Ok kwa kifupi sana Yesu siyo Job au Ayubu (kwa kiswahili). Ila katika kitabu cha Ayubu kuna vidokezo vya kimasihi. Kabla ya kutoa jibu inayowza kukusaidia kufahau zaidi ninahitaji kufuatilia maana inaonekana kuna misimamo mbali mbali na pia inabidi kuangalia ni sehemu gani inayo husika katika kitabu cha Ayubu. Nitajaribu kufuatilia lakini nadhani itachukua muda kabla ya kuweza kutoa jibu kamili maana ni kazi kubwa kidogo na pia kwa sasa nimebanwa sana na mambo mengi. ILa nitaiweka katika "to do list" yangu.
Bwana Yesu asifiwe Mwalimu ubarikiwe kwa mfundisho. ninaswali ktk Yohan 3; 16 14;6 kulingana na maandiko hayo kwamba ili tumwone Mungu inatupasa kupitia kwa Yesu. je? Inakuwaje basi kwa Henoko na Eliya walipaishwa kwenda mbinguni pasipo kupitia kwa Yesu? Naomba unifahamishe Mwalimu. By Dickson joramu.
Ok, g Yesu anaongea kama Mungu si kama mwanadamu. Ni rahisi kusahau kwamba yeye amekuwepo daima kama Mungu. Pili Wakati Yesu anaongea hayo ni katika mukhtada wa Agano Jipya iliyoletwa naye alipoingia hapa duniani kama mwanadamu. Henoko na Eliya waliishi kabla ya Agano Jipya Henoko hata kabla ya agano ya wayahudi. Watu wa agano la kale au tuseme walioishi kabla ya Msalaba na kazi ya Yesu hawawezi kumkubali Yesu, ila lazima kumkubali Mungu. Kwa kifupi mpango wa kabla ya Agano Jipya ni tofauti na mpango wa kabla ya Agano Jipya. Ila hata wakati ule Imani na neema ilifanya kazi, waliyoweza kuwa watakatifu walikuwa hivyo kwa sababu waliamini na neema ya Mungu ilifanya kazi. Mwa 15:6, Zab 32, Waebrania 11, seheu hizo zinanyesha kwamba hata wakati ule neema na Imani ilimfanya mtu awe mtakatifu na hiyo ndiyo inayoweza kusogeza mtu kwa Mungu. Mhusika ni Mungu na Yesu ni Mungu. Ukiona bado unahitaji ufafanuzi zaidi niambie.
Ameeni Bwana Yesu kufunike kwa Damu yake Mwalimu ...somo zuri saaana
🙏
Mwalimu. Je YESU ndiye Jobs? Naomba unifafanulie. Vizuri

Nashukuru Sana ubarikiwe.
SOMA YOHANA 8-40
@@SheikhMaalim Yohana 8-40 siyo rejea inayoeleweka.