TAZAMA VIGEZO KWENYE WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT 2024 FORM SIX JKT 2024/2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @wazirymohamed
    @wazirymohamed 5 หลายเดือนก่อน

    Kama hujachaguliwaa unaenda au

  • @wilifredrichard
    @wilifredrichard 5 หลายเดือนก่อน +1

    Teach hii inausu walio maliza kidato cha sita basi kama umemaliza kidato cha nne ndoamna au

    • @teacherd
      @teacherd  4 หลายเดือนก่อน

      Ni KIDATO CHA SITA ti

  • @FarajaSanga-bm1qg
    @FarajaSanga-bm1qg 5 หลายเดือนก่อน

    Hii haihusu kwa wale walio maliza form four?

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo 5 หลายเดือนก่อน

    Na form six ambao wamesoma shule za private huwa wanaend jkt kwa mujibu?

    • @teacherd
      @teacherd  5 หลายเดือนก่อน

      Yaaah.. wanaendaga

  • @HamisiSalimu-yw1ru
    @HamisiSalimu-yw1ru 5 หลายเดือนก่อน

    Shida ni nin mana kuna wengine wanapenda lakin hawajachaguliwa

  • @HamisiSalimu-yw1ru
    @HamisiSalimu-yw1ru 5 หลายเดือนก่อน

    Mbon wanafunzi weng wahitimu wa kidato Cha sita wanalalamika kwa kutokupangiw jkt nikiwemo na mimi

    • @Mzawaoddszone
      @Mzawaoddszone 5 หลายเดือนก่อน

      Kama unahitaji nenda wanakupokea...maana wengi waliopangiwa huwa hawaendi..... Sisi watu walifanya hivyo