Tanganyika Tv muko juu sana yaani munatuhuwa na Raha kweli ,nina miaka nyingi tangu nitoke nyumbani kumbe kumesha hendelea kweli, hadi nasikia hamu. Muna nipa wazo lingine sikua nategemea kama BARAKA inaweza kua hivi. BARAKA OYEEE .
Kweli nimejipa muda kufuata maoni mbali mbali ya watu kutokana na hali ya sasa ya kata lilokuwa pendwa zaidi katika jiji la Baraka, na mengi yana ukweli ndani yake, na hilo nikutokana na janga la maji namna lilivyo zuri kata hiyo kwa ukubwa kuliko kata zingine, lakini pale mtu anapo hinua mdomo na kusema kwamba kwa sasa Aebaz ndo imekuwa kata ya mwisho baraka, huo ni uashabiki tu na uzalilishaji tu. Maana mpaka sasa hivi aebaz imo bado kwenye tatu bora
Mbona Baraka inahitwa jiji nilivyoona jiji letu sikuona Gari hata moja
Nafurai sana kuona baraka kabisa ❤❤❤ ila maendeleo ni pole pole, siku moja bitakuwa sawa Kwasababu ya Leo sio kama ya zamani
Baraka imeshaendelea kweli
Alaska anatetea kinywaji😅😅😅
Ninyi ni mbwa sana, nawakubali kiunyama
TANGANYIKA TV 🔥
Jama anapenda pombe sana
Huyu bwana wa kwanza kuhuliza ao kuhojii anajua kuhongea
Tanganyika Tv muko juu sana yaani munatuhuwa na Raha kweli ,nina miaka nyingi tangu nitoke nyumbani kumbe kumesha hendelea kweli, hadi nasikia hamu. Muna nipa wazo lingine sikua nategemea kama BARAKA inaweza kua hivi. BARAKA OYEEE .
Baraka ni atari na majengo asante sana kwakutupa image ya baraka tuna enjoy
Tunahomba tuhone Cartier BANDRO, KIBONJWA KUMATONGO, MAKAPAGNE. , Cartier MBAVU MOJA.
Nimepa penda sana nipo🇺🇸
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Safi sana
Tatizo tunarogana Sasa wivu wakijinga
Kweli nimejipa muda kufuata maoni mbali mbali ya watu kutokana na hali ya sasa ya kata lilokuwa pendwa zaidi katika jiji la Baraka, na mengi yana ukweli ndani yake, na hilo nikutokana na janga la maji namna lilivyo zuri kata hiyo kwa ukubwa kuliko kata zingine, lakini pale mtu anapo hinua mdomo na kusema kwamba kwa sasa Aebaz ndo imekuwa kata ya mwisho baraka, huo ni uashabiki tu na uzalilishaji tu. Maana mpaka sasa hivi aebaz imo bado kwenye tatu bora
aibadze ikingaliki buchavu