BADO NIPO SINGLE / TUTARUDIANA NA RAYVAN - FAHY VANNY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 175

  • @rachelwalux7177
    @rachelwalux7177 3 ปีที่แล้ว +8

    Fahyvanny mapito yako yamenipa mafunzo mengi sana,yaani wewe ni mke mzuri sana.kwoyote Yalio tokea ume kaa kimya nakupenda sana fahyvanny ❤️❤️❤️

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 ปีที่แล้ว

    Fahyma vipi mpeszi ya Chuiiii RAVNNYN NEXTl LEVO MISIC

  • @yasmeenmichael8888
    @yasmeenmichael8888 3 ปีที่แล้ว +5

    Juzi rayvanny alisema anakumbuka ulivyo mtunza kama mtoto....this guy still loves u

  • @doreensakwa4875
    @doreensakwa4875 3 ปีที่แล้ว +20

    Fahyma u are full of wisdom na umetulia kweli nakupenda Bure❤️

    • @maimunampole9894
      @maimunampole9894 3 ปีที่แล้ว

      ❤ 👇 *BONYEZA KWANZA*
      th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html

    • @hassanmahadh2851
      @hassanmahadh2851 3 ปีที่แล้ว

      Tz mkona maneno eti nakupenda bure

  • @SelineChandja
    @SelineChandja 2 หลายเดือนก่อน

    Fahyma nakupenda sana Kweli ww dada nikitu usichojuwa tu❤❤❤❤❤

  • @kirakaro7599
    @kirakaro7599 3 ปีที่แล้ว +19

    Natamani rayvanny amrudie fayma nampenda huyu mwanadada💕💕💕💕💕💕

  • @jontezdiamond670
    @jontezdiamond670 3 ปีที่แล้ว +9

    Tumepigwa hapa hamna mrembo hapa believe me Wana zangamuana chini kwa chini

  • @rosaliakemunto4955
    @rosaliakemunto4955 3 ปีที่แล้ว +13

    Faymah ninakukubali sana wewe mrembo zaidi l love a girl too unatosha kwa ray

    • @tanzaverse
      @tanzaverse 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/944_PS1ugyk/w-d-xo.html

  • @lizliznj5851
    @lizliznj5851 3 ปีที่แล้ว +7

    Fahyma is beautiful with brains

  • @ElcieKavira
    @ElcieKavira 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana pia

  • @kukujuma1743
    @kukujuma1743 3 ปีที่แล้ว +7

    Mtoto mzuri na unaakili nyingi kila kitu unamtegemea mungu, Ubalikiwe

  • @phennymarura5859
    @phennymarura5859 3 ปีที่แล้ว +3

    She's very mature ...anajibu maswali vizuri Sana

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 3 ปีที่แล้ว +14

    Huyu manager huenda ndio aliyemshauri vibaya na ndiomana wanaona haendi.
    Ukiangalia vzr hili penzi lilikuwa strong sana mazee so kuvunjika kwake ndumba tu za hawa hawa wapambe wake waliona fursa kuwaachanisha ili waupige mwingi naye hakugutuka now anajuta lkn chui kashasepa hivo...Awabane wamuoneshe mganga walipoenda kumloga ili amfungue warudiane tu au wakaloge ili amove on tena.

  • @annavisenti3241
    @annavisenti3241 2 ปีที่แล้ว

    Dada we mzuri aisee

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว +2

    Fayhma jamani bado anampenda rayvanny wooiwi una majibu ya busara sana .

  • @amiria.mustafa9859
    @amiria.mustafa9859 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila wanawake bhanaaa cjui kwann wapogo hv, , ukimpenda sanaaa ukamfanyia kila anachokitaka basi atakuona km vile ndo kakuweza na kwake huchomok yan, na madharau yanaanzia apo sasa, zen after muun unapoamua kumove on wanaanza kulia saaa

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanawake wanapitia mengi nikiwahi kukoment mahala mwanamke kuzaa kabla ya ndoa uwezekano wa kuachwa ni mkubwa na mwanaume anaoa tena binti asiye na mtoto mwanamke anabaki mtoto wake kupata mwanaume ambaye yuko serious inakiwa shida dume linapata demu any time inaumiza sana kwa wanawake Jamani . Nikitakie3 kila la heri baba Mtoto wako akaone umuhimu wa nyie kuwa pamoja mkalee mtoto wenu kwa ndoa.

  • @zeshsulesh6084
    @zeshsulesh6084 3 ปีที่แล้ว +10

    Mrongo tu bado anampenda,

  • @rosesalekwa1306
    @rosesalekwa1306 3 ปีที่แล้ว

    Ndy nijibu sahii San Kama mungu amepanga itakua na van uta kua nae kama ajapanga ni bas nakupongeza kwakujituliza Kwan kama una mpenda mtu alafu akuzingua wew chakufanya nikufanya kazi tu kwanidii ili uje kuwa mtu mwingine ili ata yey aki kuona ana jutia ivi kumbe fhaima alikua mtu muimu kwangu

  • @vovobi2379
    @vovobi2379 3 ปีที่แล้ว +9

    Love you fahyvanny 😍😍😍😍

    • @maimunampole9894
      @maimunampole9894 3 ปีที่แล้ว

      ❤ 👇 *BONYEZA KWANZA*
      th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html

    • @hawahawa6132
      @hawahawa6132 3 ปีที่แล้ว

      Tulia Rey status tu

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashangingi kazini..mungu awaepushe watoto wangu wasiwe kama hawa ninaowaona

    • @sumayasumaya6455
      @sumayasumaya6455 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakika... wallah, na watu wanachukulia poa tu!?
      sometimes tunaona life is too tuf' ila hawa kama vile wanatuletea ugum, yaan ngono zimekua rasmi duh! ukiuliza..,kila mtu na uhuru wake, ardhi barka kwisha kabisa..eehh mungu tuamshe.yaan ukifikria siku hiyo tu..mpak naogopa. Amin

  • @خسنموس
    @خسنموس 3 ปีที่แล้ว +26

    Kusema ukwel Fahma Bdo anampenda Ray ata mausiano yake mapya cdhn km anafurahia Wrudiane tu walee mtoto wao Coz paula ajakomaa ana utoto mwingi.

    • @maimunampole9894
      @maimunampole9894 3 ปีที่แล้ว

      ❤ 👇 *BONYEZA KWANZA*
      th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html

  • @jeanyves8934
    @jeanyves8934 3 ปีที่แล้ว +18

    That’s my Girl #Fahvanny...💃✨💫

    • @amjudith
      @amjudith 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/-is47UbgpIEh/w-d-xo.htmlttps://th-cam.com/video/-is47UbgpIE/w-d-xo.html...

  • @user-yd8sp4es9n
    @user-yd8sp4es9n ปีที่แล้ว +1

    Kama.unamtutabua chui jjke pigaa likes

  • @mgendihd8440
    @mgendihd8440 3 ปีที่แล้ว +8

    Upo vizuri sana Fayvann cz watu wengi hupenda kuwafanya ma ex wao ka maadui wanapoachana bt umekuwa mwanamke wa kuigwa sana...nmependa sana ujasiri wa moyo wako

    • @tanzaverse
      @tanzaverse 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/944_PS1ugyk/w-d-xo.html

    • @viousa
      @viousa 3 ปีที่แล้ว

      Labda Kama umezaa nae lakini Kama hukuzaa nae unawasiliana na ex wa nini?

  • @theresialazaro4423
    @theresialazaro4423 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azid kukup moy wa ivyo ivy dad ang

  • @adjouminguezaye6691
    @adjouminguezaye6691 ปีที่แล้ว

    Ah oui Fayvanny la mère de Jay beau couple

  • @hannahnganga161
    @hannahnganga161 3 ปีที่แล้ว +8

    I really hope ravanny na fayvanny watarudiana,,, please God intervene

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว +5

    kabisa Meneger kaongeya kweli 🙉🙉😢😢🙉🙉🙉😩😩🤦‍♀️🤦‍♀️ mange kimambe kakwambiya muvone please

    • @maimunampole9894
      @maimunampole9894 3 ปีที่แล้ว

      ❤ 👇 *BONYEZA KWANZA*
      th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html

  • @mauwaishara7351
    @mauwaishara7351 2 ปีที่แล้ว

    Wow i love this girl 😘🥰♥️😍

  • @sifaChristopher2006
    @sifaChristopher2006 2 ปีที่แล้ว

    Fahyvanny nakupenda sana we dada

  • @queensheilahmoses4619
    @queensheilahmoses4619 3 ปีที่แล้ว

    Fayma mzuri Paula achana na bwana ya fayma

  • @reginamashinyari5058
    @reginamashinyari5058 2 ปีที่แล้ว

    namkubali saana fahma mwanamke fulan hivii anakila sifa ya kuitwa mke wa mtuu , fahima ana busara ana hekima piaaa alafuu tena hana dharauuu vanny huji kupata mwanmke wa stail hiii tenaa

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 3 ปีที่แล้ว

    Na nyie 'mzuri mzuri', wakawaida tu sojaona uzuri wa kumbabaisha mwanaume hapo.

  • @djmswatt3795
    @djmswatt3795 3 ปีที่แล้ว

    Msitusumbue kam mnrdian rudianen tuachien kelel na makiki kbaooooooo

  • @fatumamkuzi1475
    @fatumamkuzi1475 3 ปีที่แล้ว +7

    I love you fahma

  • @p.alexii6170
    @p.alexii6170 3 ปีที่แล้ว +7

    Mambo mazuri apa lavi davi wadau vipi nipo apa pitieni kwangu

    • @Minetv378
      @Minetv378 3 ปีที่แล้ว +1

      Subscribe kwangu pia

    • @allykandoro7236
      @allykandoro7236 3 ปีที่แล้ว +1

      MIKISONE BADO WAMOTO UKO ALAHAL YA MISRI 👉th-cam.com/video/OgQb9oXnohw/w-d-xo.html

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 3 ปีที่แล้ว

    Ah mi mwenyewe yangu yanatota apa.

  • @kwizerazainabu7979
    @kwizerazainabu7979 3 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa umeuliza jambo nzuri sana

  • @aliyahilovesong2547
    @aliyahilovesong2547 3 ปีที่แล้ว +4

    Team Faymah love u

  • @holezaholeza4069
    @holezaholeza4069 3 ปีที่แล้ว

    Hana jipya uyo faima

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 3 ปีที่แล้ว +5

    Bado anampenda sio vibaya kwa sababu alimpenda saana rey na bado mapema wamuache kwenye moyo wake na fasi ya reyvanny bado ipo kwenye moyo wake

    • @aishamwinyi5048
      @aishamwinyi5048 3 ปีที่แล้ว +2

      Ni kwel bado mapema sana kumpa nafas mtu mm nna iman ray atarud tuu na maisha yataendelea ila cha kufanya awe bize na kaz tuu ndio dawa ya ray ampuuze

    • @hamzanasry8011
      @hamzanasry8011 3 ปีที่แล้ว +1

      @@aishamwinyi5048 insha allah 🙏 tuwatakie khery kwa mungu hamna kinacho shindikana

    • @aishamwinyi5048
      @aishamwinyi5048 3 ปีที่แล้ว

      @@hamzanasry8011 kabisa allah hashindw na kit

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli haujifichi bado unampenda ray

  • @gracemalango4306
    @gracemalango4306 3 ปีที่แล้ว +5

    Faym I love you 😘💋💋

  • @denning_
    @denning_ 3 ปีที่แล้ว +1

    Good🤞🏿

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 3 ปีที่แล้ว +19

    Wait wait I hate it when faima is being asked this question..am from Uganda..na ule mtu anamuuliza ni mwanamke kama yeye..hiyo swali ni suto sio question poa

    • @maimunampole9894
      @maimunampole9894 3 ปีที่แล้ว

      ❤ 👇 *BONYEZA KWANZA*
      th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html

  • @tausshasani2064
    @tausshasani2064 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda bure mama j

  • @mwanaidmajani856
    @mwanaidmajani856 3 ปีที่แล้ว +1

    Sio rahis kiivyo kwa mwanaume ulompenda sana n ngm kumove kwa harkaa san inaumaaaaa isikie na isikukute

  • @manallove1
    @manallove1 3 ปีที่แล้ว +1

    nimependa jibu lake fahyma

    • @maryamjuma9406
      @maryamjuma9406 3 ปีที่แล้ว

      Fahyma nimwanamke mwenye busara sana mamy mwanamke kujiamini bwana

  • @hadijahyusuf8453
    @hadijahyusuf8453 3 ปีที่แล้ว

    Ati she so single jameni Tanzania na kizungu

  • @bundessiliga5630
    @bundessiliga5630 3 ปีที่แล้ว

    Tafuta kijana wa kiislamu ukweli ni hamna ndoa ya mume mkristo bwana muislamu

  • @abdirizakyusuf6748
    @abdirizakyusuf6748 2 ปีที่แล้ว

    Your are strong woman

  • @maryammohd5994
    @maryammohd5994 3 ปีที่แล้ว +1

    Unampenda aty 😂😂😂kwanini useme et kama imepangwa kua nae..

  • @luciacharles8446
    @luciacharles8446 3 ปีที่แล้ว +1

    Smart in brain😍😍

  • @salehejuma7869
    @salehejuma7869 3 ปีที่แล้ว +25

    Hahaha! yaani hilo jibu linamaanisha kuwa bado rey anapendwa {kupendwa raha}

    • @maimunampole9894
      @maimunampole9894 3 ปีที่แล้ว

      ❤ 👇 *BONYEZA KWANZA*
      th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html

    • @salehejuma7869
      @salehejuma7869 3 ปีที่แล้ว

      @@maimunampole9894 ok

  • @fideliamakumi5973
    @fideliamakumi5973 2 ปีที่แล้ว

    Faymah,,take time and be strong

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 3 ปีที่แล้ว

    Mnatumia muda mwingi kucheka cheka nendeni kwenye mada

  • @dullahkhan
    @dullahkhan ปีที่แล้ว

    Nice interview

  • @queensheilahmoses4619
    @queensheilahmoses4619 3 ปีที่แล้ว +1

    Fayma anatolia si umeona Paula ametumika fayma ataki kitumiwa ana mtoi picha chafu ataki

  • @ummyhoza4495
    @ummyhoza4495 3 ปีที่แล้ว

    Fyma mtoto mzur mno ,jamn love being

  • @aliykundi3794
    @aliykundi3794 3 ปีที่แล้ว

    Acheni masihara fayhma nimrembo

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 3 ปีที่แล้ว

    Ata move on lini na alishajihakikishia kaolewa kumbe alikua kwenye mahusiano, kujiaminisha kupitiliza,

  • @meaningoflife651
    @meaningoflife651 3 ปีที่แล้ว

    Kweli anahitaji mda aisee

  • @zakiahussein9206
    @zakiahussein9206 3 ปีที่แล้ว +3

    So cute 😘😘brains at work👍

    • @maimunampole9894
      @maimunampole9894 3 ปีที่แล้ว

      ❤ 👇 *BONYEZA KWANZA*
      th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html

  • @mollysisia8198
    @mollysisia8198 2 ปีที่แล้ว

    This was me when I first broke up with my baby dadyyy damn😁😁😁😁

  • @naamohamed1042
    @naamohamed1042 3 ปีที่แล้ว

    Mapenz bwn

  • @giddie_barnabas
    @giddie_barnabas ปีที่แล้ว

    Bora ulijibu vizur mana karudi tena

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 3 ปีที่แล้ว +8

    She is very mature

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 ปีที่แล้ว

    Chui pambana buro NLM RAVNNYN piga pambana achana na watu waogee mabaya n

  • @BossLady2555
    @BossLady2555 3 ปีที่แล้ว +7

    Punguzeni kucheka bhana

    • @maimunampole9894
      @maimunampole9894 3 ปีที่แล้ว

      ❤ 👇 *BONYEZA KWANZA*
      th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html

  • @esthernzisa877
    @esthernzisa877 26 วันที่ผ่านมา

    Kwani waliachana na vile walifaana

  • @princessoprah9908
    @princessoprah9908 3 ปีที่แล้ว

    Ilaa fyma mzur kama mkorea

  • @bettymaloba3854
    @bettymaloba3854 3 ปีที่แล้ว

    Eti lini utamove on!!!!

  • @robertmwambia9774
    @robertmwambia9774 2 ปีที่แล้ว

    Jenga brand yako achana na Rayvanny ni player 2 kma Diamond

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว

    Jamani maisha haya

  • @latifasharon8054
    @latifasharon8054 3 ปีที่แล้ว

    Wow kama imeandikwa ni yeye😜😜

  • @youngmsafi9630
    @youngmsafi9630 3 ปีที่แล้ว

    Fayham Sahauuuu kukuludia Rayvanny Chui 🐯. Paula ni wetu

  • @openmindtz
    @openmindtz 3 ปีที่แล้ว

    Acha kutudanganya ila mahusiano na maumivu ayanaga umaharufu na wala haijui kama kuna kitu umaarufu....issue ni kwamba umeshindwa ku-accept the fact ya kwamba he is gone

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 3 ปีที่แล้ว

    Move on mmy pls..but dnt rush mmy take on

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 3 ปีที่แล้ว

    Chizi uyu dem dah!

  • @agnesbagaluha6293
    @agnesbagaluha6293 3 ปีที่แล้ว +3

    We love you Momy 🥰🥰

    • @maimunampole9894
      @maimunampole9894 3 ปีที่แล้ว

      ❤ 👇 *BONYEZA KWANZA*
      th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html

    • @lexas2546
      @lexas2546 3 ปีที่แล้ว

      NAMI pia

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 ปีที่แล้ว

    Pumbavuuuu

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 ปีที่แล้ว +11

    Mapenzi yake haysjaisha kwa Ray

  • @annachales9623
    @annachales9623 3 ปีที่แล้ว

    Fay kuwa wazi bhaana unampenda Ray bado.

  • @Aaron-nu7dv
    @Aaron-nu7dv 3 ปีที่แล้ว +2

    Malaya kajichubuaaaaaa

  • @zuhuraakida5932
    @zuhuraakida5932 3 ปีที่แล้ว

    Mapenz 🥺😔

  • @agnesagnes5082
    @agnesagnes5082 3 ปีที่แล้ว

    So niuongo kua wamerudiana

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 3 ปีที่แล้ว

    Vanny vs fahima mnapendezana rudianeni

  • @christerpaul8710
    @christerpaul8710 2 ปีที่แล้ว

    Ooooooooooooooooooí

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 3 ปีที่แล้ว

    Utarudisha kwa tunguli kama swahiba wako hamisa mobeto yakisha mwagika kurudi tele ngumu hilo ulijue alafu mapenzi yatunguli yanamwisho wake

  • @oliviaambrose2907
    @oliviaambrose2907 3 ปีที่แล้ว

    Nataman angeolewa na mtu wa maan sn kuliko huyo pepo. atulie tu

  • @guccij6236
    @guccij6236 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke kusema yupo single ni plan B yakujiuza

    • @dorisfabian4776
      @dorisfabian4776 3 ปีที่แล้ว

      Ulitaka adanganye

    • @guccij6236
      @guccij6236 3 ปีที่แล้ว

      @@dorisfabian4776 hamn Dem single siku izi km Bajaj an xhuk uyu ana panda uyu

    • @dorisfabian4776
      @dorisfabian4776 3 ปีที่แล้ว

      @@guccij6236 mbona me Niko single

    • @guccij6236
      @guccij6236 3 ปีที่แล้ว

      @@dorisfabian4776 nipe sim yako nione

    • @dorisfabian4776
      @dorisfabian4776 3 ปีที่แล้ว

      @@guccij6236 sitaki

  • @mishwanwanmish8803
    @mishwanwanmish8803 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ndo wanfanya yule kikagula afurikwe na kichwa

  • @dommyomolo9678
    @dommyomolo9678 3 ปีที่แล้ว

    Bado wako pamoja

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥

    • @sabihakhamis6594
      @sabihakhamis6594 3 ปีที่แล้ว

      😀😀😀

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว

      @@sabihakhamis6594 😂😂😂

    • @maimunampole9894
      @maimunampole9894 3 ปีที่แล้ว

      ❤ 👇 *BONYEZA KWANZA*
      th-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/w-d-xo.html

  • @michaeljackson9177
    @michaeljackson9177 3 ปีที่แล้ว +3

    Hawa wamesharudiana Ila titizo lipo kwamba wanawaza je wataanzaje kutuweka wazi? Paula ajui2 kaliwa bure 🏇

  • @ashulamusin9811
    @ashulamusin9811 3 ปีที่แล้ว

    Fahma yani unaonekana unampenda sn Rey vumilia tu IPO siku atarudi usijali ila usitudanganye wakati moyo wako na macho yk yanaonesha bd unampenda hy bwana...

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 2 ปีที่แล้ว

    I would let that manager go for sure.

  • @aminihamisi3551
    @aminihamisi3551 3 ปีที่แล้ว

    Huwa wanawake mnachezeaga mapenzi yakiwatoka mnaanza kuweweseka

  • @lukasielibariki3181
    @lukasielibariki3181 3 ปีที่แล้ว

    Rayvan anapendwa ala naye akuoe awe mke wa pili