Huu wimbo unanifurahisha hadi nikiuimba machozi yananitoka.Iringo tunawapenda sasa salamu zangu zimfikie Mutirikwa.Tungewaomba mje mtutembele tena.Twawapenda Sisi Kama wana Habari Njema SDA church
Hii Wimbo na ile ya Meli ndimi Zenyu Ziko Sawa Yaani hamuna DISCORDS Discords Kwa zile Nyimbo zingine inatokea Wakati Sauti za Saprano au Alto Ziko Juu Sana Ebu muangalia hayo Munapo imba Kisha ndimi Zenyu zitatoka tamu Kama hili. This is Angelic voices Well done 👍
Ameeen. God be Glorified. Even these days most brethrens of God after all basic and secondary needs, we are still murmuring. We need to be satisfied with what we are and what we have. Blessings all choir members.
Hakika mnaimba vzur vijana wa Iringo❤❤ mzid kubarikiwa na mfike mbali ktk kueneza Kaz ya Mungu
Nyimbo nzr San mungu awabariki
Hakika huwa napenda sana kuwatch huu wimbo,mbarikiwe sana mabaloz wa Iringo mfike mbali❤❤❤
Amina Amina, Tunashukuru Sna
❤
Sauti ya tatu mko vizuri sana,Mungu awabariki waimbaji huwa sichoki kuusikiliza huu wimbo
Sifa na utukufu kwa Mungu
Nawapenda San advent iringo
Mbalikiwe sana mbayi makongoro nimewai kuwa mshiliki apo iringo bwa na awa bariki sana iringo na mdogo wangu ondego bwana akubaliki sanaa
Amen
Mungu awabarik sana,huu wimbo umetubariki sana ikizu ni wimbo pendwa sana
Magdalena festo amepoa sana mpeni nyama au ring"o Mungu awapiganie
Huu wimbo unanifurahisha hadi nikiuimba machozi yananitoka.Iringo tunawapenda sasa salamu zangu zimfikie Mutirikwa.Tungewaomba mje mtutembele tena.Twawapenda Sisi Kama wana Habari Njema SDA church
Kazi nzuri ....
Mko vizr iringo advant church nawapenda Xana
Mbarikiwe
Amen Amina
Barikiwa Sana.... Ambassadors of Christ wetu wa Tz. Am Blessed...
Barikiweni Sana salam zimfikie abudy buchafwe alie tupa vionjo kwenye group
Welldone
Ameen .watching from Canada mbarikiwe sana Mungu azidi kuwatumia.
Amen
Tunawaombea sana Bwana azidi kuwatengenez na kuwatumia Mkumbuke muumba wakonsiku za ujana wako Iweni waaminifu Bwana atawatumia
Amen
Mungu awabariki sana na awalinde mufike mbali nawapenda sana
Amina Sana, Endelea Kutuombea
Iringo mmetisha sana kwakweli karibu ikizu secondary tunawapenda
Hii Wimbo na ile ya Meli ndimi Zenyu Ziko Sawa
Yaani hamuna DISCORDS
Discords Kwa zile Nyimbo zingine inatokea Wakati Sauti za Saprano au Alto Ziko Juu Sana
Ebu muangalia hayo Munapo imba
Kisha ndimi Zenyu zitatoka tamu Kama hili.
This is Angelic voices
Well done 👍
Wimbo mtamu
amen
Twawaombea sana kwa mola. Kwa wakika mtaende mbali. Pia Mimi ni mwimbaji ninaomba siku moja niimbe no iringo
Karibu sana tuimbe pamoja
Hatimaye nimeupata huu wimbo baada ya kuutafuta kwa kipindi kirefu.Mungu atukuzwe kwa ajili ya Hawa wapendwa ninabarikiwa na huduma yenu🙏🙏🙏
Hongereni sana
Ameni
Haleluya
Mungu shika mkono watumishi wako
Amen
Amina,Bwana aendelee kuwalinda ili mfanye kazi yake
Amina
My favourite song
Kwaya 5 zinazofanya vzr tz Basi iringo kwa sasa mnaweza kuongoza kabisa
Glory To God
tunabarikiwa na huduma yenu
Amen
Mbarikiwe sana Advent mfike mbali
wimbo mzuri sana na waimbaji pia.
Bravo 🙌🏽
Aminaaaaaaa. BWANA MUNGU awabariki.
Amen
Very powerful massage 🙏
Amen
Wimbo mxur
Voice 100%💥💥
instrument 100💥💥%
video 100%💥💥
Ubunifu voice & Video 100%💥💥
Saut imepngiliwa Hadi raha
Sifa zimrurudie Mungu aliyeziumba Sauti
Mbarikiwe sana👍
Amina
Nabarikiwa sana na nyimbo zenyu Sabato ya wiki ya thelathini na nne, 2022. Greetings na asanteni.
Endelea Kubarikiwa MTUMISH
HALLELUJAH
Tayari
Congratulation my mate Erastor
@@mangababwire7911 shukrani sana nduguyng
Oooooouh hallelujah 🙏🙏🙏🙏
Ameeen. God be Glorified. Even these days most brethrens of God after all basic and secondary needs, we are still murmuring. We need to be satisfied with what we are and what we have. Blessings all choir members.
Everytime I listen to your voices am blessed...God bless you abundantly...Nawapenda nikiwa Nairobi k
Nice Song Servants of God
Ohh Haleluya
Nyamwas I see u
Yeah yeah barikiwa mnoo
msonge mbele mkiwa na mungu
Mnapatikana mkoa gan???
Iringo, Musoma Mara
Mkoa wa Mara wilaya ya Musoma mjini Kanisa la Iringo Mtaa wa Mukendo
Vipi wewe rafiki unapattikana wapi