ALIYEMKATA MKE WAKE MKONO APATA DHAMANA ,AINGIA MAHAKAMANI NA SHUKA LA KIMASAI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
  • Mahakama ya wilaya ya Arumeru imeahirisha kesi inayomkabili Ombeni Alfayo Mollel kwa kosa lakufanya shambulio lakujaribu kumuua mke wake, kwa kumkata mkono na panga ambapo Kwa sasa mtuhumiwa huyo ameachiwa na yupo nje kwa dhamana

ความคิดเห็น • 99

  • @selestinamakari4750
    @selestinamakari4750 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu anamuona kwa kitendo alichomfanyia mwenzie,,sio haki ni ukatili kbs

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 ปีที่แล้ว +9

    Uyo hakimu ninawasiwasi na hakimu😭😭😭yani mtu mkono hana arafu mnamuachia huru kweli ili akammalizie kichwa 😭😭😭

    • @aishahajji9461
      @aishahajji9461 3 ปีที่แล้ว

      Jmn Sheria na huruma akamkate kichwa kweli apoteze ushahidi

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 3 ปีที่แล้ว

      Akibisa hakimu hatuna imani nae

    • @geraldtarimo9960
      @geraldtarimo9960 3 ปีที่แล้ว

      Dhamana nihakiyake

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      @@geraldtarimo9960 na kukata mtu mkono ni haki yake?

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      Yaani,,,ni aibu!!!

  • @expert5898
    @expert5898 3 ปีที่แล้ว +5

    Ushahidi wa nini??? Na wakati kitendo alichofanya kinaonekana!! Wameshahongwa hela hao.

    • @hjhj6230
      @hjhj6230 3 ปีที่แล้ว

      Aaa inaumiza kwakweli 😥😥

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

    Kweli duniani hakuna haki, mtu amepoteza mkono na kupata ulemavu wa milele bado mhusika anapewa dhamana, anakula maisha uraiani,,,,,dah!!

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 3 ปีที่แล้ว

    Huyo hakimu hajui kazi yake, ushahidi gani zaidi ya huo kiganja ndio ushahidi tosha, wewe huna huruma na kitendo alichofanyiwa mwanamke mwenzio, ngoja yakukute na wewe ndio utajua ana uchungu wa kiasi gani, Mungu anakuona na utavuna ulichokipanda.

  • @ybmtaakwamtaaofficial3415
    @ybmtaakwamtaaofficial3415 3 ปีที่แล้ว

    Dah hii noma

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 ปีที่แล้ว +6

    Ndo maana watu wanachukua sheria mkononi kwa upuuzi km huu Takukuru mko wapi huyu akimu achunguzwe

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 3 ปีที่แล้ว +1

    Kila upande una machungu na nguguye.Ogopa sana kutombewa mke wakati umetoa mahali.

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว +1

    Si nimekiona na miwanii apo, Yaaani huyo kaka sijui hata niongee nini ila Mungu ndo mlipajii wa yote.

  • @nyamoyanaomi7222
    @nyamoyanaomi7222 3 ปีที่แล้ว

    Aisee mbona maajabu

  • @maryamoscar438
    @maryamoscar438 3 ปีที่แล้ว

    Sijui tz yet ipoje. Mtu anaonekan kbs hana mkono

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 ปีที่แล้ว +1

    Du kama si sheria kuwepo huyo ulitakiwa aweke ndani tu na asitolewe lkni ndio sheria tena dah yy naenda kula bata mwenzie yupo na kilema cha maisha😭😭

  • @julianamasunga700
    @julianamasunga700 3 ปีที่แล้ว

    Jamani kuna makamu wa raisi ni mwanamke...mwanamke mwenzetu kakatwa mkono siyo ukuni huyooo tafadhali ingilia kati hili huuu ni nyanyasaji na uporwaji wa furaha ....

  • @glorykimaro5528
    @glorykimaro5528 3 ปีที่แล้ว +2

    Wakat mwngne tunaichukia government yetu kwa ujinga kama huu kila kitu kiko wazi why dhamana? Kama mwanamke imeniuma sana yule dada bado atakuwa kwenye wakat mgumu ukizingatia mshtakiwa yupo nje inatia hasira sana 😓😣

    • @ericklaura7511
      @ericklaura7511 3 ปีที่แล้ว +1

      Yani wanampa Dada wa watu wakati mgumu sana, hapa wanaharakati inabidi wapaze sauti, na ndio hivo tena mhimili wa mahakama ukishaamua umeamua, sasa wanataka ushaidi gani tena ukamilike ilihali mwanake hana kiganja cha mkono.😥

  • @julianamasunga700
    @julianamasunga700 3 ปีที่แล้ว

    Hapo Lazima rushwa imetembea haki tena ....wanawake tunadhalilishwa halafu hatuna mtetezi

  • @masanjamasunga6667
    @masanjamasunga6667 3 ปีที่แล้ว +3

    Mahakama hyo haijtambui huwez fany uchunguz wakat mtu altaka kuuawa! Uchuguz wa nn sas hapo? Yaaan daaa hak ya Mungu

  • @mummysuh2289
    @mummysuh2289 3 ปีที่แล้ว +4

    Mtu kakatwa mkono bado tu wanamuacha Mume kwa dhamana akati wezi wa kuku wako ndani wallah serekali yetu hii Aya metoa akaenda malizia uyo dada mtafanyaje

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว

      Abar ruty yuko gerezani kisa kaonesha picha anafanya kinyume na maumbile, je kumkata mtu mkono hadi unadondoka ni ndani ya maumbilee??

  • @ignassindabaha1813
    @ignassindabaha1813 3 ปีที่แล้ว

    Sasa upelelezi gani sasa kwamba kazingishiwa.wanaotetea haki za wanyonge wajitokeze,vitu vingine hata ukiwa nusu mtu unaelewa

  • @hopechriss8739
    @hopechriss8739 3 ปีที่แล้ว +3

    Yan mm ndyo naahindwa kuiyelewaga hii government yetu mtu ushahid uko wazi kwann asihukumiwe na bado namtishia akimuuwa je

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 3 ปีที่แล้ว

      Sheria ni kitu cha tofauti sana, sio rahisi hvo ndugu.

    • @happymwinuka2637
      @happymwinuka2637 3 ปีที่แล้ว

      Mmmmh

  • @Noreen-gd6js
    @Noreen-gd6js 3 ปีที่แล้ว

    Mmh makubwa anajificha nini wakati alipoyafanya hayo hakujua ni mabaya

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu1444 3 ปีที่แล้ว

    Yani dunia hii kk yangu kaiba sm ya tochi tu adi leo nimia miwii 2 yupo jela na zamana wanasema akuna kila anaenda mahakamani kesi ina pigwa taree tu uyu kakata mtu mkono kapewa zamana anagoroma tu nyumbani daaaaaaaaaaa sm yatochi miaka 2 segerea apo bado ukumu nisaidieni😭😭😭😭

  • @neemakirika7281
    @neemakirika7281 3 ปีที่แล้ว

    Jamani jamani dhamana ya nini kwenye situation kama hii jamani

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 3 ปีที่แล้ว +1

    Mshenzi mkubwa huyo bado yuko nje maana kakata ukuni sio mkono wa binadamu serikali iko wapi

  • @jkOmar2024
    @jkOmar2024 3 ปีที่แล้ว

    Mh... Kaz kweli sio wote wanokaa jela wanahatia hii kesi inavyoenda huenda jamaa akashinda na akaa nje mh... Hiz sheria zetu hiz anaehukumu binadamu kwa ushahidi mh... Kaz ipo ndani umo wee na mkeo shahid atatokea wapi tuangalie kwa umakin

  • @kaftkimaro6125
    @kaftkimaro6125 3 ปีที่แล้ว

    Upelelezi bado alafu zamana mbona kesi yakutishia mnawanyima zamana apo sheria imebakwa tukiona

  • @mapenzisorotanizimbazimba8742
    @mapenzisorotanizimbazimba8742 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo Sio bure, Kuna kitu ndani yake kama familia yake mume haikuenda Kwa mganga bas wamehongwa hao

    • @alexlingwendu6780
      @alexlingwendu6780 3 ปีที่แล้ว

      Huenda mwanamke alikuja na siraha kumjeruhi mshikaji.Ktkharakati za mshikaji kujitetea Mwanamke akaumia .Ni mtazamo wangu tu.

    • @mapenzisorotanizimbazimba8742
      @mapenzisorotanizimbazimba8742 3 ปีที่แล้ว

      @@alexlingwendu6780 maybe

  • @epimarkthadei5334
    @epimarkthadei5334 3 ปีที่แล้ว

    Hivi mahakama imemuachia huru kwa migezo gani hivi hili suala mnalichukuliajeee

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 3 ปีที่แล้ว

    Sasa anatokaje nje kwa dhamana kwa kumkata MTU kiungo chake kabisa jmn

  • @osamaladen6954
    @osamaladen6954 3 ปีที่แล้ว

    Dawa ya moto ni moto kwanini na yeye asikatwe ili aone machungu anayo yapata mwenzie tutaonewa mpaka lini?

  • @nurukhalifa9413
    @nurukhalifa9413 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake acheni kunyanyaswa mwisho wa siku ukikatwa skio atapata dhamana mana ni haki yake sasa nyie vumilie vipigo alaf akiachiwa kwa dhamana unadai unaogopa usalama wako wakat unaish nae anakunyanyasa mbona hukuofia usalama wako ukaondoka .

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 3 ปีที่แล้ว

    hata kama sijui sheria ila kumpa dhamana ni kosa kubwa

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 3 ปีที่แล้ว

    Mmmh

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 ปีที่แล้ว +2

    Mi angekua ni ndugu yangu ndio kamkata oh namie ningemkata tu

  • @julianamasunga700
    @julianamasunga700 3 ปีที่แล้ว

    Kwanini kaachiwa hiyoo ni kesi lobal. ..huo niunyanyasaji hapana kabisa....

  • @taturajabu5977
    @taturajabu5977 3 ปีที่แล้ว

    Ikiwezekana,nae aruhusiwe kumkata mkono kama alivyokatwa yeye

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 3 ปีที่แล้ว

    Yaani huyo hakimu achunguzwe vzr maana anataka AENDE akamalizwe duh

  • @niachiemahehee2523
    @niachiemahehee2523 3 ปีที่แล้ว

    Wanawake jeshi kubwa mwanamke mwenzenu kakatwa mkono mko kimiya pazeni sauti asionekane mtaani ipo sku nanyie mtafanyiwa hivyo Mana mtuhumiwa Hana sheria aliochukuliwa.mtu amejaribu kuua mnakuacha mtaani kwa Nini asiwekwe ndani upelelezi ukamilike

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 3 ปีที่แล้ว

    Acha nikae kimya

  • @magretmgaya2867
    @magretmgaya2867 3 ปีที่แล้ว

    Ajificha nn yy si mwanaume kweli pumbavu huyo

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 3 ปีที่แล้ว

    Yaan mtu amekata kiganja mpaka kimetengana na mkono yaan amemsababishia ulemavu wa kudumu alafu anapewa dhamana

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว

    Hapa tusilaumiane mahama huwa inatoa hukumu Kwa kusikiliza pande zote mbili kama MTU alijikoroga kutoa maelezo inakula kwake sisi tunabaki kulaumu tusichokijua🏃🏃🏃

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      Hata hivyo mahakimu pia wanatakiwa kutumia busara, hata kama kuna kitu kimekorogeka!!

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      Kwa ujumla hapo, mahakama imefeli!!

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm.pia namkata mkono kila mtu awe mlemavu 😭😢

    • @ashnuhu1420
      @ashnuhu1420 3 ปีที่แล้ว

      Yani n mie ningafanya ivo ivo jitu lina kosa alfu wanasema ushaidi hujakamilik tuseme Yule dada kajikat mwenyew

  • @aminitaycoon
    @aminitaycoon 3 ปีที่แล้ว

    sasa zamana wamempa ya nn huyo nimuuaji

  • @Tatuabdi123
    @Tatuabdi123 3 ปีที่แล้ว

    Mh hyo kes sibure hapo kuna mkono wamtu

  • @gadsonndato2941
    @gadsonndato2941 3 ปีที่แล้ว

    Aachiwa imesimama wapi apo

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 3 ปีที่แล้ว +1

    Dhamana ni haki ya mlalamikiwa, makosa yasiyo na dhamana ni kuua, ujambazi wa kutumia siraha,uujumu uchumi na kumkufulu roho mtakatufu.

    • @yomapavijadinu1804
      @yomapavijadinu1804 3 ปีที่แล้ว

      Neno la mwisho upo sahihi kabisa%

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      Hata katika makosa yenye dhamana , mahakama inatakiwa kufikiria vitu vingi kabla ya kutoa dhamana ikiwemo pia kutumia busara,,,,,katika hili mahakama haikutumia busara!!

  • @claramkisi5268
    @claramkisi5268 3 ปีที่แล้ว

    Hakimu ameongwa pesa ama nn serikali yakutetea iko wapi nn iki kinfnyk Ila nyie wanadam mkishndw Mungu ata hukumu HP HP duniani

  • @fridambezi6067
    @fridambezi6067 3 ปีที่แล้ว

    Kimbe nikweri haki ya mwanamke iko mbinguni kwanini jamani

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 ปีที่แล้ว +2

    Ssa yye si mwanaume kamili anajificha nni hii serikali yetu inazingua kwanini ameachiawa wakati ushaidi upo 😏😏😏😏😏

  • @nsiaelieza9568
    @nsiaelieza9568 3 ปีที่แล้ว

    Kwa hili tutajua kama haki ipo mahakamani au la!

  • @mamaahmad8615
    @mamaahmad8615 3 ปีที่แล้ว

    Jamani hii sheria ya wapi dada kakatwa mkono huyu ni muuwaji mnamuachia huru ili akamalizie miguu mahakama haijatenda haki huyu jamaa angeenda jela hata miaka kumi ili apate fundisho

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 ปีที่แล้ว +4

    Sasa muhalifu mnampandisha gari nzuri ivo kamkata mkewake mkono nawe akatwe tu mbwa uyo

  • @kennydimpoz4201
    @kennydimpoz4201 3 ปีที่แล้ว

    Alafu mdada wa watu ndio mlemavu dah pole kwako wewe dada

  • @robertdioniz3364
    @robertdioniz3364 3 ปีที่แล้ว

    Arusha mmezidi,, sasa mbwa kama uyo mnampaje dhaman. Inamaana walioko gerezan hawawezi pewa dhamana au yeye anashindwa nin kwenda gerezani?? Arusha uhuni mwingi na watu wanapelekwa mahakaman na kurudi mtaani bila sababu za kimsingi dah,, matukio ya kijambazi na uhuni wa kila namna hauwezi kuisha kwa style hii

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 3 ปีที่แล้ว

    Mtu kakata mkono mpaka umekatika alafu mnasema upelelezi haujakamilika huu ni upumbavu wa hali ya juu ! DPP hulioni hilo ipo sawa hiyo kweli !

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 3 ปีที่แล้ว

    Sasa unaficha uso wa nini km mwanaume kweli unajiamini?

  • @cjcent7270
    @cjcent7270 3 ปีที่แล้ว

    Huyu fala mtaani tunamgonga😖

  • @ziadasalim1459
    @ziadasalim1459 3 ปีที่แล้ว

    Rushwa ishatembea

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 3 ปีที่แล้ว

    Serikali ebu tendeni aki acheni ubabaifu akiyake apate uyo mama

  • @callgodbaraka9904
    @callgodbaraka9904 3 ปีที่แล้ว

    Jamani nyie hakimu wa arusha amna kazi hasa magufuli bora wangewatumbua tuu maana hivi mtu aliyetaka kuuwa halafu mnamwachia heti ana ushahidi wa kurisha mlitaka ushaidi gani teana xaidi ya huo mkono uliyokatwa mbona jamani mnafanya sheria ambayo haya shetani mwenyewe haingi mkono?

  • @tamamoman9454
    @tamamoman9454 3 ปีที่แล้ว

    Uyo hakimu analake jambo

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 3 ปีที่แล้ว

    Unajificha nnmuuwaji wee😒😒

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 ปีที่แล้ว +1

    😡😡

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 ปีที่แล้ว

    Serikali yetu mnakwama wapi yaani muuaji mnanuachia ili aje amuue kabisa huyu dada ndo furaha yenu ushahidi gani wakati mkono haupo mnatafuta rushwa tu JPM fukuza huyo akimu hatendi haki

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 3 ปีที่แล้ว +1

    Yan upelelezi gani ambao haujakamilika?? Sio bure hapo kuna Namna!? 😎

  • @aishachambo3293
    @aishachambo3293 3 ปีที่แล้ว

    Akimuwa je upuuzi mtupu mtu mshenzi alafu anaachiwa

  • @kamellincitizenkenya129
    @kamellincitizenkenya129 3 ปีที่แล้ว

    Ata mimi namkata pia kila mtu awe mlemavu

  • @moonaamli6835
    @moonaamli6835 3 ปีที่แล้ว

    Sasa upelelezi gani mnaotaka ukamilike na wakati mkewe mkono hana na ndio ushahidi tosha kabisa

  • @jumakiatu.628
    @jumakiatu.628 3 ปีที่แล้ว

    kAkA.wAnGu.aNaniYamBiaGa.hAyO.ni.mAmBo.yA.nGoSuE.

  • @mwanaidhussen1325
    @mwanaidhussen1325 3 ปีที่แล้ว

    Mh kumbe masai ndo maana

  • @janethkilonzi4260
    @janethkilonzi4260 3 ปีที่แล้ว +3

    Upelelez gan wakat mkono haupo taar.

  • @RoseRose-qj5pw
    @RoseRose-qj5pw 3 ปีที่แล้ว

    Lol