We dada mbona nmechelewa kukufahamu jamani,asante ubarikiwe yaani mara nyingi nmepika cake kama ugali,ila leoooooooooo 🔥🔥🔥🔥🔥nmepika cake moja matata haijawahi tokea ubarikiwe mbioni🙏🙏🙏
Shukrani sana mziwanda , ubarikiwe sana ila naomba niulize ni temperature ngap na dk ngap zinaweza kuivisha keki kwenye oven maana nikifata zile walizopendekeza wao unakuta basi haijaiva na ni lazima nitoe pale juu Ili iive na ndani natumia oven ya pmc
Me oven yangu ni lita 55 aisee mwanzo ilinisumbua sana nakumbuka nilikutafuta ukaweza nisaidia dada hakika Mungu abariki kazi ya mikono yako nakupenda sana sana
Mara ya kwanza cake haikupanda , Mara ya pili ilipanda vizur ila ilipasuka kati na mlima juu. Ya tatu hivyohivyo basi nikahamia kwenye mkaa. Kwa somo hili naimani mambo yataenda sawa. Ubarikiwe dada
Je umepeleleza ukorogaji wako kwa makini??,,na je hufungui oven mara baada ya kuweka keki yako?? Na hakikisha utingishi tingishi oven yako pia kingine zingatia recipe zako
Asante sana Dada ! Mi mara ya 1 nilisumbuka kweli kweli ,afu nikajua nisipo funika haitoki ,lakini kwa sasa najitahidi ,cake inatoka vizuri.Asante sana na ubarikiwe saaaana
Naomba kuuliza naweza ijaza oveni nafasi zote,kwamfano nikiwa nabake vile vikake vidogo dogo ni ikaiva vizuri,na kabla nikiwa naanza kubake niwashe kwanza ya juu au chini
@@mziwandabakers8297 (yan jumala zipo button sita tuuu,ambapo NNE ni zakuwashia plate NNE za gas na mbili niza oven, ambapo Katya hizo mbili moja niya timer na ingine niya moto means inaonyesha moto wajuu au chini
hello...asante kwa masomo yako wafundisha vizuri. madam...ila mimi oven yangu ni ya winningstar lt60.ina. temperature knobs mbili..je zinatumikaje wakati wa kubake?naomba nijuze tafadhali.nawasha zote au moja tu?
Katika hizo mbili angalia kama ni za Baking ama kama linamajiko juu laweza kuwa la cooker,pia angalia kama wamekuonyesha any sign kuwa ni la bake ya chini na juu....natumai nimejaribu kusaidia
Check mlango wake huenda unatoa hewa nje na hiyo ni mbaya sana kwa oven zetu ,,jaribu kuifunika towel au blanket hapo mlangoni pia mshirikishe fundi mzuri
Mambo vipi mziwanda, oven yangu nikibake haziivi ndani, na hazipati rangi, baada ya kuangalia clip hapo juu nimegundua inatakiwa kuondoa mabati ndani na kutumia rake tu.ntajaribu Tena nione
Kiukweli nimejua kutumia oven kwasababu yako unaweza kumuelekeza mtu vizuri nilikuwa siwez kuchanganya kabisa vitu vya cake now nami watu wanaomba niwaelekeze japo kupamba bado i hop nitaweza soon
Asant Kwa mafundisho mazuri Jaman ninashukuru nitanza kupika nione namna keki inaweza kitoka Kwa mara ya kwnza
Na moto ume tumia wa chini tu au wajuu na chini
Juu na chini angalia Kuna vimstari
Asante sana,nimejifunza mengi sana kupitia wewe.ur the best teacher .Mwenyez Mungu akuweke Insha Allah.
Amiin Yaa Rabb 🙏🙏
miaka elfu kwako love
@@mziwandabakers8297 mamy tunaomba recipe ya cake wanaouza supermakert zile zinazokaa muda bila kuharibika vitu ambavyo huwekwa na vipimo
We dada mbona nmechelewa kukufahamu jamani,asante ubarikiwe yaani mara nyingi nmepika cake kama ugali,ila leoooooooooo 🔥🔥🔥🔥🔥nmepika cake moja matata haijawahi tokea ubarikiwe mbioni🙏🙏🙏
Naweza kubeke keki kwa moto wa chini na juu yaani kwa maramoja au nianze wa chini alafu nije wajuu
Ahsante mungu akubariki niliipak ahsante nitajaribu tena
Hapo kwenye oven unatakiwa juu na chini au chini tuu.ahsant.
Asante sana kwa mafunzo ..from Burundi
Habari Ahsante sanaaa hapo NI Moto juu na chini au
Ndio ni juu na chini
E skozi Moto ni juu na chini
Hasante sana dada
Nashindwa nifanyaje mpnz keki haiivii kati inanisumbua sana..Ila ubarikkwe umenifunza vingi mno
Asalam aleikum mm naomba kuuliza kuchoma kaki watumia moto wa juu na chini ama chini pekeyake
Moto wa cake ngap chini na juu
Asante mwalimu wito upo ndani yako,nilikua sijui chochote kuhusu cake sasahivi angalau najua kupika Mungu akuweke
Jamn mm naomb kuuliz mwalim hv keki km ukipika n blue band haifai
Infaa sem prestige ndo nzr zaid keki inkuw lain
Dada naomba unisaidie kujua Oven nzuri nikampuni gani
naomba kuliza mwalimu oven unawasha kabisa kabla ya kuchomaa
moto wa kwanz uliweka 150 pia au
I need to know where dish come from
Shukrani sana mziwanda , ubarikiwe sana ila naomba niulize ni temperature ngap na dk ngap zinaweza kuivisha keki kwenye oven maana nikifata zile walizopendekeza wao unakuta basi haijaiva na ni lazima nitoe pale juu Ili iive na ndani natumia oven ya pmc
Mungu akubariki najifunza mengi kwako
Samahani dada......kwenye function sijakuelewa uliwasha moto wa juu na chini au
Juu na chini
Mungu akubariki unaelekeza kwa upendo na taratibu sana.tunaomba utuelekeze kalimati nimepitia video cjaona labda nilipitwa😊
Sawa dear vitafunwa sijafanya vingi
Asante kutupa ujuzi Allah akupe afya uzidi kutujuza mimi nilikuwa naweka kabla ya kuiwasha kwanza kumbe inatakiwa uwasha wekwanza🙏
Ndio dear washa kwanza
Shukran nafatilia sana vidio zako keki Sasa hivi napika vizuri ila shuhuri kupamba kutengeniza
Icing sugar inatoa maji ni kwasababu gani habibity?
Mimi pia nilikuwa naweka kabla ya kuwasha duuu asante mwalimu nitaleta mrejesho
Kwa kweli hapo kweny unga tokea nijue videos zako cjawahi kukuelewa kuhusu hapo kwenye kukoroga unga Mbn ni kama unauacha unga na mabongebonge
Nime nunua westpoint ya lita 63 kuset moto ni sawa na hii mpz ????
Yan hua napenda kujusikilizaga Sana mafunzo yako. Unafundizha vizur Sana. Hongera mamy
Karibu sana dear
Mziwanda nimekusikiliza oven yangu inasumbua naomba unielekeze @mziwanda
Dada ovena yangu inaunguza juu sasa nianze namoto wachini ikipanda ndo niweke nawajuu ama nifanyeje
Upo vizuri Mwalimu mzuri Sana wewe
Thanks
more love from dubai
Thank you dear
Hello wakati unabeki....uliweka moto kwa chini tuu au uliweka juu na chini...
Wap unaangalizia nijue Lita ngap man mi naona 48
Dada naomba kujua bei ya oven
Hongera sana mziwanda bekar ninaswali samahan kuna shida ukichomeka jiko ukutani bila kuwa na sehem ya jiko
Sijaelewa dear kulichomeka bila kuwa na sehemu ya jiko ?
kawaida keki ya elf20 ina faa iwe na gram ngapi?
Mm naeka moto wa juu na chini lkn haiivi kati na moto naeka 180
Na sisi wa lita 48?
Asante dear, tunaomba pishi la mkate
Sawa dear
Samahan dada naomb kuliza nawasha juu na chin na je mbon nikiwasha zote inazima
Mimi naovena lita 45nimeona jins una oka kek
Skozi zinakuwa ngumu nafeli wapi
Me oven yangu ni lita 55 aisee mwanzo ilinisumbua sana nakumbuka nilikutafuta ukaweza nisaidia dada hakika Mungu abariki kazi ya mikono yako nakupenda sana sana
Amiin my dear sote tupate baraka
@@mziwandabakers8297 me yangu ni ltr 35 mpnz
Oven Kama it Bei gan my
@@mziwandabakers8297naeza fanya aje oven yngu haivishi kati kati
Kama naoka brown bread moto uwe kiasi gani
Jamani mi nakwama wap maana mkate napika masaa mengi unachelewa kuiva 😂😂😂😂
Mkate ndio changamoto au keki?
Samahan ukiwa unapika keki huwashi kwenye faction sijaona unaongwlea function umewwka tu temperature na dk
Mashallah
Baking powder gani nzuri kupikia
Me naomb kuuliza kwann nkipik keki zng ktk aziivi na alfu oven yngu nkipik keki nwek 1 hr lkn lzm niongeze moto ktk inkuw aijaiva ila pemben imeiva
Hizo baking tins naeza pata wapi
Naomba kujua jina la oveni yako plzz na ni litre ngap
Mara ya kwanza cake haikupanda , Mara ya pili ilipanda vizur ila ilipasuka kati na mlima juu. Ya tatu hivyohivyo basi nikahamia kwenye mkaa. Kwa somo hili naimani mambo yataenda sawa. Ubarikiwe dada
Amiin my dear
Oven kama hii beigan
Mm uwanapenda sana kupika keki lakini mara nyingi nikipika unakuta aivimbi au inavimba lakini ndani aijaiva sijui nakosea wapi
Je umepeleleza ukorogaji wako kwa makini??,,na je hufungui oven mara baada ya kuweka keki yako?? Na hakikisha utingishi tingishi oven yako pia kingine zingatia recipe zako
@@mziwandabakers8297 shukurani nitajitaidi
so educative
Asante sana Dada !
Mi mara ya 1 nilisumbuka kweli kweli ,afu nikajua nisipo funika haitoki ,lakini kwa sasa najitahidi ,cake inatoka vizuri.Asante sana na ubarikiwe saaaana
Amiin my dear nawe pia
@@mziwandabakers8297 ove
Kwakweli mm yakwangu inameguka meguka
Mm yangu nikioka mkate unakuwa mgumu shida n nn
za asubuhi jaman naomba unisadie nimepika keki lakin aijachambuka na nimeiokea kwenye oven ila nimetumia sufuria la kawaida
Mimi nilipika cake ikawa ngumu sijui nilikosea wapi
Jamani dada angu mbna Mimi naenda sawa na wewe lakini inajiminya inatoka kidogo sasa
Au unatumia chombo si sahihi??
Asante Sana mziwanda
Nimepika keki Mara nyingi Ila haivi katikati Nini shida oven yangu Ina Moto 40,85,130,180,225 na Max Sasa sijui keki napikia namba ngapi
Huenda hufuati vipimo sahihi pia hufuati Sheria, oven utaionea bure
Napenda oveni yako nikitaka kama hiyo nibei gani
dada nisaid hapo yangu aitok Braun inkuw shid nini
Pamoja Sana mwalimu wangu
😘😘
Mm naweka moto uwo uwo wa juu 180 dakika naweka chibi 50 ila nlipika keki inagua mpk inakuwa naweus mkubwa
Snteee dada kwa somo zuri ila mm naomba unisaidie kidogo moto mzur wa kuchomea mabanz ya biashara oven yangu ni lita 60 na ndo kwanza mpya
Sory naomba nkuulize nami yangu ni lt 60 mpya je unatumia socket ya umeme hii ya kawaida au mpka zile maalumu nyekundu
Naomba kujua juu unaweka moto wa 180 na chini inakuaje?pia unaset kwa pamoja au ni vp??
Naomba kuuliza naweza ijaza oveni nafasi zote,kwamfano nikiwa nabake vile vikake vidogo dogo ni ikaiva vizuri,na kabla nikiwa naanza kubake niwashe kwanza ya juu au chini
Naomba unielekeze jiko langu nimepika cake mara 2cinatoka mbichi hata sielewi maana jiko bado jipya
Dada mim oven yangu aipeleki Moto nilijalibu kupikia aikuiva
Dada je oven ikiwa Pamoja na jiko
Hivi ni lazima niweke huo waya katikati?
Ni muhimu kulingana na Aina ya oven yako
Mashaallah unafunza vzury atuwa kwa atuwa shukran da
Shukran dear karibu 😘
Ovena yangu haina moto wa chini pekeake hivyo inaniwia ugumu sana kuoka je nifanyeje
Mimi ndo leo nimenunua yakwangu lita 55 ata sijui nianze wapi
Sh ngapii
Mie yangu ni 48 L natumia 180 ilaa mlima hauniachii salama msaada please
Nikipika inaiva ila ni ngumu yani lile ganda la juu linakuwa gumu sana linakuwa kama biskuti sijui nakosea wapi mamy
I wish nionje teacher wangu
😋😋😋
Je unaweka mafuta kwenye sufuria au Trey kabla ya kuweka keki au mkate ili isinga'ang'anie? Na unatumia Moto wa juuna chin?
Tumia moto juu na chini, chombo pakaa mafuta
Yaani mimi inanisumbua mpaka nimekata tamaa kabisa
Hlw nahitaj kujua kama sina maziwa naeza tumia hata maji
Asante kwa somo, mungu akubariki dada, iyo oven inauzwa bei gani na wapi
400,000 0768859358
Nasisis wenywe oven ambayo haina moto wa kati tunafanyaje?
Hio issue km ya kwng.
Woow nc jmn,but oven yangu niya jiko la gas na oven ya umeme yan vimeungana yan siwez tumia kabsa et. Naomba msaada
Haviwezi kuungana jitahidi ujue cha oven ni kipi
@@mziwandabakers8297 (yan vibatan ya oven ,kipo cha timer na cha moto tu,bt temperature control hakuna c* plz msaada cz nimwaka na cjawah tumia
Zipo batani tatu??
@@mziwandabakers8297 (yan jumala zipo button sita tuuu,ambapo NNE ni zakuwashia plate NNE za gas na mbili niza oven, ambapo Katya hizo mbili moja niya timer na ingine niya moto means inaonyesha moto wajuu au chini
@@mziwandabakers8297 (ndio ziko tatu tu
Dada oven shingapi nikitakakujifunza mnafundisha shingapi kupika nakupamba keki
Mi nikipikakeki inakuwa ngumu
Ongeza ulaini kwenye uji pia zingatia moto
Naomba kuuliza mwalim nikitaka kuoka cake temperatur naweka ngap na timer naset vp
Oven lako hilo liter ngapi
70
Oven yamgu nilipika ikawa inapandosha keki then inatumbukia chini
Uji mwepesi huo balance Ingredients pia usitingishe wala kufungua oven kabla ya dakika 45 kuisha
Nasisis wenywe oven ambayo haina moto wa kupika juu na chini kwa pamoja tunafanyaje?
Samahani nilikuwa naomba nionane nawewe au tuongse nakupataje Aunt
hello...asante kwa masomo yako wafundisha vizuri. madam...ila mimi oven yangu ni ya winningstar lt60.ina. temperature knobs mbili..je zinatumikaje wakati wa kubake?naomba nijuze tafadhali.nawasha zote au moja tu?
Katika hizo mbili angalia kama ni za Baking ama kama linamajiko juu laweza kuwa la cooker,pia angalia kama wamekuonyesha any sign kuwa ni la bake ya chini na juu....natumai nimejaribu kusaidia
@@mziwandabakers8297 asante ...ingawa inanitatiza make ina temp knobs mbili..na pia ina heat selector.
Unaweza kupikia sufuria yakawaida
Habari Mimi oven yangu ni delta Lita 60naomba msaada jinsi ya kutumia oven
Nina oven yangu ahiivishi vizuri natumia maasaa hadi mawili lakini haiivishi shida nn hapo msaada inapika lita kumi na mbili
Check mlango wake huenda unatoa hewa nje na hiyo ni mbaya sana kwa oven zetu ,,jaribu kuifunika towel au blanket hapo mlangoni pia mshirikishe fundi mzuri
Habar dada me nimenunua oven Ila ndo naanza kutumia nijifunz kupik keki HIV unawek Amira na hizo sufuria chin unawek mafut au vp
Mbona mm nikipika keki haivi Kati😭
Je,umezingatia vipimo
Je, sheria za keki unazo?
Pitia video yetu yenye sheria za keki utapata kitu naamini
Jiko langu mi plate sita nne gas mbili umeme switch ya oven no moja hiyohiyo moja tuu ya 2 niya kuset muda naomba maelekezo tafadhali
Mambo vipi mziwanda, oven yangu nikibake haziivi ndani, na hazipati rangi, baada ya kuangalia clip hapo juu nimegundua inatakiwa kuondoa mabati ndani na kutumia rake tu.ntajaribu Tena nione
Hata mm nimejifunza❤
Mi Huwa nachanganya siagi na sukari pamoja nakusaga. Kwa mana Huwa nakosea?, Nimeona wewe umeanza kupiga siagi kwanza. Alafu mi siwekagi kimiminika
Hivi kwani keki ukibeck ni unasert moto wa chini na juu au unaanza wa chini ikishapanda ndio unaweka wa juu
Ipo vizuri @@fatmahussein4563
Kiukweli nimejua kutumia oven kwasababu yako unaweza kumuelekeza mtu vizuri nilikuwa siwez kuchanganya kabisa vitu vya cake now nami watu wanaomba niwaelekeze japo kupamba bado i hop nitaweza soon
💪💪💪Safi saaana