CHIEF GODLOVE - ''NATAMANI NIKUTANE na MUUAJI ANIELEZEE - MAMA GREYSON HAKULA TANGU JUZI''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 2 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu Kristo aliufia ulimwengu mzima...yeye ni mwokozi wetu ...huwezi kukaa tu ukaamka ukajiita Yesu labda mwanasesere

  • @HabibaMussa-y4u
    @HabibaMussa-y4u 2 วันที่ผ่านมา

    Daaah inauma sana mwenyez mungù ailaze mahala pema peponi,na laana imtafune maisha yake yote yule alie thubutu kumuua malaika wa mungu.🙌🏾

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmmmmmmh dunia ni mapito. Kafaraaaa ya mwaka 😢😢😢😢😢

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 วันที่ผ่านมา

    Sasa makaburini kwa mtoto kila siku mnafwata nini mmmmmh ukifutiria vizuri hili somo utaelewa huyuu dada anajuwa kabisa kilicho muuwa mtoto anazuga tuu hali mbona kujirikodi makaburini anaweza😂😂😂 😂😂 na kuturushia.mitandandaoni tumuone kesho utajiri huu hapa pesa na kugawa kwa maskini .lakini unekula yai laki 😂😂😂😂😂

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 2 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani jamani wamemkatili malaika alikua na ndoto zake😭😭😭

  • @Rawdha-y8t
    @Rawdha-y8t 2 วันที่ผ่านมา +6

    mama ake naye ananguvu siku hiyo hiyo akapata nguvu ya kupost

  • @NevlinMathew
    @NevlinMathew 2 วันที่ผ่านมา

    Kaka atueleze vizuri. Ni sadaka hii au ?

  • @Mina.15
    @Mina.15 วันที่ผ่านมา

    Kafara

  • @oyaticharles1051
    @oyaticharles1051 2 วันที่ผ่านมา

    May the young angel rest easy

  • @Almas-tf3eb
    @Almas-tf3eb 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi pia natamanii kumuona huyo Nahisi siyooo binadamu

  • @Yehova_Kwanza
    @Yehova_Kwanza วันที่ผ่านมา

    Hata hasipo kula SI alienda kungonoka

  • @SarahAstariko-n4c
    @SarahAstariko-n4c 2 วันที่ผ่านมา

    Yaani aka akajielewi wewe unakuwa yesu kwa kusaidia watu haya toa vitabu vya ukumu tukuamini sasa

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 2 วันที่ผ่านมา

    Anaumia akapost kweli nguvu za kuandika ilitoka wapi hyu mwanamke mzembe hivi jamank

  • @GoodluckMauki
    @GoodluckMauki วันที่ผ่านมา

    Kuna kanamna hapo tusubiri matokeo

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 2 วันที่ผ่านมา

    Eti yeye ni yesu Kwa kipi👌

  • @shebclever1198
    @shebclever1198 2 วันที่ผ่านมา

    Kwani tupo kwenye kipindi gan?

  • @SarahAstariko-n4c
    @SarahAstariko-n4c 2 วันที่ผ่านมา

    Alafu naomba nitumie laki tano nadaiwa vikoba sina hela atuwezi kuteseka wakati pesa mnazo ukipata hii mesejinitumie pesa

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 2 วันที่ผ่านมา

      si utafte kama yeye alivyotfta

    • @SarahAstariko-n4c
      @SarahAstariko-n4c 2 วันที่ผ่านมา

      @aishaibrahim5607 nimetafuta nimekosa ndo maana nimemwomba

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 2 วันที่ผ่านมา

      @SarahAstariko-n4c ujaomb bali umelazimisha maana et uwez teseka wakt ela wanazo uko ndo kuomb haya unashida ya shingp mybe nitakuwa nayo

  • @MariamFrancis-uo9bc
    @MariamFrancis-uo9bc 2 วันที่ผ่านมา

    Na mm natamani nionane nae

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 2 วันที่ผ่านมา

    Huyo kanyenye mbona hatujamsikia akiongea kuhusu mwanae

  • @AthumaniChalamila-c9f
    @AthumaniChalamila-c9f 2 วันที่ผ่านมา

    Jama akili anazo kweli eti yeye yesu 😂

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d 2 วันที่ผ่านมา

    Dah nimemuelewa huyu kaka

  • @GidoJohn-ow7jc
    @GidoJohn-ow7jc 2 วันที่ผ่านมา

    Wew yesu gan wew boya tyu

  • @juliethkatabwa5306
    @juliethkatabwa5306 2 วันที่ผ่านมา

    Ndg zangu mimi nasema MATAJIRI WANAO CHUKUA BIUNGO MJIANDAE KUUBUKA.
    NACHUKIA SANA MASHETANI WAPENDA PESA. ngojeni Mungu ana Asira saaana. Tubadilike.