🔴LIVE : RIPOTI YA LE SIMULIZI YA SOFIA SEHEMU YA 08 - SEPT 25

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @flavianapeter494
    @flavianapeter494 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vero nakuelewa nakupenda heri ya tumbo lililo kuzaaaa ubarikiwe kwa simulizi nzuri

  • @annadaudi1769
    @annadaudi1769 2 หลายเดือนก่อน

    Dah safi sana afadhali safari hii simulizi ina mwisho mwema ,nice

  • @janeyjames14
    @janeyjames14 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jmn vero sehemu ya 9 plzzzz utafute popote utume mm sikuelew

  • @janemalongo5417
    @janemalongo5417 2 หลายเดือนก่อน +3

    No.1🎉

  • @Neema-u2z
    @Neema-u2z 2 หลายเดือนก่อน

    Habari dada vero

  • @ChristinaAloyce-pp6vj
    @ChristinaAloyce-pp6vj 2 หลายเดือนก่อน

    Vero jana tarehe 26 iko wapi au hukusimlia?

  • @EsterJoseph-x6k
    @EsterJoseph-x6k 2 หลายเดือนก่อน

    Nakupeñda bule

  • @abdulsalim1069
    @abdulsalim1069 2 หลายเดือนก่อน +3

    Duuuh da vero bn" ett anataka kurud kwenye colonial lake🤣🤣

    • @complex7582
      @complex7582 2 หลายเดือนก่อน

      Sofia ana bahati sana

  • @kidawahmsuya1510
    @kidawahmsuya1510 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa Zanzibar code ni ngapi tusikilize

  • @hamsamdogwa7621
    @hamsamdogwa7621 2 หลายเดือนก่อน

    TH-cam leo vero ujairusha mpaka muda huu

  • @naimamabina6896
    @naimamabina6896 2 หลายเดือนก่อน

    Natafuta ya jana siion

  • @tunuyaomar5017
    @tunuyaomar5017 2 หลายเดือนก่อน

    Nasikiliza nikiwa Canada wale watu wa matunda tujuane...😊

  • @BintHassan-o1y
    @BintHassan-o1y 2 หลายเดือนก่อน

    Pamoja da vero nakusikiliza kutoka Europe 😅😅😅

  • @Ayshernasolo
    @Ayshernasolo 2 หลายเดือนก่อน

    Unamvumilia MTU ukijua MTU sahihi kumbe anakufnya kipozeo chake😢

  • @Deedlr4767
    @Deedlr4767 2 หลายเดือนก่อน +5

    Namba mbil naskiliza nikiwa china kama kawaida yangu😂wachina wenzangu tujuane

  • @BintHassan-o1y
    @BintHassan-o1y 2 หลายเดือนก่อน

    Shemegi kma hyu mi naanguka nae Kaliwale😅😅😅

  • @leaheugen7777
    @leaheugen7777 2 หลายเดือนก่อน +1

    Akienda kukutana nae amekwisha 😂😂

  • @agnesmbanga5429
    @agnesmbanga5429 2 หลายเดือนก่อน

    Hajabeba jini au tindikali kweliii??

  • @afsatyAlly-x6j
    @afsatyAlly-x6j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wa MTWARA woote mmetuudhi Jana kwakweli

  • @LillianMutarubukwa
    @LillianMutarubukwa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dada vero nauza cheni nzuuri,viatu na pochi dadangu karibu

    • @roseurio4983
      @roseurio4983 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hongea tuletee huku

  • @annesymuna9856
    @annesymuna9856 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mie naamin mpaka week hii iishe...tutakuwa tumekula wali tayari ❤🎉😅

    • @Zuhuranadadoita
      @Zuhuranadadoita 2 หลายเดือนก่อน +1

      Shuhuli tunayo tunatamba nayo tushono vijora 😂😂😂😂😂

    • @marthakitinusa9696
      @marthakitinusa9696 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hahaaàa

  • @ScholarPeter
    @ScholarPeter 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nisingempa mpa mtoto huyo baba na ningemtimua kabisaa mwanaume mshenzi

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 2 หลายเดือนก่อน

    Mi kiukweli ningeogopa kuolewa na huyu mwanaume japo ni mwema kwangu

  • @hasnakingu4593
    @hasnakingu4593 2 หลายเดือนก่อน

    Mapenzi?? WTF??? Mwanaume aliyekamilika ana malengo na wewe, otherwise ni kavulana tu

  • @SuzanaMazzuki
    @SuzanaMazzuki 2 หลายเดือนก่อน +3

    Uchumba sugu is typng

    • @ZuwenaMbinga
      @ZuwenaMbinga 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂

    • @cocotz1892
      @cocotz1892 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @hasnakingu4593
    @hasnakingu4593 2 หลายเดือนก่อน

    Mi sijui lakini, unakubalije kufanywa na mtu asiyeeleweka?? 😅

  • @zayabdala-ky9dg
    @zayabdala-ky9dg 2 หลายเดือนก่อน +1

    Iwe funzo kwa mabinti wote we unakaaje na uchumba sugu miaka yote hy kujizibia riziki tu mwisho wa siku na mimba unabeba ili Hali hajakuoa na anakukana nyie mabinti mbadilike hiz simlizi zinamafunz kwetu

  • @annesymuna9856
    @annesymuna9856 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo Dada x ashindwe kwa jina la Yesu. Natamani kusikia Sophia kaoana na shemeji x jamanii.
    Ntafurahi mie hakika 🎉
    Sophia ametufundisha vitu vingi sana kwa hii story kama wadada...tumejifunza hakika. UVUMILIVU UNA LIPA MARA ZOTE MPAKA HAPO TU STORY ILIPO.!!

    • @francispaschally5933
      @francispaschally5933 2 หลายเดือนก่อน

      Kumbe inawezekana na mm unaanza kumfatilia kuna X wa rafiki yangu

  • @zayabdala-ky9dg
    @zayabdala-ky9dg 2 หลายเดือนก่อน +13

    Iwe funzo kwa mabinti wote we unakaaje na uchumba sugu miaka yote hy kujizibia riziki tu mwisho wa siku na mimba unabeba ili Hali hajakuoa na anakukana nyie mabinti mbadilike hiz simlizi zinamafunz kwetu

    • @Zuhuranadadoita
      @Zuhuranadadoita 2 หลายเดือนก่อน

      Tumesikia ndungu enyewe siwezi kukaa hivyo

    • @lovenessmjaka9754
      @lovenessmjaka9754 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ishanitokea hiyo miaka nilipoteza kwake 8 nilianza mahusiano naye nikiwa form four mpka nikafika chuo akaja kuowa mwingine inaumiza sana

    • @Zuhuranadadoita
      @Zuhuranadadoita 2 หลายเดือนก่อน

      @@lovenessmjaka9754 pole dear mtihani saaana walah 🙄🙄🙄

    • @JeradinaMallya-do3od
      @JeradinaMallya-do3od 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu tu ndio anajuaga kwaajili zetu hatutoboi​@@lovenessmjaka9754

    • @zBhouseofdelicios
      @zBhouseofdelicios 2 หลายเดือนก่อน

      Duh pole sana​@@lovenessmjaka9754