- 75
- 57 237
George Simbeye
เข้าร่วมเมื่อ 8 ก.ย. 2013
A Medical Doctor,Music lover always doing the best to improve my skills on piano playing. Glorifying the Almighty God by singing and playing Piano🙏🏻
Kindly Subscribe to the Channel,Comment,Like and Share.
Kindly Subscribe to the Channel,Comment,Like and Share.
NI NENO JEMA KUMSHUKURU BWANA. Na David B Wasonga
#DBW🙌
Ni neno jema kumshukuru Bwana (x 2).Na kuliimbia jina lako Ee uliye juu
Mashairi:
1. Kuzitangaza rehema zako asubuhi na uaminifu wako wakati wa usiku
2.Kwa chombo chenye nyuzi kumi na kwa kinanda na kwa mlio wa kinubi
3. Kwakuwa umenifurahisha Bwana, kwa kazi yako nitashangilia kwa ajili ya matendo yako
4. Ee Bwana jinsi yalivyo makuu matendo yako, mawazo yako ni mafumbo makubwa
Ni neno jema kumshukuru Bwana (x 2).Na kuliimbia jina lako Ee uliye juu
Mashairi:
1. Kuzitangaza rehema zako asubuhi na uaminifu wako wakati wa usiku
2.Kwa chombo chenye nyuzi kumi na kwa kinanda na kwa mlio wa kinubi
3. Kwakuwa umenifurahisha Bwana, kwa kazi yako nitashangilia kwa ajili ya matendo yako
4. Ee Bwana jinsi yalivyo makuu matendo yako, mawazo yako ni mafumbo makubwa
มุมมอง: 136
วีดีโอ
SALA YANGU IPAE MBELE YAKO. No 02 Na David B Wasonga.(DBW)
มุมมอง 61914 วันที่ผ่านมา
#DBW MANENO Sala yangu na ipae (mbele zako) kama moshi wa ubani na kuinuliwa kwa mikono yangu iwe kama sadaka ya jioni Mashairi: 1. Tunakusihi Ee Bwanauipokee sala yetu, ipae mbele yako kama moshi wa ubani iwe kama sadaka ya mtumishi wako Abeli. 2.Matoleo yetu kazi za mikono yetu tunayaleta mbele yako Bwana, kwa unyenyekevu mkubwa twakusihi Ee Bwana uyatakase Ee Bwana twakuomba 3.Vipaji hivi tu...
I Surrender All. By Judson van DeVenter (HYMN)
มุมมอง 1732 หลายเดือนก่อน
#Oldclassic 1.All to Jesus I surrender, All to Him I freely give; I will ever love and trust Him, In His presence daily live. Refrain: I surrender all, I surrender all; All to Thee, my blessed Savior, I surrender all. 2 All to Jesus I surrender, Make me, Savior, wholly Thine; Let me feel Thy Holy Spirit, Truly know that Thou art mine. [Refrain] 3 All to Jesus I surrender, Lord, I give myself to...
UJE ROHO MTAKATIFU🕊. Na SE. Mlugu
มุมมอง 4045 หลายเดือนก่อน
#LoveJoyPeacePatienceKindnessGoodnessFaithfulnessGentlenessSelfcontrol MENENO YA WIMBO Uje Roho Mtakatifu tuangaze toka mbingu, Roho zetu kwa mwangao, Ewe Mungu Roho njoo. Uje Baba wa maskini, uje mtoa wa vipaji, uje mwanga wa mioyo, Ewe Mungu Roho njoo. Ee Mfariji mwema sana, ee rafiki mwanana, ee raha mustarehe, Ewe Mungu Roho njoo. Kwenye kazi u pumziko, kwenye joto burudisho, u mfutaji wa m...
BWANA YESU KRISTO KAFUFUKA. Na Melchior B Syote
มุมมอง 6626 หลายเดือนก่อน
#oldcatholicclassics#Syoteclassics
ASILEGEE MOYOWE. Na Simon Simya
มุมมอง 3747 หลายเดือนก่อน
Maneno ya wimbo 1. Asilegee moyowe asitoke machozi machozi akimkumbuka Munguwe kwa yake makombozi mtoa roho msalabani mtaka kufa mwenyewe kwasababu kumpendani na ni mfunga moyowe? 2. Bustani mle Getsemani amwomba Mungu Baba Mungu Baba Je! Mtu Mungu ana nini nguvu zake ni haba. Rabbi yangu waziona dhambi za binadamu binadamu Mwili wake umetona kama jasho la damu 3. “Salamu Rabbi Salamu” anena Yu...
ULIMI WANGU NA UGANDAMANE. Na Emil E Muganyizi
มุมมอง 7347 หลายเดือนก่อน
#Nisisahaumakuuuliyonitendea
WEWE BWANA NDIWE MTAKATIFU WA MUNGU. Na Ernestus Ogeda
มุมมอง 1.5K8 หลายเดือนก่อน
WEWE BWANA NDIWE MTAKATIFU WA MUNGU. Na Ernestus Ogeda
KWA KUWA WEWE BWANA U MWEMA. Na Joseph D Mkomagu
มุมมอง 9108 หลายเดือนก่อน
KWA KUWA WEWE BWANA U MWEMA. Na Joseph D Mkomagu
NAYATAMANI MAKAO YA BWANA. Na Chaungwa
มุมมอง 1.2K9 หลายเดือนก่อน
NAYATAMANI MAKAO YA BWANA. Na Chaungwa
BWANA UTUHURUMIE- MISA NAMBA XI Na Fr Lui Malema Mwanampepo
มุมมอง 5419 หลายเดือนก่อน
BWANA UTUHURUMIE- MISA NAMBA XI Na Fr Lui Malema Mwanampepo
Mwanakondoo.(AGNUS DEI) MISA NAMBA XI By Felician A Nyundo.(FAN)
มุมมอง 38210 หลายเดือนก่อน
Mwanakondoo.(AGNUS DEI) MISA NAMBA XI By Felician A Nyundo.(FAN)
NOELI YA KWANZA.( THE FIRST NOEL)/ TRADITIONAL
มุมมอง 30510 หลายเดือนก่อน
NOELI YA KWANZA.( THE FIRST NOEL)/ TRADITIONAL
ZANENA KENGELE ZA JUU(SILENT NIGHT). Na Franz Xaver Gruber (1818)
มุมมอง 24510 หลายเดือนก่อน
ZANENA KENGELE ZA JUU(SILENT NIGHT). Na Franz Xaver Gruber (1818)
NAFSI YANGU ITASHANGILIA. Na Ernestus Ogeda
มุมมอง 42710 หลายเดือนก่อน
NAFSI YANGU ITASHANGILIA. Na Ernestus Ogeda
EE MUNGU UTURUDISHE.// Na JOSEPH D. MKOMAGU
มุมมอง 32411 หลายเดือนก่อน
EE MUNGU UTURUDISHE.// Na JOSEPH D. MKOMAGU
KRISTO MSHINDA(CHRISTUS VINCIT)- TRADITIONAL
มุมมอง 19811 หลายเดือนก่อน
KRISTO MSHINDA(CHRISTUS VINCIT)- TRADITIONAL
SWEET SACRAMENT DIVINE./ Composed by J. STANFIELD
มุมมอง 27811 หลายเดือนก่อน
SWEET SACRAMENT DIVINE./ Composed by J. STANFIELD
Bwana Utuhurumie/ KYRIE- MISA YA KILATINI(Misa De Angelis)
มุมมอง 37411 หลายเดือนก่อน
Bwana Utuhurumie/ KYRIE- MISA YA KILATINI(Misa De Angelis)
Tunakimbilia Ulinzi Wako./By Paschal Mwarabu
มุมมอง 300ปีที่แล้ว
Tunakimbilia Ulinzi Wako./By Paschal Mwarabu
Ee Bwana Yote Uliyotutendea. By Dismas Mallya
มุมมอง 276ปีที่แล้ว
Ee Bwana Yote Uliyotutendea. By Dismas Mallya
Very nice melody kijana, keep moving!!
Thanks alot my brother be blessed🙏🏻
Sweet melody bro..
Thanks my brother
Beautiful! Stay blessed always!
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Beautiful ❤️❤️ Amen
Ameen🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amazing ❤ God bless you 🙏🙏
Amen God bless you as well
Keep up it
Shukrani
Please can I get the scrip for this piece?
Your whatsap number
Ubarikiwe, hizi old school ni 🔥🔥🔥🔥
Shukrani 🙏🏻🙏🏻
✊🙏❤
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Fundiii 🔥🔥🔥
Tunajifunza mtaalamu
Hongera Mkuu
Shukrani mang'anyu🙌
Safi sana mkuu,,hongera sana
Shukrani mkuu🙏🏻🙏🏻
Asante❤
Bless up brother🙏🏻
God over everything....be blessed kaka
Thanks my brother be blessed as well..🙏🏻
💯💯💯
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
🎉🎉
Master na Mwalimu 🙏🏻
Hongera sana Kaka
Shukrani kaka mkubwa 🙏🏻
i like the song
Thank you sir 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
🎉🎉
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hizi bungart zinatumaliza
Kwa nini mkuu
Mwamba wao🎉
Godbless brother🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Keep the good catholic music alive dr. My fav song 🎉🎉🎉
Thanks my sister be blessed
Asante kwa wimbo huu umenikumbusha mbali
Nakushukuru pia kwa kuutazama mkuu
Favourite 🥂
Salute master🙏🏻
Mang'anyuuu Hongera sana kak
Shukrani kaka mang'anyu
Proud of you brother , St.Augustine Alumni Muhimbili
Shukrani mkuu St. Augustine Muhimbili🙏🏻
🎉🎉
🔥🔥🔥
Safi Sana Dr
Shukrani nguli @musamabogo
Umenikumbusha mbali kaka nabarikiwa sana na kazi ya mikono yako bro barikiwa sana
Shukrani mkuu ubarikiwee pia @peternichoraus
Amazing. God bless you!
Thanks mkuu
God be with you bro ...
Ameen. And also with you always brother🙏🏻
🎉🎉
Master na mwalimu🙏🏻
Safi sana mkuu,,,usiache kumtumia Mungu bro🙏
Amina kaka mkubwa🙏🏻
Hiki kinanda ni Aina gani?
Yamaha El 70
@@GeorgeSimbeye ahsante Sana . Naweza saidiwa kujua Bei yake?
Ngoja nikupe namba ya muuzaji nicheki whatsap 0769031207
@@GeorgeSimbeye ahsante
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🎉🎉
Master🙌
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Shukrani my big sister be blessed as well🙏🏻
That is gud
Shukrani 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Bwana moyo wangu hauna kiburi🙏
Wala macho yangu hayainuki🙏🏻
El kwenye ultra wake
🔥🔥🔥
Umecheza vizuri
Shukrani mkuu
@@GeorgeSimbeye karibu. Ukisubscribie yangu pia 🙏🙏🙏
kazi nzur kaka
Shukrani kaka mkubwa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mungu akutunze kaka, umetisha
Aminaaa kaka same to you 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ni aina gani ya kinanda hicho plse?
Natamani sana kujifunza muziki na hasa kinanda
Yamaha El 70 mkuu
Ubarikiwe sana kaka
Aminaaa Kaka. Ubarikiwee Pia mkuu 🙏🏻
kazi nzuri maestro
Master i salute thee🙌
Naomba score mkuu 🎼
Whatsap number
Lovely
Safi
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kazi safi
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mkuu hatari Sana, napenda 🎉🎉
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻