Kumbe wimbo huu uliimba wewe dudu baya ila ni wa miaka mingi hauchuji jaman nakumbuka huu wimbo nilianza kusikiliza hata vidudu sijaanza hadi leo bado upo juu tu kweli wasanii dhamani mulimba nyimbo zur zenye ujumbe mzuri sana cyo sawa na hawa wa siku hizi waimba leo kesho hauna ladha tena umeisha utam
Can we all agree on one thing-we all came here this is a fuckin' beautiful song! I remember listening to this in high school! Muck love,peace and light from Nairobi, Kenya!
Nimekuja hapa baada ya kuona maujiano ya Sandra kwa bona kama umekuja hapa baada yakuona ma ujiano ya bonatv tujuane hapa 💃💃💃 tar 18/4/2022 goma bado la moto mashaa allah ♥
Nakubali sana huu wimbo konki konki konki master aka oil chafu aka dudu baya.mwanaharakati msema ukweli hata gari yangu naliita konki konki konki master Mombasa kenya
2025 bado ngoma inatesa....dudu baya much love from kenya❤ gonga like twende tukisonga.
Oya ni mwezi wa sita 2024 naomba like hapa❤
❤
Hapa nakumbuka nikiwa mdogo wa Miaka minne saivi nimekua mkubwa naelewa maana yake mapenzi na doo,
Nasikiliza hapa 2024❤️👊👊
😂😂apo hali vipi?
@@moneymane1082 mambo freshi 💔
🤣🤣🤣😅😅😅
@@moneymane1082Hali jinsi unavyo ina mapenzi na pesa😂😂
@@JudyLee-hf9cyhaki sisi😂😂
Haya ndio yalikuwa madude ya fujo.
Mob love from Kenya 2023
2024 motooo kma bado unaskilizia gonga like tuende pamoja
And where are these people?
wasanii wazamani ndio walikua kusema ila wasanii wakisasa burerekabisa❤❤🎉🎉😢😢
Hii ilikuwa noma
Naipenda sana
We sikupatia iyo like?😄tukopamoja bana nayisikiliza sasa hivi😄
LOVE FROM KENYA 2024 STILL ROCKING❤❤
Kama bado unanipenda hii ngoma achia like
Ngoma Kali hasa ukiwa kwenye gari unasafiri mlima kitonga
2020 lakin bado tunalisongesha kuzikumbuka nyimbo tulizokua nazo onelove weka like yako twende pamoja
Ukweli bongo flavor za zamani ni nzuri sana hata haiwezi kuchuja kamwe
💪Hao ndo walikua originally musicians,wengine wanaiga. I love you konki🇰🇪
kali sana
mambaaaaa, konki, konki, konki mastaaaaa, Tororo boy much rispect
2022 still one of the best jam in kenya 🇰🇪
🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
This song waah waja tu 😁 those days Old is Gold enyewe 🙏
2023 best Coco jam in Kenya 😋🌠
Yessir
KONKI KONKI KONKI MASTAA .. OIL CHAFU MAMBAA
Romanus Tv konk konk konk master oil chafu
@@ramadhanurassa2410 Nomaa
waambie ma konk wote Wagonge like hapa
😁😁😁kazi kazi
Konki konki konki master oil chafuuuuu
Kama umeangalia hii ngoma 2019 gonga like apa chini dudu baya
Beat za mika mwamba hazidanganyiii.....🔥🔥🔥
Back here for the Nolstagia 1 May 2023 those old days on East Africa Television
One love From Uganda 🇺🇬 ❤
Tanzania 🇹🇿 product never gets old
You can feel the instrument 🎸 The Base
Coz beats zilisukwa na maproducer wenye vipaji na uwezo
Mpaka ivi ngoma ni nzuri kabisa kali sana
Tokea Drc 🇨🇩 😍
My brother ngoma hilivuma mwaka gani? From drcongo 🇨🇩
Mapenzi asiependa doo. Mwananke mchamungu aliejisitiri na kulelewa vizuri. Ila na wazazi au na Dunia yenyewe. Nakupenda sana baby
Those old golden days,when every song was a hit,still jamming from Kenya🇰🇪
every song was a hit.
Ni 2023 lakini bado nausikiliza huu wimbo dah much love from kenya
Fantastic...Job poa napenda kazi zako Dudu..
Bwanaake mwanalisa 😂😂😂😂 baba kachoka zarau wakati kashawatafuna sana
Nakumbuka hii ngoma mwaka 2004 ilikuwa balaa zito🙌🙌
Love from Kenya ❤… hii ni zaidi ya NYEGEZI… . . . . . . . #Yankolowski
In 2004 it became a national anthem here in Kenya,stl a big tune in 2020
Daaah maisha haya sa hv ndo naanza kuelewa enzi hizo nilikuwa cjui hata nn maana ya mapenz😂
Still listening in 2023 never get old😊😊
Dudu Ba , mbaya adi leo na kesho 🇰🇪🇰🇪
Wanangu wa mboka manyema enzi hizo ndani ya Mwana isungu acha kabisaaaaa
Mzee enzii izo ilikua n.s.s.f gorofani kwa porojoo
Bado tupo 2024. Love from Uganda 🇺🇬 This jam came out when I had just joined secondary school. Very nostalgic!
Hu wimbo unanikumbusha mbali sana kuna dem nilikuwa nafukuzia halafu mfoni sina kitu
Pole ulimpata au hukumpata tena kaka huu wimbo unatoka mm nilikuwa bado mdogo sana hata la kwanza sijaanza
Tbt
This song was a total hit dem days in kenyan clubs especially kenyan coast mombasa❤❤🇰🇪🇰🇪
2024 tupo ndani tukiskiza. Inshallah!!
Pamoja sana 18/5/2024
Hiki kitu hakichuji 🙌🙌🙌 kachuja yy mwenyewe tu
This was a hit during our high school days 15 years ago. Love this song though I don't understand the language.
Congo bado ina liya iyi song🇨🇩
Gonga like kama bado waitazama iyi ngoma ya Konki konk konki master..oil chafu😀😀😀 NOV 4/ 2018
saaahii tu
😂😂
Actually l was listening it right now,thumbing up me🇰🇪
Director alitisha sana japo zilikuwa enzi za mwalimu watchinf again today 29/9/19
Hii ngoma inanikumbusha mbali na all days naiona Mpya kwang konki konki konki Master..
kabla dudu baya ajavurugwa a kitu cha arusha,.....namskiliza leo 2019, rudi kazn dudu baya acha kiki za oil chafu.....
Daah hii nyimbo ni kali kinoma ..dudu baya uko wapi mzee baba rudi industries mkuu...wewe ni nomaa....
Dhaa ngoma Kali Sana hiii dhaa nakumbaka mbali Sana Mr dudu baya nikiwa shinyaga Mgodin kipid kile dhaa
watu wakazi bado naamini mziki wa zamani unaishi nabado wapo vizuri dudu baya necha profesa sugu dah watu wakazi
Waaah! Dudu Mbaya uliamua kutuumiza na ngoma hili jameni zile enzi. KBC radio Kenya haingekosa kucheza hii ngoma ma saa tisa saa kumi hivi.
Old is gold,used to listen back in primary
Mungu akulaze mahari pema peponi rafiki yangu brenda ulikuwa ukiupenda sana huu wimbo
Wwe dudu kumbuka ulipotoka,,,hahaaaaaaa saiv unajiit qonk master noma sana
KONKI KONKI KONKI. .MASTER KUMBE NDIO HUYU😃😃enzi hzo nipo darasa la 4
2003/2004,kweli imenikumbusha mbali
Niliamishwa kijijini kwa sababu ya kwimba huu wimbo na mama nakunipeleka eldoret kunitupa huko ni kijina was Luanda
This beat is number one to this day ❤
Kumbe wimbo huu uliimba wewe dudu baya ila ni wa miaka mingi hauchuji jaman nakumbuka huu wimbo nilianza kusikiliza hata vidudu sijaanza hadi leo bado upo juu tu kweli wasanii dhamani mulimba nyimbo zur zenye ujumbe mzuri sana cyo sawa na hawa wa siku hizi waimba leo kesho hauna ladha tena umeisha utam
LOL! cheza baby "tetemente" tingisha baby " nauweza"
i like it!
Dudu baya.mzee noma.toa kitu kingine
Ni Nani anapoangalia lazima asome koment like apa
Umejuaje mrembo
Ulijuaje
mh
Prisca lazima usome coment
Ngoma kali kama ulivyo wewe
Hiii ngoma nilikua naidance yorkhouse na f2 kenya walai when life then was simple
Big up for mika mwamba still a legendary producer
konki konki konki master bababaaaaaa nyie yako bado tunacheki adi mwaka huu this is living song bruh
Can we all agree on one thing-we all came here this is a fuckin' beautiful song! I remember listening to this in high school! Muck love,peace and light from Nairobi, Kenya!
8 years ago!!
Wait tell me more about those years.like mlikua na smart phone? Ama wewe ulikua coolkid?😂😂
Bro love its 10 years ago
Woooooiiiiii 10yrs 😢
One of the best songs of all times
Konki konki konki master oil chafu mamba kama unamkubali weka like hapa twende sawa
Nakupendasana hatawasemenini
Nimekuja hapa baada ya kuona maujiano ya Sandra kwa bona kama umekuja hapa baada yakuona ma ujiano ya bonatv tujuane hapa 💃💃💃 tar 18/4/2022 goma bado la moto mashaa allah ♥
Mim pia 😂😂
...takes mi down memory lane,growing up at Mnarani,kilifi way back 2003 it was the the biggest hit,,,makuti club
Peter Kyalo it was fire then bro
Hapa oil ilikuwa haijachafuka bado😳👀
Listening to this song in 2023 ,stars born in 2095 know that this hit made my childhood lit.i died long-time ago
Nakubali sana huu wimbo konki konki konki master aka oil chafu aka dudu baya.mwanaharakati msema ukweli hata gari yangu naliita konki konki konki master Mombasa kenya
When I got my first girl friend, this was the anthem, thanks to radio free Africa,and Rip "fredua"
My first boyfriend used to sing this song to me❤️
Daaaahhhh....... ngoma atalisana kipindi hicho nilikua bonge la tozi
2019 still watching!!! Hii song ze Dudu ata ungepiga remix au video mpya lingenoga kinyama!!!
I was in class 6 ata muthaara primary school juja nikiwa 14yrs hii ngoma ilikua heat those days mpaka sai iko heat
Nani anaangalia hii 2017 😂. mi
old is gold kwa kweli
Mj M meeeee
Mj M me
me, old iz gold
2018 😂
Sanasana
Konki konki konki master dadeki nakuja mtwara kwa ajili yako bro
Konk konk mastas 2019 kama bado unamkubali dudu kupitia hii ngoma gonga like yako hapa
Enzi zile aaaaaaaa ulifurahisha
Mambaaa konki mwenyewe home boy ..kitambo sana
Songs za watu wab4 most of them still some people wanazlike na kuzisikiza like me,if you're one of them like apa🇰🇪
Konki konki konki master 😘 siachiiiii kuangalia hii nyimbo
Kma bdo 2024 unasikilza hi ngoma gonga like tukisonga
Hahahha duuh wew ulikuwaga noma sana unanikumbush mbali sana
The track was huge in Kenya back then
Coz aliimba kikenya using slangs like manzi, dem, shore, doo, etc.
@@News254Kenya kabisa,but konki alidaisha aliishi Kenya,so alijua shengs🇰🇪
Mwambaaa enzi izo akuna vichupa zilikuwa ova saiz lkn walikuwa wanapendeza kinyamaaaaa
KONKI KONKI KONKI ... MASTER...OIL CHAFUU...MAMBAAA:'(🔥🔥🔥
Mzee mwenye hekimaa na busara🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This gave me inspiration to write a really cool riddim... Shouts out channel 5 for a dope childhood 🤣🤟🏿
Huyu ndio konk master dudu baya alinikosha kipindi hiki yaani hi ngoma aliipaform pale imasko temeke ilikua ni sheeda back in the day the dudu
Any ugandans in 2024❤❤❤😊😊
Huu wimbo ulikuwa mambo mbaya hapa 254 gonga like za 2024 tukisonga
kweli tunachoka tuna kongoloka na wanaume nao wanasep ni shedeee I see
Um Samir konk konk konk oil chafu
Bonge la Ngoma Hongera sana brother uko vizur
I was 8 years old when I first heard this song 🤣 time flies am now 31 years old a clean 23 years down the line
Liar
Utter lies.
@@mrfirstborn2839 umeona eeeh hii nyimbo km sio 2004 bas 2003
Now you are 35... Are you alive?
Sauti ya simba DUDU BAYA much love and respect from +256
Wow lovely it reminds me when I was young
indd me2
Jefason Kingy Mrs huuyy
on
Nilikuwa form one ilipotok..lalago sc maswa huko..natamani kuwaona mademu wote walioshiriki kwenye hii nyimbo walivyo kwa sasa
Nnani amekuja hapa baada ya list ya pili 2018
Ah! Ngoma za zama zakale..... Enzi zetu, kama upo gonga apa👊👊
Still watching 2019! Konki Konki Konki Masta!
nilikuwa kitoto from Tz Oman
🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪hatari bado 2024
A Legend...💯
I feel he's never received the credit that he deserves 😞😞😞
Kama umekumbuka hii 2019 Bonyeza LIKE
konki konki konki master,,, daah noma sana 2004 nna miaka kumi tu
am watching it again ! 9/19/2018
it reminds me of the good old days