wanayangaaaa Daima mbele nyuma mwili. tuweni malini sana na wachambuzi magumashi,msemaji wa makolo nawapenzi wa makolo kwa wanao jambo wakimhusisha mayelee. wanatamani kututoa mchezoni kama walivyotumia sakata la feitoto .tuwaacheni wase sana.
Bacca mung akitangulie na akufungulie njia na akupe kila leny kher inshallah ila ndugu yangu osipende kusifiwa utafika mbal mashabik ni watu wanafik sana wanakta ukifanya vizur tuu ukikosea wanakusema vibaya
Hii ndo heavy engine mzee,,,, ukuickia heavy engine ni mashine zinazotumoa diesel kufanya kazi na zinafanya kazi zote ngumu unazozijuwa here is the man bacca the heavy engine
BACCA best dribbler full central half back.
Hii nzuri sana inawauza wachezaji wetu
Hongera na zidisha bidii
Mwamnyeto mwamnyeto sijuii anashida Gani
wanayangaaaa Daima mbele nyuma mwili. tuweni malini sana na wachambuzi magumashi,msemaji wa makolo nawapenzi wa makolo kwa wanao jambo wakimhusisha mayelee. wanatamani kututoa mchezoni kama walivyotumia sakata la feitoto .tuwaacheni wase sana.
Most skilful defendant
Mashabiki tunataka skills za Khalid aucho daktar wa mpila plz💚💚💚💚💚
@aucho
Utafika mbali,M/mungu akulinde na husda
Bacca pambana sain yako naiyona nchini European msimu ujao🎉🎉🎉
Bacca mung akitangulie na akufungulie njia na akupe kila leny kher inshallah ila ndugu yangu osipende kusifiwa utafika mbal mashabik ni watu wanafik sana wanakta ukifanya vizur tuu ukikosea wanakusema vibaya
Tunaomba skills ya khalid aucho doctor was mpila plz💚💚💚💚
🎉Xm mb
🎉
I'm waiting
Thank you very much for the video
This is the way we suppose to brand our plyers,
# Angalieni arsenal tv mtaona wanavyofanya.
Allaah Akbar
Top defender ...
Hii ndo heavy engine mzee,,,, ukuickia heavy engine ni mashine zinazotumoa diesel kufanya kazi na zinafanya kazi zote ngumu unazozijuwa here is the man bacca the heavy engine
Mwamnyeto yule anacheza lafu ndani ya box hajui sehm gn achez lafu kazi kuighalimi timu
Safi
Safi, watengenezeeni na wengine ,ya D job ifwate
Jamaa anajuwa
Zanzibar finest
Bacca big defender anajua mpaka anajua Tena akaze tunamwona ulaya
Ingekuwa marogo yanafanya KAZI club bingwa zingetoka Pemba ,Simbauranga au Majani Mapana.
Na Afcon wangekuwa Commoro.
Marogo ndo nn?
Bonge labek uyu ni mwamba kweli kweli mtu na nusu
Beki asiye na papara 🫡
Kitasa
Apewe unahodha msimu ujao Dickson na Bacca
Baca akiwaga hapo nyuma huwa sina pressure kabisa
Mechi dhidi ya mashujaa heri Fred angecheza tu badala ya mwamnyeto
Askar
Bacca mtu waamaana kabx
Nataka nione alivomfanya ziyech
Hiki ni kitasa kwel
Hawa CR BELOUZDAD ili niridhike lazm tuje tuwalipizie kisasi hawa
Aucho day lini?
Mnajua umuhimu huy mtu kwel
Bacca
Mwamnyeto mtafutieni team mapema msim ujao hatumtaki
Mbona mzuri tuh
Wewe na nani hamumtaki, semea nafsi yako kijana
Uko sahihi
@@TamthiliaBongo.Tuko wengi tu mechi dhidi ya mashujaa heri Fred angecheza badala ya mwamnyeto
😢hatukutaki mshabi wewe maandazi
We mm ndo kama bala ❤👎🏽
Utopolo acheni kumroga mayele kenge kabisa
We virus umetokea wapi😅😅😅
Chumaaaaaa🫡🫡🫡
Copro
Huyu baka atengwe