Tundu Lissu akijibu tuhuma za Lipumba kuhusu CHADEMA kuiboma CUF

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 88

  • @Tutindaga
    @Tutindaga 8 ปีที่แล้ว +6

    Lissu always speak Facts! He is ahead of time!

  • @mkude
    @mkude 8 ปีที่แล้ว +5

    mimi nampenda lipumba lakini umeongea ukweli kabisa lissu

    • @user-dk1nu4xj9g
      @user-dk1nu4xj9g 8 ปีที่แล้ว

      ɷɷɷɷ I Haveeee Watched Thissss Movieeee Leakedd Versionnn Hereeee : - t.co/SjZpZXw5gt

  • @Felix72282
    @Felix72282 8 ปีที่แล้ว +1

    Prof. Lipumba yupo sahihi sana. CHADEMA na Seif walihisi CHADEMA wangeshinda Tanzania Bara na Seif angeshinda Tanzania Visiwani. Ndo maana walimtenga wakihisi angekuwa kikwazo kwao. Hata hivyo mipango yao haikuzaa matunda.

  • @hassanihussein4479
    @hassanihussein4479 8 ปีที่แล้ว +3

    alihongwa na ccm huyoooo

  • @leonellykweka7165
    @leonellykweka7165 8 ปีที่แล้ว +10

    huyu Lisu anaakili mpaka anapitiliza alafu anaongea km anafundisha yaani kama mwalimu anayefundisha wajinga mbumbumbu kabisa wasiomuelewa natamani angekuwa anafundisha math mi naamini tungekuwa na A wengi tuliokuwaga na F

    • @christinamonyi4275
      @christinamonyi4275 7 ปีที่แล้ว

      Leonelly Kweka wanamahesabu hatuna maneno mengi boya wewe..

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 8 ปีที่แล้ว

    Hongera msema kweli Lissu

  • @denisfidelis7171
    @denisfidelis7171 8 ปีที่แล้ว +2

    kwa hili lissu yuko sahihi. ukawa umesaidia sana cuf na washirika wake

  • @jumangi7126
    @jumangi7126 8 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmmh... chademaaaaa kinaimeza cuf kweliiiii....

    • @famionlineapdates9371
      @famionlineapdates9371 8 ปีที่แล้ว

      Hujielewi unachokiongea ndo naana

    • @jumangi7126
      @jumangi7126 8 ปีที่แล้ว

      +Fami Said Wenda nkawa cjielewiiiii kweliiiii bt according ma low thnkng capacity

    • @jamesturuka3374
      @jamesturuka3374 8 ปีที่แล้ว

      ahaha kama hujaelewa na hapo pole sana

  • @barakamwamwaja9292
    @barakamwamwaja9292 8 ปีที่แล้ว +1

    Inawezekana Lissu upo sahihi kwa upande wako kwakuwa ume-base ktk idadi ya wabunge kuongezeka CUF kwa kusema ni sababu yenu ndo maana wameongeza idadi ya wabunge lkn umesahau kuwa maeneo mengi pia CUF ilikuwa inakubaliwa na ilitakiwa mgombea wao ndo asimame lkn from no where mliweka wagombea wenu mfano Segerea iliyosaidia jimbo kwenda kwengine.Kwahiyo NCCR mmeinyonga au?? Manake kabla ya kuungana ilikuwa na wabunge watano lkn sasa yupo mmoja kwahiyo hapo vipi???Tanzania politics zimejaa propaganda sana hadi ni kero aisee

  • @anisetnyaki750
    @anisetnyaki750 8 ปีที่แล้ว +1

    Lissu Naanza Kukudharau Aisee
    Maana Unaanza Kutumiwa

  • @kabaranamaganga6646
    @kabaranamaganga6646 8 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh! Yng macho kazi kwao

  • @mathayomkumbuchile1569
    @mathayomkumbuchile1569 7 ปีที่แล้ว

    Ahsante Mungu kwa Lissu,jamaa ana akili nyingi sana

  • @manyweletheboss1986
    @manyweletheboss1986 8 ปีที่แล้ว +1

    people power forever Lipumba bay bay watuache

  • @majidabdallah7563
    @majidabdallah7563 7 ปีที่แล้ว

    Godbless Lema

  • @josephwerema2509
    @josephwerema2509 8 ปีที่แล้ว

    Asante mnyamaaa lissuuuuuuuuu

  • @collinsfrank9041
    @collinsfrank9041 8 ปีที่แล้ว +2

    Kwl jamaa anatumiwa tu ili ukawa waache kujishughulisha na serikal waanze kugombana wenyewe...haha tunaita poor politics approach

  • @onesmomwacha6677
    @onesmomwacha6677 8 ปีที่แล้ว +1

    nyie wote mnaomponda lisu tunawajua ni akina nani wala hamtupi shida. mnajaribu kumchafua lkn hamtafanikiwa manunda nyie. kaeni kimya tuachieni lisu wetu.

  • @saulimwakyusa149
    @saulimwakyusa149 8 ปีที่แล้ว

    lisu noma

  • @georgepima4487
    @georgepima4487 8 ปีที่แล้ว

    Kaaazi kweli kweli

  • @masseanadir2904
    @masseanadir2904 8 ปีที่แล้ว +1

    mnaanza kugombana wenyewe makubwa haya

    • @munirsoud5347
      @munirsoud5347 7 ปีที่แล้ว

      Nadir Ali Hawagombani, bali wanaelezana ukweli bila ya kusemana pembeni

  • @elishaalex1747
    @elishaalex1747 8 ปีที่แล้ว

    lisu yupo sahihi sanaaaa

  • @mashangwanambalu6219
    @mashangwanambalu6219 8 ปีที่แล้ว +2

    Uhuru wa kutoa maoni hamzuii kuyasema haya.

  • @mrishohassan7355
    @mrishohassan7355 8 ปีที่แล้ว

    mwambie huyo anatumiwa na ccm,msomi mkubwa kiac lkn anafanya mambo ya hali ya chini.Lipumba wewe kwanza unasal kwhyo muogope mungu wako.

  • @michaeltuingilegewaubaridi8570
    @michaeltuingilegewaubaridi8570 8 ปีที่แล้ว

    nakukubali mno lisu

  • @ellyms5581
    @ellyms5581 7 ปีที่แล้ว +1

    nyie chadema siwapendi kabisa mmesababisha chama changu cha NSSR kukosa wawakilishi sababu ya kuweka wagombea wenu kwenye majimbo ambayo mlikubaliana nyie msiwepo CCM wakatushinda kirahisiii hasa hasa wewe Lisu ndio kinara wa hayo

  • @rukiarswidu834
    @rukiarswidu834 7 ปีที่แล้ว +1

    asante LISSU wetu

  • @magingijronlinetv2901
    @magingijronlinetv2901 7 ปีที่แล้ว

    Safi sanaaaaaa! Tundu boooy!!!

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 ปีที่แล้ว

    Lipumba,baada ya kujiuzulu na kurejea tena ni unafik mtupu na inawezekana kulikuwa na mchezo mchafu dhidi ya marehemu maalim Seif Sharif

  • @melckmbuya3518
    @melckmbuya3518 7 ปีที่แล้ว

    tatizo jina lamtu hufanana nae!!! kwann MTU usifanye ujinga kama unaitwa pumba?? lipumba labda anatumiwa na wakubwa !!!

  • @anisetnyaki750
    @anisetnyaki750 8 ปีที่แล้ว

    Hajampokea Mlikuwa Mnambypass Kwa Kutumia Maalim Seif

  • @mtulabaja1165
    @mtulabaja1165 8 ปีที่แล้ว

    Kwan lissu ww nani maana me sielewi kabisa.

  • @abuuaboubakary7460
    @abuuaboubakary7460 8 ปีที่แล้ว

    umenena uhalisia mkuu Lissu.

  • @emanuelmatela5488
    @emanuelmatela5488 8 ปีที่แล้ว

    safi sana lisu

  • @boniphacetv739
    @boniphacetv739 8 ปีที่แล้ว +2

    kwani msemaji wa chadema ndo lisu

    • @mwemsifrancis4157
      @mwemsifrancis4157 8 ปีที่แล้ว

      +Muzzo Musso ahahaha mwambie huyo

    • @shabbymakapane3212
      @shabbymakapane3212 7 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa Amekua Msemaji wa Chadema na So Mwana Sheria

    • @shabbymakapane3212
      @shabbymakapane3212 7 ปีที่แล้ว

      Anajishaua Sana Ajiulize kwanza Yupo Wapi Dr Slaa na Zito? Waliktukana Mamvi weee Mwisho Hahahahahahaha

    • @shabbymakapane3212
      @shabbymakapane3212 7 ปีที่แล้ว

      Bado Yeye kina Masawe wanamvutia kasi

  • @adsonmbosso1202
    @adsonmbosso1202 8 ปีที่แล้ว

    kama upinzani mnagona kila ck mnategemea c. c. m mtaishinda lini??, endeleeni tu kubishana wenzenu wanajiimalisha tu!!

  • @hamisimsalapai7785
    @hamisimsalapai7785 7 ปีที่แล้ว

    kazi ipo

  • @elizabethjomo6435
    @elizabethjomo6435 8 ปีที่แล้ว

    yani ni nyinyi tu duuuuuuuuh mmmhu tumewachoka

  • @antonymgogo1153
    @antonymgogo1153 7 ปีที่แล้ว

    positive!!!

  • @abuubadru2403
    @abuubadru2403 7 ปีที่แล้ว

    ebu subiri kidogo lisu.kwani wewe si ulituambia lowasa fisadi sasa imekuwaje mbona msomi ww nawe umeanguka kifikra?

  • @mgenikisukari1371
    @mgenikisukari1371 8 ปีที่แล้ว

    maneno kitu simple

  • @justinnoderosa9
    @justinnoderosa9 8 ปีที่แล้ว

    Fact Lissu....

  • @omarymwigula5479
    @omarymwigula5479 8 ปีที่แล้ว

    Acheni ujinga prof sio mpinzani tena anatumika kaona kafeli ktk plan A ya kujiuzulu wakati wa uchaguzi sasa kaja na plan B ya kuvuruga na anaelekea kufanikiwa nazani wangekaa kimya wasimjibu sababu kasimamishwa uanachama kumjibu ni kuleta migogoro

    • @williammbarikiwekwakwahudu1300
      @williammbarikiwekwakwahudu1300 7 ปีที่แล้ว

      Tundurs Nimtu wa kukurupuka, Mambo ya Cuf, yanakuhusu nn?Katiba ya cuf, na katiba ya chama cha chadema nitofauti, mkundu kuwaka, ww,,,,

  • @ibrahimbutera8157
    @ibrahimbutera8157 8 ปีที่แล้ว +1

    Tundu Lissu jalibu kuelewa nini maana ya Foundation, unapotaka kujenga nyumba bora na madhubuti ni lazima uwe na foundation nzuri bila kufanya hivyo hiyo nyumba haitakuwa madhubuti,Sasa usitake kupotosha wanachama kwa kusema vitu visivyokuwa na maana yoyote. Pro Lipumba alikuwa ni foundation madhubuti, na kuongezeka kwa wabunge katika chama CUF ni matunda yake yaani foundation nzuri, kwahiyo ndugu Lissu mind your business ndani ya chama chako mambo ya vyama vingine waachie wenyewe kwani hayakuhusu

    • @denisfidelis7171
      @denisfidelis7171 8 ปีที่แล้ว +1

      haa haa lissu yuko sahihi sana...

    • @mjumbemathias8346
      @mjumbemathias8346 8 ปีที่แล้ว

      Sikujua kama lipumba ndo mwanxilishi wa ukawa duuuuhhh!!!! Prof ur ze hero!!!,, achana na watoto hao wahuni fanya kaz na welevu wenzako

    • @sahimm4767
      @sahimm4767 ปีที่แล้ว

      Hukumfahamu lissu,

  • @Felix72282
    @Felix72282 8 ปีที่แล้ว

    Lissu, mbona NCCR - Mageuzi ilikuwa na wabunge 4, ila baada ya kuingia UKAWA NCCR imepata mbunge mmoja tu? Hoja ya kusema CUF imepata wabunge wengi si hoja. Kia maneno hayo Lissu anataka kutuambia kutuambia kuwa UKAWA imeidhoofisha NCCR - Mageuzi

  • @faidamanoni2285
    @faidamanoni2285 8 ปีที่แล้ว +1

    Hivi msemaji wa Chadema ni nani?

  • @papafikiri
    @papafikiri 8 ปีที่แล้ว

    hivi upinzani wa kweli bado upo???

  • @abdulmudy4595
    @abdulmudy4595 8 ปีที่แล้ว

    safii

    • @ibrahimmbilinyi8306
      @ibrahimmbilinyi8306 8 ปีที่แล้ว +1

      Mmm

    • @zamudulla1918
      @zamudulla1918 7 ปีที่แล้ว

      Abdul Mudy .gombaneni.mpakaaa. yadhiisha.kuwa vyama.vingi.ni.ubabaishajituu

  • @hashimsalum8746
    @hashimsalum8746 7 ปีที่แล้ว

    pambana na haliyako

  • @abdallamasoud8510
    @abdallamasoud8510 7 ปีที่แล้ว

    Ww lisu unaiongelea cuf kama nani wewe kwenda zako mbumbu wewe fala ss hatuwa amini nyinyi mafisadi ss tuna muamini profesa lipumba kwa sana tena kwanza wewe uwezi kuongelea cuf ongelea chadema kwann nyinyi chadema mafisadi hamna naadili???

    • @mussamahengejr8163
      @mussamahengejr8163 7 ปีที่แล้ว

      Abdalla Masoud, your level of appreciation is diminishing

  • @adamkatet274
    @adamkatet274 7 ปีที่แล้ว

    Muongo huyo

  • @majidabdallah7563
    @majidabdallah7563 7 ปีที่แล้ว

    Godbless Lema