Anapigana kwa malengo hata hao mabondia wakubwa hawapigani tu na kila fala sababu kafanya mazoezi lazima Kuna vigezo na masharti vizingatiwe, akili ndogo km zako ndio zinafanya mabondia wengi wawe masikini maisha mabovu
Kunawatu nimachoko Sana, kila cku wanasemaga huyu waleo ndo bondia sasa achana nawale wamchongo anaopewaga mwakinyo ngoja Leo mtamuona lkn Mzee🤣🤣🤣🤣, jamaa Noma anasinda, kila pambano wanapenda kusema Ivo namshakj anashinda sasa uwo sini ushoga acheni mambo yakike nyie sapotini vya kwenu acheni ukabila nyie na atawaumiza mpka mkome na roho zenu za kichawi za kutu izo😂
Allah akujalie mwakinyo upate ushindi na inshaallah utashinda
Mimi always uwa na enjoy kumsikia mwakinyo akiojiwa uwa anajiami pia ujinadi kwaiyo na enjoygi sana interview zake 👏👏
Mwakinyoooo anaongeaaa sanaaa kamaaa siooo bondiaaa
All the best champez
Mungu akujaalie sana kaka
Huyo bodyguard ni bolo young 😅 au
Huyo bodygudi ni kimboro chako
@@Peterchila-un2lx sio bodygudi ni bodyguard 😂😂
Hahah ata mm nilikuwa ni comment hivo bolo young
😂😂😂😂😂😂😂 dah
Kabisa asee
Professional mwakinyo 💪💪
Let's go champ
All the best Bro🎉🎉❤❤
😂😂😂ananipa raha sana mdigo mwenzangu huwa hatuja wahi kushuka chini ss.🎉🎉
Champenz
Kila la kher🙏
mwakinyo anajua gumi bwana
oyoooooooo
champezzzz 🙏🙏🙏
Champez👍👍👍👍
Kila lakheliP kaka angu mwenyewe
Bondia ana nusu nyota pambano la mchongo
Nakutakia kila la kher champenz
Huyu Sasa ndio bondia Sio wale watakaofanya tamasha😂
Pamoja bloo
Naona yupo na bolo yeung
Du bondia bola uyo xio mchukuzi kiduku
mwakinyo nakuaminia pambana kaka
Bondia ana nusu nyota kwe game za mchongo viazi🤣🤣🤣🤣
Bondia wako ana nyota ngapi 😂
Hili pambano azam watarusha au
mh. kiduku anafeli dalasa lakuigwa liko waz champez king kama aujui usichaguwe masta njoo mwakinyo anagaizo kdk welcome
Kijeba😂💪
uyo mbavu kavimba upande
bondia hakuchaguliwa na WBO😂😂😂😂😂amechaguliwa na hassan mwaikinyo mwakinyo ashajua matokeo…….
hapa ni ushidi tuu
Kila la heri fundi
Atakuwa amemchagua mwenyewe Mwakınyo😅😅😅
Nafasi ipo na wewe kachague wako
Anapigana kwa malengo hata hao mabondia wakubwa hawapigani tu na kila fala sababu kafanya mazoezi lazima Kuna vigezo na masharti vizingatiwe, akili ndogo km zako ndio zinafanya mabondia wengi wawe masikini maisha mabovu
Tupo pamoja
Huyo bodgud alikuwa na sababu ganj ya kuvaa singlend.ushamba ni mwingi.
Mwili mkubwa kuliko anaepigana
Kwahiyo style zako unataka na mwingine afuate!
Unapingia watu maisha
Fund mmepoa xn nawanao qataerewa2 uwezo wenu lamamayake
Terence crawford ukimuona utasema kiazi, dadek Sogea uone😂
Terence unaweza hata ukadhani unaweza kumpiga makofi tu ila moto wake zaidi ya fire😅😅
Poa kaka
Yaani bondia anakuja kumpokea bondea mwenzake. Haya mapambano ya maigizo haya. Mmmmmh
Ni sahihi kwasabb mwakinyo ana maadui wengi sana kak ndo mana kila hatua mwamba yupo
Kunawatu nimachoko Sana, kila cku wanasemaga huyu waleo ndo bondia sasa achana nawale wamchongo anaopewaga mwakinyo ngoja Leo mtamuona lkn Mzee🤣🤣🤣🤣, jamaa Noma anasinda, kila pambano wanapenda kusema Ivo namshakj anashinda sasa uwo sini ushoga acheni mambo yakike nyie sapotini vya kwenu acheni ukabila nyie na atawaumiza mpka mkome na roho zenu za kichawi za kutu izo😂
Ivi Terence na Mfaume nani apigwa? 😂
😂😂😂 hauko serious bro
Huyo terence unamfahamu au kwa sababu umeona hilo jina tu ?
Pambano ni lini jmn
Jumamosi
@@sports007tv4jumamosi inshallah
Bodyguard kalegea macho cjui km anaweza kuona adui akija kumshmbulia bondia wetu
Bodyguard bss ameingia Ndn y gr sekunde 30 ndo bodygd afika kwnye gr,mwknyo hyo km ni mlinz wko hna vgezo lkn km ni show bc sw haina shida
😂😂😂