FAHARI (Goupe Alleluia Nyarugusu) SHINA LA YESE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 160

  • @Son_TV_Online
    @Son_TV_Online 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyie watu Mungu awabariki sana
    By shabani Osée ✌️

  • @LarissaKaburahe
    @LarissaKaburahe 9 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭😭😭 ninakosa Nini niseme basi Mungu awabariki sana

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU wetu wambinguni hawabariki sana watumishi wa BWANA 🙏🙏wimbo zenu zinakuwaga nzuri sana ❤

  • @margueritamfaume3854
    @margueritamfaume3854 3 ปีที่แล้ว +3

    Amina kubwa wana wa mungu, mubarikiwe sana 🙏💖💖💖 huu wimbo una bariki sana na unatia moyo 💗💖💓

  • @esubemauridisimba3802
    @esubemauridisimba3802 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asente sana kwa wimbo,tumebarikiwa, bwana Yesu asifiwe

  • @sistajoy1
    @sistajoy1 3 ปีที่แล้ว +6

    Inabariki moyo 😭🙏🏾,..Mungu awabariki vya kutosha ndugu zangu 🩸❤️

  • @mwandjammbandoci1029
    @mwandjammbandoci1029 2 ปีที่แล้ว

    Group Alleluia mmenifanya nikumbuke mbali sana kwa kweli ongera sana na ongezeni bidii.
    Natamani sana kuwa pamoja nanyi ila ndo hivyo tena.

  • @habonimanajulienne7135
    @habonimanajulienne7135 2 ปีที่แล้ว

    Imana ibakomeze kandi iheze iteko izobahe iherezo ryiza. Ururirimbo rwaza cane gose muhezagigwe n Uwiteka ibihebidashira.Umutima🙏Umutima

  • @etoebulela5233
    @etoebulela5233 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo uhuu unanikubusha mbali andi mashozi ina nitoka kweli😢😢😢

  • @monicesthela6316
    @monicesthela6316 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki nakuwapa nguvu yakuendelea kumutumikia Mungu🙏🙏🙏Nabarikiwa nimeokolewa kwa Neema tu

  • @kitumainikubatu3182
    @kitumainikubatu3182 ปีที่แล้ว

    Nyimbo Kama hizi zinatokana na tenzi za rohoni , na kupokea maono toka kwa Bwana yesu kristo; jamani Mungu awasaidie tuonane mbinguni.

  • @ShindiMlondani
    @ShindiMlondani 2 หลายเดือนก่อน

    Amen amen nimebarikiw
    Sanaa❤❤❤🎉🎉🎉

  • @germainealeose9847
    @germainealeose9847 3 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe sana tuko hapa kwajili yaku sapoti ku sabscribe, like na ku share

  • @robertusrugangila2271
    @robertusrugangila2271 ปีที่แล้ว

    Connected from Nakivale Refugee camp 🏕 in Uganda 🇺🇬❤✨♥

  • @gastondofra9151
    @gastondofra9151 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen 🙏 mbarikiwe sana na wimbo tamu

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha 3 ปีที่แล้ว +3

    What a wonderful song,
    Mungu awabariki sana 🙏🙏

  • @on-ongeanami3279
    @on-ongeanami3279 3 ปีที่แล้ว +1

    Fahari yangu ni wokovu wangu. Mungu AwaBariki sana

  • @tunganwabutanga5148
    @tunganwabutanga5148 3 ปีที่แล้ว +2

    Tulikuwenye kumwahasi Mungu kwa rehema yake alikuja kutukomboa

  • @pa-nyasi243house
    @pa-nyasi243house ปีที่แล้ว

    What a divine song, be blessed I often played it when I feel alone, it made comfortable ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ElishaEradiEl-Bin
    @ElishaEradiEl-Bin 6 หลายเดือนก่อน

    Ongereni sana kwa kazi mnayo fanya

  • @AkyamsNassor
    @AkyamsNassor ปีที่แล้ว

    Kweli wimbo nzuri una ujumbe mzito. Mungu awazidishie baraka za kuendeleza uimbaji wenu ❤❤❤

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana watumishi wa Mungu kwa kz njema.

  • @methodistelibrerdcongo7454
    @methodistelibrerdcongo7454 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu wa FAHARI unatujenga sana katika maisha yetu ya Kiroho. Jambo la muhimu nikuendelea kutafakari kuhusu samani ya Wokovu.

  • @anaclet2411
    @anaclet2411 3 ปีที่แล้ว +3

    Victory belongs to JESUS CHRIST, HALLELUJAH 🙏.

  • @PeterMbarusha
    @PeterMbarusha 4 หลายเดือนก่อน

    Mumesha barikiwa namutaendelea kubarikiwa

  • @mwatumuomari369
    @mwatumuomari369 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen mbarikiwe sana Mungu awatie nguvu ya kuhendelea na kazi yake.

  • @AngelinachindeleMateus-hb9ki
    @AngelinachindeleMateus-hb9ki ปีที่แล้ว

    Deus abençoe vocês e o vosso ministério tão lindo 💖💖💖🙏 em nome de Jesus Cristo eu amo vos meus irmãos

  • @emelianeassani1013
    @emelianeassani1013 3 ปีที่แล้ว +1

    Jameni nabarikiwa sana na nyimbo zenu mungu awazidishie vipaji na awabariki sana

  • @saidiasdd5043
    @saidiasdd5043 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen amen 🙏🙏🙏🙏 mbarikiwa 🙏🙏🙏🙏

  • @nyangechirac9808
    @nyangechirac9808 3 ปีที่แล้ว +5

    This is wonderful and beautiful song. May The Almighty God fill you with his holy spirit power to serve him in your entire life. I am so proud of you. Amen

  • @noeamimu4717
    @noeamimu4717 3 ปีที่แล้ว +1

    Amani ya Bwana wetu yesu hiwe nanyi vijana💥💥💥♥️♥️♥️

  • @DavidDivin
    @DavidDivin 3 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo huu una nguvu na upako mzito. Mungu awabariki 🙏🏼

  • @lmpcofboisechannelofficial8848
    @lmpcofboisechannelofficial8848 3 ปีที่แล้ว +2

    Mkono wa Bwana wetu Yesu Kristo uwaguse. Mna nibariki kwa wimbo wenu wa "Pendo la Mungu"
    Thanks From Boise , Idaho USA

  • @Julialoverblx
    @Julialoverblx ปีที่แล้ว

    mungu aendelee kuwaimarisha

  • @angelmalaika4578
    @angelmalaika4578 3 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏mbarikiwe sana 🙏

  • @anamasola8072
    @anamasola8072 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki kweli watumishi, mme nibariki sana

  • @sungesonji4412
    @sungesonji4412 3 ปีที่แล้ว +2

    So professional, cool, calm and soothing. Uplifting song, be blessed

  • @farijiaaleelwa6237
    @farijiaaleelwa6237 2 ปีที่แล้ว

    Nawafuatlia sana wapendwa

  • @salvationworshipgroup2923
    @salvationworshipgroup2923 3 ปีที่แล้ว +3

    That’s one of the heavenly songs

  • @ebuelaefunga
    @ebuelaefunga 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki sana tena sana

  • @NduwayoKevin-ev1dw
    @NduwayoKevin-ev1dw 9 หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu awabariki

  • @joelp.gideon9003
    @joelp.gideon9003 ปีที่แล้ว

    Oh, Jesus my Lord. Hallelujah! Such a great and wonderful song

  • @m.biangwamalenso3291
    @m.biangwamalenso3291 3 ปีที่แล้ว +2

    This has nothing to do with the song but can we talk about how the men wear the best suits then the women were like you know what we just going to wear whatever 🥺🙄🤭✌🏾 awesome song though barikiwa 🔥🙏🏾❤️

    • @GroupeAlleluiaGEA
      @GroupeAlleluiaGEA  3 ปีที่แล้ว

      Thank you sister M.Biangwa Malenso for your Mral support. We realy appreviate, may God bless you

    • @MireilleEspoir
      @MireilleEspoir 3 ปีที่แล้ว +1

      This comment isn’t necessary. Honestly if you want support them financially.
      Don’t forget that they are in a refugee camp dear

  • @gladysnasambuwanyonyi7339
    @gladysnasambuwanyonyi7339 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nimebarikiwa na nyimbo hii ya injili nifanyaje Ili niwafikie au itufikie sis Huku Kenya kitale life life tuwaone mbarikiwe na yesu

    • @GroupeAlleluiaGEA
      @GroupeAlleluiaGEA  2 ปีที่แล้ว

      ubarikiwe mtumishi kwa kututia moyo. labda hatuelewa vizuri swali lako..

  • @alimasimaneno8741
    @alimasimaneno8741 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah raha sana

  • @shukuruwagetu1285
    @shukuruwagetu1285 ปีที่แล้ว

    Amini mungu awabariki

  • @KabweDeblock
    @KabweDeblock 8 หลายเดือนก่อน

    Asanteeeeeee San kweli kbs❤

  • @Cynthia_debo
    @Cynthia_debo 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki🙏🏽❤️

  • @byaombeswedy1674
    @byaombeswedy1674 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen, mubarikiwe sana

  • @sifamkyambe2027
    @sifamkyambe2027 2 ปีที่แล้ว +1

    Aleluyamungu,asifiwe

  • @famydorcas7986
    @famydorcas7986 3 ปีที่แล้ว +1

    My favorite song 🥰🙏🙏 be blessed guys

    • @GroupeAlleluiaGEA
      @GroupeAlleluiaGEA  3 ปีที่แล้ว

      Amen
      😁 our lovely sister, may God bless you for your support

  • @beatricebless2633
    @beatricebless2633 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @lindajeremiah6663
    @lindajeremiah6663 3 ปีที่แล้ว +2

    Finally 🙏 be blessed all.

  • @mishifeza3907
    @mishifeza3907 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen mubarikiwe sana

  • @victorinaannaaheyo1594
    @victorinaannaaheyo1594 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen 🙏🙌🙌🙌🙌

  • @kanyaombeesuu7841
    @kanyaombeesuu7841 3 ปีที่แล้ว +1

    Baraka nyingi 🙏

  • @KazinginiZahina
    @KazinginiZahina ปีที่แล้ว

    Amen amen ❤❤❤❤

  • @wordinmusic
    @wordinmusic 3 ปีที่แล้ว +1

    another beautiful song. Thank you!

  • @ElizaJustin-h5y
    @ElizaJustin-h5y ปีที่แล้ว

    Amen asifiwe yesu

  • @makambosafari2746
    @makambosafari2746 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @ngoyrashid
    @ngoyrashid 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen, be blessed

  • @echawekab3796
    @echawekab3796 3 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe sana

  • @SelaMulonda
    @SelaMulonda 3 ปีที่แล้ว +2

    God is so good!! This song is blessed 🔥🔥🔥hallelujah

  • @ToshaNeema-i1n
    @ToshaNeema-i1n 2 หลายเดือนก่อน

    Amen ❤❤❤❤

  • @mikael1656
    @mikael1656 ปีที่แล้ว

    Fahari yangu ni Yesu

  • @mwaminikwizera7713
    @mwaminikwizera7713 2 ปีที่แล้ว

    Amen🙌🙌🙌

  • @kaskileselemaniselemani9090
    @kaskileselemaniselemani9090 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana waimbaji wa nyimbo za injili MUNGU awe Nanyi siku zote.

  • @rusimackems9820
    @rusimackems9820 3 ปีที่แล้ว +1

    Yooooh,😄 nabarikiwa sana, Mungu awabariki

  • @mawazonendjo9765
    @mawazonendjo9765 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen 🙏

  • @mariamuloonga9313
    @mariamuloonga9313 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @fatumasimbi6917
    @fatumasimbi6917 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🥰🙏

  • @MawazoJustin-fw2ws
    @MawazoJustin-fw2ws 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kweli

  • @Ungwamissi
    @Ungwamissi 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen❤️

  • @zigashanebaleke7701
    @zigashanebaleke7701 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🙏

  • @jumawajuma6371
    @jumawajuma6371 3 ปีที่แล้ว +2

    Amena

  • @Bigmamii03
    @Bigmamii03 3 ปีที่แล้ว +1

    😍😍

  • @kizadina6448
    @kizadina6448 3 ปีที่แล้ว +1

    Wangapi wako ready tufanya mchango mni inbox @

    • @GroupeAlleluiaGEA
      @GroupeAlleluiaGEA  3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe mpendwa kwa moyo wako nzuri wa kutaka ku support huduma yetu.
      Kwa sasa tuko safari(location) kwaajili ya next Album. Kama utakua tiyari hata kwa maji. Karibu, na Mungu akubariki zaidi. In box yetu (watsaap +1902440383)

  • @echasafuraha3423
    @echasafuraha3423 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @francinnejean-marie935
    @francinnejean-marie935 3 ปีที่แล้ว +1

    🇨🇦💖

  • @florencekiza7436
    @florencekiza7436 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🏽

  • @kizadina6448
    @kizadina6448 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzuri ila hamuhitendehi haki video. Mbovu sana

    • @GroupeAlleluiaGEA
      @GroupeAlleluiaGEA  3 ปีที่แล้ว

      Asante ndugu yetu kwa kuliona ilo. Tutalifanyia kazi kwa wakati ujao.

  • @MadrumsDenis
    @MadrumsDenis ปีที่แล้ว

    𝐌𝐛𝐚𝐫𝐤𝐢𝐰𝐞

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @ElishaEradiEl-Bin
    @ElishaEradiEl-Bin 6 หลายเดือนก่อน

    Ongereni sana kwa kazi mnayo fanya

  • @vickymilingita9236
    @vickymilingita9236 2 ปีที่แล้ว

    Amen mbarikiwe sana

  • @jeannettejacob1441
    @jeannettejacob1441 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏
    Mubarikiwe

  • @nendeamisi2184
    @nendeamisi2184 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana tena sana

  • @bonyemumosi1084
    @bonyemumosi1084 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen

  • @elizakefa293
    @elizakefa293 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @ashaimata4028
    @ashaimata4028 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @geogetteamisi9770
    @geogetteamisi9770 2 ปีที่แล้ว

    Amena

  • @reginaeliasabandelwa5491
    @reginaeliasabandelwa5491 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @marymbodzembodze2707
    @marymbodzembodze2707 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @fahilanendjo2841
    @fahilanendjo2841 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @tumainiali8125
    @tumainiali8125 3 ปีที่แล้ว

    Amen

    • @GroupeAlleluiaGEA
      @GroupeAlleluiaGEA  3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe

    • @mobaabisemba9813
      @mobaabisemba9813 2 ปีที่แล้ว

      Wana group Alleluia nyimbo zenu zinabariki watu sn, tunaomba mtuwekeye nyimbo zote zakanda hii watumishi wangu

  • @zainakazingini6276
    @zainakazingini6276 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏