RAIS WA FIFA NA CAF WAWASILI TANZANIA KUPEWA WENYEJI WA AFCON "KUNA NCHI 10 WAMEOMBA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @newking6497
    @newking6497 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanaoonekana kuwa na coordination nzuri just like brothers. I like that😍 Proudly Tz🇹🇿🇹🇿

  • @elomaerodynamique.1888
    @elomaerodynamique.1888 2 ปีที่แล้ว +1

    protect this man "Motsepe" the guy have a strong vision for the continent.

  • @kareisindilo2776
    @kareisindilo2776 2 ปีที่แล้ว +5

    pesa bana Patrice motsepe anamshika waziri bega kama mwanae tu😂😂😂

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 2 ปีที่แล้ว

    Faw frm hom land I got u guys, 🇦🇨its wonderful,

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo safi sana kusikia Tanzania 🇹🇿 na Uganda 🇺🇬 wanataka kuandaa hiyo African nations cup pasipo na Chikenya kwa kweli moyo wangu umefurahi sana maana adui yako njia nzuri ni kumkwepa kwa kila kitu 🏃🏃🏃🏃

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah, good job

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyo mtangazaji genius sana

  • @charlesbevin7666
    @charlesbevin7666 2 ปีที่แล้ว +2

    The reporter asked some good questions although he needs to learn to give people a chance to answer. The way he’s cutting them appeared to be rude and not professional. He sounded very excited, but still he shouldn’t cut them when they’re speaking.

  • @Jerie-q1c
    @Jerie-q1c 2 ปีที่แล้ว

    The CAF pres. Is Speaking English elegantly

  • @williamkilumbo1099
    @williamkilumbo1099 2 ปีที่แล้ว

    uyo kalia hana hakili kikao gani chanizam naskilizwa Mtu moja

  • @nauwarykabuma3793
    @nauwarykabuma3793 2 ปีที่แล้ว +1

    Alafu mtu kama Manara unamzalau karia una akili kweli ww Manara watu wakubwa hawa wanamuheshimu

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 2 ปีที่แล้ว

      Kwani yeye ni nani ni MUNGU au ona manyago yake hapo huyo rais wa fifa amesema aulizwe huyo Karia kuhusu uboreshaji wa viwanja sasa jiulize hivyo viwanja viko wapi? wakati hao fifa wanatowaga mipesa ya kufa watu na yeye amesema viwanja viwili nimesikia akisema Tanga na hapo Dar sasa kwa taarifa yako Manara atabaki kuwa Manara tena kileleni 🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃

  • @irenekisanga1761
    @irenekisanga1761 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mwandishi ameuliza maswali mazuri sana.

    • @efraimhealth7655
      @efraimhealth7655 2 ปีที่แล้ว

      Hongera sana umeuliza maswali mazuri yaan aiseee ufanikiwe zaidi

  • @hapaupdates9277
    @hapaupdates9277 2 ปีที่แล้ว +2

    KARIA GOOD WORK WENYE WIVU SASA

    • @winfordmwangonda5375
      @winfordmwangonda5375 2 ปีที่แล้ว

      Manara kanuna ile mbaya🤣🤣

    • @stemarcely7493
      @stemarcely7493 2 ปีที่แล้ว

      Watabaki na Makasiriko yao...sisi tunasonga mbele

  • @williampeterkajala563
    @williampeterkajala563 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mijitu Inamzarau karia🤐🤐🤐,

  • @Ianjunior10
    @Ianjunior10 2 ปีที่แล้ว +1

    Lugha ni tatizo 😪😂

  • @otmanhassan9552
    @otmanhassan9552 2 ปีที่แล้ว +1

    Uongo uo inawezekanaje Tanzania kupewa uenyeji wa Afcon wakati hakuna hata kiwanja kimoja Tanzania chenye sifa viwanja vyote Tanzania vibaya tena sana havistahiki kuchezewa mashindano makubwa kama hayo

    • @donc6317
      @donc6317 2 ปีที่แล้ว

      viwanja huwa vinarekebisho ikitokea hivyo ndio faida yenyeww

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwaio karia. Mbn apatiwi nafasi ya kuzungumuza??😂

  • @shedrackjacksonkaboza4348
    @shedrackjacksonkaboza4348 2 ปีที่แล้ว

    Kalia kwenye kingereza aise mbona amejikanyaga, mwambie aenda kwa Ras simba mwamba wa kingereza

  • @binzubeirnasheed4088
    @binzubeirnasheed4088 2 ปีที่แล้ว +1

    Raisi anaupiga mwingi kwenye ngelii

  • @seiphmpwanda7802
    @seiphmpwanda7802 2 ปีที่แล้ว +1

    Umuhimu wa kalia tutahuona pale atapotoka madalakani

  • @hossenmuhaji9471
    @hossenmuhaji9471 2 ปีที่แล้ว +2

    Halaf atokee mtu aidharau tff

    • @raybirry3816
      @raybirry3816 2 ปีที่แล้ว

      Mpeni Manara a promote, Tanzania isingewekwa na Uganda, Tanzania ingeandaa Afcon peke yake,Manara ana kipaji kutoka kwa mungu na hakuna wa kumpokonya .

  • @prince.eric_msemwa9732
    @prince.eric_msemwa9732 2 ปีที่แล้ว

    Twende palee...

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 2 ปีที่แล้ว

    Manara upo

  • @raybirry3816
    @raybirry3816 2 ปีที่แล้ว

    HAPA NDIO UNAONA KWA NINI WANACHUKI NA HAJI MANARA! HAJI MANARA ANA KIPAJI KUTOKA KWA MUNGU,ANGEWEZA KU PROMOTE HUU MKUTANO MARA 10 ZAIDI !!

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

    FIFA na Tanganyika no FIFA na Tanzania one day free Zanzibar insha Allah

    • @leonelleo4425
      @leonelleo4425 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 hutoona Uhuru wa zanzibar mpaka unaingia kaburini,kama una makasiriko jitie kitanzi..

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

      @@leonelleo4425 kama ilivokua hujuwi siku yako y kufa bc n uhuru wa Zanzibar hutojua mazali wewe unakufa n uhuru ukoloni wa Tanganyika utakufa kaa mkao wakula

  • @enickosanga4921
    @enickosanga4921 2 ปีที่แล้ว

    Asa kwenye miundo mbinu mbona kama bado tupo nyuma upande wa viwanja

    • @donc6317
      @donc6317 2 ปีที่แล้ว

      huwa caf inatoa bujet ya viwanja ikitokea tutapewa kuwa wenyej

  • @yohanayohana377
    @yohanayohana377 2 ปีที่แล้ว +1

    Kalia anachukiwa na wale wanao taka mpira wacheze na wapate matokeo kama wanavyo takawao

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/Px8RiIfulng/w-d-xo.html
    FAHAMU TABIA YA MTU YOYOTE ,AWE MKEO
    MUME, MTOTO WAKO BOSS WAKO, NA TABIA YAKO,
    KUPITIA MWENYEZI WAKO WA KUZALIWA..*#* th-cam.com/video/Px8RiIfulng/w-d-xo.html

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/Px8RiIfulng/w-d-xo.html
    FAHAMU TABIA YA MTU YOYOTE ,AWE MKEO
    MUME, MTOTO WAKO BOSS WAKO, NA TABIA YAKO,
    KUPITIA MWENYEZI WAKO WA KUZALIWA..*#* th-cam.com/video/Px8RiIfulng/w-d-xo.html