ILAGOSA WA ILAGOSA - ATAKUPIGANIA (Official Video) skiza 5963426 sent 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @corny254
    @corny254 ปีที่แล้ว +133

    I don't know how I will ever forget you Ilagosa. This song was our Youth Camps Anthem at Marani District. Let me leave this comment here whenever one likes it I come back to watch the song again. May your soul forever rest and find solace in eternity.

  • @euphresiahmutisya6903
    @euphresiahmutisya6903 4 ปีที่แล้ว +49

    Kama unaamini mungu atatupigania kwa hii changa la corona gonga like

  • @bethwambui8190
    @bethwambui8190 4 ปีที่แล้ว +111

    Na kumbuka hii wimbo niliisikia time nilisimamishwa kazi but my God alinishindania mwenye alinivuta alifanyiwa hivyo after 8 months. Powerful song

    • @angelaangeline3067
      @angelaangeline3067 2 ปีที่แล้ว +2

      This song is so amaizing najua mungu atanipigania Hadi maadui wanishagae

    • @raphaelwanderi8622
      @raphaelwanderi8622 ปีที่แล้ว +2

      Hallelujah

    • @fredrickkiplangat3305
      @fredrickkiplangat3305 ปีที่แล้ว +3

      Hiyo sio kazi ya Mungu. Wewe kupata kazi ingine ndio kazi ya Mungu

    • @clairebakhoya6693
      @clairebakhoya6693 ปีที่แล้ว +1

      My best and favourite song.i cant end the week without listening to this song

    • @daddad6958
      @daddad6958 ปีที่แล้ว

      Hakufanya vizuri kukufuta kazi lakini pia usifurahie kufutwa kwake.

  • @metrinenyakoe1764
    @metrinenyakoe1764 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ananipigania huku 🇸🇦 🇸🇦 nitamaliza mwendo salama in Jesus name

  • @sarahnetalie7463
    @sarahnetalie7463 ปีที่แล้ว +74

    How do we mourn you!
    This song was played during my dad's demise and I saw the hand of God!Go well,may the heavens receive you,Rest easy

  • @mareenemuhonja9244
    @mareenemuhonja9244 5 ปีที่แล้ว +9

    Najiona kwa hewa it's too hot bro na Mungu akuinue

  • @lisiruth6664
    @lisiruth6664 ปีที่แล้ว +24

    I heard this song in 2014 and I believed in the massage.i was too down and God did wanders in my life later after 2 years I glorified the name of the almighty as I remembered how he ministered to me through the song

  • @veronicamaeba1052
    @veronicamaeba1052 2 วันที่ผ่านมา

    Who's here 2025 watching this song..tutainuliwa adi maadui wetu washangae🙏🙏

  • @marywambui82
    @marywambui82 ปีที่แล้ว +7

    Sometimes i found asking God "why did you not fight for him and prove those enemies wrong just like you did first""😭😭 forgive me dear Lord and have mercy on me father🙏🙏🙏

  • @lindakhayange8075
    @lindakhayange8075 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakumbuka Hu wimbo nkiwa shule tulikua tunasoma adi jumamosi then Toka juma tatu adi iyo jumamosi akuna chakula ni maji ya majani na una lala na sa zingine ata iyo majan akuna so nikiwa mtoni nafua Kila mahali ni Hu wimbo nashukuru mungu

  • @annwambua3329
    @annwambua3329 ปีที่แล้ว +26

    It's well papa rest in peace we will sing your songs in heaven 😭😭😭😭

  • @vihigamoxex3370
    @vihigamoxex3370 ปีที่แล้ว +2

    Can you imagine ni Ndugu yake toka nitoke ndio Amemtoa Ilagosa wa llagosa Hapa Dunian Wakiwa na mama na mchungaji 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @petersaitoti8695
    @petersaitoti8695 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii wimbo hunijaza sana nikikumbuka niliko toka....sometimes namwaga tu machozi kwa ushuhuda wa mungu

  • @TamanaBhatia-xn8dh
    @TamanaBhatia-xn8dh หลายเดือนก่อน

    My mum is sick 😢😢 I. Hope Mungu atanipigania because I have loose hopes na sina anyone from the family wote wamekufat sijui nitalilia nani😢😭😭😭😭

  • @ruthomambe6863
    @ruthomambe6863 5 ปีที่แล้ว +13

    adui zako watashangaa,,,,,nani mwingine ako apa 2019

  • @RosaPrimeButchery
    @RosaPrimeButchery 7 หลายเดือนก่อน +3

    I normally believe that their's God because mahali mungu amenitoa ni mbali can someone shout a big amen

  • @tracysonia92
    @tracysonia92 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuwa nikiimba hii song but sijaijua Ni ya nani until his death 😭😭rest well

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula ปีที่แล้ว +2

    huu nishausikia zamani bt sijawaijua uliimbwa na nani kumbe ni ilagosa wa ilagosa waah binadamu wabaya

  • @Saraphine999
    @Saraphine999 ปีที่แล้ว +13

    God will fight for you Ilagosa... Those who planned to kill you will never know peace 😭 RIP

  • @abiutyjumavota
    @abiutyjumavota 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nakumbuka hiii song the time hua nawaza mahali nime toka na mahali nime fika nasema aki naona kina nebkednezar waki kula nyasi aki walai God is the lion of judas

  • @alicealeyo4801
    @alicealeyo4801 ปีที่แล้ว +2

    It's well may God fight for your justice 😭😭

  • @mwanashaosibo
    @mwanashaosibo ปีที่แล้ว +2

    wah nikiskia hii song kwa church naruka ka chizi ...i didn't know ilagosa is the singer...rip bro ...we still love you

  • @filexingutia3620
    @filexingutia3620 ปีที่แล้ว +31

    We sang this song during our primary prayer day in 2015... I can't stop shading tears inside.... Rest in Peace man of God.... it's painful🙏🙏🙏💔💔💔😭😭

    • @martinkungu4707
      @martinkungu4707 ปีที่แล้ว

      Wah. Rest in peace.

    • @kiokoshow7847
      @kiokoshow7847 ปีที่แล้ว +2

      let him rest easy.... i remember memories created by this song

  • @graceandisi528
    @graceandisi528 ปีที่แล้ว +6

    How do we mourn you Ilagosa!. This song has been a dedication from one preacher I have been listening to this Sunday morning while tuned at Lubao FM. Though gone but your memories still linger on through your songs and their impact to many. The message is so powerful. Am blessed and lifted in a way.

  • @elizabethmutheu8933
    @elizabethmutheu8933 ปีที่แล้ว +2

    Pumzika kwa amani..tutaonana tena

  • @elvismasinde5476
    @elvismasinde5476 ปีที่แล้ว +2

    My favorite song nikienda shule asubui lazima niiskize 2012

  • @GloBahati1923
    @GloBahati1923 ปีที่แล้ว +1

    Mungu na ailaze roho yako mahali pema peponi😭😭😭😭😭😭

  • @marcusnjeru6816
    @marcusnjeru6816 ปีที่แล้ว +2

    Woiii so sad 😭😢,,rest in peace

  • @FavouredEunice.
    @FavouredEunice. ปีที่แล้ว +1

    Wah, enyewe Dunia n kupita tu kama mwenye huu wimbo ameenda zake. R.i.p

  • @zachariahmichira8288
    @zachariahmichira8288 ปีที่แล้ว +1

    Aki kifo akina huruma,Lala salama Ilagosa

  • @paulorito4183
    @paulorito4183 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupiganie uone ufalme wa binguni....safiri vyema ndugu yangu

  • @waltonreed7773
    @waltonreed7773 ปีที่แล้ว +19

    Fare Thee Well. Your contribution in Evangelism shall forever remain fresh in my heart

  • @christopherwafula8305
    @christopherwafula8305 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana kwa msiba nyote, kweli mungu atatupigania

  • @kevinmutukukennedy9029
    @kevinmutukukennedy9029 6 หลายเดือนก่อน +1

    He perfomed this hit on my official music launch 2013.. May God’s grace locate you in eternity bro

  • @florambugua4833
    @florambugua4833 ปีที่แล้ว +1

    Ee mungu iweke roho ya mtumishi pahali pema

  • @mckipenziofficial2168
    @mckipenziofficial2168 ปีที่แล้ว +12

    I am even loosing the caurage to type RIP to this great peace, only God knows why! The heavens have received a new angel

  • @brianuniquecop943
    @brianuniquecop943 ปีที่แล้ว +2

    R.i.p legend...gospel tumepigika sana

  • @xtianndush7949
    @xtianndush7949 ปีที่แล้ว +11

    Rest in power you will be remembered forever

  • @metrineadema8388
    @metrineadema8388 ปีที่แล้ว

    Hii wimbo naipenda kuna wenye waliniambia sitafauli maishani mwangu lakini walibaki vinywa wazi nilibarikiwa sana niliambiwa siezi kaa na wazungu kwa meza moja mungu alinipigania kwakila jambo rest in peace llagosa tulikupenda sana lakini mungu akakupenda zaidi😢😢😢😢pumzika kwa imani

  • @vincentliboyo-kq8qx
    @vincentliboyo-kq8qx ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢 nikweli kabisa wale wali o kufanyia ivio mungu Ana watazama

  • @elizabethauma8573
    @elizabethauma8573 ปีที่แล้ว

    Utabakia kuwa baraka katika maisha yangu na wengine wengi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @muthokamwendwa
    @muthokamwendwa ปีที่แล้ว +1

    I have come here after remembering this song,, kumbe mwenyewe ameeda,,,he has gone to the Father,,,rip

  • @bentaachieng4648
    @bentaachieng4648 5 ปีที่แล้ว +58

    Kama bado unapiganiwa na mungu gonga like ya 2020👇

    • @aaronkipyegonkirui5282
      @aaronkipyegonkirui5282 4 ปีที่แล้ว

      hahahahahahaz... hadi we uko huku?

    • @akisaevelyne8543
      @akisaevelyne8543 4 ปีที่แล้ว

      Amen and am proud 😘😘

    • @minnamaina180
      @minnamaina180 7 หลายเดือนก่อน

      2024 God fighting for me,I stand still like King Jehoshaphat to see the salvation of God, Amen.

  • @michealmukanga4305
    @michealmukanga4305 ปีที่แล้ว +11

    Rest well great man of God,your songs were a blessing to many

  • @ndedakelvin2128
    @ndedakelvin2128 ปีที่แล้ว

    MUNGU akulaze mahala pema peponi... Maadui Wamekumaliza

  • @petronillahopulo
    @petronillahopulo ปีที่แล้ว

    Mungu amenipaginia kwa hili ......lakini mbona ikafanyika hivyo kwa haraka adui akafaulu😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @janetmwangangi1417
    @janetmwangangi1417 ปีที่แล้ว +3

    You fought your battle well... continue resting in eternal peace great man of God 😭

  • @wendie954
    @wendie954 ปีที่แล้ว +1

    This song was my best in praise 👏 🙌 🙏 😢😢😢since u left champ it has been difficult for me to sing whenever I start singing I cry nashindwa,rip

  • @maryakinyi3497
    @maryakinyi3497 ปีที่แล้ว +8

    And song has powerful message to those who has one day faced a rejection... it's makes one feel some supernatural powers 🙏🙏🙏🙏🙏may God reword him accordingly in heaven 🤲🤲

  • @sue743
    @sue743 3 ปีที่แล้ว +20

    This is my song this year 2021 and I thank God in advance . “Thank you Lord for your words are true “

  • @dorcasmwakio5011
    @dorcasmwakio5011 ปีที่แล้ว +8

    What a loss to us as human beings
    But a gain in heaven
    Rest in peace brother

  • @SharleenKelsie
    @SharleenKelsie ปีที่แล้ว

    Nakumbuka wakati ambapo maadui walinipangia mipango mbaya na mungu naye ndiye nani alinishidia

  • @priscardanier8264
    @priscardanier8264 ปีที่แล้ว

    Maadui ni wengi kuliko marafiki cjui wamewaza nini kukuondoa duniani ingali bado unategemewa katika huduma ya MUNGU Ila MUNGU atapigana na walio husika na hili jambo poleni Sana wakenya MUNGU awatie nguvu

  • @rosejuma8778
    @rosejuma8778 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nipiganie,,, pekee yangu nimeshindwa🙏🙏🙏🙏🙏

    • @okangosarah06582
      @okangosarah06582 5 ปีที่แล้ว +1

      Daima atatupigania bora tumwamini yye pekee

  • @brilliannangila3328
    @brilliannangila3328 5 ปีที่แล้ว +2

    Mipango yote wanayoibanga kinyume changu asema bwana haitafaulu sijafa moyo

  • @سلطانالقري
    @سلطانالقري 4 ปีที่แล้ว +1

    Na mimi Mungu anipinganie

  • @shady8125
    @shady8125 ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢😢, lala salama nyimbo zako bado zitasikika milele

  • @sharonobwina3195
    @sharonobwina3195 4 ปีที่แล้ว +13

    my all time music.it reminds me the far God has brought me

  • @avrilqueen9397
    @avrilqueen9397 ปีที่แล้ว

    Go well brother 😌 ni uchungu Sana 😭😭😭

  • @irenenanvuyaano6260
    @irenenanvuyaano6260 3 ปีที่แล้ว +15

    He makes a way where seems to be no way I shall always be grateful. He is a great redeemer

  • @cynthiagentrix2251
    @cynthiagentrix2251 3 ปีที่แล้ว

    Watashangaa Sana adui zangu na watachoka vile naona

  • @mercylinekerubo6425
    @mercylinekerubo6425 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisaaa kwanza Mimi adui wameanza kushangaa kweli mungu Sikama mwanadamu yeye hujibu maombi

  • @maureennanjala
    @maureennanjala ปีที่แล้ว

    irem the dsy iws rejected with baby dad and dumped me😢😢 this song was my skiza tune .....uliniguza sana nakunipa modivation wen im in feelings # continue rip man of God yr death touched me😢😢

  • @elizabethmasiga8565
    @elizabethmasiga8565 ปีที่แล้ว

    R.I.P Ilagosa wa Ilagosa haki imeniuma sana kwa waliokufanyia Mungu atapigana nao.

  • @mc_nyerere_evans
    @mc_nyerere_evans ปีที่แล้ว +9

    Amazing song.forever in our hearts

  • @peacemueni664
    @peacemueni664 ปีที่แล้ว +2

    It is hard to believe you are no more..shine on your way man of God

  • @healthbysalome
    @healthbysalome 8 ปีที่แล้ว +36

    awesome message... if only we would depend on God in every aspect of life...life would be more bearable!

  • @viviankhasoa5147
    @viviankhasoa5147 4 ปีที่แล้ว +1

    kwa kila hali amini mungu ni mwema

  • @virginiahwamahiu7312
    @virginiahwamahiu7312 ปีที่แล้ว

    Na Bado Mungu Wako atakupighania na Adui Watashangaaa even in Death. R. I. P

  • @melan3401
    @melan3401 2 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo ulinijenga mahali nashukuru sana

  • @zhaviahmusyoka5638
    @zhaviahmusyoka5638 ปีที่แล้ว +1

    Rip ilagosa .This my song This 2023.

  • @Susan487
    @Susan487 ปีที่แล้ว

    Ohhhh my God I can’t Imgn Mr Ilagosa you are noo moreee in this earth surely😢😢😢😢😢😫😫😫😫😫😫😫𝚖𝚊𝚢 𝚢𝚘𝚞 𝚜𝚊𝚞𝚕 𝚛𝚎𝚜𝚝 𝚒𝚗 𝚙𝚎𝚊𝚌𝚎 𝚍𝚊𝚗𝚌𝚎 𝚠𝚒𝚝𝚑 𝚊𝚗𝚐𝚎𝚕𝚜 𝙼𝚛

  • @patrickjumba3536
    @patrickjumba3536 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema Ameni Adui mko wapi mpate ujumbe kutoka kwa huu wimbo tamu tamu...

  • @annejayden7305
    @annejayden7305 ปีที่แล้ว +15

    I never knew who sang this nice song till he was no more💔💔#RIP ILAGOSA WA ILAGOSA

    • @esthermusyoka5193
      @esthermusyoka5193 ปีที่แล้ว

      Me too I never knew 🙏🙏🙏🙏may his soul RIP 😭😭

    • @ghostg5993
      @ghostg5993 ปีที่แล้ว

      I also know the song bt I never knew the singer just rest in eternal peace

    • @lydiahmasemo2245
      @lydiahmasemo2245 ปีที่แล้ว

      Same here😭😭😭😭😭

    • @priscahmuruga38
      @priscahmuruga38 ปีที่แล้ว

      Me too

    • @twizzyrhoda6761
      @twizzyrhoda6761 ปีที่แล้ว

      Same here rest easy ilagosa😢😢🥺

  • @mainarobert4716
    @mainarobert4716 ปีที่แล้ว

    Go well bro ni njia yetu sote

  • @dahnlira2824
    @dahnlira2824 ปีที่แล้ว +3

    Amen!Even though God called you into His glory you're message is still impacting souls,long live legend!you still here with us Illagosa!Rest in the Glory of God!Amen

  • @phancahorao1693
    @phancahorao1693 ปีที่แล้ว

    Sikujua mwenye huu wimbo

  • @JoyNam-he9up
    @JoyNam-he9up 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo dungu saaii ana amani eandelee kukosa amani kabisaaaa

  • @melvytriza4392
    @melvytriza4392 ปีที่แล้ว

    May Almighty God fight for me 🙏🙏😭😭acha adui zangu wote washangae

  • @katungwamwania8036
    @katungwamwania8036 ปีที่แล้ว

    Rip 😢
    Nimeishi kupenda nyimbo zako

  • @christineochieng7292
    @christineochieng7292 ปีที่แล้ว

    Rip huu wimbo unanibariki sana wen am low continue resting in peace

  • @euniceorora6649
    @euniceorora6649 ปีที่แล้ว

    Mungu apigane na maadui waliokukatizia uhai...wakose amani

  • @sussymesh4154
    @sussymesh4154 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka nilipotenza job Sep 2020 juu ya corona nilikuwa nimeanza kugive up I used to play it everyday but Mungu alinibariki na nyingine....

  • @lylianwanyama4294
    @lylianwanyama4294 ปีที่แล้ว +2

    I lack words to mourn you mtumishi 😭😭😭😭😭😭😭 I really love this song 🎵 😭 may your soul rest in peace 😭

  • @judychepkoech8236
    @judychepkoech8236 ปีที่แล้ว

    Nakumbuka ilagosa akipaform life hio song uhuru gardens kericho lala

  • @rosemaryMutuko-wl3ey
    @rosemaryMutuko-wl3ey 4 หลายเดือนก่อน

    May God hear my prayer through this song and answer me

  • @janjoy-lk8rk
    @janjoy-lk8rk ปีที่แล้ว

    Mungu atabaki kuwa mungu tu...rest in power bro

  • @dorothykerubo5862
    @dorothykerubo5862 ปีที่แล้ว

    Watashanga adui

  • @judithositah3641
    @judithositah3641 ปีที่แล้ว

    Aki Elagosa woooie,,,😭😭😭💔countinue resting in power bro

  • @iansingapore3553
    @iansingapore3553 ปีที่แล้ว +3

    Rest well man of God,, we kept on using this song 4 dancing competition in church during December holiday,, wah! 😭😭

  • @mariamnjuguna1634
    @mariamnjuguna1634 ปีที่แล้ว +1

    Sad to loose u man of God,Sleep well till we meet again🙏

  • @ireneamisi9988
    @ireneamisi9988 6 ปีที่แล้ว +5

    Amen! Nimebarikiwa na huu wimbo na siwezi kuzuia kucheza hata nikiwa pekee yangu. Mungu awabariki

  • @elizabethawino8598
    @elizabethawino8598 ปีที่แล้ว

    Fare Thee Well Mtumishi wa Mungu.

  • @kambachibae6
    @kambachibae6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu atanipingania AMEN

  • @thepowerofsilentsoul2135
    @thepowerofsilentsoul2135 3 ปีที่แล้ว +1

    If u want nice voice come western ❤️💪💪💪💪🤺🙏 congratulations Kwa wasanii wote Wa kiluya💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @carolmbithe4720
    @carolmbithe4720 3 ปีที่แล้ว +19

    Great song,,,,the battles my redeemer fought for me are countless,,, praise the Lord

  • @catherinemumbua8251
    @catherinemumbua8251 ปีที่แล้ว +1

    I am embarrassed very embarrassed of myself that I love this song and all this time I didn't know ILAGOSA as an artist even the name.!!! I am ashamed. Rest well in perfect peace bro.

  • @faithanyango5530
    @faithanyango5530 ปีที่แล้ว

    As you rest in peace najua mungu wangu atanipigania na adui watashangaa, leaving it behind to keep reviewing frequently 🙏🙏

  • @faithblessed89
    @faithblessed89 3 ปีที่แล้ว

    Amen Amen my battle fighter Jemedari mkuu

  • @princessngethe1002
    @princessngethe1002 ปีที่แล้ว +3

    What a legend! May the angels in heaven receive you! Rest in power..