Mkataba wa KADCO waibua mjadala mkali bungeni, Spika Tulia ashangaa, AG afafanua

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @Officiallaizer
    @Officiallaizer 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo ya hovyo kweli kweli 😢😢😢😢 afu sisi wananchi wa kia tunafukuzwa huko

  • @Officiallaizer
    @Officiallaizer 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe sheria nayo ina siasi ndani yake😢😢😢😢😢

  • @tumaininestory4037
    @tumaininestory4037 10 หลายเดือนก่อน

    99% ni chama kimoja lkn hawaelewani... confusion

  • @BrayanKalinga-jk1jb
    @BrayanKalinga-jk1jb 10 หลายเดือนก่อน

    Mbalawa kwanin huna mshipa waaibu kama binadam mbona wemuongo sana unauthi sana wenimuongo live

  • @nyungwajunior1301
    @nyungwajunior1301 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu Tulia ni msomi haswa wa sheria anawagonga maswalu magumu ambayo wanashindwa kujibu

  • @thetopafricatours9355
    @thetopafricatours9355 11 หลายเดือนก่อน

    Mzee Olesendeka yaani unaaa kuwa mshauri wa Waziri Mkuu au Raisi nadhani baraza la mawaziri linahitaji washauri kama hawa

  • @prospermsemwa1433
    @prospermsemwa1433 11 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaa kuna tatizo kubwa

  • @kristiankitali5505
    @kristiankitali5505 11 หลายเดือนก่อน

    Hawa wasomi sijui wanatupeleka wapi, mwanasheria Mkuu hajui anachoongea, mtu amemaliza mkataba lkn inachukua miaka eti sheria ya kutunga yani kila mahali matatizo

  • @PrissilaHussein-og3cg
    @PrissilaHussein-og3cg 11 หลายเดือนก่อน

    Mhm huyu ni AG kweli

  • @JoelFikirini
    @JoelFikirini 11 หลายเดือนก่อน

    Kwanini spika anapenda kujibia watu hasa mawazili??? kwanini inakua hivyoo

  • @StiveSylvester
    @StiveSylvester 11 หลายเดือนก่อน

    Ag umeishia darasa la ngapi

  • @kristiankitali5505
    @kristiankitali5505 11 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi inaliwa sana