DIAMOND PLATNUMZ: MEDIA HIZI ZIMEJARIBU KUNIUA ZIMESHINDWA / ALIKIBA / SIJA MFOLLOW

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 มี.ค. 2018
  • (PART3) EXCLUSIVE INTERVIEW NA DIAMOND PLATNUMZ KWA MARA YA KWANZA TIMES FM BAADA YA KUTOKA TU KENYA, KAONGEA MENGI SANA KUHUSU BEEF NA MEDIA, ZARI, ALBUM YAKE, WEMA, ALIKIBA, KUFUNGIWA NYIMBO NK.
    Fatilia mahojiano ya moto na mastaa unaowakubali kujua kila kitu kuhusu Muziki na Maisha yao, #LilOmmy #THEMVP #KingOfInterviews anakukutanisha nao hapa hapa kwenye #LilOmmyTV
    Let's Connect
    / lilommy
    / lilommy
    / lilommyfanpage
    lilommy.com/
    Hakikisha Subscribe, Gonga Like, Angusha Comment na Share kwenye WhatsApp Groups au Facebook na Twitter..... enjoy!
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 1K

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 2 ปีที่แล้ว +23

    Yani mimi kila nikiisikiliza hii Interview ninapata uchungu na ninazidi mpenda Diamond Platnumz. Appreciate kwa Diamond Platnumz No one like Diamond Platnumz

  • @nelsonzakayo496
    @nelsonzakayo496 4 ปีที่แล้ว +32

    Maana Kuna media zingine sijui ufanye nini, labda wakulale, kama na wewe umesikia hapo gonga like

  • @mrbasit4718
    @mrbasit4718 4 ปีที่แล้ว +69

    Natamani harmonize mjeshi aende kuirejea kuiangalia hii interview ili ajifunze kitu ktk safar yake mpya aliyoichagua. Mondi mungu azid kukupa na akuongezee ktk fungu ulilonalo. Hamo watu walipambana kwa ajili yako nawe pambana kwa ajili ya wengine. Wcb for life

    • @nshonabdll9363
      @nshonabdll9363 4 ปีที่แล้ว +1

      Sn yn maneno hayo yanamfaa sn korosho Hy maneno ya mtu mwenyeupeo wambali sn

  • @platnumztz4266
    @platnumztz4266 2 ปีที่แล้ว +13

    Kama umeskia Neno bro mara 20 like hapa👇👇👇

  • @hoseanobocka4533
    @hoseanobocka4533 6 ปีที่แล้ว +146

    Diamond we ni best artist in east Africa ,kuanzia Leo we ni professor wa interview mana unavyojibu haya maswali kama vle umesomea na una taaluma , appreciate Diamond

  • @nesomusic8703
    @nesomusic8703 5 ปีที่แล้ว +37

    After 9 years ... Leo ndo nimemjua who really is Diamond Platinum

  • @hoseanobocka4533
    @hoseanobocka4533 6 ปีที่แล้ว +56

    Ila we liloomy ni mchawi mana maswali nlyonayo ndo hayohayo unamuulza Diamond ,duuu we ni best presenter tz

  • @tonypm5197
    @tonypm5197 3 ปีที่แล้ว +12

    Interview kali sana hii kama unachek hadi leo 26/8/2020 gonga like apa

  • @jacksonjoakim4115
    @jacksonjoakim4115 4 ปีที่แล้ว +135

    Kam unaangalia hii intavy wakati lilommy amehamia wasafi tv

  • @ericnzaro9138
    @ericnzaro9138 9 หลายเดือนก่อน +7

    It remains the best interview of all time

  • @sshaby52
    @sshaby52 4 ปีที่แล้ว +147

    Kama bado unacheki iyi interview ya kizazi hadi 2019 Dec. gonga like apa twende sote

  • @evancechangae
    @evancechangae 4 ปีที่แล้ว +168

    Kama umecheki hii interview hadi January 2020, gonga like hapa.

  • @youngkillermsodoki7664
    @youngkillermsodoki7664 6 ปีที่แล้ว +45

    My Favorite Artist in Tanzania
    In bongo flvr Diamond platnumz simba
    On hip hop Young killer msodoki
    Both of them their Genius they has mkre talent
    They know how to live with people and other artist.

  • @slimsan3859
    @slimsan3859 6 ปีที่แล้ว +57

    The best interview ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever ever........... Haters I see ya...

    • @diamondplatnumz5598
      @diamondplatnumz5598 4 ปีที่แล้ว

      @Ali Ali we mkundu unawatukana sana watu na coment zao umetumwa ureply au??😋😋😋😋😋😋

  • @lucialeonard2675
    @lucialeonard2675 4 ปีที่แล้ว +6

    Kupitia interview hii nimejua kwa nn vannesa ameacha mzik respect sana kwa wasanii wote

  • @brownmwakanyamale9289
    @brownmwakanyamale9289 6 ปีที่แล้ว +25

    Big up chibu dangote nimekuelewa sana kwa maelezo yako. Siku zote huwezi kupata hela paspo kupitia mikononi mwa watu .

  • @abelharry_tz
    @abelharry_tz 6 ปีที่แล้ว +113

    Nikwambie kitu broo
    Wewe ndo the MVP broo
    Unatisha sana broo
    Me ni fun wako sana broo
    Unawapa taabu sana broo
    @Diamondplatnumz nakukbal sana broo

  • @josephnganga6387
    @josephnganga6387 3 ปีที่แล้ว +11

    I love Diamond Platinumz......He is my role model....This video imenipata the right time...I've learnt a lot...🙏

  • @lucaslukanya5606
    @lucaslukanya5606 6 ปีที่แล้ว +33

    Mondi bwana uko serious na kiukweli zaidi ila kwenye bro umenifurahisha sana dash!!!!

  • @issakinono9124
    @issakinono9124 2 ปีที่แล้ว +10

    Kama umeicheki hii interview 2021 like ziwe nyingi

  • @ramzy5280
    @ramzy5280 2 ปีที่แล้ว +5

    Diamond: Bro
    Lil ommy : Oh yes
    😂😂

  • @fabianmilanga4980
    @fabianmilanga4980 5 ปีที่แล้ว +33

    Kijana mudogo hakiri mingi sana wcb ni 🔥mimi mutoto ya kongo

  • @kdf1246
    @kdf1246 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa anamkubali sana harmonize aisee mond mwana kinomaa

  • @amashau9057
    @amashau9057 4 ปีที่แล้ว +2

    Brighton..Tulio check hii 2020 plz gonga like.......leo nimekujua zaidi .....Halafu tusifiche Kama chibu alivyoongea kwa hisia ......Anaowasema hapa tusifiche Ni RUGE was Clouds#. ..........Cha mwisho Ni congrats kwa discpline yako BRO

  • @antonycharles3733
    @antonycharles3733 3 ปีที่แล้ว +5

    Iv diamond mbn una moyo mzur ivooo siamin mungu akusaidie

  • @adamuwikunze8631
    @adamuwikunze8631 6 ปีที่แล้ว +23

    This dude is smart 🙏 he will be the one. just keep that way kaka

  • @lostboyzfamily9087
    @lostboyzfamily9087 4 ปีที่แล้ว +4

    duh kweli kabisa broo usipende kupelekwa kama mjinga ndo maana wanapotea kwa kuburuzwa buruzwa big up mondi

  • @hamidhamadhamad5653
    @hamidhamadhamad5653 4 ปีที่แล้ว +23

    23/12/2019 bado naiyangaliya hii interview love simba

  • @godfreymwambwalo5282
    @godfreymwambwalo5282 5 ปีที่แล้ว +32

    kumbe unaongea pointi sana nimekuelewa Mwenyezi Mungu akujalie afya njema

    • @dicksonkamanga3143
      @dicksonkamanga3143 3 ปีที่แล้ว

      Jamaa nilizani bubu anaejua kuimba tu leo nmegundua kumbe jamaa ana madini kinywani ndo maana anaongea kwa piinti tupu

  • @abdulladosantosjr
    @abdulladosantosjr 4 ปีที่แล้ว +6

    Nan anaangalia baada ya lil ommy kujiunga wasaf

  • @buharimwanga284
    @buharimwanga284 6 ปีที่แล้ว +15

    Lil ommy we ni fundi nadhani unalijua hilo natamani nikuone wasafi tv siku moja,big up kwako mi nilishasemaga comment zangu huko nyuma hakuna presenter kama wewe bongo kwa sasa

  • @jafarikule7300
    @jafarikule7300 5 ปีที่แล้ว +26

    My favorite interview of all time

  • @stanslauschatata3483
    @stanslauschatata3483 3 ปีที่แล้ว +7

    Bado tunaangalia interview ya karne 30/6/2021

  • @akibarahamadi5058
    @akibarahamadi5058 4 ปีที่แล้ว +5

    harmo ni msenge sana diamond platnumz amepigana sana juu awe juuu lakin ivi anajifany kama yeye yuko juuu

  • @sambayoo6441
    @sambayoo6441 4 ปีที่แล้ว +22

    Kama unaicheck hii interview 2020 plz gonga like tujuane

  • @jamesthadeo3091
    @jamesthadeo3091 4 ปีที่แล้ว +45

    Hii interview mpk Leo naichek 23-10-2019 ni noumaaaaa

  • @kassimujafari6342
    @kassimujafari6342 4 ปีที่แล้ว +19

    Am steal whatchng 2019 end of years big interview for aver

  • @bongomusic4994
    @bongomusic4994 5 ปีที่แล้ว +62

    bef la mond na kiba lilitengenezwa na alikiba aliasept ndo maana kanyonywa hadi mwisho mond always yupo juuu gonnga likee

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 5 ปีที่แล้ว

      Pointless

    • @unclek4402
      @unclek4402 4 ปีที่แล้ว

      Diamond kanipigia simu anataka nimpe collabo..naomba advice yenu..

  • @chaomadedo
    @chaomadedo 5 ปีที่แล้ว +16

    This guy has a beautiful heart..very beautiful!! GOD embraces such hearts! Bless u Nasib Abdul

  • @petermillanga4762
    @petermillanga4762 6 ปีที่แล้ว +71

    Nimekubali Dai ni muwazi na amefunguka kweli na hayo maswali angekuwa ni Ally dah mngeona majibu ya kidharau, safi mno diamond

    • @mirajikihanga8
      @mirajikihanga8 5 ปีที่แล้ว

      utumbo mtupu

    • @diamondplatnumz5598
      @diamondplatnumz5598 4 ปีที่แล้ว

      @Ali Ali we mbona unareply coments za watu??😋😋😋😋😋😋 au umetumwa hapa ni kutoa maon ya kila mtu toa yako na ww😋😝😋

  • @husseinbinde9421
    @husseinbinde9421 3 ปีที่แล้ว +6

    Napenda hiii interview iwe ndio best 2020.... To 202...

  • @dicksonmsetivevo9722
    @dicksonmsetivevo9722 6 ปีที่แล้ว +463

    Kama Umemuelewa Diamond Platnumz Vizuri Kama Mimi Basi Gonga Like Yako Hapa. #TeamPlatnumz

  • @onlinemovie8580
    @onlinemovie8580 6 ปีที่แล้ว +120

    Nilichogundua kwenye hiii interview Neno BRO Limetumika sana #INFACT

  • @laurentngowi3052
    @laurentngowi3052 6 ปีที่แล้ว +66

    Msani ambaye kwenye interview hakuna swali analoshindwa

  • @jamesthadeo3091
    @jamesthadeo3091 3 ปีที่แล้ว +11

    My favorite interview of All time,, 21-04-2021

  • @SHOMYTZ
    @SHOMYTZ 2 ปีที่แล้ว +5

    Best interview inaishi had Leo 2021 🔥🔥🔥

  • @mohamedikibasa418
    @mohamedikibasa418 6 ปีที่แล้ว +40

    Unaongeaaaaa point sanaaaa. Mungu akuongoze uendeleee hivo hivo. Usishuke chiniiiiiiiiii aiseeeeeee. Km unakubali gonga life hapa

  • @juliusuronu8812
    @juliusuronu8812 6 ปีที่แล้ว +215

    Huyu jamaa ana akili sana.....Ni vigumu mno kumuangusha...Keep it up DiamondPlatinumz

    • @ramadhanihamza797
      @ramadhanihamza797 5 ปีที่แล้ว

      Jamaa ni kiboko hana mbwembwe

    • @emmanueltvemmanueltv3574
      @emmanueltvemmanueltv3574 5 ปีที่แล้ว

      Wewe huna😀😇😇😇😂😂😂

    • @herielgodwin472
      @herielgodwin472 5 ปีที่แล้ว

      diamond platnumz big up sanAaa simba ndan ya village

    • @miriamnyari7761
      @miriamnyari7761 5 ปีที่แล้ว

      as for the use of the day of zzzçxcvggggggggggggggggchjjo99ll

    • @cktamunga2356
      @cktamunga2356 4 ปีที่แล้ว

      Mimi napenda muziki wako

  • @wiseriziki2433
    @wiseriziki2433 5 ปีที่แล้ว +18

    Bro unaongea haraka kama umemeza cd, ila nakukubali endelea kupambana never quit

  • @djraymond6185
    @djraymond6185 4 ปีที่แล้ว +9

    One of my best interview of all the time Feb,2020.

  • @mwanabinmariam8475
    @mwanabinmariam8475 5 ปีที่แล้ว +12

    Mashaa llah ww unajua mungu atakufanyia wepec in shaa llah

  • @shebbymzalendoadkinstz4562
    @shebbymzalendoadkinstz4562 6 ปีที่แล้ว +48

    No comment ahahaha😀😁😂
    Gonga like kama unamkubali simbaaaaa

  • @kenallday1115
    @kenallday1115 4 ปีที่แล้ว +5

    Lil ommy yupo sehemu nzuri,Wasafi FM

  • @johnsilima1629
    @johnsilima1629 3 ปีที่แล้ว +13

    Like kama umeangalia hii interview baada ya Harmonize kusaliti chama la wana WCB 4life

  • @blackboytz6873
    @blackboytz6873 5 ปีที่แล้ว +36

    Kwa diamond platnum kumuit huy jamaa bro dah kwel mond msoto umekufunz heshim kaza bro bado safar ndef

  • @vinvane1822
    @vinvane1822 5 ปีที่แล้ว +8

    Diamond uko vizuri bro. Unafaa kuigwa na artists wengine. Keep it up !

  • @ramahusomore1374
    @ramahusomore1374 3 ปีที่แล้ว +3

    Salute to this Niggah...he works and talk smart.intelligent

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 6 ปีที่แล้ว +90

    Diamond Wee ni mfano wa kuigwa bro 👏👏👏👏👏👏
    Maongezi yako yanajenga

  • @akibarahamadi5058
    @akibarahamadi5058 4 ปีที่แล้ว +2

    awato kuweza mzee baba loa wey njo king wa africaaa

  • @benazirmohammed8761
    @benazirmohammed8761 6 ปีที่แล้ว +77

    Unajielewa sana Mungu akuweke big up sana na una heshima sana ndio maana unafanikiwa.

    • @magrethsidodo3953
      @magrethsidodo3953 5 ปีที่แล้ว

      Benazir Mohammed anajielewa mpka nampenda huyu kaka

  • @fadilymousa4325
    @fadilymousa4325 3 ปีที่แล้ว +3

    27-11-2020 bdo naanglia bonge la interview bin laden simbaaaa

  • @abdullykapole9617
    @abdullykapole9617 3 ปีที่แล้ว +3

    Naseeb abdully (DIAMONDPLATNUMZ,SIMBA,DANGOTE) unaongea vizuri bila majizuno yoyote allah aendelee kutupa maono mazuri mbele yetu...INSHA-ALLAH🙏

  • @eunicesaumu7486
    @eunicesaumu7486 6 ปีที่แล้ว +22

    More 🔥🔥🔥🔥 I like your interview keep burning brother

  • @diamondplatnumz4891
    @diamondplatnumz4891 3 ปีที่แล้ว +5

    1/8/2021 bado naangalia hii interview 🙏👂

  • @Manshyne
    @Manshyne 6 ปีที่แล้ว +127

    Yan nataman liliommy ushinde tuzo zoote za u presenter....

  • @moseskessy8077
    @moseskessy8077 4 ปีที่แล้ว +34

    Best interview still 2020🤙 #Platnumz4ever

    • @mateiroman572
      @mateiroman572 3 ปีที่แล้ว

      Broo nakukubal

    • @jamessakubu3875
      @jamessakubu3875 2 ปีที่แล้ว

      Wee Ni kisu buchani hivyo utakufa na Makali yako Kaka Piga kazi

  • @qudraevarah8215
    @qudraevarah8215 4 ปีที่แล้ว +4

    Daaaah Diamond ww mungu anakuona hatakama nyimbo zako hazipigwi so tatizo utabaki kua @BABALAO

  • @nasramsami3410
    @nasramsami3410 6 ปีที่แล้ว +26

    waoo hua napnd sn kusikiliz enter view ya mond big up

  • @aimfetty1641
    @aimfetty1641 6 ปีที่แล้ว +25

    lil omy unafanya research ya kutosha thats why unapresent vizuri maswali yako keep it up bro

  • @sayrachuna6705
    @sayrachuna6705 6 ปีที่แล้ว +29

    Nakupenda sana mondi

  • @abednego3876
    @abednego3876 5 ปีที่แล้ว +13

    2019 jamaa ana own Wasafi Media daa... maisha ni proccess sio Safari

  • @ernestkipire9200
    @ernestkipire9200 2 ปีที่แล้ว +3

    All watching this interview in 2022,drop like here down

  • @ommaryszamsportyanganaazam633
    @ommaryszamsportyanganaazam633 4 ปีที่แล้ว +4

    Mond bg up mdogo wangu wewe ni bina adamu tena zaidi yako hakunaa una moyo wa ajabu sana tena wa huruma thank you mond mdogo wangu songa mbele kk .

  • @salamia__mwangu599
    @salamia__mwangu599 6 ปีที่แล้ว +22

    umeongea vizuri xana a boy from tandale💚

  • @dogobyalimasilubunga5110
    @dogobyalimasilubunga5110 5 ปีที่แล้ว +7

    My favourite interview in the world

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว +38

    Huyu dogo ana akili sanaaa,nimefurahi hta huyu mtangazaji yupo tight full vipaji ,hongereni. Clouds na wengine mnaguswa hapo,jitathminini!!!!

  • @alexkilolo5032
    @alexkilolo5032 6 ปีที่แล้ว +22

    mondi mti mkavu hauchimbwi dawa,pambana sana kijana na hongera kwa ushujaa

  • @adrianomwakinyala5434
    @adrianomwakinyala5434 3 ปีที่แล้ว +2

    Bonge la Interview,Lilommy una jua sana

  • @young_mmbaga
    @young_mmbaga 4 ปีที่แล้ว +8

    HAYA WALE TUNAOANGALIA HII NDANI YA 2020,...LIKE TUNABONYEZAGA HAPA....ni moja tu.

  • @ramsoshenge387
    @ramsoshenge387 3 ปีที่แล้ว +4

    Bonge moja la interview
    Kama tunaangalia 2020 tujuane kwa likes

  • @ayuburajabu8530
    @ayuburajabu8530 4 ปีที่แล้ว +7

    2020 Still watching who else tujuane

  • @mandiafelix1813
    @mandiafelix1813 3 ปีที่แล้ว +2

    He z very humble diamond ni mstaarabu wa sura habadiliki he speak fact since namfatilia this guy ni tunu ya Africa

  • @josephochieng2522
    @josephochieng2522 6 ปีที่แล้ว +30

    My favorite! ,Mbosso,that kid .......,his humility, I love him.

  • @masudijuma174
    @masudijuma174 3 ปีที่แล้ว +4

    kama bado unacheki hii 2021 gonga raik

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 5 ปีที่แล้ว +29

    mpaka mwisho wa siku nitakukubal daima

  • @swalhaahmed1041
    @swalhaahmed1041 2 ปีที่แล้ว +2

    Namuombea mungu Amlidesana mungu Amuhifadhi mungu Akuepushie na mabalaa

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 5 ปีที่แล้ว +12

    #DiamondPlatnumz is the best #INTERVIEWEE in Africa!

  • @sarahtony3937
    @sarahtony3937 3 ปีที่แล้ว +6

    We mtt mbona unamaneno mazuri unaongea mpaka natamani kulia mondi nakupenda Sana sio kimapenzi ila kwa kazi nzr

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 6 ปีที่แล้ว +40

    Ukweli Ndio Huoo...Pamoja Sana The Real Mvp Ya kizazi Sana!!!

  • @ombeniibawa4481
    @ombeniibawa4481 3 ปีที่แล้ว +1

    Anaeendelea kuangalia hii interview hadi leo september 2020 gonga likes apa

  • @emanuelmushi6878
    @emanuelmushi6878 5 ปีที่แล้ว +27

    Nimegundua watu wanapenda kugandamiza wengine kwa maslai yao :unapoonekana mjanja utaki kugandamizwa wanasema una kiburi AF visa vinaanza

  • @gadaffihemed2370
    @gadaffihemed2370 5 ปีที่แล้ว +7

    Best interview.....Diamond has grown.kudos

  • @shosemanjira3076
    @shosemanjira3076 6 ปีที่แล้ว +40

    Safii sanaaa Diamond umeongea ukweliii jmn clouds wanatabia mbayaa sanaaa

    • @kelvoosmartboy2273
      @kelvoosmartboy2273 5 ปีที่แล้ว +1

      Mond hajataja clouds wew ndyo umetaja clouds

    • @zuberitwaibu5901
      @zuberitwaibu5901 5 ปีที่แล้ว

      naomba daimondi nisaidie kimziki Niko chini yako blaza

    • @zuberitwaibu5901
      @zuberitwaibu5901 5 ปีที่แล้ว

      naomba namba take mond

  • @khalidmbarouk6186
    @khalidmbarouk6186 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama unamkubali lil omy gonga like

  • @stevohmkenya1335
    @stevohmkenya1335 4 ปีที่แล้ว +6

    Am back 2019 October... Naomba likes

  • @mlabata8705
    @mlabata8705 4 ปีที่แล้ว +3

    Upo perfect kaka mungu yupo na ww

  • @frasmafrasmafimbo8907
    @frasmafrasmafimbo8907 5 ปีที่แล้ว +7

    Never disappointed me zis interview

  • @7ngaf
    @7ngaf 4 ปีที่แล้ว +7

    if only i could speak Swahili this well

  • @joevang4685
    @joevang4685 4 ปีที่แล้ว +25

    afu leo clouds wanajifanya majirani wa konde gang wakati wamembania sana sna. dogo alivyo amesahau.

  • @hassanbakari5607
    @hassanbakari5607 5 ปีที่แล้ว +3

    Uyu jamaa anani inspire sana