ðŸ”īLIVE : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA SOFIA SEHEMU YA 07 - SEPT 24

āđāļŠāļĢāđŒ
āļāļąāļ‡
  • āđ€āļœāļĒāđāļžāļĢāđˆāđ€āļĄāļ·āđˆāļ­ 18 āļ˜.āļ„. 2024

āļ„āļ§āļēāļĄāļ„āļīāļ”āđ€āļŦāđ‡āļ™ • 19

  • @zBhouseofdelicios
    @zBhouseofdelicios 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +7

    Wa kwanza leo😂naombeni like zenu

  • @nattaLuddy-bx3qj
    @nattaLuddy-bx3qj 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Da Vero tuwekee episode ya 8 pleeeeeeeeees, hatujui chenye kimeendelea hapo nyuma tafadhali dada.

  • @ShedrackLwoga
    @ShedrackLwoga 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +1

    Dada yangu nakupenda sana yaani unavo simulia unabeba uhalisia wa hiyo stori

  • @PollyShop-pv5nn
    @PollyShop-pv5nn 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +2

    Wanawake kama soph tupo Tz hii hii wenye uvumilivu na kumwamin mungu kwa kias kikubwa sana, uzur ni kwamba mungu huwa hamwachi anayemwamin kwa iman kubwa kama soph mungu wetu huwa hawah wala hachelewi, mungu wa kwetu sote ðŸ˜Ē

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +7

    Vijana wengi wanadai kama wanawake WA siku hizi wanapenda pesa kama huna pesa huwezi kuwa na mpenzi ona sasa akina Sophia wako wengi Sana Tanzania na sasa hivi watu Wana tabia ya kuwasema eti wasichana wanapenda u single mother etiii! Uzuri ni kwamba ukimwamini Mungu hakuachi. Sophia una bahati sana ya kupata malaika huyo ex shemeji anakupenda kutoka moyoni mwake, I hope atakuwa mumeo na mtaishi Kwa Amani na furaha.

    • @AlfaCharles-e8h
      @AlfaCharles-e8h 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

      Umenena kwa hisia San dear, ukwel wanaume ndochanzo Cha single mothers wengi, Sofia amenisikitisha San, haya maisha watyu wanapitia magum san

  • @Ų†ØŽØ§ØĐاŲ„ØđØĻØąŲŠ
    @Ų†ØŽØ§ØĐاŲ„ØđØĻØąŲŠ 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +3

    Na mm wa kwanz au ndo watu mshachek live 😂😂

  • @gloryngenzi4420
    @gloryngenzi4420 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +1

    Nice

  • @hamsamdogwa7621
    @hamsamdogwa7621 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +1

    Jaman kwan leo simurizi akuna yutub

  • @florakomba5522
    @florakomba5522 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +2

    Wasichana mnahitaji kuwa wajasili kwa kila kitu

  • @dativadesdery9935
    @dativadesdery9935 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Dada Veronica naomba ufungue na WhatsApp group kabisa tuendelee kujifunza mengi akina Sophie tupo jamani

  • @AnjelaMichael-cn9rg
    @AnjelaMichael-cn9rg 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +3

    Mm wa kwanza 😅😅😅

  • @HellenaShayo
    @HellenaShayo 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +2

    Hellow

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +2

    Sofia umenifunguwa macho saaana kuhusu biashara

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +1

    Hii simulizi inafunza vitu vingi sana mapenz maisha uaminifu uchawi hadi raha tu veronica unatuletea vitu bambamâĪ

  • @MariamKaijage
    @MariamKaijage 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Nzuri ila inatia uruma

  • @AsmaHassan-pz6tc
    @AsmaHassan-pz6tc 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Hakika

  • @LuciaMagari-h8o
    @LuciaMagari-h8o 2 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Shem km shem