MASOUD KIPANYA ATUONESHA KIWANDA CHAKE CHA UZALISHAJI WA MAGARI, CHONGOLO AFIKA ' UBUNIFU MKUBWA'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @juliussanane1860
    @juliussanane1860 2 ปีที่แล้ว +7

    Kongole Sana kaka Masoud kwa hatua kubwa hii uliufanya unatupa hamasa vijana wenzio nasi kuongeza ubunifu kwenye kazi zetu

  • @divinewisdom4721
    @divinewisdom4721 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kumsaidia kaka yetu Masoud kipanya afanikiwe kwenye lengo lake, na afanikiwe kuwapa watu ajira za kutosha. Kwa mzazi ambae amepita uchungu wa kumlea mtoto special na bado akawa na ndoto kubwa kama hii, nampongeza sana. Mungu amsaidie atuwakilishe nchi yetu vizuri na najivunia kwa masoud kuzaliwa Tanzania.

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 2 ปีที่แล้ว +9

    Acheni maneno Tungeni Sheria inayosimamia ubunifu wa watanzania acheni porojo

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 ปีที่แล้ว +2

    Kapyeee motors ndo mtajua hamjui made in TANZANIA🇹🇿🇹🇿

  • @cmantz8837
    @cmantz8837 2 ปีที่แล้ว +7

    Shida bongo huwa tunaishiaga hivyo tukusifia . ila kaka masudi kaza tu asikukatishe MTU tamaa

  • @storytownTv
    @storytownTv 2 ปีที่แล้ว +5

    Uyu jamaa angefany ichi kitu kipindi Cha Magufuli angesh pewa full support kitambooo sanaaaa. Sasa apa tunazunguka zunguka tu mda nao unaenda ila sijui tu

    • @bullermgana213
      @bullermgana213 2 ปีที่แล้ว

      Acha uongo bro mwaka 2018 vijana wa NIT walitengeneza gari la umeme walipewa support gan? Hebu tutoe mawazo hapa tulipo tunaendaje mbele tusirud nyuma

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 ปีที่แล้ว

      mh.una uhakika?

  • @ayshamadege7981
    @ayshamadege7981 2 ปีที่แล้ว +2

    Umeupiga mwingi sana kaka 🙌👏👏

  • @kalidjokitokololoofficielt3500
    @kalidjokitokololoofficielt3500 2 ปีที่แล้ว

    Ongera sana kaka

  • @yonnakenyatta135
    @yonnakenyatta135 2 ปีที่แล้ว +2

    Aendelezwe jamani

  • @jumadauda1003
    @jumadauda1003 2 ปีที่แล้ว

    Bwana kongore sana. Ninachojiuliza hivi wale watu wa viwango na mazingira wapo?. Na wale ma maphd wapo?. Hawaoni aibu?. Na wale wasomi wetu wakubwa wanalia Akira hakuna hawaoni aibu?. Nakushukuru Kwa uthubutu wako umetengeza njia kubwa sana ambayo watanzania waitumie. Naishia hapo maana nashindwa nikupongezeje.

  • @kimemmanuel8995
    @kimemmanuel8995 2 ปีที่แล้ว

    Hongeraa KP

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 ปีที่แล้ว

    Yaje mtaani jamani tunahitaji

  • @pcpoint1224
    @pcpoint1224 ปีที่แล้ว

    Masudi watengenezee simba basi wanateseka

  • @chris_jabari
    @chris_jabari 2 ปีที่แล้ว +1

    African Elon Musk

  • @russia1253
    @russia1253 2 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️👏👏👏👏👏

  • @dominicchigumila2202
    @dominicchigumila2202 2 ปีที่แล้ว

    Katibu umeongea logic xana

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 ปีที่แล้ว +2

    SHINGAPI JMNI IVYO VGARI

  • @spofficeandbusiness8538
    @spofficeandbusiness8538 2 ปีที่แล้ว

    Sasa huyu Katibu wa CCM hii ndiyo sehemu yake kweli

    • @charlesmsigwa1515
      @charlesmsigwa1515 2 ปีที่แล้ว

      Uhamasishaji ni kazi ya chama kinachojali. Big up comrade Chongolo.

  • @psuccess9624
    @psuccess9624 2 ปีที่แล้ว

    Tazama kauli mbiu iliyo tolewa bungeni wa uundaji wa viwanda Tsnzania👉🏻👉🏻👉🏻
    th-cam.com/video/2rKtgjxtdko/w-d-xo.html

  • @brytonmbilinyi4560
    @brytonmbilinyi4560 2 ปีที่แล้ว

    mweshimiwa acha kitulisha matango poli i namana Hugo kipanya ametengeneza kilakitu acha kutuchanganya? masudi amechomelea bbodi tuu.vingine amenunua dukani na kuunganisha tuu sasa unataka utuambie asudi anakiwanda au gereji

    • @mdta8161
      @mdta8161 2 ปีที่แล้ว

      Heee kweli tz Kuna kazi

  • @josephandrew3444
    @josephandrew3444 2 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza je hilo gari ni forward

  • @naija6679
    @naija6679 2 ปีที่แล้ว

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    *#*#......
    th-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/w-d-xo.html

  • @naija6679
    @naija6679 2 ปีที่แล้ว

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA
    *#*#......
    th-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/w-d-xo.html

    • @moboss2197
      @moboss2197 2 ปีที่แล้ว

      Ipowapi hiyo