Mama ruuuuuun 🏃♀️ 🏃♀️ Haki wanaume wanapenda nini kucheat wife mrembo kama huyu surely? Alichukua pesa ya bibi kepelekea mwanamke mwingine,analishwa na bado anacheat🙄🤔. Mwanamume mzee hivi anacheat na uzee na akiwa kijana?😒
I worry when men are caught cheating and the defence they give is "unajua mimi ni mwanaume " this is nonsense. Do men want to say that they cannot be faithful because they can't control their appetites for women? Do they want to tell us they are animals who cannot control what they do? Do want to tell us God cannot save men? There's absolutely no defence to cheating.
May the good lord save us haki these days marriage has become something else especially when someone you trust cheat on you haki you lose interest in relationships
@@joslinmtiva1730 but you are following him too if he’s a liar don’t you know yourself can’t be trusted either why judge people so fast as if you are perfect
Huyu mama ni mrembo ❤❤❤
Sorry mum and the way she is cute and hard working , Some Men like gold diggers not wife materials.
She has a good dress code; beautiful woman❤
Mama has the best advice.
😂😂 good jb JAY kwa ku clean mtaa wapi like za team chlorox ❤❤❤❤❤
Huawezi nicheat
Achana na Mzee, huyo ni yule alikua akiishi nae sikuile bibi alikua Saudi Arabia
I like her handbag and she is smart & a good lady
I've subscribed now....😮
Mtu aki suscribe inakukatanga how much
Yes Mzee is worried even B4 his phone checked 😮
😂😂😂😂😂😂ni gaidi tu
Director jay, I am interested in flowers and that guy has knowledge about them. Please connect me, I need trees ahead of the rains
I think sometimes mngekuwa mnaangalia age,I sometimes feels ashamed watching these videos of the elderly people
True K you never learn. Such message unasomea mbali ukiwa na Mama
Acha kupenda violence
The director of maua investigation....................😂😂😂😂😂😂
Good job..endelea kusanitize hawa wazee
Sio wazee tuu! Na hata sisi vijana tuko na shida nyingi sana😂😂😂
Mama run for your life don't look back
Wooiii pole mom aki this man hata adabu hana me siwezi leta mwanaume kwangu
Wamesahau mpaka na manual aki inauma acha
Mama kimbia huyu kinyangalika niugonjwa anakutafutia na malaya wake
Mama ruuuuuun 🏃♀️ 🏃♀️
Haki wanaume wanapenda nini kucheat wife mrembo kama huyu surely?
Alichukua pesa ya bibi kepelekea mwanamke mwingine,analishwa na bado anacheat🙄🤔.
Mwanamume mzee hivi anacheat na uzee na akiwa kijana?😒
Wazee ndio hucheat zaidi imagine
Hivi vizee vinakua vishongo sanaa havitosheki na havitaki kukubaliana na watokeo
I love the way mzee laughs alot its like he is hiding something
Ni kicheko cha kuficha makosa yake.
Ata "achamuwon" asiangalie vitu mingi mingi
It's annoying laugh
Ati Pole madam😢 not even Pole mke wangu . He's so guilty.Laughing like a fool.
Hiyo kicheko is so irritating! Mwanaume mjinga
Our generation has no advisers only God.Kumethuka
We want problems tunawatafuta hadi kwa maua😅😅😅😅
😂😂😂😂😊
Imagine aki
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Iam sorry bt sioni kama nitawai kubali relationship aki kama ni hii na vile me hukua faithful Kwa mtu I better stay single forever 😢😢😢
We jay Mia Mia wajua kufanya job poa yaani hawangejua nini wataka mpaka dakika za mwisho good
I worry when men are caught cheating and the defence they give is "unajua mimi ni mwanaume " this is nonsense. Do men want to say that they cannot be faithful because they can't control their appetites for women? Do they want to tell us they are animals who cannot control what they do? Do want to tell us God cannot save men? There's absolutely no defence to cheating.
Tell them .very true
Sanitize mama too.Abroad aliishi aje😅.Lol
Jay baba help this flower guy advertise his business.
Bona uyu mzee anasheka ovyo ovyo🤭pole mam
The mum is so calm
True
Which place is this. I need some church flowers and flower Vase. Jay connect me kindly to this guy
best advice mama ..
Mzee atapata pressure
May the good lord save us haki these days marriage has become something else especially when someone you trust cheat on you haki you lose interest in relationships
Hii ni kipindi not real my dear ndoa zinadumu Jay ni muongo anakuogopesha bure😂😂😂😂
@@joslinmtiva1730 but you are following him too if he’s a liar don’t you know yourself can’t be trusted either why judge people so fast as if you are perfect
Dj usiwe unafanyia kwa barabara na hizo mbio zako ni hatari karibu na magari😮😮
Hapo kwa usiende uniwache😂Mzee tafuta pesa... Wacha kuwekwa
huyu m-baba vile anacheka akipatikana suggests something
Dr Jay ,hii ni Rika ya mzazi wako.usiaibishee saana.ungesoma kiaai tuuu
Jibaba jitu lizee linafugwa kama mbwa na bado ako na nguvu ya kucheat 😀
lazima asaidie
Ungeenda na mama pembeni umsomee mesej zote alafu ndio mrudi kwa mzee
Mum Ako na good advice walai nikapata mother in-low kama huyu wee naeza kua nmebarikiwa good job Mr director 🎉🎉
Hawa ndo ata wanahitaji sanitization sana.It hurts most to be cheated at that age.
Ukiwa myoung unaeza tafuta mtu mwingine atakudhamini.
Mzee ameona acheke tu 😂😂😂
This things motivates me to work harder and not trust anyone
Hii life ya gulf inataka,uamue kukaa single for the sake of your peace of mind.sorry my fellow sis
Wewe jay mnunulia wateja mavuli ya customer sawa
Dr Jay ulkiona mambo yamezidi chumvi ama yanaanza kuchemka kwa saidi ingine, please mezea ju ni wazee
😢😢😢😢inauma sana yaani mtu umwamini alafu anafanya madharau mimi siezi
Uko karembo Sana atA sijui uliona nini kwa uyu kimzee ,anachekacheka Kama mjinga, wajana na yye aende kwa uyo wa tokens
Huyu mama ameweka huyu mzee
Waiting story ya Clinton na Sam na mbabas wa anna
Huyo mama tuamhitaji kwa# Metha ya kagoni, atuelezee maisha ya Saudi kama Kemboi ilkua aje
our father is busy laughing 😅😅😅😅
Ati mimi husema wazee ndio hawa cheat kumbe mzee jiheshimu unapewa kila kitu mum mwenzagu team strong pole sana hope hajatumia mali yako vibaya
Kimze kinacheka kama hio manungu ziko hapo nyuma yao
Kwani mzee ni chizy nini,,bona anacheka Cheka ovyo
Jay please n connect n iyo mama anisaidie ak am no need please 🙏🙏🙏
Kumbe kizee kimewekwa halafu kinawekana. Jinga
Na sasa hiki kizee kinacheka nini surely,,,mom sorry
Mzee fala sana. Cheka ovyo ovyo na nikuwekwa amewekwa
Jay we ni mshamba, angalia stevo na Samaritan wanavyosoma mesej
Mzee anacheka Kwa mazishi
Why is the mzee laughing. He was soo nervous!!
Mam usijali mapenzi siku hizi inangeuka hivo badara ya raha inakuwa subiri😢😢😢
,😂😂😂jay naona Mimi huyu mama akinifaa ju niko faithful
😂😂😂😂😂 jamani
😂😂😂😂walai some comments zinakuaga interesting
Good advice mama
Never give someone a second chance
Lizeee likishikwa linaanza kucheka nini
Wee j, acha ujinga songa mbali usome simu.
Bt jay age kaa hii hufai kusoma messages zao please,zingine ni laana aki
Hehehe hii ni noma Jay, hapo umeng'ang'ana aki dio update kuwa sanitize
Uyu mzee anachekacheka she?🤭burr kabisa
Mzee mjinga anacheka kama hajakosea
Mzee amechaka sana walai😅
Mwizii mkora wewe uiiiiiiiii
Mzee kana cheka aje sasa
Weuh mi busema wazee kama Hawa haisimami😮
I like how daddy is laugh 😂😂😂😂😂😂😂 he is hiding something 😂😂😂😂eyt hahaha hahaha 🤣🤣 this man
😂😂😂😂wewe
@@kenkim6403 😂😂😂😂 heee heeee 🤣🤣🤣
Waah, aky mimi nikimuona Dr Jay ni Helter skelter 😅😄😃
Mambo zengine mezea wewe Dr Jay, ona sasa
Huyu mama ako matured sana
Heti anyonge mpaka wakuje😢😢😢 this one looks unscripted.
Madam amegundua mapema kuwa kuna kitu kwa sim ya mzee😂😂😂
Sasa huyu mzee anacheka nn surely na umalaya yake gasia yeye
Wanawake ukiwa na pesa mwanaume akicheza akanyage kubwa kubwa ama mnamna gani wanawake wa pambanaji 😂
Sasa huyu mzee anachekacheka nini amh ni kichaaa😂😂
Sanitize young people. Hawa wazee🤔🤔🤔
Achana na wazee sasa director Jay umechomea mzee😅😮
When will people change seriously 🙄
Woman of wisedom
Ala kumbe ata wazee uwekwa na wamama😂😂
Woooi omg it hurts 😭 😢 😫
Unaona venye mzee amesimama mbali huyo ni wrong number 😂😂
Jay aki acha kuaribia wazee
Kaliasha bibi kaede kwa huyu madam 😅😅
500k ya mayatima 😢😢😢😢
Mbwa n mbwa tu madam fukuza huyo mwanaume jameni
Side chick is your tenant,the one you had asked about the rent.
Mzae ana cheka ama ni maumbile yake 😂
He who laughs last laughs the loudest 😅😅😅😅