Wolper Achumbiwa Rasmi, Mwanaume Mwenyewe, Mh!!!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2018
  • Subscribe / uwazi1
    SHEREHE ya kuchumbiwa kwa Staa wa sinema za Kibongo na Malkia wa Mavazi, Jacqueline Wolper imezua gumzo la aina yake baada ya muoaji kufanya kufuru ya aina yake, Amani linaripoti habari hii kwa mara ya kwanza (exclusive).
    Sherehe hiyo iliyohusisha msafara mkubwa wa magari kutoka jijini Dar, ilifanyika Moshi, wikiendi iliyopita nyumbani kwa bibi yake kijijini Moshi.
    Ili kutazama picha zote za tukio zima la kuchumbiwa kwa Wolper na mpenzi wake, Sadiki Athanasy Sanga ‘Engine’, ingia kwenye Application yetu ya Global Publishers sehemu ya magazeti.
    Kama Huja-download fanya hivyo sasa, install kwa kupitia hizi Link uzitazame picha zote za kuchumbiwa kwa Wolper.
    Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 111

  • @ilungasalle
    @ilungasalle 6 ปีที่แล้ว +3

    hongera sana wolper kuolewa ni jambo la kheri. vipi tena yule kijana uliyekuwa naye baada ya mmakonde? umeshampiga chini nae

  • @habibakhlifa8534
    @habibakhlifa8534 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Ndoa nii jambo bora mnoo hongera Dada

  • @bettylemanya4041
    @bettylemanya4041 6 ปีที่แล้ว +9

    Hongera sana Wolper mwaka umeanza vzr!

  • @consolatamaarufu6762
    @consolatamaarufu6762 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera sana dada

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mdogo wangu, ninakuomba utuletee watoto warembo kama mlivyo wewe na shemeji.

  • @zaituniiddi8615
    @zaituniiddi8615 6 ปีที่แล้ว

    hongera

  • @beatricesuleimani5778
    @beatricesuleimani5778 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @carenasharif7115
    @carenasharif7115 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera dada safi sana mungu akujalie

  • @dianacharles6965
    @dianacharles6965 6 ปีที่แล้ว

    hongera sana

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana wolper Mungu awafanikishe katika ndoa yenu

  • @2mabby274
    @2mabby274 6 ปีที่แล้ว

    hongera mpenz Nkpnd Sana mungu akusimamie ktk ndoa yenu uswacklz awo sura ngum mn yk nn shenz zenu Lop you wolper stylish

  • @faridmobji
    @faridmobji 6 ปีที่แล้ว +3

    Ametisha sana mshikaji wangu Engine

  • @salhatkarimu5434
    @salhatkarimu5434 6 ปีที่แล้ว +1

    Mwanaume mwenyewe mh ugune kwani hana mboo
    😂😂😂

  • @catherinesaumu7190
    @catherinesaumu7190 6 ปีที่แล้ว

    Hongera wolpe happy new year handsome boy kuliko harmonize

  • @jacksawe60
    @jacksawe60 6 ปีที่แล้ว

    hongera jack

  • @cathmahenge1536
    @cathmahenge1536 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana wolper Mungu awe kila kitu kwako

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 6 ปีที่แล้ว +1

    Karibu wolper.

  • @emilymwende502
    @emilymwende502 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana wolper

  • @elizabethgwakisa9753
    @elizabethgwakisa9753 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Wolper,

  • @sweetyfaridahsweety8700
    @sweetyfaridahsweety8700 6 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @jajajaja31
    @jajajaja31 6 ปีที่แล้ว

    woooow hongela sweet

  • @khadijaarkam5701
    @khadijaarkam5701 6 ปีที่แล้ว +1

    Ndoa jambo laheri👏👏👏

  • @vailethmasawe4785
    @vailethmasawe4785 6 ปีที่แล้ว +2

    nampenda sana gambe na namuombea aolewe na adumu kwenye ndoa yake aisee

  • @asilaalhabsi6481
    @asilaalhabsi6481 6 ปีที่แล้ว +2

    Mabrook sister ndoa ya kheri mami mungu akupe maelewano Katika nyumba yako

  • @congoboymbeyas2440
    @congoboymbeyas2440 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mungu awe nanyi

  • @AzaAlhabsi
    @AzaAlhabsi 6 ปีที่แล้ว +1

    hii Ni majibu kutoka Kwa mungu baada ya kuwapa sadaka watoto yatima cku yako ya kuzaliwa
    sadaka Ni ktu kizur sana watu hawajui tu .insh mungu akufungulie iwe ndoa ya kher

  • @theresiashilla5860
    @theresiashilla5860 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Munbgu awasimamie

  • @fatmaamran3154
    @fatmaamran3154 6 ปีที่แล้ว

    Kher in shaa Allah

  • @deewallance9354
    @deewallance9354 6 ปีที่แล้ว

    MUNGU akusimamie mayo wangu umefurah kusikia hivyo bado wema naye MUNGU amkumbuke 🙏🙏,

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 6 ปีที่แล้ว +11

    Hongera Wolper Ndoa ni stara,Tunaangalia Wallet tuuu sio sura.

    • @stevenlyando1801
      @stevenlyando1801 6 ปีที่แล้ว +2

      kumbeeeee ndo mnachoangalia???????wasio na wallet hawana haki????

    • @oopswouw756
      @oopswouw756 6 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 6 ปีที่แล้ว

      STEVEBAGGER TV 😅😅😅😅😅😅 sasa sura uipeleke wapi pochi mpango mzima.

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 6 ปีที่แล้ว

      Oops Wouw 😅😅😅 umecheka sana.

    • @tausak4568
      @tausak4568 6 ปีที่แล้ว +1

      MWANAHALIMA MWACHILI 😂😂😂😂😱

  • @itsangystyle5498
    @itsangystyle5498 6 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana wolper

  • @agnecjoseph2964
    @agnecjoseph2964 6 ปีที่แล้ว

    hngr mam

  • @wemaegno9686
    @wemaegno9686 6 ปีที่แล้ว

    Hongera saaana

  • @zuenaomary9987
    @zuenaomary9987 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera ngoja tusubiri ndoa isije kuwa movie

  • @snippermaricka4545
    @snippermaricka4545 6 ปีที่แล้ว

    Mko vizuri mm nasubiria move itoke tu

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 6 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli Wolper hongera sana sasa umekua,kubali kua mama mwenyenyumba na utapendeza sana kila la kheri.

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 6 ปีที่แล้ว

    Hongera Wolper!

  • @godlovepharma1837
    @godlovepharma1837 6 ปีที่แล้ว +2

    duuuuh Dada hpo umepataaaa maaan siyo kwa hendsam huooo

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 6 ปีที่แล้ว

    Amina sana tu nakutakia mafanikio kwa doa yako

  • @sharifajanqabari4731
    @sharifajanqabari4731 6 ปีที่แล้ว

    safii mamy nimefraijee

  • @user-vz4gf4bz8m
    @user-vz4gf4bz8m 6 ปีที่แล้ว

    Congratulations my dear

  • @umydaddy4697
    @umydaddy4697 6 ปีที่แล้ว +1

    Hee Engine iko on lakini isije ikanock ikawa off jacky huyo kivuruge. Mara Engine paaap off.

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 6 ปีที่แล้ว

    Asanteee no comment

  • @mbogabahati8599
    @mbogabahati8599 6 ปีที่แล้ว

    Mmependeza kwa kweli

  • @mamarama6360
    @mamarama6360 6 ปีที่แล้ว +3

    Mwaka mzur kwako

  • @mwanaishamzee8572
    @mwanaishamzee8572 6 ปีที่แล้ว

    hongera_bibie_

  • @neemathomas2656
    @neemathomas2656 6 ปีที่แล้ว +3

    Yesu akutangulie ktk ndoa yake

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 6 ปีที่แล้ว

    Huyu joti si kishaoa au kishamuacha mkewe mana wa sanii wabongo kwa fashem na majigambo wanaongoza,,dunia nzima wanajulikana kwa kuugiza maisha yasio kua halisi kwao,,

  • @alexmpanda2524
    @alexmpanda2524 6 ปีที่แล้ว

    Unadhani kuolewa mchezo, usipotulia utatangatanga sana, utatumiwa na watoto,wababu na wababa ,tatizo hujatulia na unapenda sana ngono mdada.

  • @tumafreedom896
    @tumafreedom896 6 ปีที่แล้ว

    Waaaa we ni kiboko doooh

  • @husseinmohamed5565
    @husseinmohamed5565 6 ปีที่แล้ว +1

    Wachaga oyeeee

  • @jasminasha9551
    @jasminasha9551 6 ปีที่แล้ว

    Mmmmm siamini mpaka ndoa

  • @lizybabyjohn2430
    @lizybabyjohn2430 6 ปีที่แล้ว

    Boraaaa maana hao wauza sura hawanaa maaaana

  • @princeuzieri4548
    @princeuzieri4548 6 ปีที่แล้ว

    Duh huyo anafanana na jot 🤣😂😂😂

  • @annaupendo4768
    @annaupendo4768 6 ปีที่แล้ว +2

    Hivi kweli hawa wa dada wana Moyo au mashine? Maana mapenzi kwao ni kuhamisha hamisha tu bila problem.

  • @eppynecmasatu1901
    @eppynecmasatu1901 6 ปีที่แล้ว

    Mungu nimwema dadang upendo inatakiwa na c kuangalia sula

  • @sevegalus3901
    @sevegalus3901 6 ปีที่แล้ว

    hahaahaha huyu jamaa anaictwa chansila kwao ni mpwapwa mwanakianga...

  • @marthageorge2577
    @marthageorge2577 6 ปีที่แล้ว

    umenichekesha iyo mmh ulivyoiandika😂😂😂

  • @kelvinchungu7016
    @kelvinchungu7016 6 ปีที่แล้ว

    Uyo jamaa ni laia WA kigeni akati Jina Lake la mwisho ni sanga 😁😁😁😁 sina hakika

  • @raymathew3253
    @raymathew3253 6 ปีที่แล้ว

    Wolpa

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 6 ปีที่แล้ว +1

    Hayawihayawi yameku

  • @mreallashy3525
    @mreallashy3525 6 ปีที่แล้ว

    Hahahaaa da Wolper huyu nani vile

  • @abedijonas4936
    @abedijonas4936 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyu atakuwa mkubwa wake joti

  • @azizilife3468
    @azizilife3468 6 ปีที่แล้ว

    daaa uyu jamaaa namjuwa mfatilieni vizuli silaiya wakigeni
    miaka ya nyuma alikuw Dodoma wilayani mpwapwa sijui ila uhu ndoukweli mfwatilieni vizuli

  • @winniemagomba7475
    @winniemagomba7475 6 ปีที่แล้ว

    ongera mwaya

  • @sophiajumah4808
    @sophiajumah4808 6 ปีที่แล้ว +1

    Atakuwa ndugu yake jote maana wamefanana sana

  • @aishahussein3068
    @aishahussein3068 6 ปีที่แล้ว

    kweli akuna mchaga fala usiangalie sura mama kibunda ndo kitu ya mcngi ila ukienda uingereza ucnisahau mdogo ako plz unichkue niwe nakubebea pochi (kihere here wako) ktk mipuyango yako

  • @mamujally3814
    @mamujally3814 6 ปีที่แล้ว

    Wolper mbn shemeji hajaandamana hata na rafiki wa karibu,hatari ndoa za hivo lazma watu wa shem wajitokeze kuna leo na kesho dunia haikukaa.Ila pongezi na nakutakia kila la heri maamuzi mazuri kabisa mda umesonga swiry

    • @nimrordjoseph7467
      @nimrordjoseph7467 6 ปีที่แล้ว

      oya ana zingu huyo huyu jamaa mm namfaham hatar huyu 2meishi nae dodoma mpwapwa kijiji cha mwanakianga huyujamaa alikua kinyoz,alikua anabanda la nyanya na anamke anaitwa getruda m2gan na amezaanae watot wawili na mkewake mlev kupindukia nahuyu jamaa ni msanii mdogo sana wa mtaan na ananyimbo nyingi2 za kigogo asiwazingue kua katokea uingereza

  • @aminaabuu755
    @aminaabuu755 6 ปีที่แล้ว

    jamani kumbe bff wake waliachanaga hee makubwa

  • @funsupadatestourists9256
    @funsupadatestourists9256 6 ปีที่แล้ว

    Mmmmh kuchamba kwingu sasa adandia mavi loool uzur wote uo jmn.......ustaa usumbua wt

  • @litmasnicko4344
    @litmasnicko4344 6 ปีที่แล้ว

    jamani Engine RAIA wa kigeni??!

  • @princesshaluum5404
    @princesshaluum5404 6 ปีที่แล้ว

    Brotherke joti nn ? mana wamefanana sana

  • @jumapeter3353
    @jumapeter3353 6 ปีที่แล้ว

    je,kama siyo kibamia itakuaje

  • @vjabnassir0017
    @vjabnassir0017 6 ปีที่แล้ว

    Wawabadilisha km nguo

  • @alima7862
    @alima7862 6 ปีที่แล้ว

    shiiii hovyooo mwana wume sura ngum

    • @nagmynamahin2463
      @nagmynamahin2463 6 ปีที่แล้ว

      Alima 786 kwani sio mwanaume mbona hamuendelei jamani lol

  • @hopegagarino6754
    @hopegagarino6754 6 ปีที่แล้ว

    sasa icho kichwa cha habar nn sas

  • @raziunaabdala8809
    @raziunaabdala8809 6 ปีที่แล้ว +3

    Twasubir ndoa

  • @edithmakonde5384
    @edithmakonde5384 6 ปีที่แล้ว

    Kila la hreli dada...

  • @sweetyfaridahsweety8700
    @sweetyfaridahsweety8700 6 ปีที่แล้ว

    Wolper nitafutie mchumba

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 ปีที่แล้ว +1

    Boea bibi uolewe Allah akujalie kila lakheiry ukatulie c kupost ujinga

  • @beatusjosephat6594
    @beatusjosephat6594 6 ปีที่แล้ว

    Kuwa makin ndugu wa mume wako wapi mbona hatuwaoni

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 6 ปีที่แล้ว +1

    Tunasubii ndoaaaaaaaaaaaaaaa

  • @jacklinenesto4984
    @jacklinenesto4984 6 ปีที่แล้ว

    Ndoa ni kuvumiliana sio brabra

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 6 ปีที่แล้ว +14

    mbona anafanana na joti

    • @mbogabahati8599
      @mbogabahati8599 6 ปีที่แล้ว

      Valentina Mussa 😂😂😂😂umeonaee mimi pia nilidhani joti kaongeza wa pili lol

    • @valentinamussa4212
      @valentinamussa4212 6 ปีที่แล้ว

      +Mboga Bahati nae anakibamia

    • @zaituniiddi8615
      @zaituniiddi8615 6 ปีที่แล้ว

      umeonae

  • @gaudinamosnchobe4909
    @gaudinamosnchobe4909 6 ปีที่แล้ว

    pumbavu zako wolper ndoa sio chai ya rangi unaachana na brown aujapita mwezi ushapata mume wa kukuoa apo umetudanganya dada uo mda wa kukaa na kuchunguzana mmeupata wapi au unataka utoe movie maana nyie bongo movie amshindwi mnatufanya watanzania mazuzu akuna ndoa hapo uongo mtupu

    • @janethhashim2705
      @janethhashim2705 5 ปีที่แล้ว

      We umeachana na wangapi! Acheni kumkatisha tamaa wananzengo

  • @amanimarleyceo1533
    @amanimarleyceo1533 6 ปีที่แล้ว

    sio joti huyu,, mbona kafanana na joti

  • @abdulatifismail4747
    @abdulatifismail4747 6 ปีที่แล้ว +2

    Kakayake joti nini?

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 6 ปีที่แล้ว

    Subscribe kwenye channeli yangu schoraship za uk , belgium na hungary mpya zimetoka .bonyeza picha yangu itakuleta kwenye chaneli yangu au nitafute hapa youtube as mama franjovlogs asanteni

  • @makachaatz4701
    @makachaatz4701 6 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/g08d-ZN5hs4/w-d-xo.html
    NEW SONG....
    LAVA LAVA WCB_ KILIO👆👆👆👆

  • @chantalmulasi5663
    @chantalmulasi5663 6 ปีที่แล้ว

    Congratulations my dear