu mtu ni kichwa sana, nimempenda ana point
Uyu Jama nimwamba kweli Anajiamini Sana
Pamoja!!!
Jamani ,hodari
Hawa ndo watu wachache Tanzania waliobaki lakini nao wanafuchwa maksudi wasilitumikie TAIFA laao,,Dua kwako shujaa wetu,,
Basi tu kakataa kutaja mtaa anaoishi.... Ningemtafuta snipe madini.....👏👏👏
Mumteke kaka wa watu
Yuko vizur
Ameongea kweli kabisa
Nimewapenda sana chadema mala nyingi wamemtaja mungu,na atajibu tu.
Kijana ameiva, yupo timamu
❤sana jembe tupo wachache sana one day tutakua wengi
ase huyu jamaa nimashine hongera kaka nikweli kabisa unajibu vizrr
Achana na huyoboya kamanda ana kupotezea mda
Nakubali 🙌🙌🙌
Nimekupenda san kaka
Tisha sana kamanda machozi yetu yatawatesa hasta wajukuu zao
Shujaaa kufia uanja wa vitaaaa
Watu wasiojulikana wanakuona,ndo kazi ya mama abdul
Nchi ya kisenge hiii
Mengine hayasaidii bali nikuhatarisha maisha yako. Tuombe mungu sana
Wew ni mpumbavu. Ulikuja kuishi milele?
Mpumbavu wewe nababa yako namama yko mbwa wewe. Unataka tupige kelele ambazo hazisaidii chochote. Je kama siishi milele nikifa mim au akifa mtu mmoja atabadilisha nini hapo?. Ukinywa gongo zako unakuj kutukana watu hapa
Kwanza hujui mtu unaemtukana. Ukinywa gongo zako tuliza mawenge usikurupuke kiroboto moja wewe.
@@monicatv-c1pUnataka akujue ili😅😅😅😅..
Wewe ndo unaona hayasaidii tupo kwenye ulimwengu wa utandawazi hiyo sauti inasikika duniani kote, majibu yapo tu
Samia maliza hii term yko uende mapumzuko,umeshindwa na uongozi
Ila ujumbe uwafikie acheni haki itendeke jamani watu wanajieleza kwa uchungu sana
Mama Abdul hasikiii yuko busy na mambo yake anaamini yuko salama lkn sio kweli
Hawawezi kujikamata...hao wanajuwa wanachokifanya..ndomaana wanawazuia watu kuandamana eti Kuna viashiria vibaya..viashiria vibaya mnavionaga chadema tu au?? Mbona mnapouwa watu au watu kutekwa hamuoni viashiria vibaya?? Rais anatamka vifo nikawaida inamaana matukio hayo anayajuwa ama?? Yani Kuna vitu watu wanatamka cjui mnaonaga watu mambumbumbu?? Tko very smart msidhani mnaongoza wajinga
Kuna watu wanawezd Hadi elim...Wana wazoom tu
Shekheeeeee
❤❤❤❤🎉
❤❤❤❤❤
Safi sana
Inch imeoza hii naomba wa uwaj mungu awaue kwa njia yoyot
Ndio wanachadema og
2anze kumlindaa uyu mwanaharakat maan kesho anaweza kutekwa
Kaongea ukweli mtupu
Hongera sana kaka
Acha kukanyaga ways mzee
Kweli kweli
Nuru okanga wa Tanzania ndio huyu sasa
Naona mwandishi chawa anafundishwa elimu ya katiba
Kapewa somo
BIG UP💪
Uyu jamaaaa noma
Kweli kabis
Umeongea vema sana kamanda asiyekuwa na akili timamu hatakuelewaaaa
Kaka nimekupenda bure ahsante san
Safi sana mwamba
Yaani walivyo wa ajabu eti wantapakaa mji mzima kisa waliotoa taarifa vipi kuhusu hao wasio julikana aw ndo wao wenyewe
Man from Kilimanjaro
Mtanzania anaejitambua haswaa.. Tungekuwa iv sote tusingekuwa tunaendeshwa kwa maamuzi ya watu wachache ambao hawazijui shida na maumivu ya mtanzania maskini
Yuko Vizur
Tanzania waoga munaunga makono kwenye comment tu kuandama ahaa
@@KanumbaFundiMAKAMANDA WA MTANDAO HAWO NA WACHUNGAJI 😢😢😢😢😢
Jamaa anaongea point sana
Huyo jamaa m congo huyo mrudisheni kwawo Congo
😢😢😢 machij haya yata lipuwa
naomba Kuuliza ivi wanaoandamana ni police au Nichadema kwasababu naona police ndo wengi kuliko chadema
Maadamano nikawaidatu kwasabu nasisi tunataka tupate imani nana nyie vipi
Huyu kijana ana ujasiri atari
Kumbe hutaka kupotea wenyewe
*Wahenga walisema, "Konyagi na bangi ni mchanganyiko wa hatari; mwenye masiko na asikie."*
kwann chadema musinunue silaha ak 47 mukawapa vijana tukaingia mtaani tukawaondoa ccm
💯🔥🔥🇹🇿
Mtu angejua Nia halisi ya watu Hao asingesifia
Usikute kuna Genetics za kikenya hpo
Amekodiwa huyo . ujinga wako mnatekana wenyewe fara wewe nani atakuteka mlimpiga mwenyewe . Hizo mbichi mnataka maandamano ili mpate misaada .
Raisi anatumia madalaka vibaya sana Polizi wa sasa awana akili
Safi sana kijana
Makubwa
Mwandishi unapomuhoji mtu mwache aongee na si kuzima zima maiki ili kuficha ujumbe
Chuma hicho
Chadema wampe nafasi huyu jamaa duu