Acha unafiki wewe, Tanzania imekuwa mbaya kwako? Kigoma imejaa Wabembe wenzako wenye roho mbaya sana na pia ujue kwamba Tanzania ni kiatu chenye dawa ya kuponya kila mwanadamu.
DRC CONGO analipa UNITED of the world ma billion of the dollar kilamwaka kwaajili ya wakimbizi" ! na UNHCR sasa nayeye analipa Tanzania kwa ajili ya kupokeya wakimbizi! na ndugu mu Africa. juwakama duniani akuna msahada wa bure.
I did understand well this interview, bro amesema kwamba wabembe ni watu hambo wanashindwa kujielewa😪. anamaanisha nini?
Anamaanisha vijana sio watafutaji
Aise shukurani ya Punda ni mateke. Wabembe kutoka Congo ndiyo wanao nufaika na maliasili ya Tz, kuliko makabila mengine kutoka katika Nchi za jirani.
Huyu kama ameishi Tanzania basi ameishi kigoma
Akuna swaili ya Tz apo 😂
Anaijuwa vizur Tanzanian au
Sawa sana!
🙏🏻
Congo hakuna vita?🤔
Congolese nchi nzuri tuache ubaguzi
Baraka si jiji ni mji
Kiukweli watanzania tuna moyo sana sijisifii
Acha unafiki wewe, Tanzania imekuwa mbaya kwako? Kigoma imejaa Wabembe wenzako wenye roho mbaya sana na pia ujue kwamba Tanzania ni kiatu chenye dawa ya kuponya kila mwanadamu.
Jambo rashidi
Kuna nchi ya africa kweli ina maisha mazuri kuliko tz 😂 kila cku mnakimbilia tz bila documenti na mnapewa msada
Ukrainian ni wakimbizi kwa sasa ndo inamaanisha wana maisha mbaya
@@Manyanya_255 ndo ubaya wenyewe uwo huwezi kukimbia sehem kama sio mbaya
Acha wehu kwani Congo siyo nchi ya kuishi acha ubaguzi?
@@salumjrsaidjr7150 mbaguzi uyo mshkaj hujamskia au utakandia vip nchi inayokupen nafac??
DRC CONGO analipa UNITED of the world ma billion of the dollar kilamwaka kwaajili ya wakimbizi" ! na UNHCR sasa nayeye analipa Tanzania kwa ajili ya kupokeya wakimbizi! na ndugu mu Africa. juwakama duniani akuna msahada wa bure.
Dogo umechemsha