UJE ROHO MTAKATIFU🕊. Na SE. Mlugu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024
  • #LoveJoyPeacePatienceKindnessGoodnessFaithfulnessGentlenessSelfcontrol
    MENENO YA WIMBO
    Uje Roho Mtakatifu tuangaze toka mbingu, Roho zetu kwa mwangao, Ewe Mungu Roho njoo.
    Uje Baba wa maskini, uje mtoa wa vipaji, uje mwanga wa mioyo, Ewe Mungu Roho njoo.
    Ee Mfariji mwema sana, ee rafiki mwanana, ee raha mustarehe, Ewe Mungu Roho njoo.
    Kwenye kazi u pumziko, kwenye joto burudisho, u mfutaji wa machozi, Ewe Mungu Roho njoo.
    Ewe mwanga wenye heri, uwajaze waamini, neema yako mioyoni, Ewe Mungu Roho njoo.
    Bila nguvu yako wewe, mwanadamu hana kitu, kwake yote yana kosa, Ewe Mungu Roho njoo.
    Osha machafuko yetu, panyeshee pakavu petu, na kuponya majeraha, Ewe Mungu Roho njoo.
    Ulegeze ukaidi, pasha moto ubaridi, nyoosha upotevuu wetu, Ewe Mungu Roho njoo.
    Wape waamini wako, wenye tumaini kwako, paji zako zote saba, Ewe Mungu Roho njoo.
    Wape tuzo ya fadhila, wape mwisho bila ila, wape heri ya milele, Ewe Mungu Roho njoo.

ความคิดเห็น • 12

  • @donatusmkuyu793
    @donatusmkuyu793 5 หลายเดือนก่อน +1

    🤝🤝🤝

    • @GeorgeSimbeye
      @GeorgeSimbeye  5 หลายเดือนก่อน

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @bragga8622
    @bragga8622 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nice

    • @GeorgeSimbeye
      @GeorgeSimbeye  5 หลายเดือนก่อน

      Thanks 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @innocentmakoi462
    @innocentmakoi462 5 หลายเดือนก่อน +1

    🥂💪

  • @vincentmabula5258
    @vincentmabula5258 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uhakika

    • @GeorgeSimbeye
      @GeorgeSimbeye  5 หลายเดือนก่อน

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @LusajoSirjoh
    @LusajoSirjoh 5 หลายเดือนก่อน +1

    Impressive Dr.

    • @GeorgeSimbeye
      @GeorgeSimbeye  5 หลายเดือนก่อน +1

      Shukrani mtaalamu 🙏🏻

  • @veboytz7064
    @veboytz7064 5 หลายเดือนก่อน +1

    God's blessings. Baba nanii

    • @GeorgeSimbeye
      @GeorgeSimbeye  5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂Veeboy 🙌