Alafu kweli ulimpenda Vannesa yani hapa umeongea kwa mafumbo vile nyote mume move On lakini Kama furaha inakosekana ukimuona mpenzi mpya ya mwenzio ila munajikaza...nimekuelewa Kijana Wangu kazi Imesimama💥💥..umetumia feelings kuutunga wimbo Mzurii🔝🔝🙌🙌🙌🙌⭐⭐💯💯🔥🔥
aisee hii kitu jux imenigusaa haya ulio imbaa n maisha nayoish mimi kbsa na mpenz wangu you are so creative my bro #kuna meng we husemi dah kwangu mm sio mbaya Ahsante sana
Ila Kwa kweli huyu jamaa alimpenda sana V, money! Yani juu wimbo kaimba Kwa hisia Kali mno! Jux nimekukubali sana we ni mwanaume wa kipekee sana. Hakuna siku umeongelea ubaya wa huyu dada, huo ndo uanaume man, umetuwakilisha vema and your roll model wetu wanaume. Mungu akutangulie ktk kazi zako kijana.
Woooooooooooooiiiiiii vile hili goma limeanza Nikajua Tu Nikaliii🔥🔥🔥🔥🔥😂😂.....Hizo Melodies Ndugu yangu nimekuheshimu hapa😂😂😂please Hii Fanya Video Broo Usikose💯💯💯🔥🔥🔥...hapa Cover lazma Nidodoshee🙌🙌🙌🔥🔥🔝🔝
Kama unapenda jux afanikiwe Kama mimi gonga like apa 🔥 🔥
Jux fundiii
Nimeamini jux anampenda bado Vanessa, na wala jux sio player akipenda anatulia.
Niliipenda sana hii couple 👫.
Vee come back kwa jux.
Song kali sana
Natamani warudiane.....naumia vile saa hizi hawaongei
Roro Roro dah sema if they meant to be together they will
Kwa kweli hatakama ni 5years to come...
You are killing brother
Kweli kabisa
Sijawahi kuwa mshabaiki wa Bongo flavour musics lkn kwa wimbo huu Jamaa yuko njema aisee
Alafu kweli ulimpenda Vannesa yani hapa umeongea kwa mafumbo vile nyote mume move On lakini Kama furaha inakosekana ukimuona mpenzi mpya ya mwenzio ila munajikaza...nimekuelewa Kijana Wangu kazi Imesimama💥💥..umetumia feelings kuutunga wimbo Mzurii🔝🔝🙌🙌🙌🙌⭐⭐💯💯🔥🔥
Walipendana sana sijui ni nini....😥😥😥
Nice song J
Ila jux unatufanya atakama hatuna hela kufeel happy tu namauzuni yanakuja Nouma sana!! BINDER the DON.
Iyo album bro... Hii ndio best song walai.... It's so nice
Jux utatufanya tulio umizwa tutoe chozi 😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kweli Aiseeeeee
Yani me ndo nimelia mpaka bac
Kweli kbsa
bado mnapendana plz jux pambana kurudisha upendo wenu napenda kuwaona mkiwa pamoja 🙏🙏🙏
uyu pacha wangu we mwache tu acha nifate nyayo zake broo much respect
Jux bwana fujo tup round hii. Nasumbua geto Na Redio yang ya blututh
My favorite Sio mbaya, I love the album 🔥🙏
I think when maina kageni retires at the end of the year, we will never hear any of jux's tracks here in 254
ipo vizuri sio mbaya imenikosha, mapenzi haya jamani yatatuliza
Yaan hata uwe na pesa aisee hii kitu ni zaid ya pesa
Naipenda Sana hii ngoma na pia namkubali Sana jux kiukwl huwa ananikamata kwenye hisia zng
Joh makini ilimuhusuu hii ngoma yaan angeingeiaaa angeuaa kabsaaa
Jux Mungu akujaliye sana ...naziona hisia kwa wimbo huu
Huu wimbo umeiba kwa hisia mpk umenibamba❤❤
Jux ni fundi kama na wewee unasikiliza ngoma kwa kurudia rudia kam Mimi dondosha like hapa!!
I came back here after his interview with lil ommy ....kweli kamuimbia Vanessa as he said
Tunaosoma comments naomba likes zenu
Sauti, sura,wimbo weh fire...go,go man go..🎉🎉🎉
Ngoma hii ni kali siishi kuplay kila muda......daah jux wewe ni nouma
Kama na ww umeumizwa na ushawahi mwambia ex_wako "KWANGU MM SIO MBAYA' gonga like hapa🙌🙌👍
Kiukweli Jux hii ngoma imenifanya niludiane na mpenz wangu
Congratulations
Nyimbo kaliii
Should be number 1 Trending👌👍👍
Daaah yani hili penz liliniumaaa jamaniiii daaah
This song is so underrated. Sooo good. On repeat
Ebhana nimemaliza Gb 1 kurepeate hii ngoma ila Sio Mbayaaaaaaaaa
Kama na ww umeisikiliza Zaid ya Mara tano Kama mm gonga like yako 🔥
aisee hii kitu jux imenigusaa haya ulio imbaa n maisha nayoish mimi kbsa na mpenz wangu you are so creative my bro
#kuna meng we husemi dah kwangu mm sio mbaya Ahsante sana
Mungu atakupa mkl zd ya v ilanajua huta msahau
The best king 👑 ever of rnb
Ila Kwa kweli huyu jamaa alimpenda sana V, money! Yani juu wimbo kaimba Kwa hisia Kali mno! Jux nimekukubali sana we ni mwanaume wa kipekee sana. Hakuna siku umeongelea ubaya wa huyu dada, huo ndo uanaume man, umetuwakilisha vema and your roll model wetu wanaume. Mungu akutangulie ktk kazi zako kijana.
Kwel huyu ni mwanaume nampenda sana mstaarabu bhn
Maina kageni just payed this banger and just hyped through the entire track, what a feeling
Jamañ xio mbaya kiukwer nomaaaa!!;;
Nakuombea Makubwa zaidi
hii ngoma nimeiskiza mara kama saba saai na bdo inaendelea kuni nice.big upp jux
Nimeipenda sana ngoma kali gonga like tujuane
I LOVE THIS SONG OOH MY
#jux hujawahi niangusha, nakubali. Aliyeimbiwa kasikia.
Uki Like sio mbayaaa
Hii ngoma ni tamu we as fans demand for a video
Sure
Bonge moja la dedication Kwa Baby Mama 💞
2024 kumalizia mimi sio mbayaaa, loneliness ❤
Kwangu mm sio mbaya.......dada veeeeeeee mapene
We noma 2 hakuna kama jux unauwezo2 kama unakubani achia uzito hapo
Kama umeilewa biti nalivo tupia melody kama mm gonga like
Goma kaliii
Perfect 👏
Jux. 100%
Juma James Jux
SOLUTE ONE AMRY
Kama unaamin hii ngoma kamuimbia Vanessa like apa
Album nzma ni kali!! big up broo👏👏👏👏👏👏kwangu mimi sion mbayaa hii album😃😃😃👌✌
Kama Wewe Nawe Umeirudia Hii Ngoma Zaidi ya Mara Mbili Kama Mimi Apaaaa Gonga Like Tujuane...Jamaa Fundi.
This song slaaaarps different with good quality headphones. Looove it
jux nakupenda San mungu Akubaliki nyimbo Tami San umelikumbu shambali San 😭😭
Nyimbo Tamu San unaweza🥰🥰
Nyimbo nzuri +254
Yani hii nyimbo naipenda mpaka sijielewi,,,
nakubal sana mkali kama unamkubal jux gong like hapa
If you are here in 2024 please drop those likes ❤❤❤
We are together🤝
it'til touch my heart , good music-African boy
gonga like kama unahisi hii ni jibu la vannesa mdee
Jux mtu mzima. Mapenzi bwana. Ila tunajikaza bro. Be happy bro it's life
Jux anampenda sana Vanessa ila bas tuuu
Sana haishi kumlilia aisee sema huyu vitu vyake huaga konky mond ndo alitak kupoteza kwa kumwimbisha nyimbo zake za matus matus
Hii Kali Kuliko #Sugua...!!
kaa..
noma sana...! ume tisha babA
Tu es mon kiff Jux
Jux utaniua jaman daahh cyo kwa hv vitu vyako vikali
Kama umesikia amemu tag someone gonga like hapaaa
Umeona
Niko hapa toka asbh jmn naipenda hii nyimbo balaa
DAAA NOUMA sana ila mwana unanipaga raha BINDER the DON!!
Elewa saana kazi zako brow pambana utafikia upatakopo blessing from god kama zote
From morogoro Kilosa
kabisa lonelyness kitu iko juuu sana
Indeed, Underrated.
Wow brother ju ju💪
Waooooooi nafurahi sana kukupata nyimbo tam sanaaaaaa
Sawa ngoma kaliii sana ila karibuni na kwangu usikilize limix yake 🎹🎵😆
Am in love with this tune💃💃💃... Jux you are a full package meeeeen👌
Yan sichoki kuisikiliza kwa kifupi kwangu hujawahi kukosea.......
ni shida jux
KING OF RNB IN TZ
jux we luv you man continue doing ur best
The best king 👑 ever of RNB
Woooooooooooooiiiiiii vile hili goma limeanza Nikajua Tu Nikaliii🔥🔥🔥🔥🔥😂😂.....Hizo Melodies Ndugu yangu nimekuheshimu hapa😂😂😂please Hii Fanya Video Broo Usikose💯💯💯🔥🔥🔥...hapa Cover lazma Nidodoshee🙌🙌🙌🔥🔥🔝🔝
Wbo wangu namba moja kabisa
Team #juma_jux tujuwane hapa jamani gonga like 👍 yako hapa
👏👏👏👏👏
Kwa vanessa we sio mbaya akikumiss akupigieee we sio mbayaaa
Yani nimeipenda nimeipenda sana hii nyimbo
hii ngoma kaliiiii!
Nakuelewa Siku zote*toka uanze music
Best song🙌🏾, the best album 255
kazi nzur mnyama jux
Ngoma kali san bt ungepta muunganiko wa Joh Makini au Blue ungeua zaidi
Vannesa msikie mwenzio jmn
Deoglatias Lameck da jamaa kapenda.
2020 januari 30 saa 15:36 nani bado apo
Wimbo nzili sana
amazing song brother one day yes you teaching me bro cause I like to sing
African boy 🔥🔥🔥🔥
My BEST ARTIST OF ALL TIME
Another hit from my number 1
Jux nakupenda sana wewe ni namba one in african
💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻huna mbyaa nakubli kazi yakooo
We mtu nakukubali sana haujawahi kuaribu hata siku moja
Duuuu noma gonga like
Jux unaimba bwana