UTAJIRI WA DJ ALLY B ANAYE-TREND KWA MIZUKA NDANI YA GARI, KASIMULIA MAISHA YAKE "NIMEISHIA LA SABA"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Ally Seleman Simba maarufu kama Professor, DJ Ally B… aliyejipatia umaarufu kutokana na mizuka ama Vibes zake Kwenye kazi yake na haswa hivi karibuni akiwa ndani ya Gari zake za kifahari.
Ameanza kazi toka mwanzoni mwa mwaka 2000 baada ya kumaliza Darasa la Saba… shule haikuwa kipaumbele chake.. hakupenda shule wala hakupenda kusoma, ikamlazimu kufanya kazi ngumu za ukibarua ili apate pesa.. ya kujikimu Maisha… na haikutosha akafanya mpaka kazi Kwenye Daladala na bado mambo hayakuwa mazuri..
Kwakuwa ww unefanikiwa basi namm nitafanikiwa blessed brother I appreciate you more
Utafanikiwa inshaallah
Vijana wengi hawaamini kua kufanikiwa kupo that's why tukiona mtu amefanikiwa tunasema huenda Kuna njia mbadala .... Wakati wengine wapo kwenye ku hustle hatuongei lakini mda wanakuja kutoboa ndio tunabonga...... But because we don't trust the process
Mafanikio Yapo watu wapambane
Vijana acheni Wivu 'kaka amepambana pekee yake wakat nyie mna enjoy maisha ya baba na mama sasa hiv maisha yamewageukia mnamuonea Wivu Dj Ally'achen uvivu fanyen kazii..
Hayasemwagi yote ndugu ......hahahahhahahahaa
Ila Lina misifa Fran hv Amaizing!!!!
Daah hizi story za mafanikio from zero to hero huwa zinanipaga mizuka sana aisee
Ndio hivyo babu
@@jrsaid4270 broo maisha yanatufunza mengi sana hasa sisi tuliotokea kwenye familia duni
@@amanimanase8798 Umeongea point kbs
@@ahmadnassor6004 real mzazi
Yaan acha unawez jikut unapambn mpk unasem tena hapn mengine mpango wa Allah
Ameeen maisha ni kupambana wangu
Mwamba kajitafuta sanaaa
Namkubali sana mnyamwezi wangu maneno kidogo pesa nyingi acheni wivu wa maisha tupambaneni
Mungu akupiganie katika harakati zako
@@rehemadavid2680 Amiin kwa sote my
Achumaaaaaaaaniiiiiiiiiiiii, Professor, Pesa nyingi Maneno kidogo, Asumani Tajiri, hahaha DJ ALLYBI 🔥🔥🔥
MAISHA BASEMENT YA MWANZA SIKU ILIYOFUNGULIWA DJ ALLY B ALIFANYA MATUSIII HII SHOOO HAIWEZ SAHAULIKAAAAAA🔥🔥🔥🔥🔥
TRUST THE PROCESS OF SUCCESS , PRAY HARD WORK HARD EVERYTHING IS POSSIBLE.
th-cam.com/video/SS2nX1zLvqQ/w-d-xo.html
Watu wana kuita jambazi utazani umesha wai kuwa uwa watu na roho za umaskini bana 🙌🙌
Watafute Hela ujambazi huo vip
🤣🤣🤣 jamaa ametrend Sana Namkubali Sana huyu mwamba ....🤣🤣🤣 Safi Sana 🔥🔥
Ndo maana wenye hela uwa wanakaaga kimya hawajioneshi wala kujitangaza maana kuna mtihani wa maneno ya watu kila mmoja uwa anaongea lake inapofikia hatua ya kuonesha mafanikio yako na kuzungumza njia ulizopitia wengi uamini kuna namna nyengine nyuma ya pazia yaupatikanaji wa hayo mafanikio na kupelekea kumueka kwenye matatizo yule aliyeonesha au kuzitaja njia za mafanikio yake ,usikute hata serikali wataanza kumfuatilia kiundani zaidi ili kufahamu kipato chake kinapatikana kwa njia gani ukiacha na hii anayoitaja.
Acha mawazo hasi, hana pesa za kuishtua serikali
@@mcback4384 Sikia nikupange mdogo wangu sumbufu upo wa aina nyingi unapoonesha mafanikio yake Kuna kuhisiwa unajihusisha na mambo ya drugs, Ujambazi, sio mpaka usumbuliwe na TRA tu nafikiri bado haujaijuwa vizuri Tanzania sisi tuliyopo mbali na Nyumbani tunaielewa nje ndani...
This Broo bhanaa Yani juzi nilimwona he was so amazing
Tukiwa watoto nakumbuka sana tulikuwa tukikuangalia ukicheza brake dance liberty club yaan club ulikuwa unafunika sana
Ila liberty ilikua inajaa duh
Upo vzr xan kak yaan unatufany vijan tuendelee kupamban
so defenition yake kwamba anahela na hajaenda shule.. sikilizeni kuna matajiri wengi hawana shule na wasomi wengi hawana pesa. shule ni muhimu sana mtu asiyesoma maamuzi yake huwa yakunyongonyesha wengine, ila mtu amesoma na amejifunza lakini hana pesa anamaamuzi ya chanya mno.. pesa ni jitihada tu lakini bado shule muhimu sana. Shule inakupa limitation na staha. Kujenga nyumba yako kunakufanya wewe kusettle pia ni assets ila bro hataki hicho kitu. All in all kazi zake nzuri Mungu ampe nguvu na mafanikio zaidi.
bro umeongea nn
amna kitu bana ukishamiliki ella n sawa kuwaekea wanao mipango mizur kma jamaa alf nyingine n kuka bata tu akuna shule itakupa akili sijui nn akuna bana ukishashka ella basi bata tu kujenga watajenga wengine ai tutapanga
amna kitu bana ukishamiliki ella n sawa kuwaekea wanao mipango mizur kma jamaa alf nyingine n kuka bata tu akuna shule itakupa akili sijui nn akuna bana ukishashka ella basi bata tu kujenga watajenga wengine ai tutapanga
facts
Pumba😢
Enjoy mwamba ....maisha mafupi mwanya enjoy Sana nani kasema kusoma ndio kufanikiwa piga Kaz yeyote Ile
Lessons learnt:
Education is not the keys to success.
Follow your dreams.
Never give up in life.
Lastly stay humble 🙏.
Education is the key to success.
Education isn't limited to school, hata hio kujifunza uDJ ni Education pia...
🙌🏾
Say "Go to school" it would be more better
Kwahiyo watoto wako hautawapeleka shule utawambia hayo maneno
@@davis6692 true bro elimu ni Pana sana
Mwenyezi Mungu humpa amtakae
Always be happy jamaa raha sana
Yaani mtu ukifanya kitu Kwa kukupenda na ukakitilia manani utafanikiwa ila wengi wao ufanya kama wanalazimishwa
Huyu dogo alikua anakaa sana Saluni pale Msasani pia alikua ana DJ club ya Buckets
I really agree with dj ally b
Jilie pesa zako,maisha haya yapo
Much respect brother Man ongera saana
Uyo ndo professor athumaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥maneno kidog pesa nyingiiiiiii mwamb binafsi namkubali sana ukichek post zake insta dah lazim utajifunz kutokat Tamaaa.
Hamna mchaga fala mzee 🔥🔥🔥
Sio mchaga huyo
Sitaki kujua sanaa nn kinampa pesa mchizi ila naheshimu maamuzi yake ya utafutaji iwe ni njia ya kulia au kushoto!!
Gari ni liability not investment,anyways kila mtu anakipaumbele chake enjoy ur life dude.
Nakubali CHUGALEEEE
Ila nimegundua familia nyingi za dini zinavipaji sana na watoto watundu sana.
Upo sahihi💯
Dini ipi unayoizungumzia?
Familia za kiimani
@@miriamwinston9908 familia za kiimani zinazo mtukuza Mungu
Nakubali sana dj ally B
RESPECT HOMIE MOSHI HAMNA FALA
That'x true niggar👊
Kabisa baba 🔥🔥🔥
th-cam.com/video/SS2nX1zLvqQ/w-d-xo.html
Wooow ,number ya uo dingiii manzee ,frm 254 ,,, ,🤣🤜
Wowo hongera sana
Kwenye miaka ananipoteza 😂😂 sema ngoja tumsikilize kwa sababu anaongea.
Dah kumbe naweza fanikiwa kwaupandanaji wangu kam umeanza pambana me ndo nazaliwa
Ndio maana umefanikiwa kama uliweza kukataa mwana asifukuzwe kazi. Nahakika MUNGU alifurah Sana hiyo.
😁😁😁et jambazi 😁😁 tutafute Ela
Alivyosema tu Konoike..legit
Never give up
Napenda hii story ya jama natamani ihendele
Uyu mwamba nilikuwa namwona kichaa kumbe ana akili xn cz ANAONGEA real life yake cz mtu kwa shv kusema kaishia la sabaa
Motown iconic
Really blood ishi sana ❤️❤️❤️❤️
B born again...
Shem lng la enzi hizo 😂nakumbuka mara ya kwanza naangalia movie ya apocalpyto naiyona kwako basi kila nikiiyona lazima nikukumbuke mara paap nakuona kwa mitandao hongera maisha yanaende kasi sana
Unyama sana mangii
Uyu jamaaa nshakutanaa naye live haringagi mchanganfuu sanaaa
Mwana mke mwenzangu ukipata mwamba anapambaba achagui kazii jua uyo mwamba atafanikiwa tuu
All b anataja sana 1900+
Jamaa kama mimi sijawahi penda shule asiee niliamini katika kupambana nje ya shule
lakini na lugha ndio kitu muhimu nilipenda kujifunza
Good bro
Nakubali
Story nzuri sanaaa wa2 wa Kilimanjaro tupamban no kukata tamaa respect 4 u DJ
Minaona angesoma kiasi angekua n Akili y kujenga nyumba mahali ila si kuiishi kw nyumba z kupangu , kaka haujui yakesho kumbuka wanao ipo siku nguvuu itakuishia n utaitaji sehemu y kujistiri utakua unalala kw gari kumbuka katika maisha kuna pandashuka 😢utanikumbuka baadae n c kw ubaya haya yalitokea kw mzazii wngu n hatupo naye kw sasa tunajutia sn kw sasa lau angekua hata n kibanda duu
Acha ale maisha kapambana sanaa
Kassim Mkada 💪👏
The wealthy of anybody has secret within the heart of the same person who is wealth....this world has many ideal candidates trust urself
Mtu yyte mwenye mafanikio huchukiwa na wengi kuliko wanaompenda,ndo mana wengi wanamwita jambazi
Kabisa…Watanzania tupambane tutoke typunguze majungu na roho ya kwanini.
@@berthatz i thought hii tabia hukua na wakenya kumbe tz pia😹😹
@@davychelsea6461 wee..Ipo Tanzania sana tu ndugu yangu..
mara nyingi sisi binadamu tunapo pata mafanikio tuna jisifu sana kuwa ni wachapakazi na kudhani wengine wavivu ila ni baraka za mungu ndio kinakufanya kila unacho gusa kinabadilika kuwa dhahabu na baraka za mungu chanua kama maua na kukufanya ung'ae...ukileta watu wanao pambana lakin hawajatoka kimaisha uenda haupo hata kwenye mia bora...
Ila bidii ndo kila kitu na Mungu hupitia hapohapo 98%
Nakubal blood
Angesoma angekuwa mwajiriwa masikini tu
Nakupenda tu
Wadogo zangu mkipata nafasi ya kusoma na unahisi una uwezo wa kufanya hivyo nakushauri uende shule ukasoma..Elimu ukichanganya na husstle inakuwa rahisi zaidi kuliko kutokuwa na elimu kabisa
kusoma, kulima, kuchimba madini kote ni kutafuta. we tafuta elimu yako, wengine watafute ela zao. wivu utafanya watu wadiss sana. lakini kama elimu yako ina kusidia wewe its up tu you.. wengine dreams zao ni kuzalisha pesa nyingi. wakilifanikisha hilo its over kwao.
Nawez kuhesa moja mpak 90
Ni u Dj tu au kuna mengine maana wauza unga wote wana. Jificha kwenye vitu
Dah kweli kuna masela wanaroh mbaya so ilinikuta kufungiwa nche
Boss anajua huyo
Tajiri 🔥🔥🔥
Good
Respect kwake
Unyama sanaaa
Umenikumbusha pia niliwahi Fanya kazi kampuni ya ki Japan KONOIKE mlima kitonga
Safi sana aya ndo maisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee hii story bado tu mwendelezo wake?
hatujuw kujengaaa
Mara nyingi Wana ndo Wana tukatisha tamaa ili tuendelee kuwa chini yao
System of education ndio inafanya uonekane umefail wakati haujaenda shule
Tulikuwa tunaambiwa tusome mpaka chuo kikuu tuwe na maisha mazuri
na wazee wetu waliokua na maisha mabaya wakati huo sisi tunaambiwa hivyo, it turns out wao ndio walikua na afadhali kimaisha kuliko hata sisi sasa hivi. yan hawakusoma hali ilikua angalau sisi tuliopambaniwa hali inatisha.
Hakikaa
Hilo jina la suman huwa ana maana gan jmn
Ukisikia muislamu jina ndo huyu.
Mtu hawezi ishi nje ya ndoto za watu wengi wacha Mungu. Ukiona yuko tofauti basi jua kuna kitu au pesa zake za msharti. Mwisho wa kunukuu😁
#kweri kabisa ata Mimi nawaza lvo lvo
Millard block comment section kuna mwamba anaitwa kabwela suti viraka anataka kuleta shida kwenye nchi yetu tulivu ya jamhuri ya comments...
Oohhhhhhhhh
Yani waTz kwa kushangilia mafaniko ya watu bila kujia chanzo nini cha mafanikio hamjambo.Mnawajuwa madj wangapi?mbona hawana hayo yote ?
Mwamba ananibambaga sana na mizuka yake
Furaha kwenye kila jambo
Mze umevuka red light😁
Very creative interview big up @millardayo🏅🏅🏅
Waukaee zaramoboy na kubalii
Eeeen🙄🙄🙄🙄Makubwa aya
Ukishalewa ukimpa hennesy anaenda kaunta anachukua hela, mwingine akilewa anampa laki ataacha kununua gari na anapiga mabar karibu yote mikoa
Lakini huko sio kuiba ni ujinga wa mlevi mradi maisha yake yanamwendea.Kuna kijana wa kichaga kaja magomeni kuuza duka la Kaka yake baadae kafungua genge alipopanga chumba watt wa mwenye nyumba wanacheza bao na karata kula mirungi apo nje mwenzao anagenge hapo hapo .Baadae kafungua duka mara kajenga wale wapo wanacheza bao karata na mirungi. Mwisho wake walipoona yule kijana maisha yamemwendea wakaanza fitina ati Freemason mara muuza madawa ujinga mtupu
@@leokamil6284 ndio hvyo
@@leokamil6284😂😂
Simba scratching academy
Tutajua Tusivyovijua
Shule ni muhimu pia jitahid usikatishe wengine tamaa