UHURU BILA MIPAKA KATIKA NDOA NI FUJO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 17

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว +2

    Jaman kipind kizuri❤elimu nzuri mnatupa❤ mashallah❤ila nakpendeni kwa ajili ya Allah (sw)❤❤❤❤❤❤❤

  • @mohduk1
    @mohduk1 ปีที่แล้ว

    Well said mwalim❤❤

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 ปีที่แล้ว

    Asanteni kwakutuelimisha Allah atuhifadhi naatusaidie

  • @iddswalehomar1323
    @iddswalehomar1323 ปีที่แล้ว +1

    Mola awabarikie muzidi kutoa mafunzo watu wazidi kuelimika INSHAALLAH

  • @HamadiMageti-ku2hg
    @HamadiMageti-ku2hg ปีที่แล้ว

    Sheh Rashid icho kipindi nikizur mno kinafundisha Sana mw mungu azid kuwapa nguvu walim wetu natuwaskilize kwaumakini sana

  • @زينبتنزانيا
    @زينبتنزانيا ปีที่แล้ว

    Duuh Allah awape Afya. Njema najifunza sana mashallah ,,, wa mipango mpoooo😂😂

  • @salmamussa1774
    @salmamussa1774 ปีที่แล้ว

    kipindi kizur mashallah m.naomba namb ya madam hap

  • @omanmuscatmus2155
    @omanmuscatmus2155 ปีที่แล้ว

    Manshaallah 💖💖💖

  • @mpwaguzipwagu3199
    @mpwaguzipwagu3199 ปีที่แล้ว

    Samahan mm swali, ktk haya yanayozungumwa ktk hichi kipind ndio yanayo fanyika huko majumban ?

  • @azzasaid1445
    @azzasaid1445 ปีที่แล้ว

    Jaman vp mbona mlke huyu anafhihirisha mapambo yk vp apoo

  • @kazyskyclay147
    @kazyskyclay147 ปีที่แล้ว +1

    😂😂kazi ipo hapa malofa wana mipango

  • @ابومعاذاحمدناصر
    @ابومعاذاحمدناصر ปีที่แล้ว

    Mwanamke yupo uchi huyu na kadhihishisha mapambo yake hina inaonekana hio. Musihafilike enyi mnaojinasibisha na uislam

  • @thabitdeco1575
    @thabitdeco1575 ปีที่แล้ว +1

    Ustadh RASHID VIPI HIYO HINA NA SOMO MTOTO SI PAMBO HILO AU

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว

      Wewe sikiliza kauli na maneno matamu usiangalie hina na mapambo, angalia na uskilize elimu usjipumbaze buree

    • @thabitdeco1575
      @thabitdeco1575 ปีที่แล้ว

      @@nahlahassan-fd6le cjauliza kwa ubaya ustadh wangu mm nimeuliza kwa wema tu na huyo mke wa mtu jee inafaa na hina cjatizama inajionesha yenyewe hpo ulamaa wangu mm cpo ktk watu wale unazani wanapenda mijadala ya ovyo hpn nimeuliza kwa nia njema tu

    • @thabitdeco1575
      @thabitdeco1575 ปีที่แล้ว

      Mm nasoma mambo mengi hapo na hicho kipindi nakipenda sana mana najifunza mengi kwa sababu mwana ndoa pia ila nimeuliza kwa wema sana