DIAMOND: UKINIFUNGIA NYIMBO / NAHAMA NCHI / LABDA UNIUWE / NITAI PERFORM TU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 700

  • @CalypsoCalvin
    @CalypsoCalvin 3 ปีที่แล้ว +10

    2021-imenibidii nitafute hii clip,jambo la busara sana

  • @leonardmgungu5139
    @leonardmgungu5139 6 ปีที่แล้ว +21

    Big up Simbaaa Kufungiwa nyimbo sio Mwisho was Muzik Pambana bro wew ni Kioo cha Jamii hata Maadui wanajua. Like nyingi kama upo online

  • @saadmgendi8537
    @saadmgendi8537 6 ปีที่แล้ว +9

    Mtu utaachaje kumpa pongezi zake huyu Presenter in Tz, Diamond ur the best that's why we proud of you

  • @Bullah_tz
    @Bullah_tz 5 ปีที่แล้ว +11

    Nan ameangalia na mimi 2019 ...... tupia like apa

  • @sahaplatnum1033
    @sahaplatnum1033 6 ปีที่แล้ว +24

    kama unapenda #tanzania na unamkubal diamond #platnumz like hapa hapa uspiteeee 🎸🎧🎹🔊🎤🎵

  • @jafaryamosi6172
    @jafaryamosi6172 6 ปีที่แล้ว +19

    HAHAAAAA SIMBA THAT'S AMIZING SAAFI SAANA SAAAAANA umeongea yanayitakiwa kuwa mstari wa mbele naamini hatma ipo love it brother najua unajua unachokifanyaa thanks thank you so much dahh!!

  • @adijaasham7460
    @adijaasham7460 6 ปีที่แล้ว +6

    I like that diamond et unaifungia nyimbo wkt ishapia miaka minne watu washafanya shoo washaingza pesa kama jux uzur uzur wk chura y snura....Then unaifungia mwk huu👌👌👌👊

  • @anthonymchangila4228
    @anthonymchangila4228 6 ปีที่แล้ว +3

    This what we call open mind and how are we suppose to know our products big up diamond... personally am proud of you . I wish you all the best. ...

  • @alibinali_
    @alibinali_ 6 ปีที่แล้ว +9

    That true bro hayo umeyaongea yote wata kubali tu because sio sawa hivo wana wapeleka wasani wetu kwanza hawana shukran kwako umefungua milango mingi sana Tz wajulikana kila kona kwa sababu yako diamond Mungu akulinde na mabaya

  • @devothamalugumalugu7593
    @devothamalugumalugu7593 6 ปีที่แล้ว +10

    😁😁😁 mwisho kabisa pamenifurahisha mm so shabiki wa diamond lakini watu kama hawa ndo tunawahitaji mtunyooshee Tz yetu aise mond akihama tukumbuke tunahamisha jina na tunzo za nchi hii big up chibu 💪💪💪

  • @mwasitihatibu9691
    @mwasitihatibu9691 6 ปีที่แล้ว +3

    Hii Chanel nakubali kweli haina majungu ingekua zengine hapoungesikia badala yakumuliza habari zake wangemuuliza za Ali kiba alimladi tu kuwachochea wasielewane, hongera mtangazaji hongera Diamond

  • @ramsongerald7830
    @ramsongerald7830 6 ปีที่แล้ว +109

    haaa moja ya interview nilyowahi kuielewa duniani nii hii hapa salute #diamond na mkali lilommy

    • @swalehsaid9923
      @swalehsaid9923 6 ปีที่แล้ว

      cunamuelewa @LILOMMY ...

    • @saadmgendi8537
      @saadmgendi8537 6 ปีที่แล้ว

      Ramson GERALD Hatar sana A Boy from Tandale

    • @hilalyrajab7618
      @hilalyrajab7618 6 ปีที่แล้ว

      Ramson GERAL

    • @resadaplaiza2604
      @resadaplaiza2604 6 ปีที่แล้ว

      Ramson GERALD tatzo zngne dunian znakuaga za kidhunguu huwez kuelewa hata ck moja hii ya kiswahl lazma uelewe 😁

    • @mazengosophia6137
      @mazengosophia6137 6 ปีที่แล้ว

      Ramson GERALD yani Mimi pc

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 6 ปีที่แล้ว +113

    Lilommy ni best presenter tz yupo unique sana ktk interview zake anafanya research then anakuja ktk show jamaa yuko attentive na kazi yake big mzazi keep it up

    • @latifanasibu2694
      @latifanasibu2694 6 ปีที่แล้ว

      pendant San ww

    • @ridansithomasi3520
      @ridansithomasi3520 6 ปีที่แล้ว

      mondi ucpanik labla bado hawajaona thamani yako ila wakae waelewe wewe ni zaidi ya mwimbaji nakubali kaz zako broo

    • @mohamedsadiki9846
      @mohamedsadiki9846 6 ปีที่แล้ว

      Nuhu Salim unamsahau jonijoo bingwa anakwambia wahuni siyo watu wazur

  • @immajackisoniimmajackison1151
    @immajackisoniimmajackison1151 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama bado unacheki mpaka 2020 gonga like hapa

  • @brendaduncan8121
    @brendaduncan8121 6 ปีที่แล้ว +31

    Most people just don't understand this Man! THEY HATE HIS PRESENCE BUT RESPECT HIS HUSTLE... Go Diamond goo Broo👌👌 we love and appreciate you

  • @mpoleclassic160
    @mpoleclassic160 6 ปีที่แล้ว +8

    Kama unamkubali king Diamond Platnumz gonga like hapa

    • @immalado1631
      @immalado1631 5 ปีที่แล้ว

      Chibudeeeeee simbaaaaa Wasafi 4life

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 6 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sauti ya huyu kaka mtangazaji then anajua,thankx nilikuwa nasubiri sana diamond ahongee

  • @Majambo_Duniani_Tv
    @Majambo_Duniani_Tv 6 ปีที่แล้ว +7

    lilOmmy sitakaa niamini kuwa hapa bongo kuna presenter clever na creative kama ww.. I salute u brooh..

    • @victormseya9391
      @victormseya9391 6 ปีที่แล้ว +1

      vian marcel kweli jamaaa ni noma anauliza maswali ya akili na swaga siyo clouds ya mchomvu mvuta ninnnn sijui

    • @shekhekhandereizer559
      @shekhekhandereizer559 6 ปีที่แล้ว +1

      vian marcel nakuunga mkono asee uyu jamaa kwngu mm namb moja ommy

  • @shd12m55
    @shd12m55 6 ปีที่แล้ว +9

    Achana na wabongo diamond njoo uku kenya ujenge maisha mazuri

  • @emmanuelnyakatai7311
    @emmanuelnyakatai7311 5 ปีที่แล้ว +2

    Lily Ommy unaakili sana ndio maana nakukubali

  • @pambavederstus592
    @pambavederstus592 6 ปีที่แล้ว +3

    Nimependa maswali yako omy yako perfect & Mondy nimefurahishwa na kujiamini kwako kuitetea sanaa yetu big up bro Mungu yu pamoja nasi, kazi njeme kwenu.

  • @hibogetikali7996
    @hibogetikali7996 6 ปีที่แล้ว +107

    Wakwanza😂🙌🏻❤️ from kenya diamond ameongea kitu cha maana sanaaa

    • @husnafahim4240
      @husnafahim4240 6 ปีที่แล้ว +1

      Mohamedy Hibo kuna story ya zari 🤔🤔🤔🤔🤔🤔ana ntawaste time

    • @hibogetikali7996
      @hibogetikali7996 6 ปีที่แล้ว +2

      Kwa hii part hawajamuongelea bado but i think part 2 itakua nayo

    • @lucyngare8993
      @lucyngare8993 6 ปีที่แล้ว

      Mohamedy Hibo imeenua kenya sana kwa albam yake jina lime panda sana limetajwa sana kenya

    • @happyfantarimo413
      @happyfantarimo413 5 ปีที่แล้ว

      kizaz Sanaa broo mond

  • @fredyjohnwaifakaratz2473
    @fredyjohnwaifakaratz2473 6 ปีที่แล้ว +11

    YAANI MI SIO SHABIKI WAKO DIAMOND LAKINI LEO UMEONGEA POINT SANA MZEEE DUUUU... KWELI YULE DEMU KAZINGUA WAHUNI SIO WATU POA

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 6 ปีที่แล้ว +2

    Naibu wa Sanaa Alifaa kuwa
    Mh Joseph Mbilinyi au Joseph haule,
    Hawa ndio wanajua uchungu halisi na Changamoto za sanaa hii.
    Sio hawa wengine mnaowa'download Vyuoni.

  • @haithamrubeabuhet2637
    @haithamrubeabuhet2637 6 ปีที่แล้ว +1

    diamond sikupend lkn umeonge point sana na nimekuelewa much love kwako baba tipha

  • @haidaryjoe5546
    @haidaryjoe5546 6 ปีที่แล้ว +4

    sawasawa Diamond umeongea kitu cha point sana...wamezidi hao maboya wa kukurupuka...kimbizaaa haooooo...

  • @mropeamadeus5445
    @mropeamadeus5445 6 ปีที่แล้ว +4

    Diamond wewe uko pow Sana, umeongea kwa umakini Sana, unajua Sanaa

  • @amadiamad2463
    @amadiamad2463 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sanaaaa

  • @MafiaOnline_Tv
    @MafiaOnline_Tv 6 ปีที่แล้ว +1

    Big Up Sana Naseeb

  • @bantuempress1744
    @bantuempress1744 6 ปีที่แล้ว +100

    Napenda akili za Diamond ...,ambacho watu hawakifahamu nikuwa alifanyia kenya kwa sababu hela za kenya ugigeuza Tanzania ni mammillion pesa taslim.

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 6 ปีที่แล้ว +2

      chriss cherry Tv kweli kabisa ana jua kutafuta hela

    • @64aaa
      @64aaa 6 ปีที่แล้ว +1

      chriss cherry Tv ww👈😂😂😂😂😂👍

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 6 ปีที่แล้ว +1

      💗

    • @wardahusen3922
      @wardahusen3922 6 ปีที่แล้ว

      mambo mond

    • @patrickpatyzm4636
      @patrickpatyzm4636 5 ปีที่แล้ว

      J

  • @franknyara9498
    @franknyara9498 6 ปีที่แล้ว +16

    Diamond unajielewa Sana na unajua biashara akuna wa kukushusha watashuka wao

  • @maryannqueen7356
    @maryannqueen7356 6 ปีที่แล้ว

    RESPECT! A REAL LION,A KING OF BONGO Fleva........ HUOGOPI NA KUSEMA KWELI....UMESEMA NAKED TRUTH, AND Thats a true Lion...NGURUMA!!!!!ROAR FOR US............. And you can talk, Nimeona uchungu wako na nimependa unajua ku control your words....... Respect all the way from Germany

  • @Sisopotashiumz
    @Sisopotashiumz 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kama kuna mtu anafuatilia interview hii 2024 tujuane kwa like

  • @rebecaosiah2869
    @rebecaosiah2869 6 ปีที่แล้ว +2

    oyoooo nakukubali sana chibu

  • @aminamussa5122
    @aminamussa5122 6 ปีที่แล้ว +2

    I'm supporting you 💯 Diamond, this is why Africans we can't go further, they want you to get better but not than them.

  • @jenifamosha1611
    @jenifamosha1611 6 ปีที่แล้ว +6

    Diamond ni shida hatari mzee baba unaweza mwangu.

  • @sheymahabdulwahidkhalid6355
    @sheymahabdulwahidkhalid6355 6 ปีที่แล้ว +1

    wallah Daimond Nakukubali sana tena saaaana ❤❤❤ uko vizuli sana pia unaijar sana kz yako tunajivunia kuwa na wasanii wakujielewa kama ww Hapa Tz

  • @ramadhanmasenga8730
    @ramadhanmasenga8730 6 ปีที่แล้ว

    Diamond ni msanii mwenye vision, ambition and creativity kutaka kumshusha ni kazi ngumu mno. Wigo wake wa mashabiki ni mpana sana, sio Tanzania tu bali Afrika na Dunia

  • @muzdalifatomar9712
    @muzdalifatomar9712 6 ปีที่แล้ว +2

    love u so much plutnumZ yani cku zote nlikua nakuona pimbi ila leo nimegundua u a so talent bby mungu akusmamie kwa kweli nakupendaaaaaaa snaaaaaaaaa 😍😍😚😘 wape makavu yao najua watanuna basata

  • @aliiphillip
    @aliiphillip 6 ปีที่แล้ว

    This is now the brain of an icon.. He has spoken words for that lady to chew. Sometimes government sucks.... Welcome to Kenya Diamond if they chase you away. Hit my like

  • @gilbertmariwa3830
    @gilbertmariwa3830 6 ปีที่แล้ว

    I'm really proud of u diamond being Tanzanian!! Hapa unanifanya nakumbuka nyimbo ya kenny rogers song coward of the country!! yaani watu walikuwa wanakuona mwoga yaani coward but now umeamua kuonesha u are stronger and brave bro!! Big up

  • @richardbenny156
    @richardbenny156 6 ปีที่แล้ว +4

    Asante boy from Tandale, nikomeshe maboya hao wakupurukaji.

  • @petromahava865
    @petromahava865 6 ปีที่แล้ว

    ebwana heee mondi ni hatar salute bro...ila lilommy pia bonge la mtangazajiiiì......anauliza maswali vzur.....kinoma...bigup lilommy...

  • @michaelkastochannel8054
    @michaelkastochannel8054 6 ปีที่แล้ว

    Umeongea point Sana.. Sanaa ina changamoto kubwa lakn inaonekana viongozi husika wanakua watoa hukumu kwa kazi za wasanii badala ya kuwasapoti na kuwaondolea changamoto. Nashukur Diamond Umeongea Kwel kwa niaba ya wengine 👏👏

  • @stanislastv3786
    @stanislastv3786 6 ปีที่แล้ว +222

    Nasibu bjj mkali wao simbaaaa weka like hapa bila wivu

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 ปีที่แล้ว +1

    Dah anaongea kwahisiaa kama shemejiyangu alimas love u diamond

  • @ismaeluchoun8099
    @ismaeluchoun8099 6 ปีที่แล้ว +3

    diamonde wendo my super star yap big bro vimba simba

  • @dereckdavid9609
    @dereckdavid9609 4 ปีที่แล้ว +2

    2020 december here we are

  • @jumaseif4322
    @jumaseif4322 6 ปีที่แล้ว +6

    kweli jamaa mm nakukubali sana

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akutanguliee mbele usiogope mtuu

  • @ntamugabobizi4580
    @ntamugabobizi4580 5 ปีที่แล้ว +2

    Diyo dada wadiamond ujumbe uma fika asate nashukuru wedada wadiamond mwenye urishaorewa unitazame muzuri miye najuwaonambari ujumbe ukufikiye

  • @preciousjeremia9444
    @preciousjeremia9444 6 ปีที่แล้ว

    jamany napenda sana interview ya Diamond akiwa na Lili ommy, salute to you guyz

  • @theinsider6462
    @theinsider6462 6 ปีที่แล้ว +6

    Leo ndo nmeiona sura halisi ya SIMBA,Haki ya Nani akimuona naibu waziri Atamuuma 😂😂😂😂

  • @gatusogg6978
    @gatusogg6978 6 ปีที่แล้ว +19

    diamond ni kweli unayo yaongea true

  • @paulkasunga7722
    @paulkasunga7722 6 ปีที่แล้ว

    Hard work pays namkumbuka lil ommy toka voice of tabora ktk extra ordinary show mwaka 2008,right now n mtangazaji mkubwa

  • @amoscharz5606
    @amoscharz5606 6 ปีที่แล้ว

    Huyo naibu wazir mjinga Sana nazan anapaswa kupigwa mimba ili apewe likizo YA uzazi hata mwaka akija kuridi kazin bongofleva itakua mbali zaidi respect to lilommy for this best interview √√√

  • @Manshyne
    @Manshyne 6 ปีที่แล้ว +41

    Mondi kaongea point zoooteeee, kwanza nimependa hajaonesha chuki kwa msanii yeyote....pia anaonyesha anajua challange and archievement za sanaa, safi sana

  • @kizzobinzelemed6198
    @kizzobinzelemed6198 4 ปีที่แล้ว +2

    Nan yupo hapa 2020 gonga like tujuane

  • @ToyTz
    @ToyTz 6 ปีที่แล้ว

    KIZAZI SANA!!! lil ommy! unajua kuuliza maquestion alafu nasib abdul huyu jamaa ni cleaver sana!!! anajitambua !!nakubali the MVP

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 6 ปีที่แล้ว

    OYA DIAMOND UYO LILOMMY ANAFAA KABISA KUKINUKISHA WASAFI TV/RADIO FANYA MANUVA BANA OMMY NI FIREEEEEEE

  • @hadijagere1411
    @hadijagere1411 6 ปีที่แล้ว +8

    nimekuelewa mzeee baba ujuwe ommy minakukubali

  • @isaacservacius586
    @isaacservacius586 4 หลายเดือนก่อน

    2024, he spoke the truth.. wamepita wengi but he’s still grooming!

  • @shinekamatesmusic9960
    @shinekamatesmusic9960 6 ปีที่แล้ว +4

    Sure Diamond ur correct

  • @stevenwawafishboy
    @stevenwawafishboy 6 ปีที่แล้ว +151

    Kama unamkubali Diamond Simbaaaa ,
    Like hapa kisha Subscribe kwa Chanel yangu na Utapata Comedy nzuriiiii
    Simbaaaaaa

  • @jeremiasimfukwe243
    @jeremiasimfukwe243 6 ปีที่แล้ว

    Diamond kaza tu Mzee,hakuna safari inayokosa vikwazo..nakubali sana..#SIIIIIIMBAA.

  • @aloyceiluminata3650
    @aloyceiluminata3650 6 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo la nchi ya Tanzania ni moja tu....... Na hilo ndo chanzo cha uozo wote huu (ufišadi, uzembe, kutoelewa majukumu na mamlaka ya kiongozi au wizara husika ) kamwe huwezi kumteua waziri ambaye hana profession ya wizara husika..... Tukiweza kutatua tatizo hilo basi shida zote zitaisha.... Waziri wa afya awe daktari by profession, waziri wa elimu awe mwalimu by profession, waziri wa sanaa awe amesomea sanaa na michezo, waziri wa nishati awe na profession hyo

  • @dullahplatnumz2044
    @dullahplatnumz2044 6 ปีที่แล้ว

    diamond platnumz u say true ziogozi tumewachakua sisi sio mutubanie tu coz muko na uwezo that gud point i appreciate kwanza kenya ndio imezidi sana

  • @andreallymwangomba2094
    @andreallymwangomba2094 6 ปีที่แล้ว +9

    How many waiting for part two..... Mya favorite presenter

    • @muhidinsamba3031
      @muhidinsamba3031 6 ปีที่แล้ว

      Nimekuelewa sana Dimo lakin punguza jazba

  • @ezapesambili2902
    @ezapesambili2902 6 ปีที่แล้ว +3

    Mkali Wang hapo bongo Diamond

  • @sirmwita3351
    @sirmwita3351 6 ปีที่แล้ว +11

    Bro tuwekee full interview, icho kipande mm nimeshamaliza nataka niunge maana nimemnunulia mb Leo huyu mfalme Wa Africa

  • @elishajohn7302
    @elishajohn7302 6 ปีที่แล้ว +3

    Love motivates people to look for solutions to all problems.

  • @madahacostantine7959
    @madahacostantine7959 6 ปีที่แล้ว +4

    point sana hiyo mond kasema bashelejageeee ngaluu

  • @millyhumay4581
    @millyhumay4581 6 ปีที่แล้ว

    Nimefurahi Sana Sana. Nawaombea Mungu mfunge ndoa. No Mungu awajalie wtt wema Inshaallah.

  • @ombeniibawa4481
    @ombeniibawa4481 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunaoangalia hii interview mpaka leo 2022 Tujuane

  • @mayegaedward3135
    @mayegaedward3135 6 ปีที่แล้ว

    Your only one who can xpoz dr TANZANIA worldwide

  • @joharichris9679
    @joharichris9679 6 ปีที่แล้ว

    this boy is humble,ana heshima pia....big up

  • @benlankoi217
    @benlankoi217 6 ปีที่แล้ว +5

    simbaa nakubali waambie ukweli

  • @abdukmalikhassan1687
    @abdukmalikhassan1687 6 ปีที่แล้ว

    umetisha sana diamondplatnumz lkn lilommy napenda kazi zako bro haki yako kuwa na app ni moja ya hatua ya mafanikio . God bless yu more

  • @ommymud256
    @ommymud256 6 ปีที่แล้ว

    Nakubal lil ommy uchagui wasanii ata wcb pamoja kaka endelea na moyo huo

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 6 ปีที่แล้ว

    Huuyuuuyu jamaaaa nohmahhh xnaaa anajuaa mpkaa anakeraaaa cnaaa aseehhhhhhh anajuaa mpkaa anakeraaaa cnaaaa aiseehhh gudi interview broohhhh #diamondplatnumz diamondplatnumz on🔥🔥🔥🌍🌍🌍🔥🔝🔝🔥🔥🔝🔝👏👏🔝

  • @maryamammar1702
    @maryamammar1702 6 ปีที่แล้ว +1

    Wcb Wanajua kutafta pesa
    Maana hela ya Nairobi si mchezo well done guys

  • @helmanpearson548
    @helmanpearson548 6 ปีที่แล้ว

    Saluti xana mond, wafundishe hao waijue vzr sanaa ya muziki

  • @wamichapotz9530
    @wamichapotz9530 6 ปีที่แล้ว +4

    Umeongea point sana kaka

  • @hassanomar1041
    @hassanomar1041 6 ปีที่แล้ว

    Lil Omy nimekubali intro yako kwa Diamond umeianzia kwa mbali sana mpaka ulipo mtaja jina lake, in short umempa sifa zake zote in one minute. Number one Radio presenter Lil Ommy.

  • @Levi9035
    @Levi9035 6 ปีที่แล้ว

    nimekubali respect lazima iwepo message ni kwa wakurukupaji wote!!!!!! Simba katotoma!!!!

  • @mpendwalove4390
    @mpendwalove4390 6 ปีที่แล้ว +1

    U the baddest @lilommy, great interview and big up to Mond as well.

  • @mirakosamwel5085
    @mirakosamwel5085 6 ปีที่แล้ว

    Kweli blohh... Ulichokisema ni sawa kabisaaa .pigania haki yako babu nakukubali mzee!!!

  • @hakika_tz1564
    @hakika_tz1564 6 ปีที่แล้ว +7

    Makavu laivu. Nothing to fear than fear itself. Big up mzazi liliomy kw interview ya kibabe sana. Safi Mond kw kufunguka bila kupepesa macho that's what supposed to be!

  • @kimkimmie3435
    @kimkimmie3435 6 ปีที่แล้ว

    Yeppie🙌🏼
    Now I love you more D.....
    I’m your fan ..living in +61 .....but from +254

  • @madona.1537
    @madona.1537 6 ปีที่แล้ว +3

    Nice kaka.. Hapo umeongea.. Nimekukubali kidogo..

  • @matanofamiliy4434
    @matanofamiliy4434 6 ปีที่แล้ว

    Dogo anaongea kwa machungu tena ya ukweli kabisa upewa shamba na mungu usafishe upande wakati wakuvuna mtu na cheoo chake akukataze usivune kama ni ww ungekubali ukweli utabaki kua ukweli ndio huuuuo amejiaamini big up dogo nakukubali sana sana

  • @emmanuelkiondo8560
    @emmanuelkiondo8560 6 ปีที่แล้ว +1

    Tambwe haupo kama shonza unafanya research mpk kwenye maswali big up bro ✊🏽💪🏾

  • @newtonoskar1566
    @newtonoskar1566 ปีที่แล้ว

    Jamani wa /2023/tupu Au nip mwenyewe nimekuja kuskiliza maneno ya busara🎉

  • @juniorlyatuu710
    @juniorlyatuu710 6 ปีที่แล้ว +9

    Salute kijana

  • @claracalvin5055
    @claracalvin5055 6 ปีที่แล้ว

    hongera kwa uweelewa wako baba Dylan Mungu akuongoze sku zoote.

  • @carlosn_tz
    @carlosn_tz 6 ปีที่แล้ว +3

    Kumbuka simu ni zaidi ya "Halooo ni nani mwenzangu" Ok basi,Kutatua na kujua baadhi ya maujanja ya simu yako ya android tembelea youtube page "Carlos Ntangeki"

  • @dastanherman.kingdicetv1840
    @dastanherman.kingdicetv1840 6 ปีที่แล้ว

    noma sana diamond nakukubari mi ni mtanzania ambaye naishi urusi. karibu mwezi WA sita KWA kombe LA dunia nakushubiri KWA kamu

  • @omondiomondi1903
    @omondiomondi1903 6 ปีที่แล้ว

    So humbled ..

  • @allenmrema2919
    @allenmrema2919 6 ปีที่แล้ว

    kumbe Diamond ana Degree ya Hekima, yani kajieleza kwa umakini pia kwa kukontro maneno yake. yani interview hii umepata sifa kwa sababu ya Mtangazaji Mkali mana anauliza kitu kama mimi ndio namsaidia kuuliza. congratulation to your interview my Brother Lil

  • @ayubukassim7995
    @ayubukassim7995 6 ปีที่แล้ว +11

    Simbaaaaaa safi sana kaka tetea haki yako kaka mana wamezd hao wanazngua