Hapo kwenye kapart hako " japo pepo kali zitavuma, mimi mimi Mimi, mimi niko juu ya mwamba wala sitayumbishwa...patamu sana hapo ndo pana miondoko yote.
Huu wimbo ulimkosha abiria mmoja niliyempakia kwenye gari langu akalala na kukoroma kabisa nilipopaki gari akaamka na kushuhudia mengi juu ya wimbo huu, ni mzuri sana unavutia wengi na kila mtu ana kasehemu kake.
Mmeimba kiwango sana kawimbo haka,ni katamu binafsi naupenda na ninaona nitauimbisha nami kwa kwaya yetu hauchoshi na unaomdoa stress kwa wanaoelewa uimbaji
Huo siyo ushauri, na kwa kumatch sasa ndiyo kumenogesha wimbo wenyewe. Usituletee makatazo ya ujita yamepitwa na wakati huko nyuma. Tunaokoa na kujiokoa pia.
Hako kakijana kameupendezesha huu wimbo, kameonesha hisia zake kwa tabia zake bila unafiki, wenye kumind nawamind tu, message sent and delivery. Nimeunyonya wimbo huu,kuusikiliza kwenye gari langu mpaka unichoshe. Unaondoa stress hata ukiwa chumbani unaweza kucheza kidogo. Mmeufurahisha mtima wangu mbarikiwa sana.
Ninamuomba MUNGU wa mbinguni Kama mlivoimba hata pepo Kali zikivuma kuwayumbisha kwenye utumishi ibaki kuwa kweli kuwa mtasimama imara nataman iwe kwaya ya mfano yenye vijana wengi idumu milele mpaka yesu atakaporudi,Neema ya BWANA Wetu yesu kristo uwe pamoja nanyi. Amen. Very powerful item.
Next level music...utulivu wa uimbaji ..kiwango kikubwa cha roho mtakatifu ndani ya wimbo..Nguvu ya kuelekeza watu kusonga mbele..wimbo bora kwa wakati sahihi..God is faithfully..
Wat a blessed song, every day and then I keep listening to this song,God bless you all as you prepare many souls,so that they will with our Elder brother when he will be back to take us home,🙏🙏🙏🇰🇪🇹🇿
Ubalikiwe mwalimu wetu nawaimbaji mnatishaaa Amina moyo wangu unabalikiwa
Ninatamani niipate namba ya mtunzi wa wimbo huu, na mcheza kinanda niseme nao jambo juu ya wimbo kwa nyakati hizi na hasa vijana.
Vida mate
Hapo kwenye kapart hako " japo pepo kali zitavuma, mimi mimi Mimi, mimi niko juu ya mwamba wala sitayumbishwa...patamu sana hapo ndo pana miondoko yote.
God bless you 🙏
Wimbo unagusa moya wangu mwalim hongela sana uzidi kuvuviwa Zaidi nikiwango chajuu sana wimbo huu
Amina
Kweli nimegundua siri shetani hawezi tena kuniyumbisha mbarikiwe sana
Huu wimbo ulimkosha abiria mmoja niliyempakia kwenye gari langu akalala na kukoroma kabisa nilipopaki gari akaamka na kushuhudia mengi juu ya wimbo huu, ni mzuri sana unavutia wengi na kila mtu ana kasehemu kake.
Huu ujumbe umenifanya nizidi kunyenyekea miguuni pa Yesu ninashangazwa na anavofanya kazi yake.
Mmeimba kiwango sana kawimbo haka,ni katamu binafsi naupenda na ninaona nitauimbisha nami kwa kwaya yetu hauchoshi na unaomdoa stress kwa wanaoelewa uimbaji
Wimbo mzr Sana, nishauri kuweni watulivu msipende kumachi Sana kanisana huwa mnatulia Sana ujumbe unakolea kwa msikilizaji mbarikiwe.
Amen tumepokea ushahuri mzuri
Well said, vinginevyo mmefanya vizuri ila mitetemo ipoe kidogo machief mko poa
Huo siyo ushauri, na kwa kumatch sasa ndiyo kumenogesha wimbo wenyewe. Usituletee makatazo ya ujita yamepitwa na wakati huko nyuma. Tunaokoa na kujiokoa pia.
Hako kakijana kameupendezesha huu wimbo, kameonesha hisia zake kwa tabia zake bila unafiki, wenye kumind nawamind tu, message sent and delivery. Nimeunyonya wimbo huu,kuusikiliza kwenye gari langu mpaka unichoshe. Unaondoa stress hata ukiwa chumbani unaweza kucheza kidogo. Mmeufurahisha mtima wangu mbarikiwa sana.
😂😂😂aloooo
Ninamuomba MUNGU wa mbinguni Kama mlivoimba hata pepo Kali zikivuma kuwayumbisha kwenye utumishi ibaki kuwa kweli kuwa mtasimama imara nataman iwe kwaya ya mfano yenye vijana wengi idumu milele mpaka yesu atakaporudi,Neema ya BWANA Wetu yesu kristo uwe pamoja nanyi.
Amen.
Very powerful item.
ujumbe ni mzuri sana,Mungu awazidishie
Mungu awabariki sana
Songa mbele tunawapenda,tunawaombea.....mzee Gideon-Ikizu H/Sch.
Wimbo makini sana...
Ninegundua siri makini sanaaa..
Mungu Awabariki sana mfike mbali..
Pia nimefurahi kumwona madam Dinna
Next level music...utulivu wa uimbaji ..kiwango kikubwa cha roho mtakatifu ndani ya wimbo..Nguvu ya kuelekeza watu kusonga mbele..wimbo bora kwa wakati sahihi..God is faithfully..
Amina brother hii inatupa nguvu sana nduguyangu
🤣
Napenda sana ur songs. May God bless u. Salimia zakayo sana . Hope mtarudi kenya tena
Sawasawa Zimefika
Mkiendelea hivi, accacia, na punda wao watakimbia tu, mko kiwango sana, binafsi niliwaona nawakubali hata mtaifanya Musoma ijulikane sana. Namwona hata shemeji Magreth yumo,nyamtondo makesi, kabinti ka Obure, mko safi sana. @ Makoba nawakubali
Barikiwa Sana 👏👏👏
Wimbo mzr sana na mmeutendea haki katika video hamjazubaa 🔥🔥🔥
Amen mbarikiwe sana 🙏
Mziki mwema huu waa baraka tele tele
Amen 🙏, Wimbo mzurii sana umenibariki Sana, Mungu Azidi kuwabariki,
Nanofilter water filter innovation technology safe and clean water for all!!!
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu, Mungu awabariki mfike mbali❤
Amen
Amina.
Hivi upo kaka
Ameeen kubwa watu wa mungu
Wmbo Mzuri vijana wa Iringo
Mbarikiwe sana wapendwa Mungu azidi kuwainua katika viwango vya juu
Amina katibu tunashukuru kwa upendo na ukarimu wako
Nasema hivii nawapenda sana...
Tunakupenda Pia
Iko vzr kabisa!! Be blessed
Amen
Wimbo umenibariki sana
Kazi bora sana
Nawapendeni sana iringo Advent kwa upazaji wa sauti yenu, kwani mnatoa ujumbe mzri kwa walimwengu wote na mungu awabariki sanaaa🙏...
Amina tunashukuru sana sana mkuu Kwa support yako
@@erastorjondego6148 ongereni sanaa
fabi Ally kautendea haki yuko vizuri Mungu akubariki na dada flora
Home sweet home, good song Bwana awabariki Sana.
Amen
Mungu awabariki Sana mfike mbali 💞💞
Amen
Powerful words and the vocal and song arrangements on top notch
Ooh halelujah🙌
Wow
Hongereni kwa wimbo mzuri wa kumtukuza mungu🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wat a blessed song, every day and then I keep listening to this song,God bless you all as you prepare many souls,so that they will with our Elder brother when he will be back to take us home,🙏🙏🙏🇰🇪🇹🇿
Hakuna iringo hapa. Hawa ni tofauti sana na wana Iringo
Hahahaahah wewe unawajua Iringo gani ndugu
Kwa Nini Useme Hivyo Mtumishi
Na hawa wangebadilisha hata jina, wasingetumia hilo la iringo. Maama aisee wanainba sana.
Kwa kweli, Bwana ni ngome
Woooow amazing song🔥👏🤛
Sasa dhoruba hainiwezi kamwe
kwani Amekuwa mtu 🤣🤣🤣🤣
@@IringoAdventChoir😂😂😂🙌
Amina 🙏
Good
Amen
Iringo mbarikiwe sana wapenz ktk Bwana
Amen
wimbo mzuri
Nyimbo imenibariki
Endelea Kubarikiwa
Amen
Aminaaaa!!! Wimbo mtamu sana wabarikiwe mnoo
Amen
Amen
Na wao wako kiwango sana. So beautiful and handsome. Naona fursa sana kwa wasio na wachumba.
Wow!
Mbarikiwe sana
Amina
Good song
Thanks
Waaaoooh wonderful song!
indeed 😊
Nice song❤️🙏
Ameni sana watuu wa Baba
👍 God Bless !
Amen
Such a nice song
Amen
Nice song I love you iringo
Ameni
We Love You too
🙏💝
At my lowest this song has naurished my spirit and taught me to always trust in God🙏
Stay Blessed
Amen
Yes, You must see Him
Mguso wa moyo.. Congs Advent
Amen
Barikiwa teacher
I'm amazed to see new members in advent group, this reveals that your now powerful. May God bless you and I love your ministry's programmes.
Amen amen bro
Praise God
You are good guys
Thank You
Now am practicing this song coz my music teacher told me to sing this 😶
Between voices are just awesome it's real relief ❤❤
Waaaw
Hallelujah 💖
Amen
What a beautiful song! God bless you
Amen
Halelujah
Jamani Mwanga James yuko Hapo ?
Yupo kaka
Be blessed friends
Amen
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Message is owesome but avoid much movement
Amen Amen
Nice song. Kindly share with me the phone number to the programmer and producer you used in this song.
+254 754 213032