Wimbo huu nimepatana nao just a part Tiktok nikasema nije niutafute. Sikujua ungekuwa my song of deliverance. Even in the storm I am in right now najua Mungu atatenda. God,as my father goes for that brain surgery, mkumbuke iwe successful na apone kabisa nirudi na ushuhuda hapa. Love from Kenya 🇰🇪
Umeketi enzini, Umejivika nuru kama vazi, Wapendeza kama nini, Mungu Mtakatifu🙌🙌🙌🙌♥️♥️😊😊 Yesu uhimidiwe, milele na milele, Haleluya Hosana, Haleluya Hosana♥️♥️🙌🙌🙌🎶🎵🎼
Mwantondo mwantondo mwantondo nimekuita mara tatu ❤❤❤, Mungu azidi kukurinda na kukuongezea neema zaidi, niisikiapo sauti yako nabarikiwa sana huduma yako ya uimbaji
Utukufu kwa Bwana YESU. MUNGU ameniangalia tena kwa jicho lake la huruma na kunipa kibali kutumika na wewe tena. Kweli nimependelewa na Bwana. Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU 🙏🏾
Nakupenda sana Mtumishi wa Mungu Boaz kila ikifika mwisho wa mwaka unatoka vitu vya uhakika sana sana Mungu akupe kibali Kila iitwapo leo" wimbo mzur wa kufungia mwaka ubarikiwe Sana sana🙏
Kwa upande wangu kwakweli Mungu akubariki sana,huwa nyimbo zako zinanifikirishaga sana matendo makuu ya Mungu wetu jamani,wakati mwengine zinanitoa machozi ya furaha,zinanipa kumfikiria Mungu wangu jamani
Oooh this song!!! Nikiimba huu wimbo ninasikia kama mbingu inashuka kuimba nami. Barikiwa sana mtumishi, mafuta yako kwa ajili ya utumishi huu yaongezeke tuzidi kubarikiwa.
This song has been blessing my soul ,,,,huu wimbo umebeba neema kubwa ..🙏🙏Mungu akuzidishie neema Boaz ... Since I met you on April I can't explain the impact it brought to me.
Mungu awabariki sana (Boaz &mwantondo) Mungu Azidi kuwainua Zaidi Umeketi enzini, umejivika nuru kama vazi, wapendeza kama nini ooooh!! Hallelujah Hosanna
Mungu akutunze Kaka Boaz,Akulinde na kukuongoza kwa yote Ufanyayo,,,Hakika Nyimbo Imenibariki sanaa HALLELUJAH HOSSANA Nakupendaa sanaa na Nabarikiwa Sanaa na YESU Amekuchagua kuwa MHUBIRI Kupitia Nyimbo 😘❤
Such a Powerful song from Heaven.we thank God for you minister Boaz and minister Eliya.we love you so much great people.keep soaring to greater height like an eagle.Tanzania is blessed. Much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
God bless you for Watching this Video kindly don't forget to pray for this Ministry and Subscribe our Channel
Thank you man of God ,Kenya loves you
Amen my brother
Amen 🙏
God bless you Boaz
Kenya really treasure you,you are doing great job for the kingdom of God
Tulio angalia nyimbo hii zaidi ya 10 na hatuchoki gonga like hapa alafu tuendelee kubarikiwa
NEEMA NI NYINGI SANA
WANAO BARIKIWA NA NDUGU YANGU
BOAZ DANKENI NA HUU WIMBO NAOMBA NIONE LIKE ZAO HAPA 🙏🙏🙏🙏
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
Wimbo huu nimepatana nao just a part Tiktok nikasema nije niutafute. Sikujua ungekuwa my song of deliverance. Even in the storm I am in right now najua Mungu atatenda. God,as my father goes for that brain surgery, mkumbuke iwe successful na apone kabisa nirudi na ushuhuda hapa. Love from Kenya 🇰🇪
Amina ..kutoka kwenye kichwa chako mpaka maskioni mwa Mwenyezii Mungu
May God be with you and heal every part of his brain And body ,He is Jehova Rapha ❤hakika you will come to testify the great deeds of God in your life
Umeketi enzini,
Umejivika nuru kama vazi,
Wapendeza kama nini,
Mungu Mtakatifu🙌🙌🙌🙌♥️♥️😊😊
Yesu uhimidiwe, milele na milele,
Haleluya Hosana, Haleluya Hosana♥️♥️🙌🙌🙌🎶🎵🎼
Nabarikiwa SANA na nyimbo za Boaz danken, tunaobarijiwa wote tu shehe hii nyimbo na kwa wengine
Utukufu na Heshima kwa YESU Kristo Asante sana please subscribe and share to many
@boazdanken thanks
Enjoying from Kenya, Tanzania is blessed with Gospel singers
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
Mwantondo mwantondo mwantondo nimekuita mara tatu ❤❤❤, Mungu azidi kukurinda na kukuongezea neema zaidi, niisikiapo sauti yako nabarikiwa sana huduma yako ya uimbaji
Utukufu na Heshima kwa YESU Kristo Asante sana
Nyimbo nzuri yenye upako nairudia zaidi ya mara kumi ..moyo wangu unamfurahia Jehova kwa matendo yake makuu...ndugu boaz tunakukaribisha hapa kenya
Utukufu kwa Bwana YESU.
MUNGU ameniangalia tena kwa jicho lake la huruma na kunipa kibali kutumika na wewe tena. Kweli nimependelewa na Bwana.
Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU 🙏🏾
Nakupenda sana Mtumishi wa Mungu Boaz kila ikifika mwisho wa mwaka unatoka vitu vya uhakika sana sana Mungu akupe kibali Kila iitwapo leo" wimbo mzur wa kufungia mwaka ubarikiwe Sana sana🙏
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
Mungu akubariki sana Mtumishi Boaz am viewing live after 20 minutes.... natazama hata Mungu anapozumgumza na nafsi yangu kupitia wimbo huu🙏🙏🙏🙏🙏
Hallelujah Hallelujah Hallelujah 🔥🔥🔥🔥
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
Watching this thousand times in a day
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 BoazDankens angelic voice sounds more of therapy in my soul,,,mind and spiritual life
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah.......🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
Hallelujah Hosanna.
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
"Yesu uinuliwe Milele na Milele" Nimebarikiwa sana
This is we sing it 🎶 👏 💜 ♥️ , Hallelujah Hosana 🙌 🎶 👏 🙏,
Kaka Boaz, kazi nzuri sana, na kaka Mwantondo hauna dogo pia🎉❤🙌
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
Kweli nilihudumiwa nahii nyimbo pale calvary be blessed sana Boaz and mwantondo
Asante kwa huu wimbo Mtumishi Boaz Danken🙏
Much love from Kenya
Kama umetoka TikTok usisahau ku sign apa😂
Such a great tune 🎉wapi likes, kenyans
CANT STOP SINGING THIS SONG WORD TO WORD...YESU HIMIDIWA MILELE BABA YANGU 🙌. LOVE FROM KENYA ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I can even leave anything but Ku praise God never I love you God 💯💖
HOSANA HALELUYA🙌
Mdogo wangu MUNGU Akubariki sana
Nimebarikiwa Sana na wimbo huu, MUNGU akubariki Sana
Asubuyi hiii eeeh MUNGU pokea Sifa na shushani utukufu na heshima ni vyako milele,,,,,,,nimenarikiw na wimbo huuu asubuyi hiiii
Asaanteni saana
Woooooow❤❤❤❤❤❤ Halleluyah ni sifa ya juu sana❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Glory and Honor to Jesus please share to many
Nimebarikiwa sana 🙏 kupitia hii nyimbo ❤
Wewe uketiye katika kiti chako cha enzi, Mungu wangu mtakatifu,umehishima uimidiwe siku zote 🙌🙏
Nyimbo za mbinguni, 😊Mungu azidi kukutumia kwa Utukufu wake🙏🏽
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
Kwa upande wangu kwakweli Mungu akubariki sana,huwa nyimbo zako zinanifikirishaga sana matendo makuu ya Mungu wetu jamani,wakati mwengine zinanitoa machozi ya furaha,zinanipa kumfikiria Mungu wangu jamani
Yesu Uhimidiwe...wacha dunia iseme!!🔥🔥🔥 Thanks Minister Boaz & Eliyah🙏🙏🙏.
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
Wimbo wa siku zote milele na milele hallelujah hosanna Ohhhh hallelujah hosanna
Yesu uihimidiwe ......halelujah hosana
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
Mtumishi Boaz Danken nyimbo zako hubariki Moyo wangu sana... Barikiwa Zaidi 🙏🙏🙏
Ameketi enzini yesu ,amejivika Nuru na mavazi ,yesu anapendeza❤❤
Oooh what a Powerful song🔥🔥🙌🙌🙌👏👏
Yesu uhimidiwe milele na milele Hosana Haleluya🙏🙏
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
Everything day I wake up I must listen...
hallelujah hossana and then I sing umeketi. .enzini...
Oooh this song!!! Nikiimba huu wimbo ninasikia kama mbingu inashuka kuimba nami. Barikiwa sana mtumishi, mafuta yako kwa ajili ya utumishi huu yaongezeke tuzidi kubarikiwa.
Huu wimbo, it's one of it kind
sounds like this can only be from the Father
More grace to you sir
Waoooo waoooo waooooo hongera sana 🎉🎉🎉🎉 ubarikiwe sana maana so amazing
Umembarikiwa zaidi na zaidi.....Mungu na ainue huduma hii 👏👏
Mungu awainue zaid na zaid🥰, Yesu wew mzuri jamn
Hallelujah God is powerful to the heaven and world
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
Ameeeen, be to God all the Glory 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
This song has been blessing my soul ,,,,huu wimbo umebeba neema kubwa ..🙏🙏Mungu akuzidishie neema Boaz ... Since I met you on April I can't explain the impact it brought to me.
Hallelujah 🙌 ❤yesu huu Wimbo ni wako...wewe uketiye katikati ya sifa za watu wako 🎉🎉🎉
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
Nabarikiwa sanaaa.....🤣🤣🤣🤣🤣🥳🥳🥳 Na Baba Angu ....
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
YEsu Uhimidiwe, Halleluya Hossana
YESU KRISTO twakuhimidi milele milele!
Mbarikiwe sana Team!❤❤
Wimbo mzuri mnoooo Yesu uhimidiwe milele man of God be blessed
Yesu uhimidiwe milele🙌🙌🙌
Glory and Honor to Jesus please share to many and subscribe our channel
Wimbo mkubwa sana 🎉mbarikiwe sana
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
Ooh❤❤❤😂 Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu
Mungu awabariki sana (Boaz &mwantondo) Mungu Azidi kuwainua Zaidi
Umeketi enzini, umejivika nuru kama vazi, wapendeza kama nini
ooooh!! Hallelujah Hosanna
Watching from 🇸🇦. ...I miss going to church 😢
Ubalikiwe zaid. Boaz. Kwa huduma hii. MUNGU azidi kuwatumia watu wake 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
Hallelujah,, YESU ni BWANA
Glory and Honor to Jesus please share to many
Nabarikiwa jaman hapo umeketi nimerudia hakuna idada hakika wimbo una upakoo 🙏🙏🙏Roho mtakatifu azidi kumpa mafunuo zaidi na zaidi haleluya 👏👏👏
Hallelujah Hossana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tukifika mbinguni upewe kuimbisha wewe na Kaka Eliya hata huko mbinguni mmwinue Mungu wetu
Ahimidiwe Mungu .....Hakika ni baraka watumishi wa Mungu kwa nyimbo hizi za Sifa
Mungu Wa Mbingu na Nchi Awainue Zaidi❤❤🔥🔥🔥
Asante Boaz kwa kumuinua Kristo Africa Mashariki.
Nami pia napenda nyimbo zake Boaz Danken kutoka Kenya 🇰🇪
All the way from Uganda 🎉🎉🎉 it's a good one anyone from Uganda here❤❤❤❤
How can I like this 100 times
If Jesus Christ is not God for them is God for Us!!!
Glory be to Jesus Christ our God and savior
Glory and Honor to Jesus please share to many
Hallelujah Hallelujah Hallelujah
❤❤wimbo wambinguniii🎉 yaan nimebarikiwa haswaa
Amen amen mtumishi Mungu azidi kukuinua zaidi
Kaka Boaz na kaka Eliya neema ya Mungu izidi kuwafunika .
What a song❤❤❤can't get enough of it ..more grace
Mungu Asante azidi kukupa mafunuo makubwa
Be blessed man of God❤
Kazi nzuri, Yesu anatukuzwa ❤❤
Hallelujah hallelujah umestahili sifa za mioyo yetu BWANA YESU, hakuna kama wewe dunian na mbinguni 🙏🙏🙏🙏
More blessings to Minister Boaz danken and Eliya Mwantondo..
Yesu uhimidiwe milele na milele🔥🔥🙌🏿. Nyakati zote kwa haya maisha wewe uhimidiwe. 🙌🏿
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
Mungu akubariki Mtumishi @Boaz uzidi kudownload kwy madhabahu ya mbinguni! Huu wimbo unaupako sana!
God bless you Man of God, thank you so much for such an amazing and powerful song🙌🏻🙌🏻❤❤❤
Mungu akutunze Kaka Boaz,Akulinde na kukuongoza kwa yote Ufanyayo,,,Hakika Nyimbo Imenibariki sanaa HALLELUJAH HOSSANA Nakupendaa sanaa na Nabarikiwa Sanaa na YESU Amekuchagua kuwa MHUBIRI Kupitia Nyimbo 😘❤
Mungu awabariki mno makamanda wa Bwana nabarkiwa na upendo wenu na huduma yenu nyimbo ya baraka sanaa hii
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
It's the Bass for me. Blessed song indeed.
Ahsante kaka @boaz Dankens the voice sounds more than everything barikiwa sana kaka angu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yesu uhimidiwe ... milele na milele.. haleluya hosana haleluya hosana ❤❤❤
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
HALLELUJAH HOSANA🙌.
Ooooh Hallelujah hallelujah hallelujah 🙌🏿 #kenya🇰🇪
Mbarikiwe Wana wa Mungu hakika huyu Yesu
Mungu anatukuzwa sana 🙌 Mungu akutunze sana kaka #boazdanken
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
Wow!! this is powerful sister, Amen 🙏 let it touch the heart of all that will listen it every day ❤❤
Such a Powerful song from Heaven.we thank God for you minister Boaz and minister Eliya.we love you so much great people.keep soaring to greater height like an eagle.Tanzania is blessed. Much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🔥🔥🔥🔥this maaaan eeei you are a blessing to this generation
Mungu akutunze Sana Boaz Danken, Na Huduma yako iendelee mbele Kwaajili ya Utukufu wa Mungu, na Usije Badilika.
Haleluyaaa hosanaaa!!!🎉mtumishi wa Mungu Boaz nabarikiwa sanaa na huduma yakoo!!Bwana Yesu akutunze!
Glory and Honor to Jesus please share to many and Subscribe our channel
Hallelujah Hallelujah Hosana
Yesu uhimidiwe
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kazi yako si bure 🙏 🙌
The bass people deserve their kudos 🔥🔥
I love This minister of God.Be Blessed together with your ministry.
Grace upon grace, mmebarikiwa watumishi!
Glory to God. More grace minister Boaz.🇰🇪🇰🇪🇰🇪