🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 93

  • @ommybiggie4825
    @ommybiggie4825 4 ปีที่แล้ว +15

    Hivi najiuliza hawa wapinzani wana sera gani kumzidi huyu mzee...na bado wanampoda MAGUFULI na kuna watu watapigia kura upinzani wanatafuta nini haswa..au ni ushangiliaji tu...sisi wakenya tunamuhitaji huyu mzee na africa nzima wanamuangalia kisha kuna kina lissu wanaongea saaaaana kweli mutamuacha huyu mzee...ila napima uzito kwa like zenu hapa nione kama magufuli tena gonga like

    • @mohamediddi5126
      @mohamediddi5126 4 ปีที่แล้ว +1

      Safi sana ndugu.
      Nakubaliana na wewe.
      Huyu Raisi wetu ni wa kipekee zaidi.

  • @japhetdaud3781
    @japhetdaud3781 4 ปีที่แล้ว +12

    Hilo ndo jembe Magufuli 💪 oyeeeee 🔥✔️🇹🇿💯

  • @yoramswagala2868
    @yoramswagala2868 4 ปีที่แล้ว +10

    Kula zote kwa magufulii

  • @emmanuelmkeba7901
    @emmanuelmkeba7901 4 ปีที่แล้ว +23

    Sijawahi ona Raisi anajiamini hv mpaka kula hadharani hivyo

    • @yusufumajinge59
      @yusufumajinge59 4 ปีที่แล้ว +5

      Ukimuamini Mungu hautakua na wasi wasi wowote

  • @mohamnedsalum2150
    @mohamnedsalum2150 4 ปีที่แล้ว +25

    Raha ya magufuli akitoa ahadi huwa anatimiza

  • @charleslaurent8930
    @charleslaurent8930 4 ปีที่แล้ว +9

    😂😂😂😂😂 mh Rais Magufiri uko vizuri

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu ndio raisi wetu tundu na membe tupa kule

  • @julianamasunga700
    @julianamasunga700 4 ปีที่แล้ว +8

    Alafu magufuli acha kula kula hovyoo bado tunakuitaji haswaaa....acha Kabisa usitufanye tukapata mangonjwa ya moyo buree😚😅

    • @mohamediddi5126
      @mohamediddi5126 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli uyasemayo Ila huyu namkubali sana zaidi ya sana, hapo Kama umechunguza ametumia akili sana Kuna huyo jamaa wa Kwanza kumpelekea hayo mahindi akafanya Kama ni magumu sana anataka mengine na ndipo akapewa Yale mengine Kama ni mtego ameshaukimbia zamani. Ila zaidi tusiwafikirie vibaya Watanzania wenzetu hao wote wanania njema ya kumuuzia muhindi Raisi wetu.
      Mungu Atubariki kwa sote InshaAllah.

  • @estermpare778
    @estermpare778 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah ee mwenyez mungu muangaliee huyu baba umpe maisha marefuu yenye baraka telee 😘nakupendaa saana rais wetu

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 4 ปีที่แล้ว +18

    "Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 ปีที่แล้ว

      Nakuunga mkono mkuu

    • @emanuelmichael7679
      @emanuelmichael7679 4 ปีที่แล้ว

      Naunga mkono hoja

    • @joramkimario2666
      @joramkimario2666 4 ปีที่แล้ว

      Tatz ngoma ikinoga Sana itakera.cunaona gadaf walovyomfanya

  • @glorykimonge8629
    @glorykimonge8629 4 ปีที่แล้ว +4

    Miaka mitano yenye baraka ,tuna Muomba Mungu mingine mingi ya Baraka

  • @elliottrahema
    @elliottrahema 4 ปีที่แล้ว +3

    Nina kila haki kujivunia utanzania wangu

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 4 ปีที่แล้ว +14

    Kwa kweli huyu Raisi ni wa pekee sana mambo yake social kweli kweli Rais anakula mahindi mbele ya raia hatuwez kupata Rais wa pekee kama haya

    • @mohamediddi5126
      @mohamediddi5126 4 ปีที่แล้ว

      Swadakta.
      Nakubaliana na wewe over 💯

  • @Alkebu_lan22
    @Alkebu_lan22 4 ปีที่แล้ว +7

    Smart mind Mr. Rais 👐

  • @florangido202
    @florangido202 4 ปีที่แล้ว +15

    Hivi baada ya Miaka 5 ijayo akimaliza kipindi cha 2, hatapatikana tena Rais kama huyu!!
    Eeh! Mwenyeenzi MUNGU Tuandalie Rais Mwingine kama huyu....

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว

      No no no tutafanya chochote kwa uweza wa mungu ataendelea kua nae in shaalah 😭😭😭

    • @stellandege5594
      @stellandege5594 4 ปีที่แล้ว +1

      Hayupo

    • @sabinaluyego4408
      @sabinaluyego4408 4 ปีที่แล้ว +2

      Hapa ni kubadili katiba tu

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 ปีที่แล้ว +2

      Hapa tufanyeni lolote tumuongezee muda tu.

    • @jumanneibazu9086
      @jumanneibazu9086 4 ปีที่แล้ว +2

      Aongezewe mda

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว +7

    Mungu wangu mbavu zangu,eti kupanuliwa

  • @salimakida4864
    @salimakida4864 4 ปีที่แล้ว +9

    Nimeipenda hii

  • @kipenzichangunakupenda1998
    @kipenzichangunakupenda1998 4 ปีที่แล้ว +9

    Aliyesikia mama anawaomba kupanuliwa anyooshe mkono

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 4 ปีที่แล้ว +11

    Magufuli baba Lao 🤣 🤣❤️

  • @ramadhanomary510
    @ramadhanomary510 4 ปีที่แล้ว +2

    Love you my president

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 4 ปีที่แล้ว +10

    Rais kuwa makini usile ivyo vya njian tunakupenda baba

    • @emanuelmichael7679
      @emanuelmichael7679 4 ปีที่แล้ว +1

      Hapo hawez kudhurika coz ni mstukizo hakuna aliejiandaa

    • @mkemiamagege8477
      @mkemiamagege8477 4 ปีที่แล้ว

      Jamaa wa usalama aliyepeleka mahindi Mara ya pili aliandaliwa Kama unaona Mara baada ya kuitwa yule wa pili hakusumbuliwa kama yule wa kwanza. Hapo usalama kwa Mhe Rais ni wakitosha.

  • @tanzanianakupenda
    @tanzanianakupenda 4 ปีที่แล้ว +11

    JPM anaamani na kazi aliyoifanya ndio maana yuko free na nafsi yake!

  • @sulekisaka2081
    @sulekisaka2081 4 ปีที่แล้ว +6

    Baba lao oyeeeeee

  • @shaabanshaaban7465
    @shaabanshaaban7465 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamani Kuna watu wanahofu kuhusu rais kula mahindi labda niwaambie kitu Kama mnakumbuka mwanzo kabisa wakati rais anapokea mahindi alimpa kanal Kwanza Yale yalienda kufanyiwa vipimo kwaiyo ondoeni hofu haiwezi kutokea rais kuzurika Hawa wasaidizi wapo makini kabisa kwaiyo ondoeni hofu jamani

    • @barakashadrack7695
      @barakashadrack7695 4 ปีที่แล้ว

      Halafu yule wa kwanza kabisa mahindi yake yalirudi yakachukuliwa ya mwngn ndo ujiulize hapo, wanasema ulipo tupo

  • @mariamramadhani6185
    @mariamramadhani6185 4 ปีที่แล้ว +1

    Big up Mr President mtetezi wa wanyonge Raha sana kuwa na Raisi mtetezi wa wanyonge

  • @monalisajuma5641
    @monalisajuma5641 4 ปีที่แล้ว +3

    Big up president John Joseph pombe magufuli

  • @mashaeliazer7433
    @mashaeliazer7433 4 ปีที่แล้ว +3

    Muguuu safi sana

  • @paulomeque3527
    @paulomeque3527 4 ปีที่แล้ว

    Rais wa watu ahsante

  • @mfaumeh.rissasi226
    @mfaumeh.rissasi226 4 ปีที่แล้ว +4

    Kwa style hii magu hakosi kura... jpm mjanja sana hii ni indirect campaign lkn vile vile ni njia ya kujiweka karibu na wananchi... hivyo watu automatically wanampenda

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 ปีที่แล้ว +1

      Lakini hii huwa ni kawaida yake

    • @emanuelmichael7679
      @emanuelmichael7679 4 ปีที่แล้ว +1

      Uzuri wa Magu yeye toka kitambo anatembelea wananchi sehem mbalimbali kwahiyo hii jikama tabia yake hasubiri Campaign

  • @kambiibrahim415
    @kambiibrahim415 4 ปีที่แล้ว +2

    MAGUFULI 🎶 JEMBE JEMBEEE 🎶RAIS WETU JEMBEEE🎶HAPA KAZI TU!

  • @ericasimon9631
    @ericasimon9631 4 ปีที่แล้ว +5

    Kwanin rais huyu asiongezeewe muda?????

  • @nassorali1260
    @nassorali1260 4 ปีที่แล้ว +8

    Kazi na Bata hahahah sf sana

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Rais wangu

  • @jamesnambunga2778
    @jamesnambunga2778 4 ปีที่แล้ว +1

    daah cjui itakuaje kama utakataa kuendelea kuongoza nchi....nawaona wale wapiga madili wakifurahia kuondoka kwako......je waruhusu hili??? JPM miaka 5 mengine but icwe mwsho plz.....

  • @gwajetheentertainer363
    @gwajetheentertainer363 4 ปีที่แล้ว +9

    Ila huyu mzee muhuni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kupanuliwaaaaa

  • @maandaziimakavuu3790
    @maandaziimakavuu3790 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah magufuli ni raisi wa kuigwa na mfano wa dunia!

  • @madilisakumi8262
    @madilisakumi8262 4 ปีที่แล้ว +13

    We jpm watanzania tunakukubali

  • @paliscosanga3149
    @paliscosanga3149 4 ปีที่แล้ว

    Baba pamoja sanaaaaa

  • @yoramswagala2868
    @yoramswagala2868 4 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli oyeeeees

  • @dawayao2837
    @dawayao2837 4 ปีที่แล้ว +5

    Mnataka kupanuliwa wapi?🤣🤣🤣

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha kupanuliwa

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 4 ปีที่แล้ว

    Eti kupanuliwa😂😂😂😂

  • @marosylvester2851
    @marosylvester2851 4 ปีที่แล้ว

    Mzee baba. Mungu ni mwema.

  • @jimmyjullius1670
    @jimmyjullius1670 4 ปีที่แล้ว

    Mama anataka kupanuliwa

  • @kapambalapole8227
    @kapambalapole8227 4 ปีที่แล้ว

    Jiwe la Tanzania

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 ปีที่แล้ว

    Mwaka huu tutaona mengi kwa hii kauli yakupanuliwa sijui Nani aanze kupanua maana yule mama kakataa amesema tupanuliwe hukoooo kwa Bibi Salehe

  • @mkemiamagege8477
    @mkemiamagege8477 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa kapeleka mahindi mwisho akarudishwa kuwa mahindi magumu na akachukua mengine mshikaji akasepa.

  • @issakapemba6115
    @issakapemba6115 4 ปีที่แล้ว +4

    Kupanuliwa wap mnataka

    • @issakapemba6115
      @issakapemba6115 4 ปีที่แล้ว

      Huyu ndio rais tunaetaka taka nchi hii sio maneno mengi bila vitendo

    • @mapenzi_tz1511
      @mapenzi_tz1511 4 ปีที่แล้ว

      Nimecheka kweliiii

  • @yusuphmkapa5302
    @yusuphmkapa5302 4 ปีที่แล้ว

    Viva jpm

  • @ericasimon9631
    @ericasimon9631 4 ปีที่แล้ว +1

    Dumila oyeeeeeeeeee neeema hiyo

  • @tz7976
    @tz7976 4 ปีที่แล้ว +3

    Rais pendwa nchini

  • @nassiraliy7032
    @nassiraliy7032 4 ปีที่แล้ว +1

    Mheshimiwa naomba usiwe na was was urais n wako wasikutishe hao walowezi waliotumwa maana tang aje uyo majeruh amekuwa na jaziba sana anataka apigwe akusingizie wew mheshimiwa

  • @mohammadkiliwa5483
    @mohammadkiliwa5483 4 ปีที่แล้ว

    Eti mama unataka kupanuliwa wapi

  • @elickkipara5814
    @elickkipara5814 4 ปีที่แล้ว +3

    Hahaaa kupanuliwa

  • @mustafaalli4698
    @mustafaalli4698 4 ปีที่แล้ว +1

    😃😃

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 4 ปีที่แล้ว +1

    alisimama wapi? mbona globa tv online mnaaandika headings zisio na kichwa??wapi hapa jamni...mue na vichwa vizuri

    • @ramadhanomary510
      @ramadhanomary510 4 ปีที่แล้ว

      Kuna kituo kunaitwa feri baada ya kupita dumila ukiwa unatoka dom ndipo alisimama

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 4 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanomary510 oh ok...asante sana Ramadhan

  • @priscalameck8700
    @priscalameck8700 4 ปีที่แล้ว +1

    😀😀

  • @zuuothman9170
    @zuuothman9170 4 ปีที่แล้ว +4

    😆😆😆

  • @jumadea6899
    @jumadea6899 4 ปีที่แล้ว

    Eti kupanuliwa huko shambani. Hahaha aaaaa

  • @eyumededu2948
    @eyumededu2948 4 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣

  • @saidisulley9397
    @saidisulley9397 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 4 ปีที่แล้ว +1

    Mahindi matamu sana.

  • @gladnesmarco9487
    @gladnesmarco9487 4 ปีที่แล้ว

    Haaaaaaaaa inachekesha

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 4 ปีที่แล้ว

    KUPANULIWA, HAHAHAHAHHAAAAAAAAA.. BARABARA.