Simba rahaa jmn uto wataisoma another level, first eleven atakayoitumia sven hii hapa mfumo 4-3-3 1 manula 2 kapombe 3 tshabalala 4 ame 5 onyango 6 mkude 7 morison 8 bwalya 9 mugalu 10 chama 11 mickson Like jmn na mnaweza kunirekebisha simba nguvu moja
Chama angeingzwa kpnd cha 1 wangeoga meng hawa watu,, Chama nakutakia kila la kheri uko morroco Tutakumiss sana ur da best ever in afrika,, Hope ma team simba will do da best in coming season of 2020)2021 i love simba sport club
😆😆😆😆HII TABIA YA KUSOMA COMMENT SIJUI ITAISHA LINI SIMBA BABA LAO SIKU HIZI NDEVU SUNNA SIO KALATINI MPENJA UKISIKIA WAITE WAITE UJUE ONYANGO 😆😆😆😆 MUNGU AKUWEKE MIAKA MIA
jo 🇰🇪tuseme tu ukweli entertainment na sports tz wako level nyingine wanapenda vya kwao sana bigup
Safi sana ukweli usemwe
Am a Kenyan lkn Naisupport Simba... Na Tanzania imetushinda sanaaa upande wa Ligi za ndani
wakenya wanachezia Simba??
Kumbe na kenya kuna timu inaitwa simba 🙄🙄
wewe uliskia wapi.. ama uko na Kenya ingine
@@samaritanherald75 yeah wapo
@@surayakhan3955 Kwani mtu akisema yeye ni mkenya na anasupport Man utd, hiyo inamaanisha Man utd ipo Kenya???? 🤣🤣🤣🤣Be logical
Naomba like zenu kwa anayerudia marudio Kama mimi
Ndevu za suna na sio za kalantin tena duuh ni shidaaaaaa niachie like ya nguvu moja
Kwl ❤
Hapo Kagere&Konde boy hujawaona😃😃😃
asante AZAM kwa highlights ndefu
Chama kubwa Simba sports club 🙏
Wa kwanza mimi like zenu apa wanasimba wote
Ata ikawa ya sika sisi atujui
Au ya sita tunaju kuwa nikibonde kwetu
Hii Simba inakwenda kurudi 2024/2025 kwa uwezo wa Mungu
Hakika Jasiri haachi asili huu msimu ujao kombe linatua msimbazi
Amen
Ya kijinga sana hii, nafasi zaid ya kumi kipindi cha kwanza na hamna gori siujinga
Umejuaje ata mm naiona
Simba vs vitalo
Simba rahaa jmn uto wataisoma another level, first eleven atakayoitumia sven hii hapa mfumo 4-3-3
1 manula
2 kapombe
3 tshabalala
4 ame
5 onyango
6 mkude
7 morison
8 bwalya
9 mugalu
10 chama
11 mickson
Like jmn na mnaweza kunirekebisha simba nguvu moja
Wapizani kazi munayo
Upo sahihi Mwamba
Hata akpumzka Mugalu tumuweke ZUCHU bado watakufa nyiiiingi
Wanao watch 2021 tujuane
Like za Bwalya kama umemuelewa uyu mtu daah 😂😂😂
Mmb
Simba ilikuwa ya moto jaman ,naipenda ,nitaipenda kwa Raha na shidaaa ubaya ubwela
Hii ilikua Simba ya ubaya ubwela ❤❤
Daaaaa nikiikumbuka hii Simba 🥲🥲
This is zimba🐆🐆 gonga like twende pamoj
Simba on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good performance of simba
Onyango is very fantastic player
Huyu bwalya ni nyookoooo kila pasi jiwe simba tumejipatia bonge la jembee bwalya mmoja mukoko sitaa 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 #anotherlevel
Bernad Morison we ni htari kbisas hongera sana unajua kutesa mpaka kero ,penda wewe sana unavyocheza tu dah 😍👍👍💪
Pasi upendo wa agape simba raha sana😂😂😂😂
😋😋😋😋Kwa simba hii 🐒fc wajipange kwa kweli
Joe has never disappointed playing football. He is real gem 💎 and has taking to higher hight... kudos Joe.
Simba sports club big time Africa 👊
Mpenja we kibokoooo hayo maneno duuuh 💪😀😀
Simba🔥🔥🔥🔥🔥
Hyu bwalya akicope vzr,hli balaaa lingne
Yanga tutakaa sana...haya majamaa yashatutangulia..
Safi Sana Simba hoyeeeeeeeeeee
Chama kama chama ,the brain
Mtangazaji anatishaaa anaongea mpaka Kiarabu safi sanaaaaaa
Charabu hajui nimemusikia
Iddi salum kidedea ulamaa uyo
Hii simba ilikuwa mwana ukome😂😂🙌
Team BM3 tujuane ..
Mungu pekee ndo atanitenganisha na simba lakn siyo wanadam
Simba nguvu Moja💪
This is simba brother
Smb yangu nakupenda milele❤
Nakubali chama langu sapraiz yeyoooo.
Chezea Morrison I love simbaaa
Chama angeingzwa kpnd cha 1 wangeoga meng hawa watu,,
Chama nakutakia kila la kheri uko morroco
Tutakumiss sana ur da best ever in afrika,,
Hope ma team simba will do da best in coming season of 2020)2021
i love simba sport club
Sipati picha siku watakapo cheza pamoja,Bwalyason, Miquison,Chamason na Morrison.🔥🔥🔥🔥
Hlf pale mbele ht asimame ZUCHU sawa tu.
Hio siku itakua big show
Nice Simba fo every body
Kama kocha ameshaona kitu kati ya Bwalya,Morrison na Bocco dah sema mimi yanga ila hii simba Tamu wajuba
Asantee Kaka kwa kuiyelewa simbaa
Vizur kwa kusema ukwel
@@janethgood9213 . Me see
Sasa anatakiwa uamke
Simba SC very good
Ila huyu tripple C Mungu anamuona.
Hahahaahahah
Haswaa
Another level
Timu ya Vital'o nzuri sana, Ingecheza na yanga ndo mngewajua vzr
Shenz
Simba hatari
Sana wanatupa raha sana
Kama umeielewa Simba piga keleleee
simba simba simbaaaaaaaaaaaaa
Asante Sanaaa chama langu la SIMBA 🙏 kwetu soka kwao majungu 😂 😂
Jmni simba wakicheza ni Raha tupuuuu , naipenda hii timu yangu mpka naumwa kbisa dah
Mmetukera tu kupiga campeni uwanjani hilo tu ndo mmerukwaza ila kila kitu fleshi
2024... NAKUMBIKIAA ENZIII
Happy vp wadau Simba txha xana eee
Jaman goli la chamaaa shikamoo marahaba simba raha jaman
Naipenda simb
Simba nguvu moja
Jamn hiii mechi naikumbuka sanaaa ilikua hatarii
Simba kama simba
Aloina 2021 gonga like
Yaaaaaaaaa goood game
Simba ya msimu huu ni moto
Daaaaaaaaahhhh Kama nawaona uto wanavyoteseka
Huyu Bwaliya!! Ni tatizo jingine Simba sc
Mpo vzr
Ukisikia waite waite ujue onyango kaliamsha dude 😆😆😆mpenja mungu akuweke miaka mia baba
Mambo vp
Naipenda simba kufa kwang
Simbaa hii iki tolewa kimataifa jmn...
Mungu asaidie tufike mbali
@@aminatanzanya7475 Amen
M
Mmh
mo nakuomba baba simba ishike milele
Nimerejea tena kumuangali bwaliya
Ongera simba nguvu maja
Simbaa nomaa xanaaaa
Nani mwingine anagalia mechi hhi tarehe 27/7/2023
Sisi na wao liniii
18 mwezi wa 10
Simba 💯 💯 🔥🔥🔥
Kama tim dhaifu nyie vyura mlipigwa ngapi na simba 4G
Bwalyaaaaaa!! Yajayo yanafurahisha, uko tayari?
Ndio nipo tyr
Noma san sisi haooooo simba yet
Vizur hii ndioo zana ya nguvu moja
Simba ninoma mamaee
Simba hiyoooooooooo
Pamoja mwamba
Nakumbali,mwamba
Huyu Fraga sjui kwao maisha ni magumu....yeye kla mechi anaon km anachez na Yanga! Hhhhhhhh!
😂😂😂😂😂
Jamani 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
anakata umeme tu 😄😄😄😄
Umemxahau alivyokukatia umem FA
Karibo
TULIOFIKA KUMUONA VITALO BAADA YA KUPANGIWA NA YANGA TUJUANE👉👉👉👉
Hamna Tim hapa Yanga WAMEPATA kamseleleko
Tupo pamoja nikajua peke yangu kumbe tupo wengi bhn
😅
Tuko hapa
😂😂😂😂😂
Nimekubali
Simba kiboko yao Sema simba
Iko vizr sana
Simba baba lao
Tanzaniy 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️💘😍😘
Pow
asant san
Golikipa amebaki anaumia moyo tuu Baraka mpenja anamaneno hatr
Huy bwalya hatari aiseee dah😁😁
Dh
Good
Nikimuangalia Rally bwalya naona kabisa kuna kiungo mwingine ndani ya nchi hiyo hiyo anajua sana anaitwa OBISON CHISALA fundi sana
Lkn manyani Fc mkumbuke mmegongwa 4 je nyie ni wazuri au wabovu ?? Acheni unyani kuweni watu wenye uwelewa
AZAM TUNAWAOMBA MUIWEKE MECHI NZIMA TH-cam.
😆😆😆😆HII TABIA YA KUSOMA COMMENT SIJUI ITAISHA LINI SIMBA BABA LAO SIKU HIZI NDEVU SUNNA SIO KALATINI MPENJA UKISIKIA WAITE WAITE UJUE ONYANGO 😆😆😆😆 MUNGU AKUWEKE MIAKA MIA
Hahaha
Hahahahaha
@@facy746 amazing xan
Nawapenda wote