th-cam.com/video/Odp9sOllGOQ/w-d-xo.htmlsi=DEBYU-TcupzA6FG7th-cam.com/video/Odp9sOllGOQ/w-d-xo.htmlsi=DEBYU-TcupzA6FG7 guys I also have a new song I know you will love it
Wallahi hapo minute 2:54 was just SUPER DUPER VIBEZ, I was literally in tears because how do you blend SALSA with ANGUKA NAYO ........AND IT RHYMES!! SAVARA Ume-Savaratisha moyo wangu!!!🤯🤯🤯 LOVE FROM TEXAS.
Niliapa sitapenda tena 😊 lakini leo nafungua kesi 🎁 💯💯💯🔥🔥 kati yetu kuna zero centimetre hakuna kilometre Dope vybz ☄️☄️☄️🔥🔥 #SHOWYOUOFF TO THE WORLD 🇰🇪🇰🇪🌍🌍 @savara so inspiring
Its the savara effect for me, I dont now if its the voice....🔥🔥🔥 I feel liKe he can sing even a lullaby and it will still be dope ASF. I just love the song❤🔥❤🔥
Them tiktokers work to build a Name/Brand. Dancing everyday creating original content/moves not an easy fit! Keeping it 💯 % 🇰🇪 support 🇰🇪 Talent/Music.
I just want to see this video hitting a million views. Savara has really worked his a** off and he has finally proved a point. Like it if I make any sense.
@savaraofficial I suppose is not proving anything,,,It's a Testament he has always been the best 🎉 at what he does at a personal level and global ...if you know you know 😊
Lyrics-Savara(Show you off) Hallo hallo nimekuaja tangazo Muoneni kwa macho Ameifunga milango ya roho yangu mama Girl I wanna show you off show you off show you off Unawafinish kumalo Girl I wanna show you off show you off show you off Umenifinish kumalo Roho zimegongana hii ni ajali ya mapenzi Si tulishapendana Ananienzi namuenzi Alivyoumbika mashala Katoto kanyoto yani star Kanaleta meangaza Staki kupoteza magidha Wacha niringie duniaaaaa Hallo hallo nimekuaja tangazo Muoneni kwa macho Ameifunga milango ya roho yangu mama Girl I wanna show you off show you off show you off Unawafinish kumalo Girl I wanna show you off show you off show you off Umenifinish kumalo Mapenzi yamejaa kwa hewa Zima taa na upunguze AC Ni nani aliyekukera Anaishi wapi nimtumie jeshi Nliapa sitapenda tena lakini leo nafungua Kesi Kati yetu kuna zero sentimita Hakuna kilomita Kiuno chako chaniita naitika My wangu sinyorita Hallo hallo nimekuaja tangazo Muoneni kwa macho Ameifunga milango ya roho yangu mama Girl I wanna show you off show you off show you off Unawafinish kumalo Girl I wanna show you off show you off show you off Umenifinish kumalo
How many international fans are here for savara❤
From Canada apo kwa stage
Watching from Vienna
Watching from Las Vegas Nevada, United States of America 🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪💃🏿🕺🏿🕺🏿🔥 Allo Allo Nimekuja na Tangazo, what a nice Zouk 🎉❤❤❤❤
Im hereeeeeeee❤❤❤❤
Bien said savage level 😂😂😂, nigga savara has released his cheat code😂😂😂❤❤❤
Savage level
Woow leo tume the second bien aime😂😂ngoma tam
Ni noma au sio
Kali sana 🔥
❤
🎉😊
Kuleni kwa Macho ❤🎉
Hii ndo timeless music. hapo ni 10/10. umeweza
🎸🎸
Hiyo baseline weweee super audio prodoookshaaan💥💥💥
Wagwan ngoma kali sana❤🎉
Pitia huku pia
inakubalika 💯💯💯💯💯💯💯
SAVARA SAVARA SAVARA! 🔥🔥🔥
Huyu jamaa ni mbad niliwasho!!🔥
Kabisa
Kwanza nyinyi mlienda wapi
manabadmanting
Ata mi nimekua nikiwasho hawakuniamini
Zaoo zao ziki zao zao, unapenda chipo na hunoni ass...mlienda wapi wasee..ebu mrudishe gengetone
Wa Tanzania wenzangu tuweke likes zetu hapa kwa wingi kama tumeelewa mziki mzuri
Her: Nikikupea usiende kutangaza
Me:Halo halo nimekuja na tangazo😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂noma
Huwanga baad😂@@wendyisambe7233
@kevintheligh😂😂t9796
🤣🤣🤣🤣
Nasieku to the World ❤❤❤
th-cam.com/video/Odp9sOllGOQ/w-d-xo.htmlsi=DEBYU-TcupzA6FG7th-cam.com/video/Odp9sOllGOQ/w-d-xo.htmlsi=DEBYU-TcupzA6FG7 guys I also have a new song I know you will love it
Am loving this... ❤❤❤❤❤❤❤
This should be A WEDDING SONG TO EVERYONE WHO IS WILLING TO DO A WEDDING spread the message to the The world 🌎
Exaaaaactly
tu dance hi wimbo
Finally tumefikisha 1M🎉👏👏
Hiyo choreo yaani choreography pia.. from 2:30 hadi mwisho... Hadi nimeskia thithi yaani goosebumps.... Love this song so much Savara!!!
Wallahi hapo minute 2:54 was just SUPER DUPER VIBEZ, I was literally in tears because how do you blend SALSA with ANGUKA NAYO ........AND IT RHYMES!! SAVARA Ume-Savaratisha moyo wangu!!!🤯🤯🤯 LOVE FROM TEXAS.
like??? my jaw dropped🙌🙌
manze . moto kabisa
That 2nd verse is so FIRE!!!!!! What a beautiful song wow!!! Savara delivers again
This is pure art …straight up classic
The only problem with this song is short and sweet 💕 let's make it million views
Director on fire 🔥… brought the song from a 10 to an 11…
The dance moves mahn🙌❤️
1Million appreciation comment. How many likes for Savage?
Kompa lovers let's gather 🔥🔥🔥
Savara Savara Savaraaaa
hallo hallo mnipe likes za SAVARA😊21st Dec SOLFEST kufinish kumalo,, piga moja na BIEN ya kufunga mwaka🎺🎹🎸
This guy has always been better,although huwa mnapea ule bro wake spotlight sana😂(he is a G sijakataa)
I knew savara was the baddest in the group ever since dem days❤
Savara savara savaraaaa ...napenda track za uyu mrasta💯🔥
Pitia huku pia
Wakwanza ku watch naku like.. 🔥🔥🔥 wapi likes wewe mkenya mwenzangu 🤜🏾🤛🏾
This song should have wayyyyyyyy more views. This is a HIT. I got it on repeat. 💕🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
Ikr 😭😭
yeah
uiiii🔥🔥🇰🇪🙏🏾💪🏾
Ameifunga Mlango 🔐🗝 ya roho yangu mama ❤# KUFINISHKUMALO 🫡🫡🫡🔥🔥🔥🔥🔥Big tune SAVARA SAVARA NEVER DISAPPOINT
let,s dance this song huko🇧🇷🇦🇮🇲🇭🇬🇵
Kiuno chako chaniita naitika...🕺🏽🕺🏽🕺🏽🕺🏽🔥🔥🔥
Bien might have been the face of Sauti Sol but Savara was always its soul..if he finds himself artistically he will remain relevant for decades
Kenyans in Canada 🇨🇦 🇰🇪 tunajua 2025 Savara is going to unlock his beast mode! Mtashangaa sana!
😊
Lord Egerton Castle,that was such a good location for this video,great music @Savara,keep em coming
Niliapa sitapenda tena 😊 lakini leo nafungua kesi 🎁 💯💯💯🔥🔥 kati yetu kuna zero centimetre hakuna kilometre Dope vybz ☄️☄️☄️🔥🔥 #SHOWYOUOFF TO THE WORLD 🇰🇪🇰🇪🌍🌍 @savara so inspiring
10/10! The video vixen is absolutely stunning; she delivered on the assignment! Everyone seems to be having a great time:).
The first time I heard balance,I knew we're witnesses of greatness🎉🎉🎉
Halo Halo nimekuja na tangazo muoneni kwa mach😊❤
Feels like Kompa, and genge tone made a baby and gave it up to savara for safekeeping.
this guy is Big!! 💯👑 is made. hapo hapo bingwa. Beautiful music.
love the whole production🔥🔥
2025 wedding song! Vigele gele za hioya 🎉
Savaraaaaaa🔥🔥🔥
Wazambia 🇿🇲 🇿🇲 hapa tunakubali this is 🔥 fire
Nuf respect to Savara he never disappoints
💯🔥🔥🔥🔥
That kompa instrumental at 2:30 before outro is everything
The entire beat's Kompa, dont let the leads kid you 😂
King of genre
hii inaka remix ya pwomet mwen ya akina Bedjine😂
2:30🎉🎉🎉
Omg, this is a hit, the kompa beat, Kenyan vibe and choreography is on another level.
Kenyan kompa introduced..by savara❤❤👌😍😘🥰
Kompa kompa
@@kalembe_ Kompa li ye, Haiti
Thank you for introducing kompa to Kenya. One of the best music genres.
Naskia vibe ya shinski inaitisha verse hapa.....Great tune savara🔥🔥🔥
Pitia huku pia
SAVARAAAAA!!!!!!❤❤❤
Savara! Savara! Savara! 🔥 Pia Mimi Ni Msani #savara #showyouoff
Eeeiii This song is another thing
Am in love with this song
damn i like it feel the vibe even understund not word; love from morocco
Watu wanaskizanga bongo flavor hii utamu waezi elewa ke music is just 🔥🔥🔥
Its the savara effect for me, I dont now if its the voice....🔥🔥🔥 I feel liKe he can sing even a lullaby and it will still be dope ASF. I just love the song❤🔥❤🔥
Kaka una jua sana adii una keraa kweli...ume kuja na tangazo..🔥🔥🔥🔥❤️unyama sana mkuu
Tumekubali…..((((msijam))))but to our media team (video photo fashion etc) SAVARA apewe director sasa kweli sio kweli??young bloods
Huyo jamaa ni mchafuu than any sauti sol members
Amewashow off🎉🎉
to us who dont understand a word but still love and repeat the jam
Hii naskia Kila siku,,,sol generation to ē wrld
Savara + Afro Zouk beats on a Friday? Perfect match 🔥💯 I love this track ❤️
Baana... Ka Kizomba na umbali apo kanaingia yaani kiasi ni moan na mi ni ndume. Tamu kama ile kitu.
Kompa.
Savara 🥹🥹🥹! Oh the MAN YOU ARE !!!!!
Aaaah sijachelewaa leoo🔥🔥🔥🔥🔥nipewe zanguuu😂
I love it venye waliifanyoa lord Egerton's castle
Hapa nayo umekuwa serious kidogo mr ..endelea
@Savara this is a banger. You have proved that you can make it without sauti sol.Especially mr Kipara.
Ngoma kali wanaume tupose hapo 0:52
Mziki swafi...yani swadakta!
Vida ni safi wueh🤏🏿
Aww I feel like dancing at this moment coz my waist is already on this beat & Savara's voice👌❤
The song so dope
Halafu hapo lord Egerton castle, nailed it ♥️♥️
Seriously Savara. When will you ever disappoint???
this song and dance is banger❤❤
Hii ndio ngoma, sio mambo ya kifo cha kmnde😂😂😂😂 soo decent..... ❤❤❤❤ Savara representing E. Africa
Kifo cha?😂😂😂😂
Hit of the year. Period, and by year I mean 2025!!! iyi kwanza ina funga mwaka! Savage level indeed!
Ugandans we missed the hit
Vocals amazing
Instruments amazing
Lyrics amazing
Video amazing
Vixens amazing
Dancing amazinh
💯/💯
This should be at 200million views by now
SAVARA!!!... FINALLY!!!.. with another BANG'ER!!!... Kenyan zouk Kompa,, 👏👏👏👌.. sasa umetokelezea!!!
Sikuizi kama wewe sio tiktoker sahau kazi ya kuvixen wanapeana jobs tu hao kiwao,the song is so cool,new jam added to my zaza session playlist❤
Them tiktokers work to build a Name/Brand. Dancing everyday creating original content/moves not an easy fit! Keeping it 💯 % 🇰🇪 support 🇰🇪 Talent/Music.
Hapa nayo uliua 👏🏾🔥
Nasieku amazing ❤❤ congratulations 🎉🎉you killed it 🎉
The halo haloooo ❤ ongeza som kompa kwa umbaliii
Savara always brings bangers 🔥🔥🔥🔥
Sawa Wamaloooo kuma
Savara was definitely having a good time cooking this up, i can literally see it 😂😂😂 beautifully scenes in the kitchen 💥💥
Nice song mwarî gooooo🎉
Savara is not pregnant but he delivers😂🔥
😂😂😂 that's a good one; never pregnant but delivers huh?
😂😂😂😂😂😂😂savage ✴️
Baldman approved...🔥🔥👌🏿Kompa kompa...🎵🎶
I just want to see this video hitting a million views.
Savara has really worked his a** off and he has finally proved a point.
Like it if I make any sense.
@savaraofficial I suppose is not proving anything,,,It's a Testament he has always been the best 🎉 at what he does at a personal level and global ...if you know you know 😊
Love every effort put into this video from the outfits to the cast to the beats!! Lovely!!
International level🔝🇰🇪
Savara you've done something truly special on this cut!
Nani mwingne alikuja kuona nasieku 🎉 tujuane kwa likes❤
Kila time nikiingia you tube I must watch
Savara Amefanya Lord Egerton Kunakaa majuu
Majuu ndio kunakaa Lord Egerton Castle.
Listening from Rwanda 🇷🇼 with much luvvvv🔥🔥🔥🇷🇼🇷🇼🇷🇼❤❤❤
Lyrics-Savara(Show you off)
Hallo hallo nimekuaja tangazo
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango ya roho yangu mama
Girl I wanna show you off show you off show you off
Unawafinish kumalo
Girl I wanna show you off show you off show you off
Umenifinish kumalo
Roho zimegongana hii ni ajali ya mapenzi
Si tulishapendana
Ananienzi namuenzi
Alivyoumbika mashala
Katoto kanyoto yani star
Kanaleta meangaza
Staki kupoteza magidha
Wacha niringie duniaaaaa
Hallo hallo nimekuaja tangazo
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango ya roho yangu mama
Girl I wanna show you off show you off show you off
Unawafinish kumalo
Girl I wanna show you off show you off show you off
Umenifinish kumalo
Mapenzi yamejaa kwa hewa
Zima taa na upunguze AC
Ni nani aliyekukera
Anaishi wapi nimtumie jeshi
Nliapa sitapenda tena lakini leo nafungua Kesi
Kati yetu kuna zero sentimita
Hakuna kilomita
Kiuno chako chaniita naitika
My wangu sinyorita
Hallo hallo nimekuaja tangazo
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango ya roho yangu mama
Girl I wanna show you off show you off show you off
Unawafinish kumalo
Girl I wanna show you off show you off show you off
Umenifinish kumalo