Hongera sana Hassan Mwakinyo kwa kazi nzuri sana yenye uweledi wa hali ya juu, Shukrani sana Mr Hassan Mwakinyo kwa kuipeperusha vyema bendera yetu ya Tanzania.
Mashaallah bondia Wangu no 1 Tanzania mwakinyo hongera sana ww ni mpambanaji usiye penda ujinga ujinga bila mipango ya msingi unalinda kipaji chako dhidi ya wababaishi
Hongera sana Mwakinyo, umeonyesha wewe ni Bondia na ngumi unazijua, tatizo TZ hatupendi vyetu, nashangaa pambano kubwa Azam nao wanaonyesha ngumi za kitoto...ilitakiwa hili walipromoti Kwa nguvu kuinyesha Dunia namna ngumi za kimataifa zilivyo, wao wanaonyesha sijui ngumi Gani!!! Au ulikuwa mpango wa kuvunja coverage ya Mwakinyo nn? Tuache wivu Mwakinyo anakipiga sana..❤❤
Hongera sana mwakinyo kwa mechi nzuri@najua unapitia figisu nyingi ndo TZ tulivyo mtu mwenye mafanikio anapigwa vita badala na ku suppprtiwa@MWENYEJI MUNGU akusimaie uendelee kupeperusha bendera
Kweli kabisa . Kiduku anatabia ya kujitupia mwilini kwa wenzio na limwili lake ndio maana yule muafrika kusini alimshinda coz akirukia mwilini alikuwa ana mkwepa
Tumeinjoi sanaaa Crawford wa tanga umewafunga midogo wenye roho za ku2 msena wangu mungu ndo kila ki2 leo wataongea nn mana alukuwa wanasubria kuongea cwackii kmya dadek champenz oyeee❤❤❤❤
Kuna wenye mamlaka..Na walio chini ya mamlaka....Ila bibi alininong'oneza..! Jua halifunikwi na ungo..! Na ukiona kwako Giza basi kwawenzio kunawaka...!! Tukiachana na hayo mwakinyo ni mtu mwingine... HONGERA SANA MWAKINYO.
Hongera sana Hassan kwa kupeperusha bendera ya Tanzania vema, na angalau safari hii raba sio kama zile za UK wakati ule uliposuasua kuua mtu pale Uingereza
Hongera bingwa from my country i am so proud for MWAKINYO pambono moja tu ndio uliniangusha mjin Liverpool lkn unapoamua kuifanya kaz unaifanya kisawasawa na sijaonaga kama Mwakinyo
Mwakinyo hongera Sana,umeonyesha maneno na vitendo kwa pamoja,watu wengi na mabondia wanakuchukia ila hawaelewi kuwa kuongea kwako kunaamsha amsha games za ngumi kuwa na ushindani,salamu kwa wapaka piko zimefika,wale walio andaa pambano Tanga ilikuwa ni gamę plan kuvuruga bambano la Zanzibar,ila mungu kawaumbua na tumeamini maneno yako kuwa ni maadui zako,kwa nini wasipange pambano lao tarehe 28?
Kama unajua unajua tyu mti wenye matunda ndo hupigwa mawe Yan mnatak mtudanganye kwadunia hii kwamba mwakinyo hajui ngumi?nyie mwakinyo ni bondia haswa TNG❤❤❤❤❤❤❤
Uwezo wa Hassan Mashallah Allah azidi kumpanguvu katika mikono yake Insha'Allah kingine kiherehere cha mtangazaji anamtangaza mshindi kama yeye ndiyo refa hajafuta protocol ametengeneza delay
Yule jamaa ni mbavu lakini ,mwakinyo ana uzoefu mwingi, na ngumi yake haitui ovyo, hongeraaaa brother Mwakinyooo, utakuwa mnyakyusa wewe hakika , maana ni nooooomaaa! Mungu aendelee kukutia nguvu, tulikumisi ulingoni sanaaa! Sasa tafadhari sana , katupigie yule muingereza basi , naamini utaonesha maajabu !
Maasha allah hassan hongera kwako kaka wanao bishana na ww ndy wanaokuwa chanzo cha siziki yko wako hivyo waendelee kuwa na chuki wako maana ww unaakilia ya ngumu hivyo watakuchukia tu 💪💪💪💪
Hongera mwakinyo kwa ushindi mnono Ila kwa huyu mwanajeshi hakuna bondia anapiga ngumi kama tunaangalia Slow motion sioni Jab, sioni Combination, 1 two hakuna kwa ufupi ni pambano la kawaid na hio Combat angeivua anatudhalilisha wanajeshi
Hongera sana broo ALLAH azidi kukusimamia inshallah waloanzisha pambano jn tanga walikuwa na Nia mbaya ya kukuharibia pambano lko ila Allah kakuhifadh haiwezekani star km ww jn ilitakiw tz nzm ikuangalie ww lkn Kun wanafik tz sure
Nimefuatilia comment za watu hakika nyota ya mtu huwezi kuua kabisa utajitahidi kuififisha lkn mungu ana kung'arisha zaidi sema wabongo msema kweli wanaona kama mkorofi jamaa hapendi ubabaishaji!
Hongera sana Brother Mwakinyo Allah akuzidishie uwezo mkubwa katika safari yako ya boxng na uweze kuimarisha vipaji tanzania
Tumeona uwezo wako, mdogo wangu. Mungu akujalie na akulinde kwenye safari yako. Wewe ni bingwa kwenye uzito wako.
Mtangazaji na mchambuzi mlikuwa vzuri sana kutuletea radha nzuri ya matangazo na uchambuzi🔥
Hongera sana Hassan Mwakinyo kwa kazi nzuri sana yenye uweledi wa hali ya juu, Shukrani sana Mr Hassan Mwakinyo kwa kuipeperusha vyema bendera yetu ya Tanzania.
Wenye maua ya Mwakinyo njoni hapa💪
Allah azidi kukupaisha bondia wetu watanzania tuko nyuma yako.
😂😂mtu anapigwa pekeake wasema ukopamoja naye acha uongo
😂😂😂😂@@Jibambeshow254k
ZBC should be able to slow motion highlights each round
Mashaallah bondia Wangu no 1 Tanzania mwakinyo hongera sana ww ni mpambanaji usiye penda ujinga ujinga bila mipango ya msingi unalinda kipaji chako dhidi ya wababaishi
Hongera sana Mwakinyo, umeonyesha wewe ni Bondia na ngumi unazijua, tatizo TZ hatupendi vyetu, nashangaa pambano kubwa Azam nao wanaonyesha ngumi za kitoto...ilitakiwa hili walipromoti Kwa nguvu kuinyesha Dunia namna ngumi za kimataifa zilivyo, wao wanaonyesha sijui ngumi Gani!!! Au ulikuwa mpango wa kuvunja coverage ya Mwakinyo nn? Tuache wivu Mwakinyo anakipiga sana..❤❤
Watu wame umbukaaaaa ❤❤❤
Wanatumia nguvu kubwa kumpoteza mwakinyo
Kumbe hawajaonesha
❤❤
😂😂😂😂 ukweli haujifichi, tumeona ,tumegundua na tupo Benet na mwakinyo
Ongera Sanaa kaka 🎉kumbe Azam wa ovyo mbona hawajaonesha
Mwakinyo mungu akujalie us❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hizi ndio boxing ya ukweli jamaa wote fit. Hongera sana Mwakinyo. Pia waandaaji kwa kuandaa pambano zuri kama hili
Mwakinyo yuko fit sana alikuwa anamsoma alipombadilishia mguu ili apige jab na Cross na upper cut
Hongera sana mwakinyo kwa mechi nzuri@najua unapitia figisu nyingi ndo TZ tulivyo mtu mwenye mafanikio anapigwa vita badala na ku suppprtiwa@MWENYEJI MUNGU akusimaie uendelee kupeperusha bendera
Oya msimfananishe Mwakinyo na Twaha kiduku ,Twaha bado mdogo sana
Hana lolote
Kweli kabisa . Kiduku anatabia ya kujitupia mwilini kwa wenzio na limwili lake ndio maana yule muafrika kusini alimshinda coz akirukia mwilini alikuwa ana mkwepa
Kiduku kwa mwakinyo ni kama kusukuma mlevi tu....yaani huyo kiduku asije kuyakanyaga kwa mwamba huyu
Mwakinyo best fighter katika historia ya ngumi Tz ,na mkubali sana huyu jamaa big up brother kaza buti utafika mbali zaidi
Champez..one more time for the king
🎉🎉🎉🎉kazi nzuri broo hassan❤❤ tz oyeee
Tumeinjoi sanaaa Crawford wa tanga umewafunga midogo wenye roho za ku2 msena wangu mungu ndo kila ki2 leo wataongea nn mana alukuwa wanasubria kuongea cwackii kmya dadek champenz oyeee❤❤❤❤
The best boxer in Tanzania kwa uzito wao
Mwakinyo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
You is 👑 in Africa
Keep it up mwakinyo baba ngumi unajua watazania sisi wivu ndio tatzo nakupa maua yako🎉
Nakukubari mwakonyo
Nakukubalj mwamba mwakinyo pamoja sana
Kama unasema mwakinyo kapambana na mnyonge omba week pambano na mwakinyo au mlete Baba ako
Wewe umemleta uyo babako
Huelewi kiswahili ww@@rogerabdallah439
Mletemamayako
Hongela kaka tangalahatu mawazo kando hongela mungo azidi kuku jazanguvu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤and 32:58 33:00
❤❤❤ yako Ayo hasani waonyeshe maboya wataka kufafana naww
Kuna wenye mamlaka..Na walio chini ya mamlaka....Ila bibi alininong'oneza..! Jua halifunikwi na ungo..! Na ukiona kwako Giza basi kwawenzio kunawaka...!! Tukiachana na hayo mwakinyo ni mtu mwingine... HONGERA SANA MWAKINYO.
Mwakinyo umetisha❤❤❤❤❤
God bless you 🙏🙏🙏 mwakinyo
Hongera sana Hassan kwa kupeperusha bendera ya Tanzania vema, na angalau safari hii raba sio kama zile za UK wakati ule uliposuasua kuua mtu pale Uingereza
Hongera bingwa from my country i am so proud for MWAKINYO pambono moja tu ndio uliniangusha mjin Liverpool lkn unapoamua kuifanya kaz unaifanya kisawasawa na sijaonaga kama Mwakinyo
Hongera Sana mwakinyo aibu yao waliokuwa wanakutafutia mzengwe ktk kazi zako mungu akizidi kukupambania mwisho wao ni aibu
Cha kushangaza wapo humu wamegeuka kumshangilia,,hii ndio tz,rafiki kinyonga,leo rafiki kesho adui keshokutwa rafiki
Allwah atakusimamia mwakinyo
Mwenyezi mungu amkinge na Mahasidi
❤🎉 hongera sana bro
Kazi nzuli wajinaa🔥
Good job champenz
Nakukubali sana champez🎉
Mwakinyo hongera Sana,umeonyesha maneno na vitendo kwa pamoja,watu wengi na mabondia wanakuchukia ila hawaelewi kuwa kuongea kwako kunaamsha amsha games za ngumi kuwa na ushindani,salamu kwa wapaka piko zimefika,wale walio andaa pambano Tanga ilikuwa ni gamę plan kuvuruga bambano la Zanzibar,ila mungu kawaumbua na tumeamini maneno yako kuwa ni maadui zako,kwa nini wasipange pambano lao tarehe 28?
Haongei kuamsha amsha tu Bali jamaa anatetea haki za mabondia pamoja na maslahi yao kwa ujumla.
Kama unajua unajua tyu mti wenye matunda ndo hupigwa mawe Yan mnatak mtudanganye kwadunia hii kwamba mwakinyo hajui ngumi?nyie mwakinyo ni bondia haswa TNG❤❤❤❤❤❤❤
Huyu Mghana alikua mgumu sana. Welldone Mwakinyo
Pipa na mfuniko hao
@@JoyceChapaulinge😂😂😂😂😂 hamna kitu hapo ngumi zakuotea tu
This is good my role model champezi one mo time hasaaaaaani mwakinyoookioooooooooooo,🔥👊
Safi sana kijana mchezo uko sawa.
Kiduku atapigwa kipigo cha mbwa kokoooo, mpaka piko😂😂. Mwakinyo congratulations
Hongera sana kaka
Mwakinyo ni fundi , anajua sana
Allah amjalie kijana huyu
hayufosi KO tunacheza professional boxing,,champez one time hongera
hongera brother
Uwezo wa Hassan Mashallah Allah azidi kumpanguvu katika mikono yake Insha'Allah kingine kiherehere cha mtangazaji anamtangaza mshindi kama yeye ndiyo refa hajafuta protocol ametengeneza delay
Hongera familia hii game umeonesha umaarufu sio siri...keep it up MWAKINYO🎉
Hongera sanaa mwakinyo nimefurahii sanaa hinzo ndo ngumi tunataka safi sana
Amazing fight
Champion mwakinyo
Yuko power kabisa
Tanga Alihamdulillah tupo vizuri zaidi sana kuna kina bonzo na mambea sasa Mtoto wao Mwakinyo
hongera sana
Congratulations to u and god bless u HASSAN Mwakinyo
Kma hajaguswa yaan macho meupeeee Hongera sana Hassan Mwakinyo unatuwakilisha vemaaa sana
Yule jamaa ni mbavu lakini ,mwakinyo ana uzoefu mwingi, na ngumi yake haitui ovyo, hongeraaaa brother Mwakinyooo, utakuwa mnyakyusa wewe hakika , maana ni nooooomaaa!
Mungu aendelee kukutia nguvu, tulikumisi ulingoni sanaaa!
Sasa tafadhari sana , katupigie yule muingereza basi , naamini utaonesha maajabu !
Maasha allah hassan hongera kwako kaka wanao bishana na ww ndy wanaokuwa chanzo cha siziki yko wako hivyo waendelee kuwa na chuki wako maana ww unaakilia ya ngumu hivyo watakuchukia tu 💪💪💪💪
Jamaa anajua.
Wanajitahidi kumtenga na kumtengenezea chuki bure.
Safi Mwakinyo
Mwakinyo mungu amjalie nguvu zaid
Honger kaka ww nifundi wangumi unajuakk
We still need to see the fights 😮
Champez Mwakinyo............! The One N Only in Tanzania and Africa
Hongera mwakinyo
Nakukubali sana mwakinyo zidi kutangaza tz
Mwakinyo mtegemee Sana mungu upo viziri Sana sio makuli wanaigiza ngumi wanakumbatia
Ninakuamini sana mwaba ujawai kunihagusha mtan wangu wasambaa hoyeee❤❤
ingetakiwa mwakinyo angeenda kule Ghana akamfue soja kule kule kwao ili heshima iwepo
huyu jamaa kiboko hana rongorongo wenye wivu wakakojoe wakalale😂❤❤❤
mghana kapipa hesabu kaona hawez toboa round ya 10, hongera hassan mwakinyo
Mwamba unajua waache wasiojielewa wakuseme vibaya ukiwa unapambambania maslai Yako ❤❤we ni mwelevu hepuka unyonge bro pigania maisha Yako Kaz iwe na maslai fanya Kaz good champion
Hongera mwakinyo kwa ushindi mnono
Ila kwa huyu mwanajeshi hakuna bondia anapiga ngumi kama tunaangalia Slow motion sioni Jab, sioni Combination, 1 two hakuna
kwa ufupi ni pambano la kawaid na hio Combat angeivua anatudhalilisha wanajeshi
Kesho tutakuita upigane wewe
Hongera champez
Safi sana champez Mogadishu famili
Umeweza kaka wa Taifa🇹🇿
Huyu soja wa Ghana kule kwao ndio kama kiduku huku Tanzania levo yake ni kiduku sio mwakinyo kwa mwakinyo atachezea sana
Mm ni mzanzibari ila mwakinyo nakukubali sanaaa
Acha kusema mi ni mzazibar..mbona Kwan yeye kakuambia wa wap😂😂
..hata ukiwa wa komoro...baridi tu
Dua sana kwako Kaka mwakinyo
Hongera sana broo ALLAH azidi kukusimamia inshallah waloanzisha pambano jn tanga walikuwa na Nia mbaya ya kukuharibia pambano lko ila Allah kakuhifadh haiwezekani star km ww jn ilitakiw tz nzm ikuangalie ww lkn Kun wanafik tz sure
Mwakinyo anaweza sana
Salamu zmefika
Zishafika tayari
Hongera Kwa mpambano mzuri
lilikuwa la tar ngap hili pambano?
Nimefuatilia comment za watu hakika nyota ya mtu huwezi kuua kabisa utajitahidi kuififisha lkn mungu ana kung'arisha zaidi sema wabongo msema kweli wanaona kama mkorofi jamaa hapendi ubabaishaji!
mwakiyo nakukubali leo umepapan kwelikweli ss tunakuombeya nduwa uzindi kutuwakilisha watazaniya wenzako 🤝🤲🤲
Namkubali San mwakinyo
mwakinyo na ibra classic ni mabondia wanaotumia akili sana. Well done champez
Kapambana na Mnyonge sana na hiyo ndio sababu ya kumkimbia yule bondia wa kwanza
Mwakinyo we ndio champion wetu
Asante🎉
Uyu ni crawford wa tz🔥👊
Champez unajua...congrats!
Kaka nakukubari sana
Mwakinyo nakukubali sana kwenye ngum
Big up mwakinyo
Kazi nzuri
Nakupenda mume wangu wa maisha mwakinyo❤
Saf saan shemej jamaa kaupiga mwingi
Mbona gafla
Mambo
Acha umalaya😂😅😅😂
Safi sana mwakinyo mdogoa angu mungu akusimamie umeiheshimisha tz umetuheshimisha watanga wenzio
Mbona hamueki highlights