Achen kupondo ivi ss binadam tukoje ss hapo kaongea bay gan kam mna laan je hapo angekuwa msanii mungesem mashaallah achen utaira muwe munafikiria pumbavu zen mloponda kasimameni bc nyiny pale ili mtoe mawaidha
Mashekhe we2 wa saiv ni mtihani, wanajuzisha kila kitu ktk dini kwa ajili ya maslahi yao. Kusema kweliTumcheni Allah kwani tutakwenda kulipwa kwa haya tunayoyatenda
Anasema wakristo sisi nduguzetu tokea lini waislaam wakawa ndugu na makafiri iyo Qur-an yenyewe inapinga jambo ilo ktk suratul kaafirun (لكم دينكم ولي دين) maana ya Aya, nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu. والله أعلم
Yani kunavipaji vya masheikh tofauti kila sheikh anaweka sawa humat MUHAMMADI uisilamu ni raha kwelikweli yani awama sheikh huongeya vitu sahihi isipokua kilamoja na talent yake jamani ukikutanana uyu huzuni utakuishatu
Yani wewe juma Kwa akili zako jihad nikupgana Tu, nakumrushia jiwe police ,,,,takbiir""Allaaah Akbar...ndicho unacho kiwaza wewe,, hujui kwamba hata anachokisema hpo nijihadi?
Mbona waja hatuna jema???? Hata ww waeza toa icho ukisemacho koz hakuna mpaka wa hilo lkn kufanya hufanyi kaz kusubir afanye mwngne ili umtie ila hebu acheni unafki nyie
@@nurudiniidd8969 hawa ndo wa kwanza kuleta farka katka umma... atoe yy sasa izo darsa za jihad kwani kuna mtu kamzuia????? Kufnya hufanyi wasubir afanye mtu ukosoe..... kma huo si unafki nni???
Hamijey Hamijey Hajichanganyi ila Kama Humuelewi Ndio Utaona Anakuchanganya Yuko Sahihi sheikh Ramadhaan Kareem Wa Swaum Maqbul Ukhty Na Samahani Ikiwa Nimekosea Mahali
abdallah shomar Unaijuwa Njaa Ama Unasema Tu Usipende Kudharau Mtu Mtt Wa Kislamu Wasema Sheikh Njaa SubhanaAllah Allah Akusamehe Na Mwezi Huu Mtukufu In Shaa Allah
Saidi Nalola, Imam Abuu hanifa mwa maimamu wakubwa wanaosifika sana pamoja na Imam Shafii, Imam Maalik na Imam Muhammad bin Hambaliy. Alipokuwa anaishi jirani yake alikuwa ni mlevi, na kila akirudi alikuwa akiimba nyimbo inayosema mmeniacha mmeniacha. Ambayo kwa ile hali yake ya ulevi ilikuwa ni kilele kwa kiasi chake kwa majirani zake. Siku moja miongoni mwa siku huyo jirani aliyekuwa mlevi alikamatwa na maaskari wa doria ambapo walevi waliyopatikana kwa siku hiyo walisagwa korokoroni. Imam Abuhanifa akastaajabu kuona jirani yake aliyemzoea kila anaporudi huwa amelewa na huimba nyimbo siku hiyo ni kimya kitupu, alupoulizia akaambiwa amekamatwa na maaskari. Akafunga safari mpaka kituo cha polisi, akaomba kuna rafiki yake amekamatwa anawaomba wamuachie huyo rafiki yao. Wale maaskari walodhani rafikiye naye ni sheikh.Na kwa heshima ya sheikh wakawaacha na walevi waliyokamatwa usiku, yule mlevi kutoka kwa ghafla anamuona Imam. Imam akamchukua akampandisha kwenye punda wake huku yeye akiwa anamkokota yule punda. Baada ya mwendo kiasi, Imam akamuuliza ukipita wakati wa kurudi nyumbani huwa unaimba wameniacha wemeniacha. Sasa je, kuna aliye Kuacha. Bila shaka nimelijibu swali lako.
Adam Sudy kwan hapo kaongea bay gan ww uwe unafikiria unachoandik sio kukurupuk inamaan mashekhe ndo wapaswi hat kuchekesha watu kwan kuchekesha ni haram maneno anayosem ni mazito lkn kuyatamk yanakuj kam kichekesho lkn yupo sahihi ss wasem hakun shekh hapo mpelek bc baba ako akasimame pale chevu sura kam kobe
Adam Sudy Kabla huja Comments Kwanzaa Fikiria Usipende Dhana Khui Ramadhaan Kareem Wa Swaum Maqbul Allah Azitakabalie Dua na Swaum na Swala Zetu Aamiin Yaa Rabbi
Masha Allah. Mwenyezi. Mungu. Akulinde. Na. Jambo. Lolote. Baya
Mwenyezi mungu akulinde na akupe umri inshaallah sheikh kipozeo usidi kutuelimisha njia inayofaa,
Alhamdulilah maashaallah sheikh kipozeo Allah akubariki Sana jazakallah kher
Alhamdullillah unafundisha vizuri na unafurahisha hawatochoka na kawaida yako ❤
Masha Allah blessed Sheikh Kipozeo
Achen kupondo ivi ss binadam tukoje ss hapo kaongea bay gan kam mna laan je hapo angekuwa msanii mungesem mashaallah achen utaira muwe munafikiria pumbavu zen mloponda kasimameni bc nyiny pale ili mtoe mawaidha
Hawana akili wajinga
Ukiona mtu anamponda mwenye Kufikisha elimu ya Mwenyez mungu ujue huyo ni shetani wa kibinaadam
shani umesema kweli
Mhh kila anaemtaja ALLAH tu ndo anatoa mawaidha ,kuisoma dini muhimu,,hapo anachekesha tu
Munampenda huyo shehe juu anaongea mambo ya mizigo
MEET YOU JAHNAAH ONE DAY INSHAALLAH
Pole xana na akili zako zilizo ganda
sheikh kipozeo mashaallah
Mungu akulipe
Alhamdulillahi
Mbona hajaongea baya lakini naona watu muna mponda
Mna uwelewa mdogosana nyinyi amnao msema vibaya
Maa Shaallh
Hakuna shekhe apoo
Mashallah
Ameen yaarab
shekh kipozea endelea kulingania kwa hekima sio jazba,mtume angetumia jazba dini isingefka hapa
Mahamoud Masoud Jazba gani hapo?
Kwani jazba au comedy tu anafanya
Binadamu hatuna jema!
Mashekhe we2 wa saiv ni mtihani, wanajuzisha kila kitu ktk dini kwa ajili ya maslahi yao. Kusema kweliTumcheni Allah kwani tutakwenda kulipwa kwa haya tunayoyatenda
Kwamfno sasa hapo kajuzisha nn?
Mm nimepiga mfano tu
Anasema wakristo sisi nduguzetu tokea lini waislaam wakawa ndugu na makafiri iyo Qur-an yenyewe inapinga jambo ilo ktk suratul kaafirun (لكم دينكم ولي دين) maana ya Aya, nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu. والله أعلم
Mimi nataka namba yke jamani ntaipataje
Yani kunavipaji vya masheikh tofauti kila sheikh anaweka sawa humat MUHAMMADI uisilamu ni raha kwelikweli yani awama sheikh huongeya vitu sahihi isipokua kilamoja na talent yake jamani ukikutanana uyu huzuni utakuishatu
Sijui kwann wanakuaga ivi dah
shekhe wa wcb
Jamilla Ibrahim kipoozeo kapozwa njaa
Mjinga sana wewe ebu jitambue
Mh hatari kweli
Sheikh ungekua watoa darsa za jihad wallah nna imani wangepatikana mujahidin wengi zaidi
Juma Munga jihad gan sheikh?
Yani wewe juma Kwa akili zako jihad nikupgana Tu, nakumrushia jiwe police ,,,,takbiir""Allaaah Akbar...ndicho unacho kiwaza wewe,, hujui kwamba hata anachokisema hpo nijihadi?
Mbona waja hatuna jema????
Hata ww waeza toa icho ukisemacho koz hakuna mpaka wa hilo lkn kufanya hufanyi kaz kusubir afanye mwngne ili umtie ila hebu acheni unafki nyie
@@nurudiniidd8969 hawa ndo wa kwanza kuleta farka katka umma... atoe yy sasa izo darsa za jihad kwani kuna mtu kamzuia????? Kufnya hufanyi wasubir afanye mtu ukosoe..... kma huo si unafki nni???
MTOTO WA BABA MSAFI 93
Amiin
Aamina
Kipozeo lini utacha comedy ktk dini ya allah ?
Kipozeo axhakua dalluu huyo anajichanganya haewek
Hamijey Hamijey njaa
Hamijey Hamijey naweza pata mawasiliano yako
Hamijey Hamijey
Hajichanganyi ila Kama Humuelewi Ndio Utaona Anakuchanganya
Yuko Sahihi sheikh
Ramadhaan Kareem Wa Swaum Maqbul Ukhty
Na Samahani Ikiwa Nimekosea Mahali
abdallah shomar
Unaijuwa Njaa Ama Unasema Tu
Usipende Kudharau Mtu
Mtt Wa Kislamu Wasema Sheikh Njaa
SubhanaAllah Allah Akusamehe Na Mwezi Huu Mtukufu In Shaa Allah
Hamijey Hamijey mbona yuko vzuri tu!
Sheh wawasanii mtihani mtupu namawaidha yangono tupu na istihizai tupu
selemani labda we mwenyewe mfanya ngono umeguswa.
Hapa hakuna shehe upuuzi tu
Pumbavu ww unazini na kutenda dhambi kila unakuja kumuhukumu Mtu, wee umekamilika Nn?
ndio nn ss sheh unamponda kisha uko nae ina maana ss tutakuelewa vp au dunia?
Saidi Nalola, Imam Abuu hanifa mwa maimamu wakubwa wanaosifika sana pamoja na Imam Shafii, Imam Maalik na Imam Muhammad bin Hambaliy. Alipokuwa anaishi jirani yake alikuwa ni mlevi, na kila akirudi alikuwa akiimba nyimbo inayosema mmeniacha mmeniacha. Ambayo kwa ile hali yake ya ulevi ilikuwa ni kilele kwa kiasi chake kwa majirani zake. Siku moja miongoni mwa siku huyo jirani aliyekuwa mlevi alikamatwa na maaskari wa doria ambapo walevi waliyopatikana kwa siku hiyo walisagwa korokoroni. Imam Abuhanifa akastaajabu kuona jirani yake aliyemzoea kila anaporudi huwa amelewa na huimba nyimbo siku hiyo ni kimya kitupu, alupoulizia akaambiwa amekamatwa na maaskari. Akafunga safari mpaka kituo cha polisi, akaomba kuna rafiki yake amekamatwa anawaomba wamuachie huyo rafiki yao. Wale maaskari walodhani rafikiye naye ni sheikh.Na kwa heshima ya sheikh wakawaacha na walevi waliyokamatwa usiku, yule mlevi kutoka kwa ghafla anamuona Imam.
Imam akamchukua akampandisha kwenye punda wake huku yeye akiwa anamkokota yule punda. Baada ya mwendo kiasi, Imam akamuuliza ukipita wakati wa kurudi nyumbani huwa unaimba wameniacha wemeniacha. Sasa je, kuna aliye Kuacha. Bila shaka nimelijibu swali lako.
hakuna shekhe hapo ni mtaftaji rizki tu yupo tayar kuipamba bidaa kisa pesa hana lolote hafai hata kufuatwa
Adam Sudy hauna ulijualo wewe yabiothi tu
Adam Sudy mi nataka nijue kwan hapo kaongea baya gani kaka .. maana utakuja kuulizwa kaka Allah sio dhalim hata kafiri hamdhulumu chunga sana bro
Adam Sudy kwan hapo kaongea bay gan ww uwe unafikiria unachoandik sio kukurupuk inamaan mashekhe ndo wapaswi hat kuchekesha watu kwan kuchekesha ni haram maneno anayosem ni mazito lkn kuyatamk yanakuj kam kichekesho lkn yupo sahihi ss wasem hakun shekh hapo mpelek bc baba ako akasimame pale chevu sura kam kobe
Hiyo comment yako kama vile una ugomvi na sheikh. Mi nna wasi wasi na wewee ulie comment hivyo na sheikh
Adam Sudy
Kabla huja Comments Kwanzaa Fikiria Usipende Dhana Khui
Ramadhaan Kareem Wa Swaum Maqbul
Allah Azitakabalie Dua na Swaum na Swala Zetu Aamiin Yaa Rabbi