Aisee huu wimbo niliusubiri sana unanisogezaga sana na karibu na msalaba dah mmeutendea haki na kwa namna mlivyouzunguka kwa kicho na heshima dah moyo wangu mmeuburudisha na kuufanya niendelee kumtazama kristo tukutane kwenye sikukuu ya vibanda
Munapaswa kuendelea na mazoezi Haijalishi ili Wivu na ubinafsi usiwatoe barabarani Bwana atawatendea ili Siku Mkirudi murudi mkibomoa ngome ya shetani Keep on praying Maombi ndo Ushindi
Ujumbe Mkubwa,,, wakati Sahihi ni wakati wa KUSEMA na BWANA .Mungu kama kiongozi hukubari kuongoza watu wake katika kila Hali... Nasubiri Nisema nawe Bwana... Amina Wimbo mzuri sana🎉
Huwa mara nyingi tunacomment kwenye vitu vya kijinga lakini mambo muhimu kama haya tunayapuuzia , vijana Mungu amewatumia vizuri mnatubariki mno .This is my song of the year bring more blessing songs like this , mnahubiri pia mnatangaza Kristo kupitia vipaji vyenu. I expect more touching songs from you.go on go on Vijana.
Barikiweni sana wajoli❤
Mbarikiwe sana kwa ujumbe mzur. Hakika ni ujumbe unaozid kunisogeza karibu na uwepo wa Mungu.
Amen Amen
Ongereni sana mmeimba vizuri Mungu awabariki
Amen Amen
Hakika nimebarikiwa naomba sana Bwana aseme maishani mwangu. 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amen
Amina:Nasubiri nikuone ukitenda maisha mwangu.Hakika n ujumbe mzuri sana mwenyezi Mungu azidi kuwatumia nanyi mzidi tumika shamban mwake
From kigamboni time keeper( makambi 2023)
karibuni tena kigamboni. Binasifi nimebarikiwa sana
Hii kitu nimemsikiliza kwa Muda wa wiki nzima Sasa na Bado nasikiliza, Sema BWANA neno lako nasubiri, Mbarikiwe na BWANA.
Malegesi...........hongereni sana....mpo sawa!!!!!!NYASAKA meneja!!!!!
KWA NAMNA YA PEKEE Nakiri kubarikiwa na wimbo Huu. Ninawaombea Sana BWANA Azidi Kuwainua kwa Utukufu wa Jina Lake
Amen
Watoto wa MUNGU kwenye ubora wao,, MUNGU atukuzwe sana
Amen
Nasubiri nikuone Bwana,mbarikiwe sana Iringo kazi nzuri ,songeni mbele kwa kazi Mungu ,hakika mpo vzr .
Amen Amen
Kwakweli sema Bwana nasubiri. Mungu azidi kuwainua vijana wangu.
Na msiache kumtumikia Bwana Mungu maishani kwenu..
Amen Ticha
Mbarikiwe sana kwa uimbaji mzuri nabarikiwa nanyi
Hongereni kwa wimbo mzuri, Mungu wa mbinguni aendelee kuwatumia kwa utukufu wa jina lake...
Aisee huu wimbo niliusubiri sana unanisogezaga sana na karibu na msalaba dah mmeutendea haki na kwa namna mlivyouzunguka kwa kicho na heshima dah moyo wangu mmeuburudisha na kuufanya niendelee kumtazama kristo tukutane kwenye sikukuu ya vibanda
Amen 🙏.. barikiwa zaidi
Nimekubali mnaporomosha ujumbe Mungu awabariki sana mim Tumaini kutoka Bariadi mkoa wa simiyu
Endelea Kubarikiwa na Nyimbo Nyingine Zaid Kwenye Channel Hii
Mungu azid kuwatangulia muifanye kazi yake!
Tunawaombea Changamoto ni sehemu ya uhimilivu Kiroho Ushindi kiroho ni vita Musitoke barabarani
Ujumbe muhimu Sana huu,tunashukuru Mungu akubariki kwa kutumbusha Jambo hili muhimu
@erastorjondego6148 Amen Amen 🙏
Munapaswa kuendelea na mazoezi Haijalishi ili Wivu na ubinafsi usiwatoe barabarani Bwana atawatendea ili Siku Mkirudi murudi mkibomoa ngome ya shetani Keep on praying Maombi ndo Ushindi
Amen sana
Amina! "Sema Bwana neno lako nasubiri"❤❤
Be blessed 🙌
Ujumbe Mkubwa,,, wakati Sahihi ni wakati wa KUSEMA na BWANA .Mungu kama kiongozi hukubari kuongoza watu wake katika kila Hali...
Nasubiri Nisema nawe Bwana...
Amina Wimbo mzuri sana🎉
Amen
Mungu Awabariki kwa ujumbe huu......Mzidishiwe siku baada ya siku
Amen
Iringo mbarikiwe kwa kibao kizuri Nasubiri useme
Huwa mara nyingi tunacomment kwenye vitu vya kijinga lakini mambo muhimu kama haya tunayapuuzia , vijana Mungu amewatumia vizuri mnatubariki mno .This is my song of the year bring more blessing songs like this , mnahubiri pia mnatangaza Kristo kupitia vipaji vyenu. I expect more touching songs from you.go on go on Vijana.
Huu ujumbe unanguvu Sana barikiwa ndugu
sema bwana by iringo 💟💟💟💟💟💟💟💟💖💖💖💖
Barikiwa sana na huu wimbo wa nasubiri niseme nawe Bwana aiseee mmeua Iko poa sana🎉🎉🎉🎉
Amen🙏mbarikiwe
Mbarikiwe sanaa jamani
May God assist you so mulch
Amen
Aminaa Aminaaa
Mungu aendelee kuwainua Muendelee kumtumikia
Amen ..
Muda aufiki wapendwa muachie mziki mzuri
Hongerani kwa wimbo mzuri, mnanibariki sana, Mungu aendelee kuwatumia hadi ajapo mara ya pili.
Bwana semaa nasi🙏🏿😌Amen
Mzidi kubarikiwa ❤
Aisee yani mnanitamanisha kurudi tena bwana awabariki
@@chinamagotikabatemagoti8079 Amina mbarikiwe sanaa
barikiweni Sana watu wangu wa nguvu Mungu azidi kuwatumia apendavyo
Mungu awabariki Sana watumishi kwa ujumbe huu
Mungu awabariki sana
Amen Mungu azidi kuwatumia
Good job
mbarikiwe
Mbarikiwe iringo vijana mnanibariki sana
Hatari sana
SI muachie Maregesi....mnatuweka ROHO juu!!! ahahaha tunawaombea sana.NYASAKA CENTRAL
Amen
3:23 🎉🎉
4:58 🎉🎉🎉🎉
Amen 🙏
Amina
❤❤❤
Amina sana
Ubarikiwe
Mzidi kubarikiwa ❤